Unataka kwenda kwanza?
Nani anaanza?
Kwa nini unapiga kura, mama?
Napiga kura kwa sababu ni muhimu kwangu kusikika
Ni hadhi ambayo nyanyangu mkuu
na mamake, na mamake
hawakuwa nayo
Nisipopiga kura basi hakuna atakayefikiria mambo yangu
upatakanaji wa huduma za afya
vurugu za polisi
mageuzi za uhamiaji
masuala ya mazingira
upatikanaji wa nyumba za bei nafuu
ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, waliotofauti kijinsia, na wasio wazungu
Sera hizi zote zinaniathiri kibinafsi
nimechochewa sana na mwanamke huyu mrembo aliyeketi kando yangu
kwa sababu ana elimu.
Natizama wanawake kama yeye na ni wao walionifunza kujitetea
Tunaanza kuona kuwa tunaleta mabadiliko
Kupiga kura ni jinsi ya kuifanya
Kila mwanamke- tafadhali piga kura kwa ajili yako na dada zako
YWCA ipo katika harakati ya kuondoa ubaguzi wa rangi na kuwawezesha wanawake.
Tu voz, tu voto, tu futuro [siyo kiswahili]
Sauti yako, kura yako, kesho yako