0:00:00.000,0:00:06.960 Usikate tamaa! 0:00:06.960,0:00:13.280 Ikiwa unaendelea kushinikiza, ikiwa unaendelea kujitahidi 0:00:13.280,0:00:16.480 kwa msaada wa Roho Mtakatifu, 0:00:16.480,0:00:18.640 ukikataa kujisalimisha 0:00:18.640,0:00:22.880 licha ya vikwazo vinavyokuzunguka 0:00:22.880,0:00:27.320 kanuni ya maisha inasema siku moja, 0:00:27.320,0:00:32.960 siku moja, marafiki zangu, mtafika.