WEBVTT 00:00:00.443 --> 00:00:02.206 Nachotaka kuongea kwenye video hii. 00:00:02.206 --> 00:00:05.260 ni maumbo yenye pande nne, 00:00:05.260 --> 00:00:08.964 na jina la kihisabati la maumbo hayo 00:00:08.964 --> 00:00:10.798 ni pembenne. 00:00:10.798 --> 00:00:12.062 pembenne. 00:00:12.062 --> 00:00:14.559 Kila unapoona neno pande nne, 00:00:14.559 --> 00:00:17.426 ni vema ukajua 00:00:17.426 --> 00:00:19.806 zinahusu namba nne. 00:00:19.806 --> 00:00:22.859 Kwa hiyo pembenne ina pande nne. 00:00:22.859 --> 00:00:26.726 hiyo ni pembenne, 00:00:26.726 --> 00:00:29.755 hii ni pembenne, 00:00:29.755 --> 00:00:32.159 hii ni pembenne 00:00:32.159 --> 00:00:33.378 Yote yana pande nne. 00:00:33.378 --> 00:00:36.396 Hii ni pembenne. 00:00:36.396 --> 00:00:39.705 hata hii ni, 00:00:39.705 --> 00:00:42.456 ngoja niiongezee upana kidogo, 00:00:42.456 --> 00:00:45.579 hii nayo ni pembenne. 00:00:45.579 --> 00:00:47.564 Je ipi sio pembenne? 00:00:47.564 --> 00:00:49.619 Pembetatu sio pembenne. 00:00:49.619 --> 00:00:50.524 Ina pande tatu, 00:00:50.524 --> 00:00:51.638 1, 2, 3. 00:00:51.638 --> 00:00:53.635 Hivyo tuiondoe. 00:00:53.635 --> 00:00:55.714 Pembetano ina pande tano, 00:00:55.714 --> 00:00:57.014 hii sio pembenne. 00:00:57.014 --> 00:00:59.782 Ina pande 1, 2, 3, 4, 5. 00:00:59.782 --> 00:01:03.264 Duara tunasema halina pande, 00:01:03.264 --> 00:01:06.735 ni mduara tu. 00:01:06.735 --> 00:01:09.359 Hii sio pembenne. 00:01:09.359 --> 00:01:11.414 Kama una pande sita, pande saba, pande miamoja, 00:01:11.414 --> 00:01:14.618 zote hizo sio pembe nne. 00:01:14.618 --> 00:01:15.353 Hebu tuangalie 00:01:15.353 --> 00:01:17.164 aina mbalimbali za pembenne, 00:01:17.164 --> 00:01:19.950 au makundi tofauti ya pembenne. 00:01:19.950 --> 00:01:23.085 Ya kwanza ni msambamaba. 00:01:23.085 --> 00:01:26.766 Kwahiyo msambamba ni pembenne, 00:01:26.766 --> 00:01:28.066 na tunavyozidi kujifunza, 00:01:28.066 --> 00:01:31.211 tunagundua njia nyingine za kuyafanya haya, 00:01:31.211 --> 00:01:35.367 Ni pembenne ambapo pande zinazoelekeana ni sambamba. 00:01:35.367 --> 00:01:36.841 Na sambamba ni njia nyingine ya kusema 00:01:36.841 --> 00:01:39.268 zina muelekeo mmoja. 00:01:39.268 --> 00:01:41.061 Nina maana gani hapo? 00:01:41.061 --> 00:01:43.209 Kitu kama hiki, 00:01:43.209 --> 00:01:45.229 ninachora, 00:01:45.229 --> 00:01:47.423 ni msambamba. 00:01:47.423 --> 00:01:48.538 kwanini? 00:01:48.538 --> 00:01:52.315 Kwasababu upande huu unaangaliana na huu. 00:01:52.315 --> 00:01:54.213 na zina uelekeo mmoja. 00:01:54.213 --> 00:01:55.374 Zinakwenda, 00:01:55.374 --> 00:01:58.323 kama nikichora mshale 00:01:58.323 --> 00:01:59.623 nikichora mshale hapa, 00:01:59.623 --> 00:02:04.139 hii mishale ina uelekeo mmoja, 00:02:04.139 --> 00:02:06.322 kwahiyo hizo pande mbili 00:02:06.322 --> 00:02:09.154 zinaelekeana. 00:02:09.154 --> 00:02:11.941 Na hizi pande mbili, 00:02:11.941 --> 00:02:15.296 pande mbili hapa zinaelekeana. 00:02:15.296 --> 00:02:17.397 Hivyo huu ni msambamba. 00:02:17.397 --> 00:02:20.020 Mfano mwingine wa msambamba ni upi? 00:02:20.020 --> 00:02:21.994 Hata mraba ni msambamba, 00:02:21.994 --> 00:02:23.759 mraba, 00:02:23.759 --> 00:02:25.012 ni msambamba. 00:02:25.012 --> 00:02:26.893 Na tutaonesha nini kinafanya mraba kuwa msambamba. 00:02:26.893 --> 00:02:28.832 ni msambamba maalumu 00:02:28.832 --> 00:02:31.595 kwasababu upande huu 00:02:31.595 --> 00:02:34.392 unaelekeana na upande huu, 00:02:34.392 --> 00:02:38.595 na upande huu hivyo hivyo na upande huu hivyo hivyo, 00:02:38.595 --> 00:02:40.894 nitachora kwa rangi ya njano, 00:02:40.894 --> 00:02:44.794 na upande huu ni sambamba na huo, 00:02:44.794 --> 00:02:47.511 Je umbo lipi si msambamba? 00:02:47.511 --> 00:02:49.833 Kitu kama hiki, 00:02:49.833 --> 00:02:53.065 huu mchoro 00:02:53.065 --> 00:02:55.026 hatusemi ni msambamba. 00:02:55.026 --> 00:02:55.582 Unaweza sema "subiri, 00:02:55.582 --> 00:02:57.882 "ninaona pande zinazoelekeana ni sambamba". 00:02:57.882 --> 00:03:02.224 Unaweza sema, tazama huu ni sambamba na huu 00:03:02.224 --> 00:03:06.454 lakini huu si sambamba na huu. 00:03:06.454 --> 00:03:08.441 Njia ingine ya kutambua kuwa huu si msambamba ni 00:03:08.441 --> 00:03:10.298 kama mistari inaendelea, 00:03:10.298 --> 00:03:12.677 ikakutana mahali fulani, 00:03:12.677 --> 00:03:14.279 wakati hii mistari, 00:03:14.279 --> 00:03:15.998 hapa, 00:03:15.998 --> 00:03:18.180 haiwezi kukutana. 00:03:18.180 --> 00:03:19.933 Hivyo huu hapa 00:03:19.933 --> 00:03:21.720 sio msambamba. 00:03:21.720 --> 00:03:25.099 Ina mistari sambamba inayoelekeana, 00:03:25.099 --> 00:03:26.619 ila sio mingine. 00:03:26.619 --> 00:03:29.616 Mfano mwingine wa umbo ambalo si msambamba 00:03:29.616 --> 00:03:31.972 utakuwa huu hapa, 00:03:31.972 --> 00:03:34.734 kwasababu pande zinazoshabihiana si sambamba. 00:03:34.734 --> 00:03:38.299 Hivyo msambamba, pande zinazoshabihiana ni sambamba. 00:03:38.299 --> 00:03:39.948 Sasa tuzungumzie, 00:03:39.948 --> 00:03:44.050 aina nyingine za pembe zenye pande nne, 00:03:44.050 --> 00:03:46.256 au pembenne. 00:03:46.256 --> 00:03:50.529 Nyingine ni msambamba sawa. 00:03:50.529 --> 00:03:54.208 Hivyo msambamba sawa ni aina ya msambamba. 00:03:54.208 --> 00:03:57.262 Pande mbili zinashabihiana, 00:03:57.262 --> 00:04:00.999 Yenyewe kama yenyewe si msambamba 00:04:00.999 --> 00:04:03.020 Pande zinazoshabihiana zinatakiwa ziwe sambamba, 00:04:03.020 --> 00:04:06.816 na pande zote ziwe sawa. 00:04:06.816 --> 00:04:09.500 Kwa mfano, 00:04:09.500 --> 00:04:12.810 Nachora, 00:04:12.810 --> 00:04:16.321 huu ni msambamba, ila si msambamba sawa. 00:04:16.321 --> 00:04:18.897 Ni msambamba kwasababu upande ule, 00:04:18.897 --> 00:04:21.277 hizi pande zinazoshabihiana ni sambamba. 00:04:21.277 --> 00:04:24.598 Na zikiendelea hazikutani. 00:04:24.598 --> 00:04:28.556 Na pande hizi ni sambamba. 00:04:28.556 --> 00:04:30.355 Hivyo ni msambamba ila si msambamba sawa 00:04:30.355 --> 00:04:34.621 kwasababu pande za bluu ni ndefu kuliko za njano. 00:04:34.621 --> 00:04:36.746 hivyo huu si msambamba sawa. 00:04:36.746 --> 00:04:39.985 Msambamba sawa unaonekana hivi. 00:04:39.985 --> 00:04:42.608 Utaonekana hivi. 00:04:42.608 --> 00:04:44.384 Hivyo pande zinazoshabihiana ni sambamba 00:04:44.384 --> 00:04:47.182 na pande zote zina urefu sawa. 00:04:47.182 --> 00:04:50.584 Na unaweza sema "mraba ni msambamba," 00:04:50.584 --> 00:04:51.721 na unataka kujua. 00:04:51.721 --> 00:04:53.762 Je mraba ni msambamba? 00:04:53.762 --> 00:04:56.156 Je pande zote zina urefu sawa, 00:04:56.156 --> 00:04:58.942 na zinashabihiana? 00:04:58.942 --> 00:05:00.820 Tumeshasema pande 00:05:00.820 --> 00:05:01.933 za mraba ni sambamba. 00:05:01.933 --> 00:05:03.825 Mraba ni msambamba. 00:05:03.825 --> 00:05:07.644 Na pande zote za mraba zinalingana. 00:05:07.644 --> 00:05:11.034 Hivyo mraba ni msambamba sawa. 00:05:11.034 --> 00:05:14.691 Hivyo namna nyingine ya kuujua msambamba sawa 00:05:14.691 --> 00:05:16.479 una mraba, 00:05:16.479 --> 00:05:18.610 na unaweza sema ni 00:05:18.610 --> 00:05:21.273 aina ya mraba uliominywa, 00:05:21.273 --> 00:05:22.399 wakati ukitembea 00:05:22.399 --> 00:05:24.698 haraka haraka kama kwenye katuni, 00:05:24.698 --> 00:05:28.774 ndivyo huwa ninaifananisha hivyo kila nikiufikiria msambamba sawa 00:05:28.774 --> 00:05:30.500 Sasa tuangalie mstatili. 00:05:30.500 --> 00:05:32.775 na umeshalisikia neno mstatili nyuma, 00:05:32.775 --> 00:05:33.959 tuutazame zaidi 00:05:33.959 --> 00:05:36.293 nini kinatengeneza mstatili, 00:05:36.293 --> 00:05:39.810 Hivyo mstatili utakuwa ni msambamba, 00:05:39.810 --> 00:05:42.736 pekeyake hausemi mstatili. 00:05:42.736 --> 00:05:46.523 Kwamfano, huu hapa ni mstatili. 00:05:46.523 --> 00:05:47.373 kwanini? 00:05:47.373 --> 00:05:49.532 Ni msambamba 00:05:49.532 --> 00:05:52.527 upande huu na upande huu ni sambamba. 00:05:52.527 --> 00:05:54.942 Haiwezi kukutana. 00:05:54.942 --> 00:05:59.528 Na upande huu na huu unashabihiana. 00:05:59.528 --> 00:06:01.826 Na haziwezi kukutana. 00:06:01.826 --> 00:06:03.606 ukiendelea na kuendelea 00:06:03.606 --> 00:06:07.286 haziwezi kukutana. 00:06:07.286 --> 00:06:09.620 Je nini inafanya mstatili? 00:06:09.620 --> 00:06:10.560 Hivyo huu ni msambamba, 00:06:10.560 --> 00:06:13.880 lakini kwanini tunatumia neno mstatili? 00:06:13.880 --> 00:06:16.063 Chakufanya ni kuangalia 00:06:16.063 --> 00:06:19.058 namna mistari inavyokutana kwenye kona. 00:06:19.058 --> 00:06:22.343 Hivyo kwenye mstatili, 00:06:22.343 --> 00:06:24.642 pale mistari inapokutana, 00:06:24.642 --> 00:06:26.963 inaitwa pembemraba. 00:06:26.963 --> 00:06:29.134 Hii hapa ni pembemraba. 00:06:29.134 --> 00:06:30.585 hii ndio ndio inafanya mstatili. 00:06:30.585 --> 00:06:34.057 Ni msambamba ambapo pembe zote ni mraba. 00:06:34.057 --> 00:06:35.902 Unaweka kimraba kidogo pale. 00:06:35.902 --> 00:06:37.702 kama unataka kuifanya hivyo. 00:06:37.702 --> 00:06:41.416 Kwamfano hapa 00:06:41.416 --> 00:06:43.052 huu sio mstatili. 00:06:43.052 --> 00:06:43.444 Kwanini? 00:06:43.444 --> 00:06:45.596 Kwasababu ukiweka mraba hapa 00:06:45.596 --> 00:06:48.702 hautoshi 00:06:48.702 --> 00:06:50.957 kama ulivyotosha hapa. 00:06:50.957 --> 00:06:55.067 Una mraba usiotosha kukaa hapa 00:06:55.067 --> 00:06:57.806 Huu ni msambamba, ila sio mstatili. 00:06:57.806 --> 00:07:02.149 Mstatili ni msambamba wenye mraba. 00:07:02.149 --> 00:07:04.273 Je vipi kuhusu mraba? 00:07:04.273 --> 00:07:06.316 Je mraba ni mstatili? 00:07:06.316 --> 00:07:08.754 Tuchore. 00:07:08.754 --> 00:07:09.397 hebu tutazame. 00:07:09.397 --> 00:07:11.661 Mraba pembe zinazoshabihiana ni sambamba. 00:07:11.661 --> 00:07:13.576 Tulishasema ni msambamba. 00:07:13.576 --> 00:07:16.919 Na mraba una, 00:07:16.919 --> 00:07:19.578 pembemraba. 00:07:19.578 --> 00:07:21.401 Hapa ndio tunasema tengeneza pembemraba, 00:07:21.401 --> 00:07:22.711 hivi ndio unavyopatikana. 00:07:22.711 --> 00:07:24.059 Pembe ni mraba. 00:07:24.059 --> 00:07:25.580 Ni pembe mraba 00:07:25.580 --> 00:07:27.668 Hivyo mraba ni mstatili. 00:07:27.668 --> 00:07:31.291 Hivyo mraba ni msambamba wa kuvutia, 00:07:31.291 --> 00:07:35.355 kwasababu mraba unaingia kwenye makundi yote. 00:07:35.355 --> 00:07:38.337 Mraba, ni mraba, 00:07:38.337 --> 00:07:39.657 ni msambambasawa 00:07:39.657 --> 00:07:41.212 ni aina ya msambamba sawa 00:07:41.212 --> 00:07:44.805 ambapo pande zake ni pembemraba 00:07:44.805 --> 00:07:46.825 au unaweza sema pembemraba. 00:07:46.825 --> 00:07:48.601 Hii hapa sio mraba, 00:07:48.601 --> 00:07:49.472 hii hapa ni mraba. 00:07:49.472 --> 00:07:52.107 Zote ni msambambasawa 00:07:52.107 --> 00:07:54.162 Mraba pia ni mstatili. 00:07:54.162 --> 00:07:58.038 Ni msambamba ambapo pande zake ni pembemraba, 00:07:58.038 --> 00:07:59.641 mraba 00:07:59.641 --> 00:08:01.637 Hivyo mraba ni msambamba, 00:08:01.637 --> 00:08:05.126 na yote tulivyozungumza ni msambamba