0:00:00.443,0:00:02.206 Nachotaka kuongea kwenye video hii. 0:00:02.206,0:00:05.260 ni maumbo yenye pande nne, 0:00:05.260,0:00:08.964 na jina la kihisabati la maumbo hayo 0:00:08.964,0:00:10.798 ni pembenne. 0:00:10.798,0:00:12.062 pembenne. 0:00:12.062,0:00:14.559 Kila unapoona neno pande nne, 0:00:14.559,0:00:17.426 ni vema ukajua 0:00:17.426,0:00:19.806 zinahusu namba nne. 0:00:19.806,0:00:22.859 Kwa hiyo pembenne ina pande nne. 0:00:22.859,0:00:26.726 hiyo ni pembenne, 0:00:26.726,0:00:29.755 hii ni pembenne, 0:00:29.755,0:00:32.159 hii ni pembenne 0:00:32.159,0:00:33.378 Yote yana pande nne. 0:00:33.378,0:00:36.396 Hii ni pembenne. 0:00:36.396,0:00:39.705 hata hii ni, 0:00:39.705,0:00:42.456 ngoja niiongezee upana kidogo, 0:00:42.456,0:00:45.579 hii nayo ni pembenne. 0:00:45.579,0:00:47.564 Je ipi sio pembenne? 0:00:47.564,0:00:49.619 Pembetatu sio pembenne. 0:00:49.619,0:00:50.524 Ina pande tatu, 0:00:50.524,0:00:51.638 1, 2, 3. 0:00:51.638,0:00:53.635 Hivyo tuiondoe. 0:00:53.635,0:00:55.714 Pembetano ina pande tano, 0:00:55.714,0:00:57.014 hii sio pembenne. 0:00:57.014,0:00:59.782 Ina pande 1, 2, 3, 4, 5. 0:00:59.782,0:01:03.264 Duara tunasema halina pande, 0:01:03.264,0:01:06.735 ni mduara tu. 0:01:06.735,0:01:09.359 Hii sio pembenne. 0:01:09.359,0:01:11.414 Kama una pande sita, pande saba, pande miamoja, 0:01:11.414,0:01:14.618 zote hizo sio pembe nne. 0:01:14.618,0:01:15.353 Hebu tuangalie 0:01:15.353,0:01:17.164 aina mbalimbali za pembenne, 0:01:17.164,0:01:19.950 au makundi tofauti ya pembenne. 0:01:19.950,0:01:23.085 Ya kwanza ni msambamaba. 0:01:23.085,0:01:26.766 Kwahiyo msambamba ni pembenne, 0:01:26.766,0:01:28.066 na tunavyozidi kujifunza, 0:01:28.066,0:01:31.211 tunagundua njia nyingine za kuyafanya haya, 0:01:31.211,0:01:35.367 Ni pembenne ambapo pande zinazoelekeana ni sambamba. 0:01:35.367,0:01:36.841 Na sambamba ni njia nyingine ya kusema 0:01:36.841,0:01:39.268 zina muelekeo mmoja. 0:01:39.268,0:01:41.061 Nina maana gani hapo? 0:01:41.061,0:01:43.209 Kitu kama hiki, 0:01:43.209,0:01:45.229 ninachora, 0:01:45.229,0:01:47.423 ni msambamba. 0:01:47.423,0:01:48.538 kwanini? 0:01:48.538,0:01:52.315 Kwasababu upande huu unaangaliana na huu. 0:01:52.315,0:01:54.213 na zina uelekeo mmoja. 0:01:54.213,0:01:55.374 Zinakwenda, 0:01:55.374,0:01:58.323 kama nikichora mshale 0:01:58.323,0:01:59.623 nikichora mshale hapa, 0:01:59.623,0:02:04.139 hii mishale ina uelekeo mmoja, 0:02:04.139,0:02:06.322 kwahiyo hizo pande mbili 0:02:06.322,0:02:09.154 zinaelekeana. 0:02:09.154,0:02:11.941 Na hizi pande mbili, 0:02:11.941,0:02:15.296 pande mbili hapa zinaelekeana. 0:02:15.296,0:02:17.397 Hivyo huu ni msambamba. 0:02:17.397,0:02:20.020 Mfano mwingine wa msambamba ni upi? 0:02:20.020,0:02:21.994 Hata mraba ni msambamba, 0:02:21.994,0:02:23.759 mraba, 0:02:23.759,0:02:25.012 ni msambamba. 0:02:25.012,0:02:26.893 Na tutaonesha nini kinafanya mraba kuwa msambamba. 0:02:26.893,0:02:28.832 ni msambamba maalumu 0:02:28.832,0:02:31.595 kwasababu upande huu 0:02:31.595,0:02:34.392 unaelekeana na upande huu, 0:02:34.392,0:02:38.595 na upande huu hivyo hivyo na upande huu hivyo hivyo, 0:02:38.595,0:02:40.894 nitachora kwa rangi ya njano, 0:02:40.894,0:02:44.794 na upande huu ni sambamba na huo, 0:02:44.794,0:02:47.511 Je umbo lipi si msambamba? 0:02:47.511,0:02:49.833 Kitu kama hiki, 0:02:49.833,0:02:53.065 huu mchoro 0:02:53.065,0:02:55.026 hatusemi ni msambamba. 0:02:55.026,0:02:55.582 Unaweza sema "subiri, 0:02:55.582,0:02:57.882 "ninaona pande zinazoelekeana ni sambamba". 0:02:57.882,0:03:02.224 Unaweza sema, tazama huu ni sambamba na huu 0:03:02.224,0:03:06.454 lakini huu si sambamba na huu. 0:03:06.454,0:03:08.441 Njia ingine ya kutambua kuwa huu si msambamba ni 0:03:08.441,0:03:10.298 kama mistari inaendelea, 0:03:10.298,0:03:12.677 ikakutana mahali fulani, 0:03:12.677,0:03:14.279 wakati hii mistari, 0:03:14.279,0:03:15.998 hapa, 0:03:15.998,0:03:18.180 haiwezi kukutana. 0:03:18.180,0:03:19.933 Hivyo huu hapa 0:03:19.933,0:03:21.720 sio msambamba. 0:03:21.720,0:03:25.099 Ina mistari sambamba inayoelekeana, 0:03:25.099,0:03:26.619 ila sio mingine. 0:03:26.619,0:03:29.616 Mfano mwingine wa umbo ambalo si msambamba 0:03:29.616,0:03:31.972 utakuwa huu hapa, 0:03:31.972,0:03:34.734 kwasababu pande zinazoshabihiana si sambamba. 0:03:34.734,0:03:38.299 Hivyo msambamba, pande zinazoshabihiana ni sambamba. 0:03:38.299,0:03:39.948 Sasa tuzungumzie, 0:03:39.948,0:03:44.050 aina nyingine za pembe zenye pande nne, 0:03:44.050,0:03:46.256 au pembenne. 0:03:46.256,0:03:50.529 Nyingine ni msambamba sawa. 0:03:50.529,0:03:54.208 Hivyo msambamba sawa ni aina ya msambamba. 0:03:54.208,0:03:57.262 Pande mbili zinashabihiana, 0:03:57.262,0:04:00.999 Yenyewe kama yenyewe si msambamba 0:04:00.999,0:04:03.020 Pande zinazoshabihiana zinatakiwa ziwe sambamba, 0:04:03.020,0:04:06.816 na pande zote ziwe sawa. 0:04:06.816,0:04:09.500 Kwa mfano, 0:04:09.500,0:04:12.810 Nachora, 0:04:12.810,0:04:16.321 huu ni msambamba, ila si msambamba sawa. 0:04:16.321,0:04:18.897 Ni msambamba kwasababu upande ule, 0:04:18.897,0:04:21.277 hizi pande zinazoshabihiana ni sambamba. 0:04:21.277,0:04:24.598 Na zikiendelea hazikutani. 0:04:24.598,0:04:28.556 Na pande hizi ni sambamba. 0:04:28.556,0:04:30.355 Hivyo ni msambamba ila si msambamba sawa 0:04:30.355,0:04:34.621 kwasababu pande za bluu ni ndefu kuliko za njano. 0:04:34.621,0:04:36.746 hivyo huu si msambamba sawa. 0:04:36.746,0:04:39.985 Msambamba sawa unaonekana hivi. 0:04:39.985,0:04:42.608 Utaonekana hivi. 0:04:42.608,0:04:44.384 Hivyo pande zinazoshabihiana ni sambamba 0:04:44.384,0:04:47.182 na pande zote zina urefu sawa. 0:04:47.182,0:04:50.584 Na unaweza sema "mraba ni msambamba," 0:04:50.584,0:04:51.721 na unataka kujua. 0:04:51.721,0:04:53.762 Je mraba ni msambamba? 0:04:53.762,0:04:56.156 Je pande zote zina urefu sawa, 0:04:56.156,0:04:58.942 na zinashabihiana? 0:04:58.942,0:05:00.820 Tumeshasema pande 0:05:00.820,0:05:01.933 za mraba ni sambamba. 0:05:01.933,0:05:03.825 Mraba ni msambamba. 0:05:03.825,0:05:07.644 Na pande zote za mraba zinalingana. 0:05:07.644,0:05:11.034 Hivyo mraba ni msambamba sawa. 0:05:11.034,0:05:14.691 Hivyo namna nyingine ya kuujua msambamba sawa 0:05:14.691,0:05:16.479 una mraba, 0:05:16.479,0:05:18.610 na unaweza sema ni 0:05:18.610,0:05:21.273 aina ya mraba uliominywa, 0:05:21.273,0:05:22.399 wakati ukitembea 0:05:22.399,0:05:24.698 haraka haraka kama kwenye katuni, 0:05:24.698,0:05:28.774 ndivyo huwa ninaifananisha hivyo kila nikiufikiria msambamba sawa 0:05:28.774,0:05:30.500 Sasa tuangalie mstatili. 0:05:30.500,0:05:32.775 na umeshalisikia neno mstatili nyuma, 0:05:32.775,0:05:33.959 tuutazame zaidi 0:05:33.959,0:05:36.293 nini kinatengeneza mstatili, 0:05:36.293,0:05:39.810 Hivyo mstatili utakuwa ni msambamba, 0:05:39.810,0:05:42.736 pekeyake hausemi mstatili. 0:05:42.736,0:05:46.523 Kwamfano, huu hapa ni mstatili. 0:05:46.523,0:05:47.373 kwanini? 0:05:47.373,0:05:49.532 Ni msambamba 0:05:49.532,0:05:52.527 upande huu na upande huu ni sambamba. 0:05:52.527,0:05:54.942 Haiwezi kukutana. 0:05:54.942,0:05:59.528 Na upande huu na huu unashabihiana. 0:05:59.528,0:06:01.826 Na haziwezi kukutana. 0:06:01.826,0:06:03.606 ukiendelea na kuendelea 0:06:03.606,0:06:07.286 haziwezi kukutana. 0:06:07.286,0:06:09.620 Je nini inafanya mstatili? 0:06:09.620,0:06:10.560 Hivyo huu ni msambamba, 0:06:10.560,0:06:13.880 lakini kwanini tunatumia neno mstatili? 0:06:13.880,0:06:16.063 Chakufanya ni kuangalia 0:06:16.063,0:06:19.058 namna mistari inavyokutana kwenye kona. 0:06:19.058,0:06:22.343 Hivyo kwenye mstatili, 0:06:22.343,0:06:24.642 pale mistari inapokutana, 0:06:24.642,0:06:26.963 inaitwa pembemraba. 0:06:26.963,0:06:29.134 Hii hapa ni pembemraba. 0:06:29.134,0:06:30.585 hii ndio ndio inafanya mstatili. 0:06:30.585,0:06:34.057 Ni msambamba ambapo pembe zote ni mraba. 0:06:34.057,0:06:35.902 Unaweka kimraba kidogo pale. 0:06:35.902,0:06:37.702 kama unataka kuifanya hivyo. 0:06:37.702,0:06:41.416 Kwamfano hapa 0:06:41.416,0:06:43.052 huu sio mstatili. 0:06:43.052,0:06:43.444 Kwanini? 0:06:43.444,0:06:45.596 Kwasababu ukiweka mraba hapa 0:06:45.596,0:06:48.702 hautoshi 0:06:48.702,0:06:50.957 kama ulivyotosha hapa. 0:06:50.957,0:06:55.067 Una mraba usiotosha kukaa hapa 0:06:55.067,0:06:57.806 Huu ni msambamba, ila sio mstatili. 0:06:57.806,0:07:02.149 Mstatili ni msambamba wenye mraba. 0:07:02.149,0:07:04.273 Je vipi kuhusu mraba? 0:07:04.273,0:07:06.316 Je mraba ni mstatili? 0:07:06.316,0:07:08.754 Tuchore. 0:07:08.754,0:07:09.397 hebu tutazame. 0:07:09.397,0:07:11.661 Mraba pembe zinazoshabihiana ni sambamba. 0:07:11.661,0:07:13.576 Tulishasema ni msambamba. 0:07:13.576,0:07:16.919 Na mraba una, 0:07:16.919,0:07:19.578 pembemraba. 0:07:19.578,0:07:21.401 Hapa ndio tunasema tengeneza pembemraba, 0:07:21.401,0:07:22.711 hivi ndio unavyopatikana. 0:07:22.711,0:07:24.059 Pembe ni mraba. 0:07:24.059,0:07:25.580 Ni pembe mraba 0:07:25.580,0:07:27.668 Hivyo mraba ni mstatili. 0:07:27.668,0:07:31.291 Hivyo mraba ni msambamba wa kuvutia, 0:07:31.291,0:07:35.355 kwasababu mraba unaingia kwenye makundi yote. 0:07:35.355,0:07:38.337 Mraba, ni mraba, 0:07:38.337,0:07:39.657 ni msambambasawa 0:07:39.657,0:07:41.212 ni aina ya msambamba sawa 0:07:41.212,0:07:44.805 ambapo pande zake ni pembemraba 0:07:44.805,0:07:46.825 au unaweza sema pembemraba. 0:07:46.825,0:07:48.601 Hii hapa sio mraba, 0:07:48.601,0:07:49.472 hii hapa ni mraba. 0:07:49.472,0:07:52.107 Zote ni msambambasawa 0:07:52.107,0:07:54.162 Mraba pia ni mstatili. 0:07:54.162,0:07:58.038 Ni msambamba ambapo pande zake ni pembemraba, 0:07:58.038,0:07:59.641 mraba 0:07:59.641,0:08:01.637 Hivyo mraba ni msambamba, 0:08:01.637,0:08:05.126 na yote tulivyozungumza ni msambamba