0:00:00.000,0:00:04.160 Kila roho ya uchawi, 0:00:04.160,0:00:06.520 roho ya uchawi, 0:00:06.520,0:00:14.080 roho ya uaguzi - nasema, ONDOKA sasa hivi! 0:00:14.080,0:00:18.920 Laana hiyo ya ugonjwa - ivunjwe leo! 0:00:18.920,0:00:23.360 Laana hiyo ya umaskini - ivunjwe leo! 0:00:23.360,0:00:27.960 Laana hiyo ya jinamizi - ivunjwe leo! 0:00:27.960,0:00:29.920 Ninasema kwa laana hiyo - 0:00:29.920,0:00:33.120 kuvunjwa, katika jina la Yesu Kristo!