WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:04.160 Kila Roho ya uchawi, 00:00:04.160 --> 00:00:06.520 roho za uchawi, 00:00:06.520 --> 00:00:14.080 roho zauaguzi - nasema ondoka sasa hivi, 00:00:14.080 --> 00:00:18.920 hiyo laana ya magonjwa - ikavunjwe sasa! 00:00:18.920 --> 00:00:23.360 hiyo laana ya umaskini - ikavunjwe leo hii! 00:00:23.360 --> 00:00:27.960 hiyo laana ya ndoto mbaya - ikavunjwe leo! 00:00:27.960 --> 00:00:29.920 nasema kwa hiyo laana - 00:00:29.920 --> 00:00:33.120 ikavunjwe, katika jina kuu la Yesu Kristo