Kila Roho ya uchawi, roho za uchawi, roho zauaguzi - nasema ondoka sasa hivi, hiyo laana ya magonjwa - ikavunjwe sasa! hiyo laana ya umaskini - ikavunjwe leo hii! hiyo laana ya ndoto mbaya - ikavunjwe leo! nasema kwa hiyo laana - ikavunjwe, katika jina kuu la Yesu Kristo