Kila Roho ya uchawi,
roho za uchawi,
roho zauaguzi - nasema ondoka sasa hivi,
hiyo laana ya magonjwa - ikavunjwe sasa!
hiyo laana ya umaskini - ikavunjwe leo hii!
hiyo laana ya ndoto mbaya - ikavunjwe leo!
nasema kwa hiyo laana -
ikavunjwe, katika jina kuu la Yesu Kristo