WEBVTT 00:00:00.490 --> 00:00:03.340 Polio ni ugonjwa unaosababisha kupooza ya kudumu. 00:00:05.414 --> 00:00:07.908 Hatuwezi kuiponya lakini tunaweza kuizuia. 00:00:08.520 --> 00:00:10.800 Taratibu mbili zinasaidia kuzuia polio. 00:00:11.352 --> 00:00:13.242 Chanjo mbili salama na fanisi 00:00:15.069 --> 00:00:17.919 Mojawapo ya chanjo hizi hupeanwa na matone mawili tu 00:00:17.919 --> 00:00:19.660 ndani ya kinywa cha mtoto, 00:00:19.660 --> 00:00:21.594 hii huitwa chanjo ya polio ya kinywani. 00:00:22.529 --> 00:00:24.499 nyingine hupeanwa kama shindano, 00:00:24.499 --> 00:00:27.959 hii huitwa chanjo ya virusi vya polio visivyoamilishwa. 00:00:28.012 --> 00:00:31.692 Zote zinafunza miili ya watoto kupambana na virusi vya Polio. 00:00:32.093 --> 00:00:34.253 Lakini vinafanya hivi kwa njia mbalimbali. 00:00:34.765 --> 00:00:38.755 Chanjo ya polio ya kinywani hujenga ulinzi ndani ya matumbo ya mtoto 00:00:39.097 --> 00:00:41.947 Chanjo hii hailindi tu mtoto anayeipokea, 00:00:42.321 --> 00:00:45.221 bali pia na wale walio karibu na mtoto aliyechanjwa 00:00:45.600 --> 00:00:50.200 Dozi kadhaa ya chanjo ya polio ya kinywani inafaa kupewa kila mtoto 00:00:50.200 --> 00:00:52.503 katika eneo ambayo polio ni tishio. 00:00:53.323 --> 00:00:57.506 Chanjo ya shindano inajenga kinga damuni badala ya mfereji wa chakula. 00:00:57.712 --> 00:01:01.782 Inasaidia kuongeza kinga na kufanya nchi ziwe bila polio. 00:01:02.497 --> 00:01:05.077 Lakini haikomeshi kusambaa kwa polio kati ya watoto, 00:01:05.471 --> 00:01:09.331 kwa hivyo si muhimu sana katika maeneo ambayo polio bado inasambaa. 00:01:09.767 --> 00:01:14.187 Tunahitaji chanjo ya kinywani kukomesha virusi popote ipatikanapo. 00:01:14.778 --> 00:01:17.258 Pindi polio inapokomeshwa kila pahali, 00:01:17.258 --> 00:01:20.391 chanjo ya virusi vya polio visiyoamilishwa vitatumiwa pekee yao 00:01:20.391 --> 00:01:22.764 kuhakikisha umma imekingwa. 00:01:23.578 --> 00:01:27.308 Chanjo hizi zote zimeidhinishwa kuwa salama na fanisi 00:01:27.308 --> 00:01:29.258 na Shirika la Afya Ulimwenguni. 00:01:29.565 --> 00:01:33.232 Kuhakikisha utendakazi bora, zinaafaa kupewa watoto wote 00:01:33.232 --> 00:01:35.142 bila kujali wanapoishi. 00:01:35.970 --> 00:01:37.710 Kwa sababu ya hizi chanjo 00:01:37.710 --> 00:01:42.056 visa vya polio vimepungua kwa asilimia 99 kote duniani. 00:01:44.820 --> 00:01:47.520 Tuchanje kila mtoto! 00:01:47.940 --> 00:01:49.770 Tuangamimize polio damia!