WEBVTT 00:00:14.884 --> 00:00:18.652 Mimi ni Leigh Rice, kiongozi wa wanafunzi wa utume wa Pasifiki ya kusini 00:00:18.652 --> 00:00:22.227 Nipo bandari ya Moresby leo na nimefurahi kuwa na Mchungaji Kove Tau 00:00:22.227 --> 00:00:25.069 kiongozi wa kanisa katika mji huu wenye watu laki 8. 00:00:28.350 --> 00:00:31.808 Kutambua usomaji wa Biblia ndiyo moyo wa kufanya wanafunzi wetu. 00:00:32.888 --> 00:00:36.632 Washiriki ukaribisha familia, marafiki, wafanyakazi wenzao, wanafunzi wenzao 00:00:36.876 --> 00:00:39.055 kuja pamoja kusoma Biblia. 00:00:42.420 --> 00:00:45.266 Tulimwomba kaka Peter kuja na kufanya mafunzo kwa ajili yetu 00:00:46.699 --> 00:00:51.938 Peter alitufundisha njia ya Yesu, iliyo rahisi 00:00:52.162 --> 00:00:56.069 mtu yoyote awezafanya, inajitambulisha, 00:00:56.069 --> 00:00:57.238 bila gharama. 00:01:00.231 --> 00:01:03.681 Tuliamua kubuni tena namna tunavyofanya utume katika makanisa yetu. 00:01:04.727 --> 00:01:07.077 Tunafuata mifano ya kitabu cha Matendo, 00:01:07.077 --> 00:01:09.217 jinsi kanisa la agano jipya lilivyokua. 00:01:10.257 --> 00:01:12.369 Tulibadilisha madarasa yetu ya Shule ya Sabato 00:01:12.369 --> 00:01:15.185 kuwa vikundi vya ugunduzi kusoma Biblia. 00:01:16.325 --> 00:01:19.349 Tulitengeneza madarasa yetu ya Shule ya Sabato 00:01:19.694 --> 00:01:22.914 kulingana na maeneo watu waishipo. 00:01:24.115 --> 00:01:28.397 Tulileta makanisa nyumbani mwao na zikawa makanisa. 00:01:32.516 --> 00:01:34.426 Jina langu ni Nathani 00:01:34.426 --> 00:01:37.016 Nilifurahia sana kuona njia hii 00:01:37.016 --> 00:01:40.506 ambapo twaweza shirikiana Neno la Mungu 00:01:42.781 --> 00:01:45.220 Nilisikia wazo hilo na kuamua 00:01:45.220 --> 00:01:48.019 kwamba natakiwa leta wazo hili nyumbani. 00:01:48.593 --> 00:01:51.751 Sasa, hapa ndipo tukutanapo kila Sabato. 00:01:55.681 --> 00:02:01.896 Tulipoanza ugunduzi wa usomaji Biblia familia na majirani 00:02:01.896 --> 00:02:07.311 ilikuwa na matokeo makubwa katika maisha yetu ya kiroho 00:02:07.902 --> 00:02:12.933 Familia na wanangu, vijana wote watatu NOTE Paragraph 00:02:13.173 --> 00:02:16.205 waliweza kujadili Biblia wao wenyewe 00:02:16.205 --> 00:02:18.469 na tulifurahia hilo sana. 00:02:23.497 --> 00:02:27.515 Tukianzia Injili ya Marko, tukisoma kisa kimoja baada ya kingine 00:02:27.515 --> 00:02:29.790 na kuendelea na maombi pia. 00:02:29.790 --> 00:02:31.555 Mtu wa pili uisoma 00:02:31.555 --> 00:02:35.169 na kisha mwingine katika kikundi hukisema kisa kwa maneno yake mwenyewe 00:02:36.905 --> 00:02:39.728 Hii yote hujengwa katika maswali rahisi matano 00:02:39.935 --> 00:02:41.073 Nini ni kipya? 00:02:41.383 --> 00:02:42.835 Nini chakushangaza? 00:02:42.835 --> 00:02:44.633 Waelewa nini? 00:02:44.633 --> 00:02:47.902 Nini utatii au kufanya katika maisha yako? 00:02:47.902 --> 00:02:50.456 Na nini utamshirikisha mtu mwingine wiki hii? 00:02:50.899 --> 00:02:52.424 Baada ya majadiliano, tunaomba 00:02:52.424 --> 00:02:54.044 ''Baba twakushukuru kwa kuwa nasi, 00:02:54.044 --> 00:02:56.493 Tafadhali tusaidie tunapomfuata Yesu wiki hii 00:02:58.444 --> 00:03:01.028 Nafanya kazi [ALAS] kampuni ya ujenzi 00:03:01.028 --> 00:03:03.792 kama msimamizi wa ujenzi. 00:03:04.337 --> 00:03:07.212 Baada ya kuendesha kikundi kile nyumbani 00:03:07.212 --> 00:03:10.832 Niliamua kuleta wazo lile kazini mwangu 00:03:11.785 --> 00:03:16.223 lilikuwa na mabadiliko sana kwa vijana wangu 00:03:21.129 --> 00:03:24.567 Namjua kipofu mmoja. Namwita ''Vinegar'' 00:03:25.190 --> 00:03:30.370 Nilitambua anaishi kwenye nyumba ndogo ya muda 00:03:30.370 --> 00:03:33.480 Nikawa na wazo hili la kujenga nyumba 00:03:33.663 --> 00:03:37.031 Nilitaka kujadiliana hilo na vijana wangu. 00:03:37.031 --> 00:03:42.150 Walifurahia na kujitolea kuniunga mkono kunisaidia 00:03:42.923 --> 00:03:45.564 Naamini Yesu ni Mkombozi wangu. 00:03:46.259 --> 00:03:47.990 Namwamini. 00:03:47.990 --> 00:03:50.905 Siku moja atarudi na nitaondoka naye. 00:03:52.241 --> 00:03:55.303 Kila Sabato kuna batizo mbili au tatu 00:03:55.303 --> 00:03:56.687 kila kanisa. 00:03:57.093 --> 00:03:59.360 Kwa taarifa, robo hii, 00:03:59.360 --> 00:04:02.037 huu ulikuwa ubatizo mkubwa 00:04:02.037 --> 00:04:04.984 uliowahikutokea katika jimbo la kati la Papua 00:04:05.278 --> 00:04:08.908 Naona mwendelezo wa kielelezo vile tufanyavyo kanisani. 00:04:08.908 --> 00:04:10.472 Sababu makanisa sasa huona 00:04:10.472 --> 00:04:14.431 kwamba twapaswa kulileta kanisa pale jamii ilipo 00:04:26.317 --> 00:04:28.135 Mungu hutumia watu wa kawaida 00:04:28.135 --> 00:04:31.306 kubeba mipango Yake ya Kipekee.