[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:14.88,0:00:18.65,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Leigh Rice, kiongozi wa wanafunzi wa utume wa Pasifiki ya kusini Dialogue: 0,0:00:18.65,0:00:22.23,Default,,0000,0000,0000,,Nipo bandari ya Moresby leo na nimefurahi kuwa na Mchungaji Kove Tau Dialogue: 0,0:00:22.23,0:00:25.07,Default,,0000,0000,0000,,kiongozi wa kanisa katika mji huu wenye watu laki 8. Dialogue: 0,0:00:28.35,0:00:31.81,Default,,0000,0000,0000,,Kutambua usomaji wa Biblia ndiyo moyo wa kufanya wanafunzi wetu. Dialogue: 0,0:00:32.89,0:00:36.63,Default,,0000,0000,0000,,Washiriki ukaribisha familia, marafiki, wafanyakazi wenzao, wanafunzi wenzao Dialogue: 0,0:00:36.88,0:00:39.06,Default,,0000,0000,0000,,kuja pamoja kusoma Biblia. Dialogue: 0,0:00:42.42,0:00:45.27,Default,,0000,0000,0000,,Tulimwomba kaka Peter kuja na kufanya mafunzo kwa ajili yetu Dialogue: 0,0:00:46.70,0:00:51.94,Default,,0000,0000,0000,,Peter alitufundisha njia ya Yesu, iliyo rahisi Dialogue: 0,0:00:52.16,0:00:56.07,Default,,0000,0000,0000,,mtu yoyote awezafanya, inajitambulisha, Dialogue: 0,0:00:56.07,0:00:57.24,Default,,0000,0000,0000,,bila gharama. Dialogue: 0,0:01:00.23,0:01:03.68,Default,,0000,0000,0000,,Tuliamua kubuni tena namna tunavyofanya utume katika makanisa yetu. Dialogue: 0,0:01:04.73,0:01:07.08,Default,,0000,0000,0000,,Tunafuata mifano ya kitabu cha Matendo, Dialogue: 0,0:01:07.08,0:01:09.22,Default,,0000,0000,0000,,jinsi kanisa la agano jipya lilivyokua. Dialogue: 0,0:01:10.26,0:01:12.37,Default,,0000,0000,0000,,Tulibadilisha madarasa yetu ya Shule ya Sabato Dialogue: 0,0:01:12.37,0:01:15.18,Default,,0000,0000,0000,,kuwa vikundi vya ugunduzi kusoma Biblia. Dialogue: 0,0:01:16.32,0:01:19.35,Default,,0000,0000,0000,,Tulitengeneza madarasa yetu ya Shule ya Sabato Dialogue: 0,0:01:19.69,0:01:22.91,Default,,0000,0000,0000,,kulingana na maeneo watu waishipo. Dialogue: 0,0:01:24.12,0:01:28.40,Default,,0000,0000,0000,,Tulileta makanisa nyumbani mwao na zikawa makanisa. Dialogue: 0,0:01:32.52,0:01:34.43,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Nathani Dialogue: 0,0:01:34.43,0:01:37.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilifurahia sana kuona njia hii Dialogue: 0,0:01:37.02,0:01:40.51,Default,,0000,0000,0000,,ambapo twaweza shirikiana Neno la Mungu Dialogue: 0,0:01:42.78,0:01:45.22,Default,,0000,0000,0000,,Nilisikia wazo hilo na kuamua Dialogue: 0,0:01:45.22,0:01:48.02,Default,,0000,0000,0000,,kwamba natakiwa leta wazo hili nyumbani. Dialogue: 0,0:01:48.59,0:01:51.75,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hapa ndipo tukutanapo kila Sabato. Dialogue: 0,0:01:55.68,0:02:01.90,Default,,0000,0000,0000,,Tulipoanza ugunduzi wa usomaji Biblia familia na majirani Dialogue: 0,0:02:01.90,0:02:07.31,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa na matokeo makubwa katika maisha yetu ya kiroho Dialogue: 0,0:02:07.90,0:02:12.93,Default,,0000,0000,0000,,Familia na wanangu, vijana wote watatu Dialogue: 0,0:02:13.17,0:02:16.20,Default,,0000,0000,0000,,waliweza kujadili Biblia wao wenyewe Dialogue: 0,0:02:16.20,0:02:18.47,Default,,0000,0000,0000,,na tulifurahia hilo sana. Dialogue: 0,0:02:23.50,0:02:27.52,Default,,0000,0000,0000,,Tukianzia Injili ya Marko, tukisoma kisa kimoja baada ya kingine Dialogue: 0,0:02:27.52,0:02:29.79,Default,,0000,0000,0000,,na kuendelea na maombi pia. Dialogue: 0,0:02:29.79,0:02:31.56,Default,,0000,0000,0000,,Mtu wa pili uisoma Dialogue: 0,0:02:31.56,0:02:35.17,Default,,0000,0000,0000,,na kisha mwingine katika kikundi hukisema kisa kwa maneno yake mwenyewe Dialogue: 0,0:02:36.90,0:02:39.73,Default,,0000,0000,0000,,Hii yote hujengwa katika maswali rahisi matano Dialogue: 0,0:02:39.94,0:02:41.07,Default,,0000,0000,0000,,Nini ni kipya? Dialogue: 0,0:02:41.38,0:02:42.84,Default,,0000,0000,0000,,Nini chakushangaza? Dialogue: 0,0:02:42.84,0:02:44.63,Default,,0000,0000,0000,,Waelewa nini? Dialogue: 0,0:02:44.63,0:02:47.90,Default,,0000,0000,0000,,Nini utatii au kufanya katika maisha yako? Dialogue: 0,0:02:47.90,0:02:50.46,Default,,0000,0000,0000,,Na nini utamshirikisha mtu mwingine wiki hii? Dialogue: 0,0:02:50.90,0:02:52.42,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya majadiliano, tunaomba Dialogue: 0,0:02:52.42,0:02:54.04,Default,,0000,0000,0000,,''Baba twakushukuru kwa kuwa nasi, Dialogue: 0,0:02:54.04,0:02:56.49,Default,,0000,0000,0000,,Tafadhali tusaidie tunapomfuata Yesu wiki hii Dialogue: 0,0:02:58.44,0:03:01.03,Default,,0000,0000,0000,,Nafanya kazi [ALAS] kampuni ya ujenzi Dialogue: 0,0:03:01.03,0:03:03.79,Default,,0000,0000,0000,,kama msimamizi wa ujenzi. Dialogue: 0,0:03:04.34,0:03:07.21,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kuendesha kikundi kile nyumbani Dialogue: 0,0:03:07.21,0:03:10.83,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua kuleta wazo lile kazini mwangu Dialogue: 0,0:03:11.78,0:03:16.22,Default,,0000,0000,0000,,lilikuwa na mabadiliko sana kwa vijana wangu Dialogue: 0,0:03:21.13,0:03:24.57,Default,,0000,0000,0000,,Namjua kipofu mmoja. Namwita ''Vinegar'' Dialogue: 0,0:03:25.19,0:03:30.37,Default,,0000,0000,0000,,Nilitambua anaishi kwenye nyumba ndogo ya muda Dialogue: 0,0:03:30.37,0:03:33.48,Default,,0000,0000,0000,,Nikawa na wazo hili la kujenga nyumba Dialogue: 0,0:03:33.66,0:03:37.03,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kujadiliana hilo na vijana wangu. Dialogue: 0,0:03:37.03,0:03:42.15,Default,,0000,0000,0000,,Walifurahia na kujitolea kuniunga mkono kunisaidia Dialogue: 0,0:03:42.92,0:03:45.56,Default,,0000,0000,0000,,Naamini Yesu ni Mkombozi wangu. Dialogue: 0,0:03:46.26,0:03:47.99,Default,,0000,0000,0000,,Namwamini. Dialogue: 0,0:03:47.99,0:03:50.90,Default,,0000,0000,0000,,Siku moja atarudi na nitaondoka naye. Dialogue: 0,0:03:52.24,0:03:55.30,Default,,0000,0000,0000,,Kila Sabato kuna batizo mbili au tatu Dialogue: 0,0:03:55.30,0:03:56.69,Default,,0000,0000,0000,,kila kanisa. Dialogue: 0,0:03:57.09,0:03:59.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwa taarifa, robo hii, Dialogue: 0,0:03:59.36,0:04:02.04,Default,,0000,0000,0000,,huu ulikuwa ubatizo mkubwa Dialogue: 0,0:04:02.04,0:04:04.98,Default,,0000,0000,0000,,uliowahikutokea katika jimbo la kati la Papua Dialogue: 0,0:04:05.28,0:04:08.91,Default,,0000,0000,0000,,Naona mwendelezo wa kielelezo vile tufanyavyo kanisani. Dialogue: 0,0:04:08.91,0:04:10.47,Default,,0000,0000,0000,,Sababu makanisa sasa huona Dialogue: 0,0:04:10.47,0:04:14.43,Default,,0000,0000,0000,,kwamba twapaswa kulileta kanisa pale jamii ilipo Dialogue: 0,0:04:26.32,0:04:28.14,Default,,0000,0000,0000,,Mungu hutumia watu wa kawaida Dialogue: 0,0:04:28.14,0:04:31.31,Default,,0000,0000,0000,,kubeba mipango Yake ya Kipekee.