1 00:00:14,884 --> 00:00:18,652 Mimi ni Leigh Rice, kiongozi wa wanafunzi wa utume wa Pasifiki ya kusini 2 00:00:18,652 --> 00:00:22,227 Nipo bandari ya Moresby leo na nimefurahi kuwa na Mchungaji Kove Tau 3 00:00:22,227 --> 00:00:25,069 kiongozi wa kanisa katika mji huu wenye watu laki 8. 4 00:00:28,350 --> 00:00:31,808 Kutambua usomaji wa Biblia ndiyo moyo wa kufanya wanafunzi wetu. 5 00:00:32,888 --> 00:00:36,632 Washiriki ukaribisha familia, marafiki, wafanyakazi wenzao, wanafunzi wenzao 6 00:00:36,876 --> 00:00:39,055 kuja pamoja kusoma Biblia. 7 00:00:42,420 --> 00:00:45,266 Tulimwomba kaka Peter kuja na kufanya mafunzo kwa ajili yetu 8 00:00:46,699 --> 00:00:51,938 Peter alitufundisha njia ya Yesu, iliyo rahisi 9 00:00:52,162 --> 00:00:56,069 mtu yoyote awezafanya, inajitambulisha, 10 00:00:56,069 --> 00:00:57,238 bila gharama. 11 00:01:00,231 --> 00:01:03,681 Tuliamua kubuni tena namna tunavyofanya utume katika makanisa yetu. 12 00:01:04,727 --> 00:01:07,077 Tunafuata mifano ya kitabu cha Matendo, 13 00:01:07,077 --> 00:01:09,217 jinsi kanisa la agano jipya lilivyokua. 14 00:01:10,257 --> 00:01:12,369 Tulibadilisha madarasa yetu ya Shule ya Sabato 15 00:01:12,369 --> 00:01:15,185 kuwa vikundi vya ugunduzi kusoma Biblia. 16 00:01:16,325 --> 00:01:19,349 Tulitengeneza madarasa yetu ya Shule ya Sabato 17 00:01:19,694 --> 00:01:22,914 kulingana na maeneo watu waishipo. 18 00:01:24,115 --> 00:01:28,397 Tulileta makanisa nyumbani mwao na zikawa makanisa. 19 00:01:32,516 --> 00:01:34,426 Jina langu ni Nathani 20 00:01:34,426 --> 00:01:37,016 Nilifurahia sana kuona njia hii 21 00:01:37,016 --> 00:01:40,506 ambapo twaweza shirikiana Neno la Mungu 22 00:01:42,781 --> 00:01:45,220 Nilisikia wazo hilo na kuamua 23 00:01:45,220 --> 00:01:48,019 kwamba natakiwa leta wazo hili nyumbani. 24 00:01:48,593 --> 00:01:51,751 Sasa, hapa ndipo tukutanapo kila Sabato. 25 00:01:55,681 --> 00:02:01,896 Tulipoanza ugunduzi wa usomaji Biblia familia na majirani 26 00:02:01,896 --> 00:02:07,311 ilikuwa na matokeo makubwa katika maisha yetu ya kiroho 27 00:02:07,902 --> 00:02:12,933 Familia na wanangu, vijana wote watatu 28 00:02:13,173 --> 00:02:16,205 waliweza kujadili Biblia wao wenyewe 29 00:02:16,205 --> 00:02:18,469 na tulifurahia hilo sana. 30 00:02:23,497 --> 00:02:27,515 Tukianzia Injili ya Marko, tukisoma kisa kimoja baada ya kingine 31 00:02:27,515 --> 00:02:29,790 na kuendelea na maombi pia. 32 00:02:29,790 --> 00:02:31,555 Mtu wa pili uisoma 33 00:02:31,555 --> 00:02:35,169 na kisha mwingine katika kikundi hukisema kisa kwa maneno yake mwenyewe 34 00:02:36,905 --> 00:02:39,728 Hii yote hujengwa katika maswali rahisi matano 35 00:02:39,935 --> 00:02:41,073 Nini ni kipya? 36 00:02:41,383 --> 00:02:42,835 Nini chakushangaza? 37 00:02:42,835 --> 00:02:44,633 Waelewa nini? 38 00:02:44,633 --> 00:02:47,902 Nini utatii au kufanya katika maisha yako? 39 00:02:47,902 --> 00:02:50,456 Na nini utamshirikisha mtu mwingine wiki hii? 40 00:02:50,899 --> 00:02:52,424 Baada ya majadiliano, tunaomba 41 00:02:52,424 --> 00:02:54,044 ''Baba twakushukuru kwa kuwa nasi, 42 00:02:54,044 --> 00:02:56,493 Tafadhali tusaidie tunapomfuata Yesu wiki hii 43 00:02:58,444 --> 00:03:01,028 Nafanya kazi [ALAS] kampuni ya ujenzi 44 00:03:01,028 --> 00:03:03,792 kama msimamizi wa ujenzi. 45 00:03:04,337 --> 00:03:07,212 Baada ya kuendesha kikundi kile nyumbani 46 00:03:07,212 --> 00:03:10,832 Niliamua kuleta wazo lile kazini mwangu 47 00:03:11,785 --> 00:03:16,223 lilikuwa na mabadiliko sana kwa vijana wangu 48 00:03:21,129 --> 00:03:24,567 Namjua kipofu mmoja. Namwita ''Vinegar'' 49 00:03:25,190 --> 00:03:30,370 Nilitambua anaishi kwenye nyumba ndogo ya muda 50 00:03:30,370 --> 00:03:33,480 Nikawa na wazo hili la kujenga nyumba 51 00:03:33,663 --> 00:03:37,031 Nilitaka kujadiliana hilo na vijana wangu. 52 00:03:37,031 --> 00:03:42,150 Walifurahia na kujitolea kuniunga mkono kunisaidia 53 00:03:42,923 --> 00:03:45,564 Naamini Yesu ni Mkombozi wangu. 54 00:03:46,259 --> 00:03:47,990 Namwamini. 55 00:03:47,990 --> 00:03:50,905 Siku moja atarudi na nitaondoka naye. 56 00:03:52,241 --> 00:03:55,303 Kila Sabato kuna batizo mbili au tatu 57 00:03:55,303 --> 00:03:56,687 kila kanisa. 58 00:03:57,093 --> 00:03:59,360 Kwa taarifa, robo hii, 59 00:03:59,360 --> 00:04:02,037 huu ulikuwa ubatizo mkubwa 60 00:04:02,037 --> 00:04:04,984 uliowahikutokea katika jimbo la kati la Papua 61 00:04:05,278 --> 00:04:08,908 Naona mwendelezo wa kielelezo vile tufanyavyo kanisani. 62 00:04:08,908 --> 00:04:10,472 Sababu makanisa sasa huona 63 00:04:10,472 --> 00:04:14,431 kwamba twapaswa kulileta kanisa pale jamii ilipo 64 00:04:26,317 --> 00:04:28,135 Mungu hutumia watu wa kawaida 65 00:04:28,135 --> 00:04:31,306 kubeba mipango Yake ya Kipekee.