0:00:14.884,0:00:18.652 Mimi ni Leigh Rice, kiongozi wa wanafunzi wa utume wa Pasifiki ya kusini 0:00:18.652,0:00:22.227 Nipo bandari ya Moresby leo na nimefurahi kuwa na Mchungaji Kove Tau 0:00:22.227,0:00:25.069 kiongozi wa kanisa katika mji huu wenye watu laki 8. 0:00:28.350,0:00:31.808 Kutambua usomaji wa Biblia ndiyo moyo wa kufanya wanafunzi wetu. 0:00:32.888,0:00:36.632 Washiriki ukaribisha familia, marafiki, wafanyakazi wenzao, wanafunzi wenzao 0:00:36.876,0:00:39.055 kuja pamoja kusoma Biblia. 0:00:42.420,0:00:45.266 Tulimwomba kaka Peter kuja na kufanya mafunzo kwa ajili yetu 0:00:46.699,0:00:51.938 Peter alitufundisha njia ya Yesu, iliyo rahisi 0:00:52.162,0:00:56.069 mtu yoyote awezafanya, inajitambulisha, 0:00:56.069,0:00:57.238 bila gharama. 0:01:00.231,0:01:03.681 Tuliamua kubuni tena namna tunavyofanya utume katika makanisa yetu. 0:01:04.727,0:01:07.077 Tunafuata mifano ya kitabu cha Matendo, 0:01:07.077,0:01:09.217 jinsi kanisa la agano jipya lilivyokua. 0:01:10.257,0:01:12.369 Tulibadilisha madarasa yetu ya Shule ya Sabato 0:01:12.369,0:01:15.185 kuwa vikundi vya ugunduzi kusoma Biblia. 0:01:16.325,0:01:19.349 Tulitengeneza madarasa yetu ya Shule ya Sabato 0:01:19.694,0:01:22.914 kulingana na maeneo watu waishipo. 0:01:24.115,0:01:28.397 Tulileta makanisa nyumbani mwao na zikawa makanisa. 0:01:32.516,0:01:34.426 Jina langu ni Nathani 0:01:34.426,0:01:37.016 Nilifurahia sana kuona njia hii 0:01:37.016,0:01:40.506 ambapo twaweza shirikiana Neno la Mungu 0:01:42.781,0:01:45.220 Nilisikia wazo hilo na kuamua 0:01:45.220,0:01:48.019 kwamba natakiwa leta wazo hili nyumbani. 0:01:48.593,0:01:51.751 Sasa, hapa ndipo tukutanapo kila Sabato. 0:01:55.681,0:02:01.896 Tulipoanza ugunduzi wa usomaji Biblia familia na majirani 0:02:01.896,0:02:07.311 ilikuwa na matokeo makubwa katika maisha yetu ya kiroho 0:02:07.902,0:02:12.933 Familia na wanangu, vijana wote watatu 0:02:13.173,0:02:16.205 waliweza kujadili Biblia wao wenyewe 0:02:16.205,0:02:18.469 na tulifurahia hilo sana. 0:02:23.497,0:02:27.515 Tukianzia Injili ya Marko, tukisoma kisa kimoja baada ya kingine 0:02:27.515,0:02:29.790 na kuendelea na maombi pia. 0:02:29.790,0:02:31.555 Mtu wa pili uisoma 0:02:31.555,0:02:35.169 na kisha mwingine katika kikundi hukisema kisa kwa maneno yake mwenyewe 0:02:36.905,0:02:39.728 Hii yote hujengwa katika maswali rahisi matano 0:02:39.935,0:02:41.073 Nini ni kipya? 0:02:41.383,0:02:42.835 Nini chakushangaza? 0:02:42.835,0:02:44.633 Waelewa nini? 0:02:44.633,0:02:47.902 Nini utatii au kufanya katika maisha yako? 0:02:47.902,0:02:50.456 Na nini utamshirikisha mtu mwingine wiki hii? 0:02:50.899,0:02:52.424 Baada ya majadiliano, tunaomba 0:02:52.424,0:02:54.044 ''Baba twakushukuru kwa kuwa nasi, 0:02:54.044,0:02:56.493 Tafadhali tusaidie tunapomfuata Yesu wiki hii 0:02:58.444,0:03:01.028 Nafanya kazi [ALAS] kampuni ya ujenzi 0:03:01.028,0:03:03.792 kama msimamizi wa ujenzi. 0:03:04.337,0:03:07.212 Baada ya kuendesha kikundi kile nyumbani 0:03:07.212,0:03:10.832 Niliamua kuleta wazo lile kazini mwangu 0:03:11.785,0:03:16.223 lilikuwa na mabadiliko sana kwa vijana wangu 0:03:21.129,0:03:24.567 Namjua kipofu mmoja. Namwita ''Vinegar'' 0:03:25.190,0:03:30.370 Nilitambua anaishi kwenye nyumba ndogo ya muda 0:03:30.370,0:03:33.480 Nikawa na wazo hili la kujenga nyumba 0:03:33.663,0:03:37.031 Nilitaka kujadiliana hilo na vijana wangu. 0:03:37.031,0:03:42.150 Walifurahia na kujitolea kuniunga mkono kunisaidia 0:03:42.923,0:03:45.564 Naamini Yesu ni Mkombozi wangu. 0:03:46.259,0:03:47.990 Namwamini. 0:03:47.990,0:03:50.905 Siku moja atarudi na nitaondoka naye. 0:03:52.241,0:03:55.303 Kila Sabato kuna batizo mbili au tatu 0:03:55.303,0:03:56.687 kila kanisa. 0:03:57.093,0:03:59.360 Kwa taarifa, robo hii, 0:03:59.360,0:04:02.037 huu ulikuwa ubatizo mkubwa 0:04:02.037,0:04:04.984 uliowahikutokea katika jimbo la kati la Papua 0:04:05.278,0:04:08.908 Naona mwendelezo wa kielelezo vile tufanyavyo kanisani. 0:04:08.908,0:04:10.472 Sababu makanisa sasa huona 0:04:10.472,0:04:14.431 kwamba twapaswa kulileta kanisa pale jamii ilipo 0:04:26.317,0:04:28.135 Mungu hutumia watu wa kawaida 0:04:28.135,0:04:31.306 kubeba mipango Yake ya Kipekee.