0:00:00.000,0:00:04.100 Unapompenda mtu bila matarajio ya 0:00:04.100,0:00:08.533 kupata kitu fulani kutoka kwa mtu unayempa, 0:00:08.533,0:00:12.466 basi unapanda mbegu katika roho. 0:00:12.466,0:00:16.200 Unapompa mtu, mwitikio wake 0:00:16.200,0:00:18.666 haupaswi kuamua mwenendo wako. 0:00:18.666,0:00:21.433 Ikiwa watarudisha vivyo pia au la - 0:00:21.433,0:00:22.833 endelea kutoa! 0:00:22.833,0:00:26.100 Ikiwa wanathamini au la - endelea kusaidia! 0:00:26.100,0:00:27.966 Ikiwa wanasema, 'Asante' au la - 0:00:27.966,0:00:28.866 endelea kushiriki! 0:00:28.866,0:00:31.866 Kwa sababu unapanda mbegu kwa roho.