0:00:00.420,0:00:04.660 Google Tafsiri ni zana ya bure ambayo hukuwezesha kutafsiri sentensi, nyaraka na hata pia 0:00:04.660,0:00:07.680 tovuti nzima papo hapo. 0:00:07.680,0:00:12.099 Lakini inafanya kazi aje? Ijapokuwa huenda ikaonekana tuna chumba kilichojaa vijini vya lugha 0:00:12.099,0:00:17.470 mbalimbali vinavyotufanyia kazi, kwa hakika tafsiri zetu zote zimetoka kwenye kompyuta. Kompyuta hizi 0:00:17.470,0:00:22.520 hutumia mchakato unaoitwa "utafsiri wa mashine ya takwimu"-- ambayo ni njia maridadi ya kusema ya kamba 0:00:22.520,0:00:25.439 kompyuta zetu huzalisha tafsiri zinazotegemea ruwaza zinazopatikana katika viwango vikubwa vya matini. 0:00:25.439,0:00:30.539 Lakini wacha turudi nyuma. Kama unataka kumfundisha mtu lugha mpya unaweza kuanza kwa kumfunza maneno ya 0:00:30.539,0:00:34.809 msamiati na kanuni za sarufi ambazo hufafanua jinsi ya kubuni sentensi. Kompyuta inaweza kujifunza lugha 0:00:34.809,0:00:42.379 geni kwa njia hiyo moja - kwa kurejelea msamiati na kanuni. 0:00:42.379,0:00:46.309 Lakini lugha ni changamani na, kama vile mwanafunzi yeyote wa lugha anavyoweza kukuambia, kuna buraa 0:00:46.309,0:00:51.679 za takriban kila kanuni. Wakati unapojaribu kunasa buraa hizi zote, na buraa hadi buraa, katika 0:00:51.679,0:00:57.239 programu ya kompyuta, ubora wa utafsiri huanza kuainishwa. 0:00:57.239,0:01:01.779 Google Tafsiri huchukua mbinu tofauti. Badala ya kujaribu kufunza kompyuta zetu kanuni zote za lugha, 0:01:01.779,0:01:07.060 sisi huruhusu kompyuta zetu kutambua kanuni kivyao. Zinafanya hivi kwa kuchunguza mamilioni na 0:01:07.060,0:01:10.619 mamiliano ya nyaraka ambazo zimetafsiriwa tayari na watafsiri wanadamu. Matini haya 0:01:10.619,0:01:17.259 yaliyotafsiriwa hutoka kwenye vitabu, mashirika kama vile UN na tovuti 0:01:17.259,0:01:19.950 kutoka ulimwenguni kote. 0:01:19.950,0:01:23.810 Kompyuta zetu huskani matini haya kwa kutafuta ruwaza muhimu ya tarakimu--hiyo ni kusema, 0:01:23.810,0:01:27.969 ruwaza kati ya utafsiri na matini halisi ambayo hayawezi kutokea kibahati. Punde tu kompyuta 0:01:27.969,0:01:33.829 inapopata ruwaza, inaweza kutumia ruwaza hii ili kutafsiri matini yanayofanana baadaye. 0:01:33.829,0:01:38.710 Wakati unaporudia mchakato huu mabilioni ya muda unapata mabilioni ya ruwaza na 0:01:38.710,0:01:43.700 programu moja maizi sana ya kompyuta. 0:01:43.700,0:01:48.399 Walakini kwa lugha zingine tuna nyaraka chache zilizotafsiriwa zinazopatikana na kwa hivyo 0:01:48.399,0:01:53.049 ruwaza chache ambazo programu yetu imetambua. Hii ndiyo maana ubora wa utafsiri wetu hutofautiana 0:01:53.049,0:01:58.479 kilugha na kwa jozi ya lugha. Tunajua tafsiri zetu sio kamili kila wakati lakini kwa kutoa matini mapya 0:01:58.479,0:02:03.240 yaliyotafsiriwa mara kwa mara tunaweza kufanya kompyuta zetu kuwa maizi zaidi na tafsiri 0:02:03.240,0:02:05.539 zetu kuwa nzuri zaidi. 0:02:05.539,0:02:09.670 Kwa hivyo wakati mwingine unapotafsiri sentensi au ukurasa wa wavuti na Google Tafsiri, fikiria 0:02:09.670,0:02:15.349 kuhusu mamilioni ya nyaraka na mabilioni ya ruwaza ambazo zinatoa utafsiri wako - na na 0:02:15.349,0:02:17.650 hayo yote hufanyika unapopepesa jicho. 0:02:17.650,0:02:19.260 Nzuri sana, sivyo? 0:02:19.260,9:59:59.000 Jaribu kwenye translate.google.com.