♪ (Muziki wa kitamaduni) ♪ (watu wanaimba) Hivyo moja ya Hadithi ya BBC Pop Up aliombwa kufanya, Ilikuwa ni kusimulia hadithi ya waafrika wanaoishi India Na baadhi ya magumu uzoefu walio nao. Tulidhani hii itakuwa kweli hadithiya kuvutia. Na badala ya kuirekodi tu, tulikwenda bora zaidi Na mtu aliyependekeza itatusaidia kuifanikisha (Benjamin ) India inasisimua sana. Kila siku ninatoka nje, Naona kitu kipya. Kuna Waafrika wengi sasa nchi India kufanya masomo yao, Na wanakabiliwa na ubaguzi mkubwa wa rangi, Imekuwa habari nyingi kuzungumza juu ya Waafrika kushambuliwa, Kunyanyaswa, kupigwa. Kwa hivyo ninaposkia hadithi, inanifanya nijiskie vibaya sana Hey, mambo vipi? guys Habari yako? Habari yako? Je, unauzoefu gani? na Wahindi? Wahindi? kwa kweli, sio sana. Hakuna kemia nzuri kati ya kweli Waafrika na Wahindi, Kwa kawaida hatushirikiani na Wahindi, unajua, Kwa sababu, kawaida, Wahindi, hawatuamini sisi. Baadhi yao, hawatuamini sisi. Ndio, kwa hivyo ni kawaida sana nchini India. Wahindi wanafikiria wanawake wote weusi ni Malaya. Kila wakikuona wanakuuliza? "Bei gani?" kama "kwa bei gani unanitaka...?" Namna ya maswali wanayouliza Tuna uzoefu uliofanana, unajua kwa hili Wajua, wenyeji kuelekea kwetu. Nzuri. sana, sana, sana, ni wazi sana, unajua Benjamin, baadhi ya hadithi marafiki zako wametuambia zilikuwa zunasumbua sana. Na kwa kiasi kikubwa hutokea kwa sababu Wahindi hawajui lao Kwamba Waafrika walikuwa na jukumu kubwa nchini India kati ya Karne ya 14 Hata Leo, jumuiya kubwa ya kiafrika inaishi Nathani itakuwa nzuri sana kwako kuja pamoja na Wewe unafikiria Nini? Ndiyo. Ingekuwa nzuri. Sawa. twende tukakutane basi. Ndiyo, wacha tuifanye. ♪ (muziki) ♪ Hivyo baada ya gari kwa muda mrefu kupitia Jimbo la Gujarat tukakaribia kukutana na jumuiya ya Sidi karibu na mji wa Sasan. Nimefurahia sana, unajua. Nimeshangaa sana kuona baadhi ya Waafrika humu ndani Sehemu hii ya India kweli.......... Natamani sana kukutana nao na kuingiliana nao zaidi. Habari, Namaste. Namaste Habari yako? Nzuri. Hiyo ni nzur, sawa Tumeishi hapa Gujarati kwa takribani miaka 400 Mtawala wa eneo hili ametuleta hapa kutoka Afrika India na kamwe kurudi Afrika. ♪ (mziki) ♪ (watoto wanacheka na kuimba) Nahisi kama nipo Afrika. Wanakaa kama shuleni kama Waafrika wanavyokaa. Kimsingi, kama wengine wanasema, ikiwa wataenda zaidi ya jirani na Na Kijiji katika maeneo mengine ya India. wanambiwa waache na kuuliza mara kwa mara. "Unatoka Sidi? Unatoka Afrika?" Hasa aina ya maswali unayokabiliana nayo huko Delhi. Mambo kama haya, unafanyaje kuyatatua? Sisi pia lakini unayakabili vipi? (katika Kigujarati) Je, umewahi kuwa na hisia kama unataka kurudi Ili kuishi tena Afrika, au bado unataka kuwa India? (akizungumza Kigujarati) [V] -Anasema yeye ni mhindi yeyote. kwa nini anataka kuondoka mahali mahapa ( akizungumza kigujarati) ( nyimbo za kitamaduni zikicheza) ( akizungumza kigujarati ) Nilipokuja ilikuwa kama Nilishikwa na hisia. Nilikaribia kulia nilipoona waafrika wote weusi wanakuja kunisalimia mchana huu. Kuja hapa leo kwa kweli kumebadilika mtazamo wangu wa India. Imeunda dhamana, imeunda mawazo ndani yangu sasa kwamba kuna watu wako tayari kuwapokea Waafrika kila wanapowaona Waafrika huko India. Kuona jamii hii leo imenipa matumaini kwamba katika siku za usoni India itakuwa jamii isiyo na ubaguzi wa rangi, kwa sababu jumuiya hii ni ishara kwamba Waafrika pia ni Wahindi.