1 00:00:02,514 --> 00:00:03,589 ♪ (Muziki wa kitamaduni) ♪ 2 00:00:04,197 --> 00:00:15,439 (watu wanaimba) 3 00:00:18,921 --> 00:00:21,851 Hivyo moja ya Hadithi ya BBC Pop Up aliombwa kufanya, 4 00:00:21,851 --> 00:00:24,436 Ilikuwa ni kusimulia hadithi ya waafrika wanaoishi India 5 00:00:24,436 --> 00:00:27,151 Na baadhi ya magumu uzoefu walio nao. 6 00:00:27,453 --> 00:00:30,210 Tulidhani hii itakuwa kweli hadithiya kuvutia. 7 00:00:30,210 --> 00:00:33,135 Na badala ya kuirekodi tu, tulikwenda bora zaidi 8 00:00:33,135 --> 00:00:36,108 Na mtu aliyependekeza itatusaidia kuifanikisha 9 00:00:38,352 --> 00:00:40,640 (Benjamin ) India inasisimua sana. 10 00:00:40,640 --> 00:00:43,919 Kila siku ninatoka nje, Naona kitu kipya. 11 00:00:45,198 --> 00:00:49,528 Kuna Waafrika wengi sasa nchi India kufanya masomo yao, 12 00:00:49,528 --> 00:00:51,999 Na wanakabiliwa na ubaguzi mkubwa wa rangi, 13 00:00:53,478 --> 00:00:58,448 Imekuwa habari nyingi kuzungumza juu ya Waafrika kushambuliwa, 14 00:00:58,448 --> 00:01:00,222 Kunyanyaswa, kupigwa. 15 00:01:00,222 --> 00:01:03,414 Kwa hivyo ninaposkia hadithi, inanifanya nijiskie vibaya sana 16 00:01:04,905 --> 00:01:07,395 Hey, mambo vipi? guys Habari yako? 17 00:01:08,032 --> 00:01:09,312 Habari yako? 18 00:01:12,620 --> 00:01:16,000 Je, unauzoefu gani? na Wahindi? 19 00:01:16,000 --> 00:01:18,180 Wahindi? kwa kweli, sio sana. 20 00:01:18,180 --> 00:01:24,280 Hakuna kemia nzuri kati ya kweli Waafrika na Wahindi, 21 00:01:24,280 --> 00:01:26,681 Kwa kawaida hatushirikiani na Wahindi, unajua, 22 00:01:26,681 --> 00:01:30,040 Kwa sababu, kawaida, Wahindi, hawatuamini sisi. 23 00:01:30,040 --> 00:01:31,832 Baadhi yao, hawatuamini sisi. 24 00:01:31,832 --> 00:01:34,414 Ndio, kwa hivyo ni kawaida sana nchini India. 25 00:01:34,414 --> 00:01:38,609 Wahindi wanafikiria wanawake wote weusi ni Malaya. 26 00:01:38,979 --> 00:01:41,669 Kila wakikuona wanakuuliza? "Bei gani?" kama 27 00:01:41,669 --> 00:01:44,079 "kwa bei gani unanitaka...?" 28 00:01:44,591 --> 00:01:46,441 Namna ya maswali wanayouliza 29 00:01:46,441 --> 00:01:50,213 Tuna uzoefu uliofanana, unajua kwa hili 30 00:01:50,213 --> 00:01:53,029 Wajua, wenyeji kuelekea kwetu. 31 00:01:53,029 --> 00:01:57,248 Nzuri. sana, sana, sana, ni wazi sana, unajua 32 00:02:00,646 --> 00:02:03,956 Benjamin, baadhi ya hadithi marafiki zako wametuambia 33 00:02:03,956 --> 00:02:05,627 zilikuwa zunasumbua sana. 34 00:02:05,627 --> 00:02:09,971 Na kwa kiasi kikubwa hutokea kwa sababu Wahindi hawajui lao 35 00:02:09,971 --> 00:02:14,456 Kwamba Waafrika walikuwa na jukumu kubwa nchini India kati ya Karne ya 14 36 00:02:14,456 --> 00:02:18,477 Hata Leo, jumuiya kubwa ya kiafrika inaishi 37 00:02:18,877 --> 00:02:21,572 Nathani itakuwa nzuri sana kwako kuja pamoja na 38 00:02:21,572 --> 00:02:22,545 Wewe unafikiria Nini? 39 00:02:22,545 --> 00:02:23,739 Ndiyo. Ingekuwa nzuri. 40 00:02:23,739 --> 00:02:26,265 Sawa. twende tukakutane basi. Ndiyo, wacha tuifanye. 41 00:02:26,265 --> 00:02:29,957 ♪ (muziki) ♪ 42 00:02:34,409 --> 00:02:36,789 Hivyo baada ya gari kwa muda mrefu kupitia Jimbo la Gujarat 43 00:02:36,789 --> 00:02:40,508 tukakaribia kukutana na jumuiya ya Sidi karibu na mji wa Sasan. 44 00:02:40,508 --> 00:02:41,946 Nimefurahia sana, unajua. 45 00:02:41,946 --> 00:02:45,118 Nimeshangaa sana kuona baadhi ya Waafrika humu ndani 46 00:02:45,118 --> 00:02:47,673 Sehemu hii ya India kweli.......... Natamani sana kukutana nao 47 00:02:47,673 --> 00:02:49,732 na kuingiliana nao zaidi. 48 00:02:50,155 --> 00:02:53,065 Habari, Namaste. Namaste 49 00:02:53,065 --> 00:02:54,435 Habari yako? Nzuri. 50 00:02:55,300 --> 00:02:57,010 Hiyo ni nzur, sawa 51 00:03:00,048 --> 00:03:03,217 Tumeishi hapa Gujarati kwa takribani miaka 400 52 00:03:03,217 --> 00:03:06,586 Mtawala wa eneo hili ametuleta hapa kutoka Afrika 53 00:03:06,586 --> 00:03:09,996 India na kamwe kurudi Afrika. 54 00:03:11,166 --> 00:03:12,956 ♪ (mziki) ♪ 55 00:03:23,716 --> 00:03:27,836 (watoto wanacheka na kuimba) 56 00:03:30,156 --> 00:03:32,146 Nahisi kama nipo Afrika. 57 00:03:32,146 --> 00:03:35,396 Wanakaa kama shuleni kama Waafrika wanavyokaa. 58 00:03:35,396 --> 00:03:39,118 Kimsingi, kama wengine wanasema, ikiwa wataenda zaidi ya jirani na 59 00:03:39,118 --> 00:03:41,877 Na Kijiji katika maeneo mengine ya India. 60 00:03:41,877 --> 00:03:43,816 wanambiwa waache na kuuliza mara kwa mara. 61 00:03:43,816 --> 00:03:46,072 "Unatoka Sidi? Unatoka Afrika?" 62 00:03:46,072 --> 00:03:49,290 Hasa aina ya maswali unayokabiliana nayo huko Delhi. 63 00:03:49,658 --> 00:03:54,217 Mambo kama haya, unafanyaje kuyatatua? Sisi pia 64 00:03:54,217 --> 00:03:56,339 lakini unayakabili vipi? 65 00:03:56,339 --> 00:03:57,797 (katika Kigujarati) 66 00:04:05,847 --> 00:04:09,280 Je, umewahi kuwa na hisia kama unataka kurudi 67 00:04:09,280 --> 00:04:10,500 Ili kuishi tena Afrika, 68 00:04:10,500 --> 00:04:14,051 au bado unataka kuwa India? 69 00:04:14,051 --> 00:04:16,837 (akizungumza Kigujarati) 70 00:04:17,235 --> 00:04:21,495 [V] -Anasema yeye ni mhindi yeyote. kwa nini anataka kuondoka mahali mahapa 71 00:04:25,044 --> 00:04:40,474 ( akizungumza kigujarati) 72 00:04:40,474 --> 00:04:44,798 ( nyimbo za kitamaduni zikicheza) 73 00:04:44,798 --> 00:04:57,553 ( akizungumza kigujarati ) 74 00:04:57,553 --> 00:05:00,712 Nilipokuja ilikuwa kama Nilishikwa na hisia. 75 00:05:00,712 --> 00:05:04,856 Nilikaribia kulia nilipoona waafrika wote weusi wanakuja 76 00:05:04,856 --> 00:05:07,176 kunisalimia mchana huu. 77 00:05:07,176 --> 00:05:11,022 Kuja hapa leo kwa kweli kumebadilika mtazamo wangu wa India. 78 00:05:12,105 --> 00:05:15,045 Imeunda dhamana, imeunda mawazo ndani yangu sasa 79 00:05:15,045 --> 00:05:18,002 kwamba kuna watu wako tayari kuwapokea Waafrika 80 00:05:18,002 --> 00:05:20,319 kila wanapowaona Waafrika huko India. 81 00:05:22,806 --> 00:05:26,246 Kuona jamii hii leo imenipa matumaini kwamba katika siku za usoni 82 00:05:26,246 --> 00:05:30,092 India itakuwa jamii isiyo na ubaguzi wa rangi, 83 00:05:30,698 --> 00:05:36,528 kwa sababu jumuiya hii ni ishara kwamba Waafrika pia ni Wahindi.