♪ (Muziki wa kitamaduni) ♪
(watu wanaimba)
Hivyo moja ya Hadithi ya BBC Pop Up aliombwa kufanya,
Ilikuwa ni kusimulia hadithi ya waafrika wanaoishi India
Na baadhi ya magumu uzoefu walio nao.
Tulidhani hii itakuwa kweli hadithiya kuvutia.
Na badala ya kuirekodi tu, tulikwenda bora zaidi
Na mtu aliyependekeza itatusaidia kuifanikisha
(Benjamin ) India inasisimua sana.
Kila siku ninatoka nje, Naona kitu kipya.
Kuna Waafrika wengi sasa nchi India kufanya masomo yao,
Na wanakabiliwa na ubaguzi mkubwa wa rangi,
Imekuwa habari nyingi kuzungumza juu ya Waafrika kushambuliwa,
Kunyanyaswa, kupigwa.
Kwa hivyo ninaposkia hadithi, inanifanya nijiskie vibaya sana
Hey, mambo vipi? guys Habari yako?
Habari yako?
Je, unauzoefu gani? na Wahindi?
Wahindi? kwa kweli, sio sana.
Hakuna kemia nzuri kati ya kweli Waafrika na Wahindi,
Kwa kawaida hatushirikiani na Wahindi, unajua,
Kwa sababu, kawaida, Wahindi, hawatuamini sisi.
Baadhi yao, hawatuamini sisi.
Ndio, kwa hivyo ni kawaida sana nchini India.
Wahindi wanafikiria wanawake wote weusi ni Malaya.
Kila wakikuona wanakuuliza? "Bei gani?" kama
"kwa bei gani unanitaka...?"
Namna ya maswali wanayouliza
Tuna uzoefu uliofanana, unajua kwa hili
Wajua, wenyeji kuelekea kwetu.
Nzuri. sana, sana, sana, ni wazi sana, unajua
Benjamin, baadhi ya hadithi marafiki zako wametuambia
zilikuwa zunasumbua sana.
Na kwa kiasi kikubwa hutokea kwa sababu Wahindi hawajui lao
Kwamba Waafrika walikuwa na jukumu kubwa nchini India kati ya Karne ya 14
Hata Leo, jumuiya kubwa ya kiafrika inaishi
Nathani itakuwa nzuri sana kwako kuja pamoja na
Wewe unafikiria Nini?
Ndiyo. Ingekuwa nzuri.
Sawa. twende tukakutane basi. Ndiyo, wacha tuifanye.
♪ (muziki) ♪
Hivyo baada ya gari kwa muda mrefu kupitia Jimbo la Gujarat
tukakaribia kukutana na jumuiya ya Sidi karibu na mji wa Sasan.
Nimefurahia sana, unajua.
Nimeshangaa sana kuona baadhi ya Waafrika humu ndani
Sehemu hii ya India kweli.......... Natamani sana kukutana nao
na kuingiliana nao zaidi.
Habari, Namaste. Namaste
Habari yako? Nzuri.
Hiyo ni nzur, sawa
Tumeishi hapa Gujarati kwa takribani miaka 400
Mtawala wa eneo hili ametuleta hapa kutoka Afrika
India na kamwe kurudi Afrika.
♪ (mziki) ♪
(watoto wanacheka na kuimba)
Nahisi kama nipo Afrika.
Wanakaa kama shuleni kama Waafrika wanavyokaa.
Kimsingi, kama wengine wanasema, ikiwa wataenda zaidi ya jirani na
Na Kijiji katika maeneo mengine ya India.
wanambiwa waache na kuuliza mara kwa mara.
"Unatoka Sidi? Unatoka Afrika?"
Hasa aina ya maswali unayokabiliana nayo huko Delhi.
Mambo kama haya, unafanyaje kuyatatua? Sisi pia
lakini unayakabili vipi?
(katika Kigujarati)
Je, umewahi kuwa na hisia kama unataka kurudi
Ili kuishi tena Afrika,
au bado unataka kuwa India?
(akizungumza Kigujarati)
[V] -Anasema yeye ni mhindi yeyote. kwa nini anataka kuondoka mahali mahapa
( akizungumza kigujarati)
( nyimbo za kitamaduni zikicheza)
( akizungumza kigujarati )
Nilipokuja ilikuwa kama
Nilishikwa na hisia.
Nilikaribia kulia nilipoona
waafrika wote weusi wanakuja
kunisalimia mchana huu.
Kuja hapa leo kwa kweli kumebadilika
mtazamo wangu wa India.
Imeunda dhamana, imeunda
mawazo ndani yangu sasa
kwamba kuna watu wako tayari
kuwapokea Waafrika
kila wanapowaona Waafrika huko India.
Kuona jamii hii leo imenipa
matumaini kwamba katika siku za usoni
India itakuwa jamii isiyo na ubaguzi wa rangi,
kwa sababu jumuiya hii ni ishara
kwamba Waafrika pia ni Wahindi.