[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:03.28,Default,,0000,0000,0000,,Habari, mimi ni Daktari Amanda Cohn. Dialogue: 0,0:00:03.28,0:00:05.71,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Tabibu na afisa wa matibabu Dialogue: 0,0:00:05.71,0:00:10.07,Default,,0000,0000,0000,,katika kituo cha CDC chanjo na magonjwa ya kupumua Dialogue: 0,0:00:10.39,0:00:13.48,Default,,0000,0000,0000,,na kwa sasa ninahudumu kama katibu mtendaji Dialogue: 0,0:00:13.48,0:00:17.100,Default,,0000,0000,0000,,wa kamati ya ushauri kuhusu hulka za chanzo- au ACIP. Dialogue: 0,0:00:18.90,0:00:20.35,Default,,0000,0000,0000,,Ningependa kuwajuza Dialogue: 0,0:00:20.35,0:00:23.82,Default,,0000,0000,0000,,jinsi kikundi hiki chapakazi cha wataalam huendeleza mapendekezo Dialogue: 0,0:00:23.82,0:00:27.79,Default,,0000,0000,0000,,na kushauri CDC kuhusu matumizi ya chanjo katika nchi yetu. Dialogue: 0,0:00:28.66,0:00:33.70,Default,,0000,0000,0000,,ACIP imejitolea kuendeleza mapendekezo yanayoegemea ushahidi na sayansi Dialogue: 0,0:00:33.83,0:00:36.97,Default,,0000,0000,0000,,kukinga na kudhibiti magonjwa ambayo yanaweza kingwa kwa chanjo, Dialogue: 0,0:00:37.01,0:00:38.54,Default,,0000,0000,0000,,kama UVIKO-19. Dialogue: 0,0:00:39.36,0:00:41.96,Default,,0000,0000,0000,,Wanapewa motisha na azma yao ya kuokoa maisha, Dialogue: 0,0:00:42.11,0:00:46.05,Default,,0000,0000,0000,,wako huru kutokana na ushawishi wa kisiasa na wanahakikisha uwazi. Dialogue: 0,0:00:46.12,0:00:48.90,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuandaa mikutano yao yote wazi kwa umma Dialogue: 0,0:00:49.01,0:00:51.13,Default,,0000,0000,0000,,na kuhakikisha zinapatikana mtandaoni. Dialogue: 0,0:00:52.03,0:00:54.91,Default,,0000,0000,0000,,Kamati hii inajumuisha wanachama wapiga kura kumi na watano, Dialogue: 0,0:00:55.03,0:00:59.15,Default,,0000,0000,0000,,ambao ni wataalam wa kimatibabu na afya ya kijamii toka pande zote za Marekani, Dialogue: 0,0:00:59.59,0:01:03.00,Default,,0000,0000,0000,,pia inahusisha mtu mmoja ambaye anawakilisha umma. Dialogue: 0,0:01:03.56,0:01:06.63,Default,,0000,0000,0000,,Wanahakiki taarifa kuhusu usalama na ufanisi Dialogue: 0,0:01:06.63,0:01:10.78,Default,,0000,0000,0000,,wa chanjo na matokeo ya majaribio ya maabara halafu wanapiga kura kupendekeza Dialogue: 0,0:01:10.78,0:01:14.19,Default,,0000,0000,0000,,kama chanjo hizo zinafaa kutumiwa Marekani Dialogue: 0,0:01:14.76,0:01:17.32,Default,,0000,0000,0000,,Kamati hii pia ina wanachama ambao si wapiga kura, Dialogue: 0,0:01:17.42,0:01:20.74,Default,,0000,0000,0000,,kama vile waakilishi kutoka Muungano wa Wauguzi Marekani, Dialogue: 0,0:01:20.85,0:01:25.16,Default,,0000,0000,0000,,Muungano wa Matabibu wa Marekani, Chuo cha matibabu ya watoto cha Marekani Dialogue: 0,0:01:25.30,0:01:27.96,Default,,0000,0000,0000,,na Chuo cha Matabibu cha Marekani Dialogue: 0,0:01:28.19,0:01:31.02,Default,,0000,0000,0000,,Ni muhimu kuwa na hawa watu katika kamati, Dialogue: 0,0:01:31.07,0:01:34.09,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu wanachangia taswira ya madaktari, wauguzi Dialogue: 0,0:01:34.09,0:01:36.01,Default,,0000,0000,0000,,na wahudumu wengine wa kiafya, Dialogue: 0,0:01:36.01,0:01:40.26,Default,,0000,0000,0000,,ambao hufuata mapendekezo ya chanjo ya CDC na kuzitekeleza. Dialogue: 0,0:01:40.79,0:01:45.49,Default,,0000,0000,0000,,Juhudi si haba imetumiwa kuendeleza, kutafiti na kuidhinisha Dialogue: 0,0:01:45.49,0:01:47.40,Default,,0000,0000,0000,,chanjo za UVIKO-19 haraka, Dialogue: 0,0:01:47.50,0:01:50.16,Default,,0000,0000,0000,,kukabiliana na janga hili linalotukumba. Dialogue: 0,0:01:50.72,0:01:53.15,Default,,0000,0000,0000,,Inaeleweka kuwa unaweza kuwa na wasiwasi Dialogue: 0,0:01:53.15,0:01:56.08,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu usalama wa chanjo za UVIKO-19, Dialogue: 0,0:01:56.08,0:01:58.71,Default,,0000,0000,0000,,kulingana na jinsi zimeundwa haraka. Dialogue: 0,0:01:59.01,0:02:00.96,Default,,0000,0000,0000,,Licha ya kasi, Dialogue: 0,0:02:01.03,0:02:05.30,Default,,0000,0000,0000,,Chanjo za UVIKO-19 hupitia mchakato wa uhakiki kali Dialogue: 0,0:02:05.40,0:02:07.04,Default,,0000,0000,0000,,sawa na chanjo zote nyinginezo, Dialogue: 0,0:02:07.17,0:02:10.47,Default,,0000,0000,0000,,kabla ya kamati hii kupiga kura kuhusu kuzipendekeza au la. Dialogue: 0,0:02:11.01,0:02:14.16,Default,,0000,0000,0000,,Usalama wa chanjo ni wa kipaumbele, Dialogue: 0,0:02:14.28,0:02:17.41,Default,,0000,0000,0000,,na hamna tofauti na chanjo za UVIKO-19. Dialogue: 0,0:02:17.85,0:02:19.96,Default,,0000,0000,0000,,Tangia mwanzoni mwa janga hili, Dialogue: 0,0:02:20.05,0:02:21.85,Default,,0000,0000,0000,,ACIP imekutana mara si haba, Dialogue: 0,0:02:21.93,0:02:25.10,Default,,0000,0000,0000,,kuarifiwa kuhusu chanjo za UVIKO-19. Dialogue: 0,0:02:25.29,0:02:28.59,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kila chanjo ya UVIKO-19 kuidhinishwa Dialogue: 0,0:02:28.59,0:02:31.05,Default,,0000,0000,0000,,au matumizi yao kukubaliwa ndani ya Marekani, Dialogue: 0,0:02:31.35,0:02:34.91,Default,,0000,0000,0000,,ACIP itakutana kwa haraka kuhakiki data iliyopo Dialogue: 0,0:02:34.100,0:02:38.53,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na utafiti mwingi ambao watengenezaji wa chanjo wamefanya, Dialogue: 0,0:02:38.64,0:02:42.62,Default,,0000,0000,0000,,kuonyesha kuwa kila chanjo inafikia ubora wa usalama na ufanisi. Dialogue: 0,0:02:42.96,0:02:45.37,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kujadiliana na kuchangia kwa umma, Dialogue: 0,0:02:45.50,0:02:48.87,Default,,0000,0000,0000,,Kamati itapiga kura kupendekeza chanjo au la, Dialogue: 0,0:02:49.00,0:02:51.34,Default,,0000,0000,0000,,na wakipendekeza, unafaa kuipokea. Dialogue: 0,0:02:51.52,0:02:55.52,Default,,0000,0000,0000,,Huu ndio mchakato ambao ACIP hutumia kwa chanjo zote pia. Dialogue: 0,0:02:55.92,0:03:00.44,Default,,0000,0000,0000,,Mchakato huu pia umependekeza chanjo salama na za fanaka Dialogue: 0,0:03:00.44,0:03:01.90,Default,,0000,0000,0000,,ambazo hukinga jamii zetu Dialogue: 0,0:03:01.90,0:03:05.55,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na magonjwa ambazo hapo mbeleni yaliua halaiki kila mwaka. Dialogue: 0,0:03:06.46,0:03:08.28,Default,,0000,0000,0000,,Natumahi ya kuwa Dialogue: 0,0:03:08.29,0:03:11.15,Default,,0000,0000,0000,,halaiki ya maisha na hata zaidi yataokolewa Dialogue: 0,0:03:11.15,0:03:13.61,Default,,0000,0000,0000,,na chanjo salama za UVIKO-19. Dialogue: 0,0:03:13.99,0:03:19.39,Default,,0000,0000,0000,,Hata hivyo, hakuna jinsi moja itakayokomesha janga la UVIKO-19. Dialogue: 0,0:03:19.87,0:03:25.47,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sasa, kinga yako bora itakuwa ni kuunganisha kupokea chanjo ya UVIKO-19, Dialogue: 0,0:03:25.47,0:03:27.48,Default,,0000,0000,0000,,itakapopendekezwa kwako, Dialogue: 0,0:03:27.48,0:03:30.84,Default,,0000,0000,0000,,na kuendelea kufunika pua na kinywa chako kwa barakoa, Dialogue: 0,0:03:30.94,0:03:34.82,Default,,0000,0000,0000,,dumisha umbali wa angalau futi sita na wengine na unawe mikono kila mara, Dialogue: 0,0:03:35.73,0:03:40.18,Default,,0000,0000,0000,,Chanjo za UVIKO-19 zitakuwa jinsi muhimu kusaidia kukomesha janga hili. Dialogue: 0,0:03:40.47,0:03:45.74,Default,,0000,0000,0000,,Kwa taarifa ya ziada, nenda kwa tovuti ya CDC.gov/coronavirus