WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.680 00:00:00.680 --> 00:00:02.950 Nina piza nzima hapa, na tuchukulie 00:00:02.950 --> 00:00:05.590 kwamba ninatakiwa niikate kwenye vipande viwili vilivyo sawa. 00:00:05.590 --> 00:00:11.040 Naikata hapa vipande viwili vilivyo sawa. 00:00:11.040 --> 00:00:14.940 Na tuseme nimekula moja ya vipande 2 sawa. 00:00:14.940 --> 00:00:17.840 Tuchukulie nimekula sehemu hii hapa. 00:00:17.840 --> 00:00:20.910 Je, ni sehemu gani ya piza niliyokula? 00:00:20.910 --> 00:00:23.360 Nimechukua nzima na kuigawanya 00:00:23.360 --> 00:00:29.430 vipande viwili vilivyo sawa, kisha nikala moja ya vipande hivyo. 00:00:29.430 --> 00:00:33.660 00:00:33.660 --> 00:00:37.630 Hivyo nilikula nusu ya piza. 00:00:37.630 --> 00:00:43.150 Hebu tuchukulie kwamba, badala ya kukata piza kwenye 00:00:43.150 --> 00:00:45.730 vipande 2 sawa, tuchukulie 00:00:45.730 --> 00:00:48.590 kwamba tumeikata kwenye vipande 4 vilivyosawa. 00:00:48.590 --> 00:00:50.290 Hebu tuchore. 00:00:50.290 --> 00:00:52.820 Kwa hiyo vipande 4 vilivyo sawa. 00:00:52.820 --> 00:00:56.520 Kwa hiyo nitakata mara moja namna hii na kisha, 00:00:56.520 --> 00:00:59.950 nitakata mara moja kama hivi. 00:00:59.950 --> 00:01:02.860 Hivyo nina vipande 4 vilivyo sawa. 00:01:02.860 --> 00:01:05.440 00:01:05.440 --> 00:01:09.060 Lakini ninataka kula kiasi kilekile cha piza. 00:01:09.060 --> 00:01:12.180 Je, nitakula vipande vingapi kati ya hivi vipande 4 sawa? 00:01:12.180 --> 00:01:15.520 Ninakushauri usimamishe video na kufikiria. 00:01:15.520 --> 00:01:18.110 Nitakula kula kipande hiki. 00:01:18.110 --> 00:01:20.770 Chukulia nitakula kipande hiki na kipande hiki 00:01:20.770 --> 00:01:21.560 hapa. 00:01:21.560 --> 00:01:25.140 Nimekula sehemu ileile ya piza. 00:01:25.140 --> 00:01:28.840 Kila moja ya vipande hivi imekatwa katika sehemu mbili 00:01:28.840 --> 00:01:31.010 nilipokata piza namna hii. 00:01:31.010 --> 00:01:34.350 Hivyo natakiwa nile vipande 2 kati ya 4, 00:01:34.350 --> 00:01:36.850 tofauti na kipande 1 kati ya 2. 00:01:36.850 --> 00:01:40.250 Kwa hiyo nimekula vipande 2 kati ya 4 00:01:40.250 --> 00:01:42.836 00:01:42.836 --> 00:01:44.210 Natumia namba tofauti hapa. 00:01:44.210 --> 00:01:47.014 Hapa natumia 1 kwenye kiasi 00:01:47.014 --> 00:01:48.055 na 2 kwenye asili. 00:01:48.055 --> 00:01:49.554 Hapa, natumia 2 kwenye kiasi 00:01:49.554 --> 00:01:51.340 na 4 kwenye asili. 00:01:51.340 --> 00:01:54.800 Hizi sehemu mbili zinawakilisha kitu kile kile. 00:01:54.800 --> 00:01:56.410 Nimekula kiasi kilekile cha piza. 00:01:56.410 --> 00:02:00.530 Kama nimekula 2/4 ya piza, kama nimekula vipande 2 kati ya 4, 00:02:00.530 --> 00:02:02.590 hiyo ni sehemu ileile ya piza 00:02:02.590 --> 00:02:05.780 kama nimekula kipande 1 kati ya 2. 00:02:05.780 --> 00:02:07.930 Kwa hiyo tunaweza kusema hizi mbili 00:02:07.930 --> 00:02:10.930 ni sehemu sawa. 00:02:10.930 --> 00:02:12.960 Hebu tufanye mfano mwingine. 00:02:12.960 --> 00:02:15.190 Badala ya kugawanya katika vipande 4 vilivyo sawa, 00:02:15.190 --> 00:02:17.735 hebu nigawanye katika vipande 8 vilivyo sawa. 00:02:17.735 --> 00:02:23.040 00:02:23.040 --> 00:02:26.780 Kwa hiyo sasa tutakata mara moja kama hivi. 00:02:26.780 --> 00:02:29.040 Sasa tuna vipande viwili vilivyo sawa. 00:02:29.040 --> 00:02:30.880 Kata mara moja kama hivi. 00:02:30.880 --> 00:02:32.510 Sasa tuna vipande vinne vilivyo sawa. 00:02:32.510 --> 00:02:35.300 Halafu gawanya kila moja ya hivyo vipande 4 kuwa vipande 2. 00:02:35.300 --> 00:02:39.320 Kwa hiyo kata-- 00:02:39.320 --> 00:02:40.695 Nataka kupata vipande sawa. 00:02:40.695 --> 00:02:43.410 Hivyo havionekani sawa kama ninavyotaka 00:02:43.410 --> 00:02:51.480 Hivyo vinaonekana sawa. 00:02:51.480 --> 00:02:53.500 Hivyo nina vipande vingapi vilivyosawa? 00:02:53.500 --> 00:02:55.090 Nina vipande 8 sawa. 00:02:55.090 --> 00:02:57.880 00:02:57.880 --> 00:03:01.180 Tuchukulie ninataka kula sehemu ileile ya piza. 00:03:01.180 --> 00:03:04.410 Kwa hiyo nitakula vipande vyote hivi hapa. 00:03:04.410 --> 00:03:07.090 Vipande vingapi kati ya hivyo vipande sawa 8 nimekula? 00:03:07.090 --> 00:03:11.110 Nimekula 1, 2, 3, 4 ya vipande sawa 8. 00:03:11.110 --> 00:03:15.400 Kwa mara nyingine, sehemu hii, 4 ya 8 au 4/8, 00:03:15.400 --> 00:03:19.230 ni sawa 2/4, ambayo ni sawa na 1/2. 00:03:19.230 --> 00:03:21.780 Na unaweza kuona mpangilio hapa. 00:03:21.780 --> 00:03:26.580 Kutoka kwenye umbo hili kwenda kwenye umbo hili, 00:03:26.580 --> 00:03:29.400 ninapata mara mbili ya vipande sawa. 00:03:29.400 --> 00:03:32.060 Kwa sababu nina mara mbili ya vipande sawa 00:03:32.060 --> 00:03:35.810 Ninatakiwa kula mara mbili ya idadi ya viapnde. 00:03:35.810 --> 00:03:38.970 Kwa hiyo nazidisha asili kwa 2, 00:03:38.970 --> 00:03:41.370 na nazidisha kiasi kwa mbili 00:03:41.370 --> 00:03:43.820 Kama nikizidisha kiasi na asili 00:03:43.820 --> 00:03:46.510 kawa namba ileile, sibadilishi 00:03:46.510 --> 00:03:48.860 kinachowakiliswa na sehemu. 00:03:48.860 --> 00:03:50.640 Na unaweza kuona hapa. 00:03:50.640 --> 00:03:54.170 Kutoka vipande 4 kwenda vipande 8, nimekata kila kipande, 00:03:54.170 --> 00:03:57.140 nimebadilisha kila kipande kuwa vipande viwili 00:03:57.140 --> 00:03:59.401 kwa hiyo nina mara mbili ya vipande. 00:03:59.401 --> 00:04:01.150 Na nikitaka kula kiasi kile kile, 00:04:01.150 --> 00:04:07.020 ninatakiwa kula mara mbili ya vipande. 00:04:07.020 --> 00:04:10.590 Kwa hiyo zote hizi 1/2, 2/4, 4/8 na ninaweza kuendelea. 00:04:10.590 --> 00:04:12.520 Ninaweza kufanya 8/16. 00:04:12.520 --> 00:04:14.170 Ninaweza kufanya 16/32. 00:04:14.170 --> 00:04:17.262 Zote hizi zitakuwa sehemu sawa. 00:04:17.262 --> 00:04:17.762