1 00:00:00,248 --> 00:00:01,601 Hebu tufanye baadhi ya maswali 2 00:00:01,601 --> 00:00:03,982 kwenye mazoezi ya shule ya Khan ambayo yatatufanya 3 00:00:03,982 --> 00:00:05,782 tuandike upya hesabu za kujumlisha ili 4 00:00:05,782 --> 00:00:07,459 tuweze kufanya ziwe kwenye namba za kukaribisha. 5 00:00:07,459 --> 00:00:12,376 Namba ambazo zinaweza kuwa vigawe vya 10 au vigawe vya 100 6 00:00:12,377 --> 00:00:15,993 Ngoja tuone, nina 63 jumlisha 427, 7 00:00:15,993 --> 00:00:18,628 na hii inaonekana kama ngumu, unajua, 8 00:00:18,628 --> 00:00:20,555 nahisi kama natakiwa kuandika ili kueleweka, 9 00:00:20,555 --> 00:00:22,866 lakini labda natakiwa kuchukua kutoka kwenye namba moja, 10 00:00:22,866 --> 00:00:24,433 na kuipa namba nyingine ili zote 11 00:00:24,433 --> 00:00:26,348 ziwe namba zilizokaribishwa, ni wazi 12 00:00:26,348 --> 00:00:29,970 kwamba 63, nikitoa tatu nitapata 60, 13 00:00:29,970 --> 00:00:32,732 na kama nitaipeleka hiyo tatu kwenye 427, 14 00:00:32,732 --> 00:00:35,913 itakuwa 430, na 60 jumlisha 430 15 00:00:35,914 --> 00:00:37,551 ni hesabu rahisi zaidi. 16 00:00:37,551 --> 00:00:39,292 Hebu tuone swali linauliza nini. 17 00:00:39,292 --> 00:00:41,928 Hebu tufuatilie hatua kwa hatua jinsi ya kulifanya. 18 00:00:41,928 --> 00:00:45,885 Swali linauliza 63 jumlisha 427 ni sawa 19 00:00:45,886 --> 00:00:49,810 na 60 jumlisha ngapi jumlisha 427. 20 00:00:49,810 --> 00:00:51,586 Kwa hiyo 60 jumlisha ngapi, hii ni 21 00:00:51,586 --> 00:00:53,838 sawa na 63, kwa sababu tuna 22 00:00:53,838 --> 00:00:58,749 427 sehemu zote, kwa hiyo 63 ni 60 jumlisha tatu. 23 00:00:58,749 --> 00:01:00,119 Hiyo inaleta maana. 24 00:01:00,119 --> 00:01:02,267 Katika hatua inayofuata, wamebadilisha mpangilio 25 00:01:02,267 --> 00:01:05,366 60 jumlisha tatu, na halafu ongeza 427 26 00:01:05,366 --> 00:01:07,366 ni sawa na kufanya 60 jumlisha 27 00:01:07,366 --> 00:01:11,131 na halafu ujumlishe tatu kwa 427 kwanza. 28 00:01:11,131 --> 00:01:12,374 Kwa hiyo tunaichukua hii tatu 29 00:01:12,374 --> 00:01:15,752 na kuihamisha kutoka kwa 63 kwenda kwa 427. 30 00:01:15,752 --> 00:01:20,232 Tatu jumlisha 427, hiyo ni sawa na 430. 31 00:01:20,233 --> 00:01:22,450 Na sasa hii hesabu ya kujumlisha imekuwa rahisi zaidi. 32 00:01:22,450 --> 00:01:25,109 60 jumlisha 430, tunaweza kufanya kwenye vichwa vyetu. 33 00:01:25,109 --> 00:01:27,291 Tanaongeza makumi sita kweye hii, 34 00:01:27,291 --> 00:01:31,470 kwa hiyo itakuwa 490, na tumemaliza. 35 00:01:31,470 --> 00:01:34,233 Hebu tufanye mifano zaidi ya hii. 36 00:01:34,233 --> 00:01:38,192 Kwa hiyo, hapa, tunataka 37 00:01:38,192 --> 00:01:40,189 kujumlisha hizi namba mbili, 38 00:01:40,189 --> 00:01:42,567 na ngoja tuone kama 39 00:01:42,567 --> 00:01:44,585 tunaweza kuzikaribisha. 40 00:01:44,585 --> 00:01:46,128 Kwa hiyo hapa, tunazivunja 41 00:01:46,129 --> 00:01:50,640 275 kwenye 270 na ziada. 42 00:01:50,640 --> 00:01:52,884 Hii itakuwa 270 jumlisha tano. 43 00:01:52,885 --> 00:01:54,243 Angalia namba nyingine bado iko vile vile, 44 00:01:54,243 --> 00:01:57,551 jumlisha 297. 45 00:01:57,552 --> 00:01:59,433 Sasa, kwa nini tunafanya hivyo? 46 00:01:59,433 --> 00:02:03,124 Tukichukua 5 kutoka kwenye 275 na kuipeleka kwenye 595, 47 00:02:03,124 --> 00:02:04,880 ambacho ndicho tunachokifanya hapa, 48 00:02:04,880 --> 00:02:05,829 595 itakuwa 600. 49 00:02:05,829 --> 00:02:08,229 Itafanya swali liwe rahisi 50 00:02:08,229 --> 00:02:09,485 Kwa hiyo, kwa mara nyingine, hapa tunajumlisha 51 00:02:09,485 --> 00:02:13,271 270 na tano kwanza, na halafu tunaongeza 595, 52 00:02:13,271 --> 00:02:15,220 lakini tunaweza kubadilisha mpangilio wa tunavyofanya. 53 00:02:15,221 --> 00:02:18,880 Tunaweza kujumlisha tano kwa 595 kwanza, 54 00:02:18,880 --> 00:02:19,470 na halafu tujumlishe 270. 55 00:02:19,470 --> 00:02:21,826 Hii ni sawa na 270 jumlisha, 56 00:02:21,826 --> 00:02:24,311 tano jumlisha 595 ni 600, na sababu 57 00:02:24,311 --> 00:02:27,608 kwa nini tumechukua tano kutoka kwenye 270 ni ili 58 00:02:27,608 --> 00:02:30,800 tuweze kuijumlisha kwenye 595 na kupata 600, 59 00:02:30,800 --> 00:02:31,949 na sasa tunaweza kufanya hili kwenye vichwa vyetu. 60 00:02:31,949 --> 00:02:34,805 270 jumlisha mamia 6, tutakwenda kuongeza 61 00:02:34,805 --> 00:02:39,201 mamia yetu kwa sita, kwa hiyo itakuwa 870. 62 00:02:39,201 --> 00:02:42,602 Ngoja tufanye mifano zaidi hapa. 63 00:02:42,603 --> 00:02:43,799 Jaza nafasi iliyoachwa wazi. 64 00:02:43,799 --> 00:02:48,802 51 jumlisha 83 ni sawa na nafasi iliyoachwa wazi jumlisha 84. 65 00:02:48,802 --> 00:02:51,959 Naam, wameongeza 83 kwa moja kupata 84, 66 00:02:51,960 --> 00:02:55,590 kwa hiyo tunatakiwa kupunguza 51 kwa moja. 67 00:02:55,590 --> 00:02:58,519 Hivyo, hii itakuwa sawa na 50 jumlisha 84. 68 00:02:58,519 --> 00:03:00,469 Sasa kwa nini mnatakiwa kujali hili? 69 00:03:00,469 --> 00:03:01,688 Kwa nini mjali? 70 00:03:01,688 --> 00:03:03,696 Kwa sababu sasa ni rahisi kufanya, 71 00:03:03,696 --> 00:03:04,927 kwa sababu sasa natakiwa niseme 72 00:03:04,927 --> 00:03:08,688 makumi nane jumlisha mamoja manne, jumlisha, jumlisha makumi mengine matano 73 00:03:08,688 --> 00:03:12,762 Hiyo itakuwa makumi 13 na mamoja manne, au 134. 74 00:03:12,763 --> 00:03:14,922 Kwa hiyo, hii naiona hii rahisi zaidi, 75 00:03:14,922 --> 00:03:17,325 lakini kitu cha muhimu ni kama tukiongeza moja kwenye namba 76 00:03:17,325 --> 00:03:19,369 tunatakiwa tutoe kiasi hicho hicho kwenye namba nyingine. 77 00:03:19,369 --> 00:03:21,330 ili kutokubadilisha thamani 78 00:03:21,330 --> 00:03:25,312 ya hesabu hii ya kujumlisha, kwenye swali hili. 79 00:03:25,312 --> 00:03:27,700 Hebu tufanye maswali zaidi. 80 00:03:27,700 --> 00:03:32,692 138 jumlisha 710 ni sawa na sehemu iliyoachwa wazi jumlisha 700 81 00:03:32,693 --> 00:03:35,559 Kwa hiyo tulikuw na 710, na sasa ni 700. 82 00:03:35,559 --> 00:03:37,916 Kwa hiyo tumetoa kumi kutoka kwenye hiyo namba, 83 00:03:37,916 --> 00:03:39,738 hivyo tunatakiwa tuipe namba nyingine. 84 00:03:39,738 --> 00:03:42,745 Hivyo tunatakiwa kuongeza 10 kwenye 138, 85 00:03:42,745 --> 00:03:45,380 kwa hiyo itakuwa 148. 86 00:03:45,380 --> 00:03:46,785 Sasa, kwa nini hiyo ilikuwa muhimu? 87 00:03:46,785 --> 00:03:49,454 Naam 148 jumlisha 700, unaweza kufanya hilo kichwani mwako. 88 00:03:49,455 --> 00:03:53,420 Itakuwa 848, na hiyo ni rahisi kufanya 89 00:03:53,420 --> 00:03:55,765 zaidi ya hichi tulichokuwa nacho hapa.