Japokuwa natokea kwenye mila, Ambayo mwanaume ni kiungo muhimu Nilikulia, kwenye nyumba ambayo. haku kuwa na mwanaume. Nililelewa na bibi wa upande wa mama Alikuwa ni jasiri nashukuru kuwepo kwake "Nguvu zote,nzuri,mbaya au zilizo katikati" Zitamsubiria kwa hamu mjinga jasiri Ambaye anajaribu kuianza ardhi mpya Usiogope furahia maisha yanavyoenda Nawaza kwa kingereza Ambayo ndiyo sababu iliyonifanya Nikajikuta naanza tumia lugha ya xhosa Nijikumbushe ni wapi nilipotokea Nikaamua jina la maonesho Liwe "zawelela ngale" Ni maneno mawili yanayoashiria kwenda upande mwingine