Japokuwa natokea kwenye mila,
Ambayo mwanaume ni kiungo muhimu
Nilikulia, kwenye nyumba ambayo. haku kuwa na mwanaume.
Nililelewa na bibi wa upande wa mama
Alikuwa ni jasiri nashukuru kuwepo kwake
"Nguvu zote,nzuri,mbaya au zilizo katikati"
Zitamsubiria kwa hamu mjinga jasiri
Ambaye anajaribu kuianza ardhi mpya
Usiogope furahia maisha yanavyoenda
Nawaza kwa kingereza
Ambayo ndiyo sababu iliyonifanya
Nikajikuta naanza tumia lugha ya xhosa
Nijikumbushe ni wapi nilipotokea
Nikaamua jina la maonesho Liwe "zawelela ngale"
Ni maneno mawili yanayoashiria kwenda upande mwingine