WEBVTT 00:00:01.060 --> 00:00:05.088 Mnamo Agosti 4, kulikuwa na mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Beirut, Lebanon. 00:00:05.088 --> 00:00:07.630 (Milipuko) 00:00:07.630 --> 00:00:10.950 Simu za rununu zilinasa mlipuko huo kutoka karibu kila pembe. 00:00:11.060 --> 00:00:12.148 Video zilisambaa 00:00:12.148 --> 00:00:13.488 kupitia mitandao ya kijamii 00:00:13.488 --> 00:00:15.470 na majukwaa ya ujumbe karibu mara moja. 00:00:15.890 --> 00:00:17.200 Baadhi zilikuwa halisi, 00:00:17.200 --> 00:00:18.525 baadhi ziliendeshwa. 00:00:18.525 --> 00:00:23.010 Chache zilionekana kuonyesha kombora kugonga kabla ya mlipuko huo. 00:00:23.970 --> 00:00:25.345 (Milipuko) 00:00:26.020 --> 00:00:28.010 Video hizi zilibadilishwa 00:00:28.010 --> 00:00:30.120 Mwanahabari mchunguzi Emmanuelle Saliba 00:00:30.120 --> 00:00:31.600 alipopokea moja ya video hizo 00:00:31.600 --> 00:00:32.600 tokea chanzo Beirut, 00:00:32.600 --> 00:00:34.990 alijua lazima aende kazini. 00:00:34.990 --> 00:00:36.370 Kama mwanahabari mchunguzaji, 00:00:36.370 --> 00:00:38.059 jukumu langu ni kujaribu kujua 00:00:38.059 --> 00:00:40.290 nini kilichosababisha mlipuko kwenye kesi hii. 00:00:40.310 --> 00:00:42.510 Kwa hivyo niliwasiliana na mtu 00:00:42.510 --> 00:00:43.940 ambaye anafanya biashara 00:00:43.940 --> 00:00:44.860 katika bandari la Beirut. 00:00:44.860 --> 00:00:47.180 Familia yake imekuwa ikifanya kazi huko kwa miaka 40. 00:00:47.180 --> 00:00:50.537 Na katika mabadilishano haya alisema: "Wacha nikutumie video." 00:00:50.537 --> 00:00:53.520 "Nadhani kombora lilisababisha mlipuko huo." 00:00:53.520 --> 00:00:55.300 Tayari nilikuwa na shauku sana 00:00:55.300 --> 00:01:00.430 kwa sababu nilikuwa nimeona baadhi kwa urahisi video zinazoweza kufichulika huko nje. 00:01:00.430 --> 00:01:02.290 Kwa hivyo tunachoangalia hapa 00:01:02.290 --> 00:01:05.315 ni video ya kwanza iliyotoka ambayo ilibadilishwa. 00:01:06.130 --> 00:01:07.890 Kinachovutia katika kesi hii ni - 00:01:07.890 --> 00:01:10.220 ni video halisi ya shahidi. 00:01:10.220 --> 00:01:11.910 kwa hivyo kweli tunaliona tukio hilo, 00:01:11.910 --> 00:01:15.280 lakini kile mtu huyo alifanya ni kuongeza kombora. 00:01:15.280 --> 00:01:18.823 Na nitawaonyesha video halisi, ambayo ni hii. 00:01:19.451 --> 00:01:22.384 (Gari yapiga honi) 00:01:23.004 --> 00:01:26.004 (Milipuko) 00:01:27.440 --> 00:01:31.330 Kikubwa kizuri sasa kuhusu 00:01:31.330 --> 00:01:32.330 kinacho endelea mtandaoni 00:01:32.330 --> 00:01:35.060 ni kuwa punde tu video iliyo badilishwa inapotokea, 00:01:35.060 --> 00:01:36.520 kuna waandishi wa habari wengi 00:01:36.520 --> 00:01:37.800 ambao wamefunzwa kufanya hivi, 00:01:37.800 --> 00:01:41.180 kuwa kwa kasi zinafichuliwa. 00:01:41.180 --> 00:01:43.376 Kwa hivyo mwenzangu katika BBC 00:01:43.376 --> 00:01:46.040 ambaye anaangazia juu ya habari za uongo, 00:01:46.040 --> 00:01:46.540 alifichua hili. 00:01:46.540 --> 00:01:50.130 Na tupo sote, ingawaje tunafanyia kazi kampuni tofauti, 00:01:50.130 --> 00:01:52.970 sote tunaangalia kazi za wenzetu na kusaidiana. 00:01:52.970 --> 00:01:54.850 Kwa hiyo nilikuwa na hilo kichwani wakati 00:01:54.850 --> 00:01:55.850 nilikuwa nazungumza na chanzo changu, 00:01:55.850 --> 00:01:59.047 na nikafikiri, "Wajua, tumesha ifichua video hii. 00:01:59.167 --> 00:02:00.987 Nina shaka sana kuhusu hili." 00:02:00.987 --> 00:02:01.990 "Nitumie." 00:02:01.990 --> 00:02:03.540 Alinitumia kwa njia ya WhatsApp 00:02:03.540 --> 00:02:04.900 na yeye alisema aliipata kutoka kwa 00:02:04.900 --> 00:02:05.890 marafiki na familia, unajua. 00:02:05.890 --> 00:02:09.200 Fikiria biashara yake imeharibiwa, wanataka majibu. 00:02:09.200 --> 00:02:11.540 Wanataka kujua ni nini kilisababisha mlipuko huo. 00:02:11.540 --> 00:02:14.620 Niliangalia video na ni video ya infrared. 00:02:14.620 --> 00:02:16.921 Nitakuonyesha toleo ambayo iko hapa, 00:02:16.921 --> 00:02:18.040 ambayo bado inaishi kwenye Twitter. 00:02:18.040 --> 00:02:19.773 Nitakuchezea ili uone. 00:02:23.441 --> 00:02:26.561 (Milipuko) 00:02:30.880 --> 00:02:33.305 Unaweza kuona kuwa hizi ni video mbili 00:02:33.305 --> 00:02:34.630 ambazo zimehaririwa pamoja 00:02:34.630 --> 00:02:36.140 kuifanya ionekane kama 00:02:36.140 --> 00:02:38.110 ni shoti moja mfululizo. 00:02:38.110 --> 00:02:39.495 Lakini kwa kuiangalia tu, 00:02:39.495 --> 00:02:40.900 mtu yeyote angeweza kuona kuwa 00:02:40.900 --> 00:02:42.810 zimechukuliwa kutoka pembe mbili tofauti. 00:02:42.810 --> 00:02:45.499 Pia kuna safu hii ya picha ya joto 00:02:45.499 --> 00:02:46.820 ambayo ni ya ajabu kidogo, 00:02:46.820 --> 00:02:49.130 ukizingatia hiyo video 00:02:49.130 --> 00:02:50.740 kamera huanguka kwenye sakafu 00:02:51.107 --> 00:02:53.860 na unaweza kuona ilichukuliwa na mwanadamu. 00:02:53.860 --> 00:02:56.990 Ni binadamu gani ana kamera ya infrared? 00:02:56.990 --> 00:02:58.847 Hii gia ni ya kitaalamu. 00:02:58.847 --> 00:03:00.595 Haki. Video inatetemeka. 00:03:00.595 --> 00:03:03.480 Hakuna picha za usalama ambazo zingetoka hivyo haraka 00:03:03.480 --> 00:03:05.220 kutokana na nguvu ya mlipuko huo. 00:03:05.220 --> 00:03:06.500 Kwa hivyo unaanza tu, kama, 00:03:06.500 --> 00:03:07.840 kuunganisha mambo haya pamoja. 00:03:07.840 --> 00:03:10.060 Nilitambua shoti hii ya kwanza 00:03:10.060 --> 00:03:12.838 na nilijua kuwa ilichukuliwa 00:03:12.838 --> 00:03:14.820 na mhariri wa mitandao ya kijamii 00:03:14.820 --> 00:03:16.400 ambaye kwa kweli alikuwa ardhini, 00:03:16.400 --> 00:03:17.400 ambaye anafanya kazi CNN. 00:03:17.400 --> 00:03:19.180 Na hii hapa video asili. 00:03:19.180 --> 00:03:21.140 Unaona, haina kichujio hicho. 00:03:22.010 --> 00:03:23.659 Na unapoicheza, 00:03:23.659 --> 00:03:25.950 (Milipuko) 00:03:26.650 --> 00:03:29.819 unaweza kuona kwamba hakuna kombora 00:03:29.819 --> 00:03:31.350 ambayo inapita angani na kugonga. 00:03:31.350 --> 00:03:32.600 Kwa hivyo hiyo iliongezwa. 00:03:32.600 --> 00:03:33.887 Nilizungumza naye na akasema, 00:03:33.887 --> 00:03:36.350 "Ndio, video yangu ilichukuliwa, ikabadilishwa. 00:03:36.350 --> 00:03:39.160 Na niliendelea kupata barua pepe hizi zote 00:03:39.160 --> 00:03:41.910 kuhusu kombora linalodhaniwa kwenye video yangu" 00:03:41.910 --> 00:03:43.640 ambayo unaweza kuona haipo. 00:03:43.640 --> 00:03:48.430 Na haraka baadaye, Twitter kweli iliweka tukio 00:03:48.430 --> 00:03:50.070 ili kuonyesha kwamba 00:03:50.070 --> 00:03:51.030 wachunguzi wa ukweli walikuwa wamehitimisha 00:03:51.030 --> 00:03:52.859 kwamba video ya mlipuko wa Beirut 00:03:52.859 --> 00:03:55.740 ilibadilishwa na ni pamoja na kombora bandia. 00:03:55.740 --> 00:03:58.699 Na walionyesha tweet yangu 00:03:58.699 --> 00:04:00.120 na thread yangu niliyoifanya 00:04:00.120 --> 00:04:03.300 na pia waliunganisha waandishi wengine wachache 00:04:03.300 --> 00:04:08.030 ambao pia wamekuwa wakifanya kazi sawa ya ufichuzi. 00:04:08.030 --> 00:04:09.537 Kwa hivyo ni muhimu kwetu 00:04:09.537 --> 00:04:12.567 kuwa wepesi kabisa kukataa haya 00:04:12.567 --> 00:04:14.930 na kuyafichua haraka 00:04:14.930 --> 00:04:17.780 nakuonyesha watu jinsi tunavyoifanya, sio? 00:04:17.780 --> 00:04:19.800 Ni rahisi kusema ni halisi. 00:04:19.800 --> 00:04:23.460 lakini tunahitaji watu kuelewa kwanini na ni vipi sio halisi. 00:04:23.460 --> 00:04:25.510 Kwa hivyo kweli nilimwandikia 00:04:25.510 --> 00:04:26.510 nikaziweka hatua zangu, nikasema, 00:04:26.510 --> 00:04:29.360 "Hivi ndivyo ninavyojua sio halisi." 00:04:29.360 --> 00:04:30.557 Na yeye akasema, 00:04:30.557 --> 00:04:31.557 "Sawa, hiyo ni nzuri sana kujua. 00:04:31.557 --> 00:04:32.620 Nitawaambia marafiki zangu 00:04:32.620 --> 00:04:33.620 na familia yangu." 00:04:33.620 --> 00:04:35.289 Na ni jambo linalosaidia sana, 00:04:35.289 --> 00:04:36.682 nadhani kama wewe ni mtu binafsi, 00:04:36.682 --> 00:04:41.280 kuunda orodha na waandishi wa habari hawa tofauti, 00:04:41.440 --> 00:04:43.780 ili uweze kuwafuatilia wakati habari zinapochipuka. 00:04:43.780 --> 00:04:46.651 Jenga jumuiya yako ndogo ya wataalam unaoamini, 00:04:46.651 --> 00:04:47.837 ambao wamethibitishwa, 00:04:47.837 --> 00:04:49.930 na kwa njia hiyo unaweza kuona kwamba 00:04:49.930 --> 00:04:50.930 kile unachotaka kushiriki 00:04:50.930 --> 00:04:52.560 kweli kilionekana hapa 00:04:52.560 --> 00:04:53.560 kama kitu ambacho hupaswi kufanya. 00:04:53.560 --> 00:04:54.350 Hasa. 00:04:54.720 --> 00:04:56.870 Mlipuko wa Agosti 4 katika Beirut 00:04:56.870 --> 00:04:57.870 ulikuwa wenye kuangamiza. 00:04:57.870 --> 00:05:00.220 Maisha yalipotea. Maelfu walijeruhiwa. 00:05:00.220 --> 00:05:02.730 Mabilioni ya dola ya uharibifu yalifanyika. 00:05:02.730 --> 00:05:05.770 Sote tulitaka kujua jinsi hii ilifanyika. 00:05:05.770 --> 00:05:08.020 Tulipata maelezo mara moja. 00:05:08.020 --> 00:05:11.000 Lakini habari za kuaminika huchukua muda. 00:05:11.090 --> 00:05:15.110 Kwa hivyo tunafanya nini wakati habari husafiri haraka kuliko ukweli? 00:05:15.290 --> 00:05:17.760 Unda orodha kama Emmanuelle anavyo pendekeza. 00:05:17.760 --> 00:05:19.302 Tafuta waandishi wa habari 00:05:19.302 --> 00:05:20.770 unao waamini na kuwafuata. 00:05:20.770 --> 00:05:22.400 Halafu habari kubwa inapochipuka - 00:05:22.400 --> 00:05:24.430 na ikiwa 2020 imetufundisha chochote, 00:05:24.430 --> 00:05:26.220 hakika itachipuka - 00:05:26.220 --> 00:05:28.860 utajua tayari kwenda kwa nani. 00:05:28.860 --> 00:05:30.600 Mpaka wakati ujao. Iweke kweli. 00:05:30.600 --> 00:05:31.600 Usieneze habari za uwongo. 00:05:31.600 --> 00:05:32.594 Mimi ni Hari Sreenivasan 00:05:32.594 --> 00:05:34.512 na hii ni Take On Fake. 00:05:37.062 --> 00:05:38.184 Asante kwa kutazama. 00:05:38.184 --> 00:05:40.175 kwa uchunguzi wa kina kama huu, 00:05:40.181 --> 00:05:42.023 fuata mgeni wetu Emmanuelle Saliba kwenye Twitter 00:05:42.023 --> 00:05:43.987 Unaweza kupata kiungo katika maelezo 00:05:43.987 --> 00:05:46.763 Tupe maoni yako kwenye maoni na usisahau ku subscribe, 00:05:46.763 --> 00:05:49.836 ili ujue lini kipindi kijacho cha TakeOnFake kitakapoanguka.