[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.06,0:00:05.09,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo Agosti 4, kulikuwa na mlipuko mkubwa\Nkwenye bandari ya Beirut, Lebanon. Dialogue: 0,0:00:05.09,0:00:07.63,Default,,0000,0000,0000,,(Milipuko) Dialogue: 0,0:00:07.63,0:00:10.95,Default,,0000,0000,0000,,Simu za rununu zilinasa mlipuko huo\Nkutoka karibu kila pembe. Dialogue: 0,0:00:11.06,0:00:12.15,Default,,0000,0000,0000,,Video zilisambaa Dialogue: 0,0:00:12.15,0:00:13.49,Default,,0000,0000,0000,,kupitia mitandao ya kijamii Dialogue: 0,0:00:13.49,0:00:15.47,Default,,0000,0000,0000,,na majukwaa ya ujumbe karibu mara moja. Dialogue: 0,0:00:15.89,0:00:17.20,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi zilikuwa halisi, Dialogue: 0,0:00:17.20,0:00:18.52,Default,,0000,0000,0000,,baadhi ziliendeshwa. Dialogue: 0,0:00:18.52,0:00:23.01,Default,,0000,0000,0000,,Chache zilionekana kuonyesha kombora\Nkugonga kabla ya mlipuko huo. Dialogue: 0,0:00:23.97,0:00:25.34,Default,,0000,0000,0000,,(Milipuko) Dialogue: 0,0:00:26.02,0:00:28.01,Default,,0000,0000,0000,,Video hizi zilibadilishwa Dialogue: 0,0:00:28.01,0:00:30.12,Default,,0000,0000,0000,,Mwanahabari mchunguzi Emmanuelle Saliba Dialogue: 0,0:00:30.12,0:00:31.60,Default,,0000,0000,0000,,alipopokea moja ya video hizo Dialogue: 0,0:00:31.60,0:00:32.60,Default,,0000,0000,0000,,tokea chanzo Beirut, Dialogue: 0,0:00:32.60,0:00:34.99,Default,,0000,0000,0000,,alijua lazima aende kazini. Dialogue: 0,0:00:34.99,0:00:36.37,Default,,0000,0000,0000,,Kama mwanahabari mchunguzaji, Dialogue: 0,0:00:36.37,0:00:38.06,Default,,0000,0000,0000,,jukumu langu ni kujaribu kujua Dialogue: 0,0:00:38.06,0:00:40.29,Default,,0000,0000,0000,,nini kilichosababisha mlipuko kwenye kesi hii. Dialogue: 0,0:00:40.31,0:00:42.51,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo niliwasiliana na mtu Dialogue: 0,0:00:42.51,0:00:43.94,Default,,0000,0000,0000,,ambaye anafanya biashara Dialogue: 0,0:00:43.94,0:00:44.86,Default,,0000,0000,0000,,katika bandari la Beirut. Dialogue: 0,0:00:44.86,0:00:47.18,Default,,0000,0000,0000,,Familia yake imekuwa\Nikifanya kazi huko kwa miaka 40. Dialogue: 0,0:00:47.18,0:00:50.54,Default,,0000,0000,0000,,Na katika mabadilishano haya alisema:\N"Wacha nikutumie video." Dialogue: 0,0:00:50.54,0:00:53.52,Default,,0000,0000,0000,,"Nadhani kombora lilisababisha mlipuko huo." Dialogue: 0,0:00:53.52,0:00:55.30,Default,,0000,0000,0000,,Tayari nilikuwa na shauku sana Dialogue: 0,0:00:55.30,0:01:00.43,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nilikuwa nimeona baadhi kwa urahisi\Nvideo zinazoweza kufichulika huko nje. Dialogue: 0,0:01:00.43,0:01:02.29,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tunachoangalia hapa Dialogue: 0,0:01:02.29,0:01:05.32,Default,,0000,0000,0000,,ni video ya kwanza iliyotoka ambayo ilibadilishwa. Dialogue: 0,0:01:06.13,0:01:07.89,Default,,0000,0000,0000,,Kinachovutia katika kesi hii ni - Dialogue: 0,0:01:07.89,0:01:10.22,Default,,0000,0000,0000,,ni video halisi ya shahidi. Dialogue: 0,0:01:10.22,0:01:11.91,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo kweli tunaliona tukio hilo, Dialogue: 0,0:01:11.91,0:01:15.28,Default,,0000,0000,0000,,lakini kile mtu huyo alifanya ni\Nkuongeza kombora. Dialogue: 0,0:01:15.28,0:01:18.82,Default,,0000,0000,0000,,Na nitawaonyesha video halisi, ambayo ni hii. Dialogue: 0,0:01:19.45,0:01:22.38,Default,,0000,0000,0000,,(Gari yapiga honi) Dialogue: 0,0:01:23.00,0:01:26.00,Default,,0000,0000,0000,,(Milipuko) Dialogue: 0,0:01:27.44,0:01:31.33,Default,,0000,0000,0000,,Kikubwa kizuri sasa kuhusu Dialogue: 0,0:01:31.33,0:01:32.33,Default,,0000,0000,0000,,kinacho endelea mtandaoni Dialogue: 0,0:01:32.33,0:01:35.06,Default,,0000,0000,0000,,ni kuwa punde tu video iliyo badilishwa inapotokea, Dialogue: 0,0:01:35.06,0:01:36.52,Default,,0000,0000,0000,,kuna waandishi wa habari wengi Dialogue: 0,0:01:36.52,0:01:37.80,Default,,0000,0000,0000,,ambao wamefunzwa kufanya hivi, Dialogue: 0,0:01:37.80,0:01:41.18,Default,,0000,0000,0000,,kuwa kwa kasi zinafichuliwa. Dialogue: 0,0:01:41.18,0:01:43.38,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo mwenzangu katika BBC Dialogue: 0,0:01:43.38,0:01:46.04,Default,,0000,0000,0000,,ambaye anaangazia\Njuu ya habari za uongo, Dialogue: 0,0:01:46.04,0:01:46.54,Default,,0000,0000,0000,,alifichua hili. Dialogue: 0,0:01:46.54,0:01:50.13,Default,,0000,0000,0000,,Na tupo sote, ingawaje tunafanyia kazi kampuni tofauti, Dialogue: 0,0:01:50.13,0:01:52.97,Default,,0000,0000,0000,,sote tunaangalia kazi za wenzetu na kusaidiana. Dialogue: 0,0:01:52.97,0:01:54.85,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo nilikuwa na hilo kichwani wakati Dialogue: 0,0:01:54.85,0:01:55.85,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa nazungumza na chanzo changu, Dialogue: 0,0:01:55.85,0:01:59.05,Default,,0000,0000,0000,,na nikafikiri, "Wajua, tumesha ifichua video hii. Dialogue: 0,0:01:59.17,0:02:00.99,Default,,0000,0000,0000,,Nina shaka sana kuhusu hili." Dialogue: 0,0:02:00.99,0:02:01.99,Default,,0000,0000,0000,,"Nitumie." Dialogue: 0,0:02:01.99,0:02:03.54,Default,,0000,0000,0000,,Alinitumia kwa njia ya WhatsApp Dialogue: 0,0:02:03.54,0:02:04.90,Default,,0000,0000,0000,,na yeye alisema aliipata kutoka kwa Dialogue: 0,0:02:04.90,0:02:05.89,Default,,0000,0000,0000,,marafiki na familia, unajua. Dialogue: 0,0:02:05.89,0:02:09.20,Default,,0000,0000,0000,,Fikiria biashara yake imeharibiwa, wanataka majibu. Dialogue: 0,0:02:09.20,0:02:11.54,Default,,0000,0000,0000,,Wanataka kujua ni nini kilisababisha mlipuko huo. Dialogue: 0,0:02:11.54,0:02:14.62,Default,,0000,0000,0000,,Niliangalia video na ni video ya infrared. Dialogue: 0,0:02:14.62,0:02:16.92,Default,,0000,0000,0000,,Nitakuonyesha toleo ambayo iko hapa, Dialogue: 0,0:02:16.92,0:02:18.04,Default,,0000,0000,0000,,ambayo bado inaishi kwenye Twitter. Dialogue: 0,0:02:18.04,0:02:19.77,Default,,0000,0000,0000,,Nitakuchezea ili uone. Dialogue: 0,0:02:23.44,0:02:26.56,Default,,0000,0000,0000,,(Milipuko) Dialogue: 0,0:02:30.88,0:02:33.30,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuona kuwa hizi ni video mbili Dialogue: 0,0:02:33.30,0:02:34.63,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zimehaririwa pamoja Dialogue: 0,0:02:34.63,0:02:36.14,Default,,0000,0000,0000,,kuifanya ionekane kama Dialogue: 0,0:02:36.14,0:02:38.11,Default,,0000,0000,0000,,ni shoti moja mfululizo. Dialogue: 0,0:02:38.11,0:02:39.50,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa kuiangalia tu, Dialogue: 0,0:02:39.50,0:02:40.90,Default,,0000,0000,0000,,mtu yeyote angeweza kuona kuwa Dialogue: 0,0:02:40.90,0:02:42.81,Default,,0000,0000,0000,,zimechukuliwa kutoka pembe mbili tofauti. Dialogue: 0,0:02:42.81,0:02:45.50,Default,,0000,0000,0000,,Pia kuna safu hii ya picha ya joto Dialogue: 0,0:02:45.50,0:02:46.82,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni ya ajabu kidogo, Dialogue: 0,0:02:46.82,0:02:49.13,Default,,0000,0000,0000,,ukizingatia hiyo video Dialogue: 0,0:02:49.13,0:02:50.74,Default,,0000,0000,0000,,kamera huanguka kwenye sakafu Dialogue: 0,0:02:51.11,0:02:53.86,Default,,0000,0000,0000,,na unaweza kuona ilichukuliwa na mwanadamu. Dialogue: 0,0:02:53.86,0:02:56.99,Default,,0000,0000,0000,,Ni binadamu gani ana kamera ya infrared? Dialogue: 0,0:02:56.99,0:02:58.85,Default,,0000,0000,0000,,Hii gia ni ya kitaalamu. Dialogue: 0,0:02:58.85,0:03:00.60,Default,,0000,0000,0000,,Haki. Video inatetemeka. Dialogue: 0,0:03:00.60,0:03:03.48,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna picha za usalama ambazo zingetoka hivyo haraka Dialogue: 0,0:03:03.48,0:03:05.22,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na nguvu ya mlipuko huo. Dialogue: 0,0:03:05.22,0:03:06.50,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo unaanza tu, kama, Dialogue: 0,0:03:06.50,0:03:07.84,Default,,0000,0000,0000,,kuunganisha mambo haya pamoja. Dialogue: 0,0:03:07.84,0:03:10.06,Default,,0000,0000,0000,,Nilitambua shoti hii ya kwanza Dialogue: 0,0:03:10.06,0:03:12.84,Default,,0000,0000,0000,,na nilijua kuwa ilichukuliwa Dialogue: 0,0:03:12.84,0:03:14.82,Default,,0000,0000,0000,,na mhariri wa mitandao ya kijamii Dialogue: 0,0:03:14.82,0:03:16.40,Default,,0000,0000,0000,,ambaye kwa kweli alikuwa ardhini, Dialogue: 0,0:03:16.40,0:03:17.40,Default,,0000,0000,0000,,ambaye anafanya kazi CNN. Dialogue: 0,0:03:17.40,0:03:19.18,Default,,0000,0000,0000,,Na hii hapa video asili. Dialogue: 0,0:03:19.18,0:03:21.14,Default,,0000,0000,0000,,Unaona, haina kichujio hicho. Dialogue: 0,0:03:22.01,0:03:23.66,Default,,0000,0000,0000,,Na unapoicheza, Dialogue: 0,0:03:23.66,0:03:25.95,Default,,0000,0000,0000,,(Milipuko) Dialogue: 0,0:03:26.65,0:03:29.82,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuona kwamba hakuna kombora Dialogue: 0,0:03:29.82,0:03:31.35,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inapita angani na kugonga. Dialogue: 0,0:03:31.35,0:03:32.60,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo hiyo iliongezwa. Dialogue: 0,0:03:32.60,0:03:33.89,Default,,0000,0000,0000,,Nilizungumza naye na akasema, Dialogue: 0,0:03:33.89,0:03:36.35,Default,,0000,0000,0000,,"Ndio, video yangu ilichukuliwa, ikabadilishwa. Dialogue: 0,0:03:36.35,0:03:39.16,Default,,0000,0000,0000,,Na niliendelea kupata barua pepe hizi zote Dialogue: 0,0:03:39.16,0:03:41.91,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu kombora linalodhaniwa kwenye video yangu" Dialogue: 0,0:03:41.91,0:03:43.64,Default,,0000,0000,0000,,ambayo unaweza kuona haipo. Dialogue: 0,0:03:43.64,0:03:48.43,Default,,0000,0000,0000,,Na haraka baadaye, Twitter kweli iliweka tukio Dialogue: 0,0:03:48.43,0:03:50.07,Default,,0000,0000,0000,,ili kuonyesha kwamba Dialogue: 0,0:03:50.07,0:03:51.03,Default,,0000,0000,0000,,wachunguzi wa ukweli walikuwa wamehitimisha Dialogue: 0,0:03:51.03,0:03:52.86,Default,,0000,0000,0000,,kwamba video ya mlipuko wa Beirut Dialogue: 0,0:03:52.86,0:03:55.74,Default,,0000,0000,0000,,ilibadilishwa na ni pamoja na kombora bandia. Dialogue: 0,0:03:55.74,0:03:58.70,Default,,0000,0000,0000,,Na walionyesha tweet yangu Dialogue: 0,0:03:58.70,0:04:00.12,Default,,0000,0000,0000,,na thread yangu niliyoifanya Dialogue: 0,0:04:00.12,0:04:03.30,Default,,0000,0000,0000,,na pia waliunganisha waandishi wengine wachache Dialogue: 0,0:04:03.30,0:04:08.03,Default,,0000,0000,0000,,ambao pia wamekuwa wakifanya kazi sawa ya ufichuzi. Dialogue: 0,0:04:08.03,0:04:09.54,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ni muhimu kwetu Dialogue: 0,0:04:09.54,0:04:12.57,Default,,0000,0000,0000,,kuwa wepesi kabisa kukataa haya Dialogue: 0,0:04:12.57,0:04:14.93,Default,,0000,0000,0000,,na kuyafichua haraka Dialogue: 0,0:04:14.93,0:04:17.78,Default,,0000,0000,0000,,nakuonyesha watu jinsi tunavyoifanya, sio? Dialogue: 0,0:04:17.78,0:04:19.80,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi kusema ni halisi. Dialogue: 0,0:04:19.80,0:04:23.46,Default,,0000,0000,0000,,lakini tunahitaji watu kuelewa kwanini na ni vipi sio halisi. Dialogue: 0,0:04:23.46,0:04:25.51,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kweli nilimwandikia Dialogue: 0,0:04:25.51,0:04:26.51,Default,,0000,0000,0000,,nikaziweka hatua zangu, nikasema, Dialogue: 0,0:04:26.51,0:04:29.36,Default,,0000,0000,0000,,"Hivi ndivyo ninavyojua sio halisi." Dialogue: 0,0:04:29.36,0:04:30.56,Default,,0000,0000,0000,,Na yeye akasema, Dialogue: 0,0:04:30.56,0:04:31.56,Default,,0000,0000,0000,,"Sawa, hiyo ni nzuri sana kujua. Dialogue: 0,0:04:31.56,0:04:32.62,Default,,0000,0000,0000,,Nitawaambia marafiki zangu Dialogue: 0,0:04:32.62,0:04:33.62,Default,,0000,0000,0000,,na familia yangu." Dialogue: 0,0:04:33.62,0:04:35.29,Default,,0000,0000,0000,,Na ni jambo linalosaidia sana, Dialogue: 0,0:04:35.29,0:04:36.68,Default,,0000,0000,0000,,nadhani kama wewe ni mtu binafsi, Dialogue: 0,0:04:36.68,0:04:41.28,Default,,0000,0000,0000,,kuunda orodha na waandishi wa habari hawa tofauti, Dialogue: 0,0:04:41.44,0:04:43.78,Default,,0000,0000,0000,,ili uweze kuwafuatilia wakati habari zinapochipuka. Dialogue: 0,0:04:43.78,0:04:46.65,Default,,0000,0000,0000,,Jenga jumuiya yako ndogo ya wataalam unaoamini, Dialogue: 0,0:04:46.65,0:04:47.84,Default,,0000,0000,0000,,ambao wamethibitishwa, Dialogue: 0,0:04:47.84,0:04:49.93,Default,,0000,0000,0000,,na kwa njia hiyo unaweza kuona kwamba Dialogue: 0,0:04:49.93,0:04:50.93,Default,,0000,0000,0000,,kile unachotaka kushiriki Dialogue: 0,0:04:50.93,0:04:52.56,Default,,0000,0000,0000,,kweli kilionekana hapa Dialogue: 0,0:04:52.56,0:04:53.56,Default,,0000,0000,0000,,kama kitu ambacho hupaswi kufanya. Dialogue: 0,0:04:53.56,0:04:54.35,Default,,0000,0000,0000,,Hasa. Dialogue: 0,0:04:54.72,0:04:56.87,Default,,0000,0000,0000,,Mlipuko wa Agosti 4 katika\NBeirut Dialogue: 0,0:04:56.87,0:04:57.87,Default,,0000,0000,0000,,ulikuwa wenye kuangamiza. Dialogue: 0,0:04:57.87,0:05:00.22,Default,,0000,0000,0000,,Maisha yalipotea. Maelfu walijeruhiwa. Dialogue: 0,0:05:00.22,0:05:02.73,Default,,0000,0000,0000,,Mabilioni ya dola ya uharibifu yalifanyika. Dialogue: 0,0:05:02.73,0:05:05.77,Default,,0000,0000,0000,,Sote tulitaka kujua jinsi hii ilifanyika. Dialogue: 0,0:05:05.77,0:05:08.02,Default,,0000,0000,0000,,Tulipata maelezo mara moja. Dialogue: 0,0:05:08.02,0:05:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini habari za kuaminika huchukua muda. Dialogue: 0,0:05:11.09,0:05:15.11,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tunafanya nini wakati habari\Nhusafiri haraka kuliko ukweli? Dialogue: 0,0:05:15.29,0:05:17.76,Default,,0000,0000,0000,,Unda orodha kama Emmanuelle anavyo pendekeza. Dialogue: 0,0:05:17.76,0:05:19.30,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta waandishi wa habari Dialogue: 0,0:05:19.30,0:05:20.77,Default,,0000,0000,0000,,unao waamini na kuwafuata. Dialogue: 0,0:05:20.77,0:05:22.40,Default,,0000,0000,0000,,Halafu habari kubwa inapochipuka - Dialogue: 0,0:05:22.40,0:05:24.43,Default,,0000,0000,0000,,na ikiwa 2020 imetufundisha chochote, Dialogue: 0,0:05:24.43,0:05:26.22,Default,,0000,0000,0000,,hakika itachipuka - Dialogue: 0,0:05:26.22,0:05:28.86,Default,,0000,0000,0000,,utajua tayari kwenda kwa nani. Dialogue: 0,0:05:28.86,0:05:30.60,Default,,0000,0000,0000,,Mpaka wakati ujao. Iweke kweli. Dialogue: 0,0:05:30.60,0:05:31.60,Default,,0000,0000,0000,,Usieneze habari za uwongo. Dialogue: 0,0:05:31.60,0:05:32.59,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Hari Sreenivasan Dialogue: 0,0:05:32.59,0:05:34.51,Default,,0000,0000,0000,,na hii ni Take On Fake. Dialogue: 0,0:05:37.06,0:05:38.18,Default,,0000,0000,0000,,Asante kwa kutazama. Dialogue: 0,0:05:38.18,0:05:40.18,Default,,0000,0000,0000,,kwa uchunguzi wa kina kama huu, Dialogue: 0,0:05:40.18,0:05:42.02,Default,,0000,0000,0000,,fuata mgeni wetu Emmanuelle Saliba kwenye Twitter Dialogue: 0,0:05:42.02,0:05:43.99,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kupata kiungo katika maelezo Dialogue: 0,0:05:43.99,0:05:46.76,Default,,0000,0000,0000,,Tupe maoni yako kwenye maoni\Nna usisahau ku subscribe, Dialogue: 0,0:05:46.76,0:05:49.84,Default,,0000,0000,0000,,ili ujue lini kipindi kijacho cha TakeOnFake kitakapoanguka.