1 00:00:01,060 --> 00:00:05,088 Mnamo Agosti 4, kulikuwa na mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Beirut, Lebanon. 2 00:00:05,088 --> 00:00:07,630 (Milipuko) 3 00:00:07,630 --> 00:00:10,950 Simu za rununu zilinasa mlipuko huo kutoka karibu kila pembe. 4 00:00:11,060 --> 00:00:12,148 Video zilisambaa 5 00:00:12,148 --> 00:00:13,488 kupitia mitandao ya kijamii 6 00:00:13,488 --> 00:00:15,470 na majukwaa ya ujumbe karibu mara moja. 7 00:00:15,890 --> 00:00:17,200 Baadhi zilikuwa halisi, 8 00:00:17,200 --> 00:00:18,525 baadhi ziliendeshwa. 9 00:00:18,525 --> 00:00:23,010 Chache zilionekana kuonyesha kombora kugonga kabla ya mlipuko huo. 10 00:00:23,970 --> 00:00:25,345 (Milipuko) 11 00:00:26,020 --> 00:00:28,010 Video hizi zilibadilishwa 12 00:00:28,010 --> 00:00:30,120 Mwanahabari mchunguzi Emmanuelle Saliba 13 00:00:30,120 --> 00:00:31,600 alipopokea moja ya video hizo 14 00:00:31,600 --> 00:00:32,600 tokea chanzo Beirut, 15 00:00:32,600 --> 00:00:34,990 alijua lazima aende kazini. 16 00:00:34,990 --> 00:00:36,370 Kama mwanahabari mchunguzaji, 17 00:00:36,370 --> 00:00:38,059 jukumu langu ni kujaribu kujua 18 00:00:38,059 --> 00:00:40,290 nini kilichosababisha mlipuko kwenye kesi hii. 19 00:00:40,310 --> 00:00:42,510 Kwa hivyo niliwasiliana na mtu 20 00:00:42,510 --> 00:00:43,940 ambaye anafanya biashara 21 00:00:43,940 --> 00:00:44,860 katika bandari la Beirut. 22 00:00:44,860 --> 00:00:47,180 Familia yake imekuwa ikifanya kazi huko kwa miaka 40. 23 00:00:47,180 --> 00:00:50,537 Na katika mabadilishano haya alisema: "Wacha nikutumie video." 24 00:00:50,537 --> 00:00:53,520 "Nadhani kombora lilisababisha mlipuko huo." 25 00:00:53,520 --> 00:00:55,300 Tayari nilikuwa na shauku sana 26 00:00:55,300 --> 00:01:00,430 kwa sababu nilikuwa nimeona baadhi kwa urahisi video zinazoweza kufichulika huko nje. 27 00:01:00,430 --> 00:01:02,290 Kwa hivyo tunachoangalia hapa 28 00:01:02,290 --> 00:01:05,315 ni video ya kwanza iliyotoka ambayo ilibadilishwa. 29 00:01:06,130 --> 00:01:07,890 Kinachovutia katika kesi hii ni - 30 00:01:07,890 --> 00:01:10,220 ni video halisi ya shahidi. 31 00:01:10,220 --> 00:01:11,910 kwa hivyo kweli tunaliona tukio hilo, 32 00:01:11,910 --> 00:01:15,280 lakini kile mtu huyo alifanya ni kuongeza kombora. 33 00:01:15,280 --> 00:01:18,823 Na nitawaonyesha video halisi, ambayo ni hii. 34 00:01:19,451 --> 00:01:22,384 (Gari yapiga honi) 35 00:01:23,004 --> 00:01:26,004 (Milipuko) 36 00:01:27,440 --> 00:01:31,330 Kikubwa kizuri sasa kuhusu 37 00:01:31,330 --> 00:01:32,330 kinacho endelea mtandaoni 38 00:01:32,330 --> 00:01:35,060 ni kuwa punde tu video iliyo badilishwa inapotokea, 39 00:01:35,060 --> 00:01:36,520 kuna waandishi wa habari wengi 40 00:01:36,520 --> 00:01:37,800 ambao wamefunzwa kufanya hivi, 41 00:01:37,800 --> 00:01:41,180 kuwa kwa kasi zinafichuliwa. 42 00:01:41,180 --> 00:01:43,376 Kwa hivyo mwenzangu katika BBC 43 00:01:43,376 --> 00:01:46,040 ambaye anaangazia juu ya habari za uongo, 44 00:01:46,040 --> 00:01:46,540 alifichua hili. 45 00:01:46,540 --> 00:01:50,130 Na tupo sote, ingawaje tunafanyia kazi kampuni tofauti, 46 00:01:50,130 --> 00:01:52,970 sote tunaangalia kazi za wenzetu na kusaidiana. 47 00:01:52,970 --> 00:01:54,850 Kwa hiyo nilikuwa na hilo kichwani wakati 48 00:01:54,850 --> 00:01:55,850 nilikuwa nazungumza na chanzo changu, 49 00:01:55,850 --> 00:01:59,047 na nikafikiri, "Wajua, tumesha ifichua video hii. 50 00:01:59,167 --> 00:02:00,987 Nina shaka sana kuhusu hili." 51 00:02:00,987 --> 00:02:01,990 "Nitumie." 52 00:02:01,990 --> 00:02:03,540 Alinitumia kwa njia ya WhatsApp 53 00:02:03,540 --> 00:02:04,900 na yeye alisema aliipata kutoka kwa 54 00:02:04,900 --> 00:02:05,890 marafiki na familia, unajua. 55 00:02:05,890 --> 00:02:09,200 Fikiria biashara yake imeharibiwa, wanataka majibu. 56 00:02:09,200 --> 00:02:11,540 Wanataka kujua ni nini kilisababisha mlipuko huo. 57 00:02:11,540 --> 00:02:14,620 Niliangalia video na ni video ya infrared. 58 00:02:14,620 --> 00:02:16,921 Nitakuonyesha toleo ambayo iko hapa, 59 00:02:16,921 --> 00:02:18,040 ambayo bado inaishi kwenye Twitter. 60 00:02:18,040 --> 00:02:19,773 Nitakuchezea ili uone. 61 00:02:23,441 --> 00:02:26,561 (Milipuko) 62 00:02:30,880 --> 00:02:33,305 Unaweza kuona kuwa hizi ni video mbili 63 00:02:33,305 --> 00:02:34,630 ambazo zimehaririwa pamoja 64 00:02:34,630 --> 00:02:36,140 kuifanya ionekane kama 65 00:02:36,140 --> 00:02:38,110 ni shoti moja mfululizo. 66 00:02:38,110 --> 00:02:39,495 Lakini kwa kuiangalia tu, 67 00:02:39,495 --> 00:02:40,900 mtu yeyote angeweza kuona kuwa 68 00:02:40,900 --> 00:02:42,810 zimechukuliwa kutoka pembe mbili tofauti. 69 00:02:42,810 --> 00:02:45,499 Pia kuna safu hii ya picha ya joto 70 00:02:45,499 --> 00:02:46,820 ambayo ni ya ajabu kidogo, 71 00:02:46,820 --> 00:02:49,130 ukizingatia hiyo video 72 00:02:49,130 --> 00:02:50,740 kamera huanguka kwenye sakafu 73 00:02:51,107 --> 00:02:53,860 na unaweza kuona ilichukuliwa na mwanadamu. 74 00:02:53,860 --> 00:02:56,990 Ni binadamu gani ana kamera ya infrared? 75 00:02:56,990 --> 00:02:58,847 Hii gia ni ya kitaalamu. 76 00:02:58,847 --> 00:03:00,595 Haki. Video inatetemeka. 77 00:03:00,595 --> 00:03:03,480 Hakuna picha za usalama ambazo zingetoka hivyo haraka 78 00:03:03,480 --> 00:03:05,220 kutokana na nguvu ya mlipuko huo. 79 00:03:05,220 --> 00:03:06,500 Kwa hivyo unaanza tu, kama, 80 00:03:06,500 --> 00:03:07,840 kuunganisha mambo haya pamoja. 81 00:03:07,840 --> 00:03:10,060 Nilitambua shoti hii ya kwanza 82 00:03:10,060 --> 00:03:12,838 na nilijua kuwa ilichukuliwa 83 00:03:12,838 --> 00:03:14,820 na mhariri wa mitandao ya kijamii 84 00:03:14,820 --> 00:03:16,400 ambaye kwa kweli alikuwa ardhini, 85 00:03:16,400 --> 00:03:17,400 ambaye anafanya kazi CNN. 86 00:03:17,400 --> 00:03:19,180 Na hii hapa video asili. 87 00:03:19,180 --> 00:03:21,140 Unaona, haina kichujio hicho. 88 00:03:22,010 --> 00:03:23,659 Na unapoicheza, 89 00:03:23,659 --> 00:03:25,950 (Milipuko) 90 00:03:26,650 --> 00:03:29,819 unaweza kuona kwamba hakuna kombora 91 00:03:29,819 --> 00:03:31,350 ambayo inapita angani na kugonga. 92 00:03:31,350 --> 00:03:32,600 Kwa hivyo hiyo iliongezwa. 93 00:03:32,600 --> 00:03:33,887 Nilizungumza naye na akasema, 94 00:03:33,887 --> 00:03:36,350 "Ndio, video yangu ilichukuliwa, ikabadilishwa. 95 00:03:36,350 --> 00:03:39,160 Na niliendelea kupata barua pepe hizi zote 96 00:03:39,160 --> 00:03:41,910 kuhusu kombora linalodhaniwa kwenye video yangu" 97 00:03:41,910 --> 00:03:43,640 ambayo unaweza kuona haipo. 98 00:03:43,640 --> 00:03:48,430 Na haraka baadaye, Twitter kweli iliweka tukio 99 00:03:48,430 --> 00:03:50,070 ili kuonyesha kwamba 100 00:03:50,070 --> 00:03:51,030 wachunguzi wa ukweli walikuwa wamehitimisha 101 00:03:51,030 --> 00:03:52,859 kwamba video ya mlipuko wa Beirut 102 00:03:52,859 --> 00:03:55,740 ilibadilishwa na ni pamoja na kombora bandia. 103 00:03:55,740 --> 00:03:58,699 Na walionyesha tweet yangu 104 00:03:58,699 --> 00:04:00,120 na thread yangu niliyoifanya 105 00:04:00,120 --> 00:04:03,300 na pia waliunganisha waandishi wengine wachache 106 00:04:03,300 --> 00:04:08,030 ambao pia wamekuwa wakifanya kazi sawa ya ufichuzi. 107 00:04:08,030 --> 00:04:09,537 Kwa hivyo ni muhimu kwetu 108 00:04:09,537 --> 00:04:12,567 kuwa wepesi kabisa kukataa haya 109 00:04:12,567 --> 00:04:14,930 na kuyafichua haraka 110 00:04:14,930 --> 00:04:17,780 nakuonyesha watu jinsi tunavyoifanya, sio? 111 00:04:17,780 --> 00:04:19,800 Ni rahisi kusema ni halisi. 112 00:04:19,800 --> 00:04:23,460 lakini tunahitaji watu kuelewa kwanini na ni vipi sio halisi. 113 00:04:23,460 --> 00:04:25,510 Kwa hivyo kweli nilimwandikia 114 00:04:25,510 --> 00:04:26,510 nikaziweka hatua zangu, nikasema, 115 00:04:26,510 --> 00:04:29,360 "Hivi ndivyo ninavyojua sio halisi." 116 00:04:29,360 --> 00:04:30,557 Na yeye akasema, 117 00:04:30,557 --> 00:04:31,557 "Sawa, hiyo ni nzuri sana kujua. 118 00:04:31,557 --> 00:04:32,620 Nitawaambia marafiki zangu 119 00:04:32,620 --> 00:04:33,620 na familia yangu." 120 00:04:33,620 --> 00:04:35,289 Na ni jambo linalosaidia sana, 121 00:04:35,289 --> 00:04:36,682 nadhani kama wewe ni mtu binafsi, 122 00:04:36,682 --> 00:04:41,280 kuunda orodha na waandishi wa habari hawa tofauti, 123 00:04:41,440 --> 00:04:43,780 ili uweze kuwafuatilia wakati habari zinapochipuka. 124 00:04:43,780 --> 00:04:46,651 Jenga jumuiya yako ndogo ya wataalam unaoamini, 125 00:04:46,651 --> 00:04:47,837 ambao wamethibitishwa, 126 00:04:47,837 --> 00:04:49,930 na kwa njia hiyo unaweza kuona kwamba 127 00:04:49,930 --> 00:04:50,930 kile unachotaka kushiriki 128 00:04:50,930 --> 00:04:52,560 kweli kilionekana hapa 129 00:04:52,560 --> 00:04:53,560 kama kitu ambacho hupaswi kufanya. 130 00:04:53,560 --> 00:04:54,350 Hasa. 131 00:04:54,720 --> 00:04:56,870 Mlipuko wa Agosti 4 katika Beirut 132 00:04:56,870 --> 00:04:57,870 ulikuwa wenye kuangamiza. 133 00:04:57,870 --> 00:05:00,220 Maisha yalipotea. Maelfu walijeruhiwa. 134 00:05:00,220 --> 00:05:02,730 Mabilioni ya dola ya uharibifu yalifanyika. 135 00:05:02,730 --> 00:05:05,770 Sote tulitaka kujua jinsi hii ilifanyika. 136 00:05:05,770 --> 00:05:08,020 Tulipata maelezo mara moja. 137 00:05:08,020 --> 00:05:11,000 Lakini habari za kuaminika huchukua muda. 138 00:05:11,090 --> 00:05:15,110 Kwa hivyo tunafanya nini wakati habari husafiri haraka kuliko ukweli? 139 00:05:15,290 --> 00:05:17,760 Unda orodha kama Emmanuelle anavyo pendekeza. 140 00:05:17,760 --> 00:05:19,302 Tafuta waandishi wa habari 141 00:05:19,302 --> 00:05:20,770 unao waamini na kuwafuata. 142 00:05:20,770 --> 00:05:22,400 Halafu habari kubwa inapochipuka - 143 00:05:22,400 --> 00:05:24,430 na ikiwa 2020 imetufundisha chochote, 144 00:05:24,430 --> 00:05:26,220 hakika itachipuka - 145 00:05:26,220 --> 00:05:28,860 utajua tayari kwenda kwa nani. 146 00:05:28,860 --> 00:05:30,600 Mpaka wakati ujao. Iweke kweli. 147 00:05:30,600 --> 00:05:31,600 Usieneze habari za uwongo. 148 00:05:31,600 --> 00:05:32,594 Mimi ni Hari Sreenivasan 149 00:05:32,594 --> 00:05:34,512 na hii ni Take On Fake. 150 00:05:37,062 --> 00:05:38,184 Asante kwa kutazama. 151 00:05:38,184 --> 00:05:40,175 kwa uchunguzi wa kina kama huu, 152 00:05:40,181 --> 00:05:42,023 fuata mgeni wetu Emmanuelle Saliba kwenye Twitter 153 00:05:42,023 --> 00:05:43,987 Unaweza kupata kiungo katika maelezo 154 00:05:43,987 --> 00:05:46,763 Tupe maoni yako kwenye maoni na usisahau ku subscribe, 155 00:05:46,763 --> 00:05:49,836 ili ujue lini kipindi kijacho cha TakeOnFake kitakapoanguka.