1 00:00:01,060 --> 00:00:05,088 Mnamo Agosti 4, kulikuwa na mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Beirut, Lebanon. 2 00:00:05,088 --> 00:00:07,630 (Milipuko) 3 00:00:07,630 --> 00:00:10,950 Simu za rununu zilinasa mlipuko huo kutoka karibu kila pembe. 4 00:00:11,060 --> 00:00:13,790 Video zilisambaa 5 00:00:13,790 --> 00:00:14,790 kupitia mitandao ya kijamii 6 00:00:14,790 --> 00:00:15,290 na majukwaa ya ujumbe 7 00:00:15,290 --> 00:00:15,790 karibu mara moja. 8 00:00:15,790 --> 00:00:17,525 Baadhi zilikuwa halisi, 9 00:00:17,525 --> 00:00:18,525 baadhi ziliendeshwa. 10 00:00:18,525 --> 00:00:23,010 Chache zilionekana kuonyesha kombora kugonga kabla ya mlipuko huo. 11 00:00:23,010 --> 00:00:25,345 (Milipuko) 12 00:00:26,020 --> 00:00:28,010 Video hizi zilibadilishwa 13 00:00:28,010 --> 00:00:30,120 Mwanahabari mchunguzi Emmanuelle Saliba 14 00:00:30,120 --> 00:00:31,600 alipopokea moja ya video hizo 15 00:00:31,600 --> 00:00:32,600 tokea chanzo Beirut, 16 00:00:32,600 --> 00:00:34,990 alijua lazima aende kazini. 17 00:00:34,990 --> 00:00:36,370 Kama mwanahabari mchunguzaji, 18 00:00:36,370 --> 00:00:39,070 jukumu langu ni kujaribu kujua 19 00:00:39,070 --> 00:00:39,570 nini kilichosababisha 20 00:00:39,570 --> 00:00:40,070 mlipuko kwenye kesi hii 21 00:00:40,070 --> 00:00:43,860 Kwa hivyo niliwasiliana na mtu 22 00:00:43,860 --> 00:00:44,360 ambaye anafanya biashara 23 00:00:44,360 --> 00:00:44,860 katika bandari la Beirut. 24 00:00:44,860 --> 00:00:47,180 Familia yake imekuwa ikifanya kazi huko kwa miaka 40. 25 00:00:47,180 --> 00:00:50,537 Na katika mabadilishano haya alisema: "Wacha nikutumie video." 26 00:00:50,537 --> 00:00:53,520 "Nadhani kombora lilisababisha mlipuko huo." 27 00:00:53,520 --> 00:00:55,300 Tayari nilikuwa na shauku sana 28 00:00:55,300 --> 00:01:00,430 kwa sababu nilikuwa nimeona baadhi kwa urahisi video zinazoweza kufichulika huko nje. 29 00:01:00,430 --> 00:01:05,310 Kwa hivyo tunachoangalia hapa ni video ya kwanza iliyotoka ambayo ilibadilishwa. 30 00:01:06,130 --> 00:01:07,890 Kinachovutia katika kesi hii ni - 31 00:01:07,890 --> 00:01:10,220 ni video halisi ya shahidi. 32 00:01:10,220 --> 00:01:11,910 kwa hivyo kweli tunaliona tukio hilo, 33 00:01:11,910 --> 00:01:15,280 lakini kile mtu huyo alifanya ni iliongeza kombora. 34 00:01:15,280 --> 00:01:18,823 Na nitawaonyesha video halisi, ambayo ni hii. 35 00:01:19,451 --> 00:01:22,384 (Gari yapiga honi) 36 00:01:23,004 --> 00:01:26,004 (Milipuko) 37 00:01:27,440 --> 00:01:32,330 Kikubwa kizuri sasa kuhusu kinacho endelea mtandaoni 38 00:01:32,330 --> 00:01:35,060 ni kuwa punde tu video iliyo badilishwa inapotokea, 39 00:01:35,060 --> 00:01:37,800 kuna waandishi wa habari wengi ambao wamefunzwa kufanya hivi, 40 00:01:37,800 --> 00:01:41,180 kuwa kwa kasi zinafichuliwa. 41 00:01:41,180 --> 00:01:46,370 Kwa hivyo mwenzangu katika BBC ambaye anaangazia juu ya habari za uongo, alifichua hili. 42 00:01:46,540 --> 00:01:50,130 Na tupo sote, ingawaje tunafanyia kazi kampuni tofauti, 43 00:01:50,130 --> 00:01:52,970 sote tunaangalia kazi za wenzetu na kusaidiana. 44 00:01:52,970 --> 00:01:55,850 Kwa hiyo nilikuwa na hilo kichwani wakati Nilikuwa nazungumza na chanzo changu, 45 00:01:55,850 --> 00:01:59,047 na nikafikiri, "Wajua, tumesha ifichua video hii. 46 00:01:59,167 --> 00:02:00,987 Nina shaka sana kuhusu hili." 47 00:02:00,987 --> 00:02:01,990 "Nitumie." 48 00:02:01,990 --> 00:02:05,890 Alinitumia kwa njia ya WhatsApp na yeye alisema aliipata kutoka kwa marafiki na familia. 49 00:02:05,890 --> 00:02:09,200 Unajua, fikiria biashara yake imeharibiwa, wanataka majibu. 50 00:02:09,200 --> 00:02:11,540 Wanataka kujua ni nini kilisababisha mlipuko huo. 51 00:02:11,540 --> 00:02:14,620 Niliangalia video na ni video ya infrared. 52 00:02:14,620 --> 00:02:18,040 Nitakuonyesha toleo ambayo iko hapa, ambayo bado inaishi kwenye Twitter. 53 00:02:18,040 --> 00:02:19,773 Nitakuchezea ili uone. 54 00:02:23,441 --> 00:02:26,561 (Milipuko) 55 00:02:30,880 --> 00:02:34,630 Unaweza kuona kuwa hizi ni video mbili ambazo zimehaririwa pamoja 56 00:02:34,630 --> 00:02:38,110 kuifanya ionekane kama ni shoti moja mfululizo. 57 00:02:38,110 --> 00:02:40,900 Lakini kwa kuiangalia tu, mtu yeyote angeweza kuona kuwa 58 00:02:40,900 --> 00:02:42,810 zimechukuliwa kutoka pembe mbili tofauti. 59 00:02:42,810 --> 00:02:46,820 Pia kuna safu hii ya picha ya joto ambayo ni ya ajabu kidogo, 60 00:02:46,820 --> 00:02:50,130 ukizingatia hiyo video kamera huanguka kwenye sakafu 61 00:02:50,130 --> 00:02:53,860 na unaweza kuona ilichukuliwa na mwanadamu. 62 00:02:53,860 --> 00:02:56,990 Ni binadamu gani ana kamera ya infrared? 63 00:02:56,990 --> 00:02:58,847 Hii gia ni ya kitaalamu. 64 00:02:58,847 --> 00:03:00,595 Haki. Video inatetemeka. 65 00:03:00,595 --> 00:03:03,480 Hakuna picha za usalama ambazo zingetoka hivyo haraka 66 00:03:03,480 --> 00:03:05,220 kutokana na nguvu ya mlipuko huo. 67 00:03:05,220 --> 00:03:07,840 Kwa hivyo unaanza tu, kama, kuunganisha mambo haya pamoja. 68 00:03:07,840 --> 00:03:10,060 Nilitambua shoti hii ya kwanza 69 00:03:10,060 --> 00:03:14,820 na nilijua kuwa ilichukuliwa na mhariri wa mitandao ya kijamii 70 00:03:14,820 --> 00:03:17,400 ambaye kwa kweli alikuwa ardhini, ambaye anafanya kazi CNN. 71 00:03:17,400 --> 00:03:19,180 Na hii hapa video asili. 72 00:03:19,180 --> 00:03:21,140 Unaona, haina kichujio hicho. 73 00:03:22,010 --> 00:03:23,659 Na unapoicheza, 74 00:03:23,659 --> 00:03:25,950 (Milipuko) 75 00:03:26,650 --> 00:03:31,350 unaweza kuona kwamba hakuna kombora ambayo inapita angani na kugonga. 76 00:03:31,350 --> 00:03:32,600 Kwa hivyo hiyo iliongezwa. 77 00:03:32,600 --> 00:03:33,887 Nilizungumza naye na akasema, 78 00:03:33,887 --> 00:03:36,350 "Ndio, video yangu ilichukuliwa, ikabadilishwa. 79 00:03:36,350 --> 00:03:41,600 Na niliendelea kupata barua pepe hizi zote kuhusu kombora linalodhaniwa kwenye video yangu" 80 00:03:41,910 --> 00:03:43,640 ambayo unaweza kuona haipo. 81 00:03:43,640 --> 00:03:48,430 Na haraka baadaye, Twitter kweli iliweka tukio 82 00:03:49,110 --> 00:03:51,030 ili kuonyesha kwamba wachunguzi wa ukweli walikuwa wamehitimisha 83 00:03:51,030 --> 00:03:55,740 kwamba video ya mlipuko wa Beirut ilibadilishwa na ni pamoja na kombora bandia. 84 00:03:55,740 --> 00:04:00,120 Na walionyesha tweet yangu na thread yangu niliyoifanya 85 00:04:00,120 --> 00:04:03,300 na pia waliunganisha waandishi wengine wachache 86 00:04:03,300 --> 00:04:08,030 ambao pia wamekuwa wakifanya kazi sawa ya ufichuzi. 87 00:04:08,030 --> 00:04:12,567 Kwa hivyo ni muhimu kwetu kuwa wepesi kabisa kukataa haya 88 00:04:12,567 --> 00:04:14,930 na kuyafichua haraka 89 00:04:14,930 --> 00:04:17,780 nakuonyesha watu jinsi tunavyoifanya, sio? 90 00:04:17,780 --> 00:04:19,800 Ni rahisi kusema ni halisi. 91 00:04:19,800 --> 00:04:23,460 lakini tunahitaji watu kuelewa kwanini na ni vipi sio halisi. 92 00:04:23,460 --> 00:04:26,510 Kwa hivyo kweli nilimwandikia nikaziweka hatua zangu, nikasema, 93 00:04:26,510 --> 00:04:29,360 "Hivi ndivyo ninavyojua sio halisi." 94 00:04:29,360 --> 00:04:31,557 Na yeye akasema, "Sawa, hiyo ni nzuri sana kujua. 95 00:04:31,557 --> 00:04:33,520 Nitawaambia marafiki zangu na familia yangu." 96 00:04:33,620 --> 00:04:37,159 Na ni jambo linalosaidia sana, nadhani kama wewe ni mtu binafsi, kuunda orodha 97 00:04:37,159 --> 00:04:41,280 na waandishi wa habari hawa tofauti, 98 00:04:41,440 --> 00:04:43,780 ili uweze kuwafuatilia wakati habari zinapochipuka. 99 00:04:43,780 --> 00:04:47,837 Jenga jumuiya yako ndogo ya wataalam unaoamini, ambao wamethibitishwa, 100 00:04:47,837 --> 00:04:50,930 na kwa njia hiyo unaweza kuona kwamba kile unachotaka kushiriki 101 00:04:50,930 --> 00:04:53,560 kweli kilionekana hapa kama kitu ambacho hupaswi kufanya. 102 00:04:53,560 --> 00:04:54,720 Hasa. 103 00:04:54,720 --> 00:04:57,870 Mlipuko wa Agosti 4 katika Beirut ulikuwa wenye kuangamiza. 104 00:04:57,870 --> 00:05:00,220 Maisha yalipotea. Maelfu walijeruhiwa. 105 00:05:00,220 --> 00:05:02,730 Mabilioni ya dola ya uharibifu yalifanyika. 106 00:05:02,730 --> 00:05:05,770 Sote tulitaka kujua jinsi hii ilifanyika. 107 00:05:05,770 --> 00:05:08,020 Tulipata maelezo mara moja. 108 00:05:08,020 --> 00:05:11,000 Lakini habari za kuaminika huchukua muda. 109 00:05:11,090 --> 00:05:15,110 Kwa hivyo tunafanya nini wakati habari husafiri haraka kuliko ukweli? 110 00:05:15,290 --> 00:05:17,760 Unda orodha kama Emmanuelle anavyo pendekeza. 111 00:05:17,760 --> 00:05:20,770 Tafuta waandishi wa habari unao waamini na kuwafuata. 112 00:05:20,770 --> 00:05:22,400 Halafu habari kubwa inapochipuka - 113 00:05:22,400 --> 00:05:26,220 na ikiwa 2020 imetufundisha chochote, hakika itachipuka - 114 00:05:26,220 --> 00:05:28,860 utajua tayari kwenda kwa nani. 115 00:05:28,860 --> 00:05:31,600 Mpaka wakati ujao. Iweke kweli. Usieneze habari za uwongo. 116 00:05:31,600 --> 00:05:34,432 Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take On Fake. 117 00:05:36,910 --> 00:05:37,960 Asante kwa kutazama. 118 00:05:37,960 --> 00:05:40,130 119 00:05:40,130 --> 00:05:42,270 120 00:05:42,270 --> 00:05:44,124 121 00:05:44,124 --> 00:05:47,380 122 00:05:47,380 --> 00:05:50,000