[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:06.02,0:00:10.04,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kuwafanyia usahili maelfu ya wakulima masikini Dialogue: 0,0:00:10.04,0:00:17.00,Default,,0000,0000,0000,,katika nchi kama Nepal, Bangladesh, China, Mexico, na Zambia Dialogue: 0,0:00:17.00,0:00:21.06,Default,,0000,0000,0000,,Nimejifunza kwamba utatuzi wa kivitendo katika umasikini uliokithiri Dialogue: 0,0:00:21.06,0:00:25.08,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kupatikana kwa kuwasikiliza watu hao masikini Dialogue: 0,0:00:25.08,0:00:30.06,Default,,0000,0000,0000,,na sio toka kwa jeshi la wataalam wa umasikini duniani. Dialogue: 0,0:00:30.06,0:00:34.07,Default,,0000,0000,0000,,Nimetengeneza hatua 12 za kivitendo kwa ajili ya utatuzi wa matatizo Dialogue: 0,0:00:34.07,0:00:38.05,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zimesaidia watu 17 milioni kuondokana na umasikini Dialogue: 0,0:00:38.05,0:00:42.06,Default,,0000,0000,0000,,na kuwepo katika tabaka la kati milele. Dialogue: 0,0:00:42.06,0:00:47.06,Default,,0000,0000,0000,,Hatua hizi 12 zinatumika vizuri pia katika kutafuta hatua za kivitendo za utatuzi Dialogue: 0,0:00:47.06,0:00:51.08,Default,,0000,0000,0000,,katika matatizo makubwa ya kijamii ambayo unaweza ukawa unayafanyia kazi. Dialogue: 0,0:00:51.08,0:00:57.07,Default,,0000,0000,0000,,Nimezielezea hatua hizi 12 katika kitabu changu cha, Out of Poverty. Dialogue: 0,0:00:57.07,0:00:59.08,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka mitano iliyopita nimekuwa nikifanyia kazi kitabu Dialogue: 0,0:00:59.08,0:01:02.03,Default,,0000,0000,0000,,na hatimaye nimekimaliza. Dialogue: 0,0:01:02.03,0:01:07.08,Default,,0000,0000,0000,,Imenichukua miaka mitano kuandika kurasa 200 tu. Dialogue: 0,0:01:07.08,0:01:11.01,Default,,0000,0000,0000,,Kitabu kinaitwa Out of Poverty: Dialogue: 0,0:01:11.01,0:01:17.09,Default,,0000,0000,0000,,What works when traditional approaches fail. Dialogue: 0,0:01:17.09,0:01:21.04,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kweli nimeandika kitabu hicho kuleta mapinduzi Dialogue: 0,0:01:21.04,0:01:26.04,Default,,0000,0000,0000,,katika tunavyofikiri juu ya umasikini na yale tunayofanya juu yake. Dialogue: 0,0:01:26.04,0:01:32.04,Default,,0000,0000,0000,,Hakitaweza kuleta mapinduzi chenyewe lakini nina imani kitasaidia. Dialogue: 0,0:01:32.04,0:01:39.07,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka 25 iliyopita maswali mawili yamegandama udadisi wangu. Dialogue: 0,0:01:39.07,0:01:42.06,Default,,0000,0000,0000,,Nini kinawafanya watu masikini kuwa masikini? Dialogue: 0,0:01:42.06,0:01:47.08,Default,,0000,0000,0000,,Na kitu gani wanaweza kufanya juu ya hali hiyo? Dialogue: 0,0:01:47.08,0:01:51.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ya maswali haya mawili yanayokera, Dialogue: 0,0:01:51.01,0:01:58.06,Default,,0000,0000,0000,,Nimekuwa na mazungumzo marefu na wamiliki maelfu wa eka moja katika nchi zinazoendelea. Dialogue: 0,0:01:58.06,0:02:02.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilichojifunza kimeleta uwezekano kwa IDE, Dialogue: 0,0:02:02.02,0:02:05.08,Default,,0000,0000,0000,,asasi ya kimaendeleo niliyoianzisha miaka 25 iliyopita, Dialogue: 0,0:02:05.08,0:02:13.01,Default,,0000,0000,0000,,kusaidia watu 17 milioni watu wa $1-kwa-siku kuondokana na umasikini milele. Dialogue: 0,0:02:13.01,0:02:17.01,Default,,0000,0000,0000,,Hatua tatu za kwanza za utatuzi wa kivitendo wa matatizo ni Dialogue: 0,0:02:17.01,0:02:23.01,Default,,0000,0000,0000,,yawezekana zilizo wazi zaidi, zilizo rahisi zaidi, na zinazofuatwa kwa kiwango kidogo zaidi. Dialogue: 0,0:02:23.01,0:02:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Ya kwanza ni kwenda pale tendo liliko. Dialogue: 0,0:02:29.00,0:02:31.02,Default,,0000,0000,0000,,Uwezi ukakaa katika ofisi yako katika Benki ya Dunia Dialogue: 0,0:02:31.02,0:02:38.00,Default,,0000,0000,0000,,na ukagundua jinsi ya kutatua matatizo ya umasikini Myanmar. Dialogue: 0,0:02:38.00,0:02:41.09,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 2, ongea na watu ambao wana hilo tatizo Dialogue: 0,0:02:41.09,0:02:45.07,Default,,0000,0000,0000,,na sikiliza yale watakayosema. Dialogue: 0,0:02:45.07,0:02:51.02,Default,,0000,0000,0000,,Katika miaka ya 1990, wataalam wa kilimo wa Bangladesh walisikitishwa Dialogue: 0,0:02:51.02,0:02:58.05,Default,,0000,0000,0000,,na viwango finyu vya mbolea wakulima wa Bangladesh walivyotumia katika mazao yao ya mchele/mpunga (monsoon rice crops). Dialogue: 0,0:02:58.05,0:03:03.08,Default,,0000,0000,0000,,Wakaanzisha programu za mafunzo kwa wakulima lakini hakuna kilichofanya kazi. Dialogue: 0,0:03:03.08,0:03:08.08,Default,,0000,0000,0000,,Hatimaye, mtu mmoja akawauliza baadhi ya wakulima kwanini wanatumia kiwango kidogo sana cha mbolea. Dialogue: 0,0:03:08.08,0:03:10.02,Default,,0000,0000,0000,,“Hilo rahisi,” walisema. Dialogue: 0,0:03:10.02,0:03:15.06,Default,,0000,0000,0000,,“Kila baada ya miaka 10 hivi tunakuwa na mafuriko makubwa yanayosafisha kila kitu tulichopanda. ..." Dialogue: 0,0:03:15.06,0:03:22.04,Default,,0000,0000,0000,,"... Kwa hiyo tunatumia kiwango sawia cha mbolea tunachoweza kumudu katika mafuriko ya miaka 10.” Dialogue: 0,0:03:22.04,0:03:30.05,Default,,0000,0000,0000,,Punde wakulima hawa wakabadilishwa toka katika ujinga, woga, Dialogue: 0,0:03:30.05,0:03:35.04,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa watu wanaoweza kuwafundisha wataalam wa kilimo kitu fulani. Dialogue: 0,0:03:35.04,0:03:41.06,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 3, jifunze kila kitu kilichopo juu ya mazingira na hali halisi ya tatizo husika. Dialogue: 0,0:03:41.06,0:03:44.06,Default,,0000,0000,0000,,Mazingira halisi ya watu 800 milioni Dialogue: 0,0:03:44.06,0:03:48.08,Default,,0000,0000,0000,,kati ya watu 1.2 bilioni duniani wanaoishi kwa chini ya $2 kwa siku, Dialogue: 0,0:03:48.08,0:03:55.01,Default,,0000,0000,0000,,ni kashamba kadogo chenye udongo usio na rutuba na hakuna umwagiliaji. Dialogue: 0,0:03:55.01,0:03:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Mashamba haya sanasana ni ya eka moja, Dialogue: 0,0:03:57.00,0:04:02.00,Default,,0000,0000,0000,,na yamegawanywa katika ploti 4 au 5. Dialogue: 0,0:04:02.00,0:04:03.09,Default,,0000,0000,0000,,Na hili ni wazo la nne, Dialogue: 0,0:04:03.09,0:04:09.04,Default,,0000,0000,0000,,kama utagundua utatuzi juu ya tatizo hakuna sababu ya kuwa wastani. Dialogue: 0,0:04:09.04,0:04:14.09,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi ya matatizo makubwa sana duniani katika hali halisi yanahitaji utatuzi madhubuti/mkubwa Dialogue: 0,0:04:14.09,0:04:21.08,Default,,0000,0000,0000,,ambao katika hali halisi ni utatuzi mdogomdogo unaotekelezwa mara maelfu na maelfu. Dialogue: 0,0:04:21.08,0:04:24.09,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 5, fikiri kama mtoto. Dialogue: 0,0:04:24.09,0:04:31.03,Default,,0000,0000,0000,,Inakinzana kidogo kwamba kufikiri makubwa na kufikiri kama mtoto vinaenda pamoja, lakini inakuwa hivyo. Dialogue: 0,0:04:31.03,0:04:38.10,Default,,0000,0000,0000,,Inabidi ufikiri kama mtoto ili kupata utatuzi ulio wazi juu ya tatizo kubwa ambalo watu wamelishindwa. Dialogue: 0,0:04:38.10,0:04:43.03,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 6, angalia na fanya kilicho wazi. Dialogue: 0,0:04:43.03,0:04:48.02,Default,,0000,0000,0000,,Kama hatuwezi kuona upofu wetu ni vipi tutaona na kufanya kilicho wazi? Dialogue: 0,0:04:48.02,0:04:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Kujiweka katika tatizo kunasaidia. Dialogue: 0,0:04:53.00,0:04:58.07,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 7, kama tayari kuna mtu amekwisha buni hauhitajiki kufanya hivyo. Dialogue: 0,0:04:58.07,0:05:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi siku hizi kufuatilia utatuzi ambao tayari watu wameshautoa. Dialogue: 0,0:05:05.00,0:05:15.06,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 8, hakikisha mkabala wako una matokeo chanya yanayopimika na yanayoweza kukuzwa/kuwekwa katika skeli. Dialogue: 0,0:05:15.06,0:05:21.07,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 9, sanifu ukilenga bei fulani. Dialogue: 0,0:05:21.07,0:05:27.01,Default,,0000,0000,0000,,Kumudu bei kunatawala mchakato wa usanifu kwa wateja masikini. Dialogue: 0,0:05:27.01,0:05:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Namba 10, fuata mipango ya kivitendo ya miaka 3. Dialogue: 0,0:05:31.00,0:05:36.04,Default,,0000,0000,0000,,Bila kujali kiwango cha nguvu na ubadilishaji wa dunia katika dira yako juu ya mambo ya mbele, Dialogue: 0,0:05:36.04,0:05:42.02,Default,,0000,0000,0000,,kama hautaweza kutafsiri katika mpango madhubuti ndani ya miaka mitatu ya mwanzo, Dialogue: 0,0:05:42.02,0:05:46.00,Default,,0000,0000,0000,,hautaweza kufikia lengo. Dialogue: 0,0:05:46.00,0:05:52.07,Default,,0000,0000,0000,,Hatua ya 11, endelea kujifunza toka kwa wateja wako. Dialogue: 0,0:05:52.07,0:05:58.08,Default,,0000,0000,0000,,Nilipoanzisha IDE niliamua kwamba nitahudumu angalau wateja 100 kwa mwaka Dialogue: 0,0:05:58.08,0:06:00.04,Default,,0000,0000,0000,,na nimefanya hivyo. Dialogue: 0,0:06:00.04,0:06:07.08,Default,,0000,0000,0000,,Mpaka sasa nimehoji zaidi ya familia masikini za wakulima 3000, Dialogue: 0,0:06:07.08,0:06:12.02,Default,,0000,0000,0000,,na nimetembea nao katika mashamba yao. Dialogue: 0,0:06:12.02,0:06:15.01,Default,,0000,0000,0000,,Waliponiambia kwamba wamewekeza Dialogue: 0,0:06:15.01,0:06:16.08,Default,,0000,0000,0000,,vipato vyao vipya toka kwenye treadle pump Dialogue: 0,0:06:16.08,0:06:19.08,Default,,0000,0000,0000,,kwenye elimu ya watoto wao, Dialogue: 0,0:06:19.08,0:06:22.01,Default,,0000,0000,0000,,tulisanifu taa ya umeme jua ya $12 Dialogue: 0,0:06:22.01,0:06:26.01,Default,,0000,0000,0000,,ili watoto wao waweze kusoma usiku. Dialogue: 0,0:06:26.01,0:06:27.04,Default,,0000,0000,0000,,Waliposema wamewekeza Dialogue: 0,0:06:27.04,0:06:30.08,Default,,0000,0000,0000,,sehemu ya fedha zao toka kwenye mifumo ya umwagiliaji ya dripu Dialogue: 0,0:06:30.08,0:06:34.04,Default,,0000,0000,0000,,katika nyati wa maziwa ama katika idadi ya mbuzi, Dialogue: 0,0:06:34.04,0:06:37.09,Default,,0000,0000,0000,,tulijifunza kila kitu kilichohitajika juu ya ufugaji mdogo Dialogue: 0,0:06:37.09,0:06:44.09,Default,,0000,0000,0000,,na tukaanza kusaidia wakulima walio na miradi midogo ya ufugaji. Dialogue: 0,0:06:44.09,0:06:49.04,Default,,0000,0000,0000,,Namba 12, usiyumbishwe na yale yanayosemwa na watu wengine. Dialogue: 0,0:06:49.04,0:06:52.02,Default,,0000,0000,0000,,Katika kila kitu ambacho nimefanyia kazi Dialogue: 0,0:06:52.02,0:06:55.03,Default,,0000,0000,0000,,na kugeuka kuwa mafanikio makubwa, Dialogue: 0,0:06:55.03,0:07:00.06,Default,,0000,0000,0000,,Nimesikia watu wengi wakiniambia kwamba napoteza muda. Dialogue: 0,0:07:00.06,0:07:03.04,Default,,0000,0000,0000,,Milioni moja na nusu ya treadle pumps baadae, Dialogue: 0,0:07:03.04,0:07:10.04,Default,,0000,0000,0000,,tuna ekari mpya elfu 750 chini ya umwagiliaji. Dialogue: 0,0:07:10.04,0:07:14.09,Default,,0000,0000,0000,,Kama ningewasikiliza watu waliosema ni kupoteza muda, Dialogue: 0,0:07:14.09,0:07:17.04,Default,,0000,0000,0000,,tusingefika hapo. Dialogue: 0,0:07:17.04,0:07:20.07,Default,,0000,0000,0000,,Kama una nia ya kuwa sehemu ya kitu haswa, Dialogue: 0,0:07:20.07,0:07:25.06,Default,,0000,0000,0000,,tembelea watu katika mazingira yao halisi Dialogue: 0,0:07:25.06,0:07:30.02,Default,,0000,0000,0000,,na sikiliza wanachosema, Dialogue: 0,0:07:30.02,0:07:31.04,Default,,0000,0000,0000,,na muhimu sana, Dialogue: 0,0:07:31.04,0:07:34.04,Default,,0000,0000,0000,,kuwa na nia ya kujifunza mambo mapya, Dialogue: 0,0:07:34.04,0:07:36.07,Default,,0000,0000,0000,,hapo mkabala huu utakuwa kwa ajili yako. Dialogue: 0,0:07:36.07,0:07:39.10,Default,,0000,0000,0000,,Kama wewe na kundi lako mtaamua kwamba kitu bora mtakachofanya nia kutoa msaada wa fedha, Dialogue: 0,0:07:39.10,0:07:43.08,Default,,0000,0000,0000,,hakikisha unachagua asasi zilizo na matokeo yanayopimika, Dialogue: 0,0:07:43.08,0:07:47.04,Default,,0000,0000,0000,,kama asasi za umasikini zinazoongeza kipato Dialogue: 0,0:07:47.04,0:08:25.07,Default,,0000,0000,0000,,cha watu wanaoishi kwa chini ya dola moja kwa siku.