[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:09.30,0:00:15.21,Default,,0000,0000,0000,,Takriban watu milioni mia tatu sitini na tano hutumia Kiingereza kama lugha ya mama Dialogue: 0,0:00:16.61,0:00:20.71,Default,,0000,0000,0000,,Wengine zaidi ya bilioni mbili husoma na kutumia Kiingeereza Dialogue: 0,0:00:20.71,0:00:23.06,Default,,0000,0000,0000,,kama lugha ya pili au ya tatu Dialogue: 0,0:00:24.38,0:00:26.08,Default,,0000,0000,0000,,Kama wewe ni mzungumzaji wa Kiingereza Dialogue: 0,0:00:26.08,0:00:31.54,Default,,0000,0000,0000,,unayosema yanaeleweka kwa watu takriban bilioni mbili unusu Dialogue: 0,0:00:32.48,0:00:36.84,Default,,0000,0000,0000,,Kutakuwa na haja gani kusomea lugha yeyote ingine ya kigeni? Dialogue: 0,0:00:36.84,0:00:41.14,Default,,0000,0000,0000,,Si itakuwa tu kupoteza mda? Dialogue: 0,0:00:41.14,0:00:45.38,Default,,0000,0000,0000,,Nelson Mandela alikashifiwa vikali Dialogue: 0,0:00:45.38,0:00:49.11,Default,,0000,0000,0000,,na waafrika kusini kwa kuongea Afrikaans Dialogue: 0,0:00:50.02,0:00:51.49,Default,,0000,0000,0000,,Alijibu hivi, Dialogue: 0,0:00:51.49,0:00:55.22,Default,,0000,0000,0000,,"Unapomuongelesha mtu kwa lugha anayoifahamu Dialogue: 0,0:00:56.06,0:00:57.61,Default,,0000,0000,0000,,hilo halisahau. Dialogue: 0,0:00:59.02,0:01:02.04,Default,,0000,0000,0000,,Unapomuongelesha mtu kwa lugha ya mama Dialogue: 0,0:01:02.72,0:01:04.31,Default,,0000,0000,0000,,hilo huenda moyoni mwake." Dialogue: 0,0:01:05.39,0:01:06.66,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo jambo ni hili: Dialogue: 0,0:01:06.66,0:01:09.33,Default,,0000,0000,0000,,Ukitaka kumshawishi mtu Dialogue: 0,0:01:09.33,0:01:11.70,Default,,0000,0000,0000,,lenga moyo wake uongeapo. Dialogue: 0,0:01:13.18,0:01:14.97,Default,,0000,0000,0000,,Mapapa wanajua hili. Dialogue: 0,0:01:14.97,0:01:18.88,Default,,0000,0000,0000,,John Paul wa pili afahamu lugha kumi vyema Dialogue: 0,0:01:18.88,0:01:22.34,Default,,0000,0000,0000,,na kadhaa zingine alizijua kimsingi. Dialogue: 0,0:01:22.95,0:01:26.59,Default,,0000,0000,0000,,Popote alipoenda, alisalimia wenyeji Dialogue: 0,0:01:26.59,0:01:30.85,Default,,0000,0000,0000,,akitumia yale maneno aliyojua kwa lugha zao asili; Dialogue: 0,0:01:30.85,0:01:35.84,Default,,0000,0000,0000,,na hapo ndipo umaarufu wake ulipotokea. Dialogue: 0,0:01:37.40,0:01:39.80,Default,,0000,0000,0000,,Walio na akina mama wakwe wa ugenini Dialogue: 0,0:01:39.80,0:01:43.26,Default,,0000,0000,0000,,au akina mama wakwe wa ugenini watarajiwa, wanalijua hili, pia. Dialogue: 0,0:01:44.00,0:01:46.41,Default,,0000,0000,0000,,Wanaweza kuongea Kiingereza wakiwa na wapenzi wao, Dialogue: 0,0:01:46.41,0:01:50.55,Default,,0000,0000,0000,,lakini wakitaka kuwa na maelewano na mama wa msichana, Dialogue: 0,0:01:51.22,0:01:55.18,Default,,0000,0000,0000,,vijana hujitolea kujifunza lugha za kushangaza, Dialogue: 0,0:01:55.18,0:01:56.87,Default,,0000,0000,0000,,hata Kiholanzi. Dialogue: 0,0:01:56.88,0:01:58.67,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:01:58.68,0:02:01.10,Default,,0000,0000,0000,,Na hili husaidia. Dialogue: 0,0:02:01.97,0:02:03.30,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini? Dialogue: 0,0:02:04.03,0:02:09.04,Default,,0000,0000,0000,,Kwa vile, lugha zetu asili huambatana kwa karibu na Dialogue: 0,0:02:09.04,0:02:13.05,Default,,0000,0000,0000,,utu wetu na kujitambulisha kwetu. Dialogue: 0,0:02:13.05,0:02:17.69,Default,,0000,0000,0000,,Historia yetu yote imeota mizizi, Dialogue: 0,0:02:17.70,0:02:20.73,Default,,0000,0000,0000,,na kulowa ndani ya lugha zetu asili. Dialogue: 0,0:02:21.45,0:02:27.65,Default,,0000,0000,0000,,Kuna makumbusho na hisia zilizounganika na maneno, muonekano, Dialogue: 0,0:02:28.76,0:02:31.64,Default,,0000,0000,0000,,hata kwa sarufi tulizokua nazo. Dialogue: 0,0:02:32.65,0:02:37.14,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, unapojifunza lugha ya mwengine, Dialogue: 0,0:02:37.14,0:02:40.35,Default,,0000,0000,0000,,unajifahamisha kuwa una nia halisi Dialogue: 0,0:02:40.35,0:02:44.17,Default,,0000,0000,0000,,kwa maisha yao, kwa utu wao. Dialogue: 0,0:02:44.96,0:02:47.58,Default,,0000,0000,0000,,Ni mama mkwe yupi hatafurahia? Dialogue: 0,0:02:48.71,0:02:52.58,Default,,0000,0000,0000,,Unaposikia lugha yako unaskia kuungika. Dialogue: 0,0:02:53.83,0:02:55.62,Default,,0000,0000,0000,,Unaposafiri, Dialogue: 0,0:02:55.62,0:02:59.59,Default,,0000,0000,0000,,na umekuwa ukiongea lugha ya kigeni kwa siku au wiki kadhaa, Dialogue: 0,0:03:00.64,0:03:03.01,Default,,0000,0000,0000,,wakati unapoabiri ndege Dialogue: 0,0:03:03.01,0:03:06.28,Default,,0000,0000,0000,,na msaidizi kwa ndege akusalimie kwa lugha yako asili, Dialogue: 0,0:03:06.28,0:03:08.41,Default,,0000,0000,0000,,unafahamu basi unaenda nyumbani. Dialogue: 0,0:03:10.48,0:03:14.45,Default,,0000,0000,0000,,Kama lugha asili zingekuwa na harufu, Dialogue: 0,0:03:14.45,0:03:18.68,Default,,0000,0000,0000,,nadhani zingenukia kama kuki, Dialogue: 0,0:03:18.68,0:03:21.10,Default,,0000,0000,0000,,na kama supu ya kuku ya kurariji, Dialogue: 0,0:03:21.77,0:03:23.83,Default,,0000,0000,0000,,na kama marashi ya nyanya - Dialogue: 0,0:03:24.67,0:03:27.94,Default,,0000,0000,0000,,labda kidogo kama kifukuzi nondo. Dialogue: 0,0:03:28.74,0:03:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaweza kuwa sababu lugha zilizotungwa, Dialogue: 0,0:03:34.00,0:03:40.30,Default,,0000,0000,0000,,kama Esperanto, hazijasambaa kama ilivyotarajiwa. Dialogue: 0,0:03:41.21,0:03:44.21,Default,,0000,0000,0000,,Ziwe zimetungwa kiujanja namna gani, Dialogue: 0,0:03:44.21,0:03:46.100,Default,,0000,0000,0000,,na rahisi kushika, Dialogue: 0,0:03:48.33,0:03:53.08,Default,,0000,0000,0000,,hakuna nchi yeyote imewahi pitisha lugha ya kutungwa kama lugha asili. Dialogue: 0,0:03:53.95,0:03:58.94,Default,,0000,0000,0000,,Wala kama lugha ya kigeni kufunzwa Dialogue: 0,0:03:58.94,0:04:02.56,Default,,0000,0000,0000,,kwa mkabala mkubwa, kwa kipindi kirefu, Dialogue: 0,0:04:03.41,0:04:05.16,Default,,0000,0000,0000,,ingawa hilo limejaribiwa. Dialogue: 0,0:04:05.83,0:04:11.87,Default,,0000,0000,0000,,Lakini, licha ya matatizo yanayokumba lugha asili - Dialogue: 0,0:04:11.87,0:04:15.43,Default,,0000,0000,0000,,kama makosa ya kutataniisha, Dialogue: 0,0:04:15.44,0:04:20.15,Default,,0000,0000,0000,,tofauti ya uandishi na matamko, Dialogue: 0,0:04:20.16,0:04:24.69,Default,,0000,0000,0000,,wakati mwengine ugumu wa fasaha - Dialogue: 0,0:04:25.66,0:04:27.30,Default,,0000,0000,0000,,lakini licha ya hayo yote, Dialogue: 0,0:04:28.30,0:04:34.19,Default,,0000,0000,0000,,tunaona bora kujifunza lugha zilizochipuka katikati ya watu. Dialogue: 0,0:04:35.81,0:04:39.65,Default,,0000,0000,0000,,Lugha zilizotungwa hulenga akili. Dialogue: 0,0:04:40.77,0:04:44.77,Default,,0000,0000,0000,,Lugha asili zina mnuso wa kuki. Dialogue: 0,0:04:46.06,0:04:51.98,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Nelson Mandela, kujifunza Afrikaans ilikuwa inalenga "kutambua adui." Dialogue: 0,0:04:51.98,0:04:56.91,Default,,0000,0000,0000,,Alisema, "Unahitaji kujua lugha yao, na shauku zao, Dialogue: 0,0:04:56.91,0:05:00.24,Default,,0000,0000,0000,,na matarajio, na uoga wao, kama unataka kuwashinda." Dialogue: 0,0:05:01.07,0:05:03.64,Default,,0000,0000,0000,,Alifanya hilo. Lilifaulu. Dialogue: 0,0:05:04.72,0:05:08.19,Default,,0000,0000,0000,,Lakini si wakati wote maadui wanapohusika, ama? Dialogue: 0,0:05:09.25,0:05:12.11,Default,,0000,0000,0000,,Hii inafaa kutumika kwa uhusiano wote wa kibinaadamu. Dialogue: 0,0:05:13.44,0:05:17.75,Default,,0000,0000,0000,,Na siwezi sema kuwa akina mama wakwe ni maadui - Dialogue: 0,0:05:17.75,0:05:18.98,Default,,0000,0000,0000,,ki ufafanuzi. Dialogue: 0,0:05:19.83,0:05:22.76,Default,,0000,0000,0000,,Takriban miaka saba au nane zilizopita, Dialogue: 0,0:05:22.76,0:05:25.64,Default,,0000,0000,0000,,nilikuwa nasafiri Poland na familia yangu. Dialogue: 0,0:05:27.17,0:05:31.41,Default,,0000,0000,0000,,Maduka yalikuwa karibu kufungwa na tulihitaji kununua chakula. Dialogue: 0,0:05:32.26,0:05:35.69,Default,,0000,0000,0000,,Mwishowe, tulipata duka kubwa upande wa pili wa barabara. Dialogue: 0,0:05:36.91,0:05:41.64,Default,,0000,0000,0000,,Njia pekee tungefikia duka hilo kabla kufungwa ilikuwa kugeuza gari pasipo pa kugeuka. Dialogue: 0,0:05:41.64,0:05:43.33,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo nilivyofanya. Dialogue: 0,0:05:44.37,0:05:46.58,Default,,0000,0000,0000,,Hilo lilikuwa hatari. Dialogue: 0,0:05:47.53,0:05:49.70,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa haramu kwa kweli. Dialogue: 0,0:05:52.06,0:05:57.64,Default,,0000,0000,0000,,Nilipoegesha gari, hata kabla niziime injini - Dialogue: 0,0:05:58.24,0:06:00.05,Default,,0000,0000,0000,,- niliskia sauti ya kubisha. Dialogue: 0,0:06:01.25,0:06:06.10,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nikateremsha dirisha, na jozi mbili za macho zikatokea. Dialogue: 0,0:06:07.62,0:06:11.96,Default,,0000,0000,0000,,Kila jozi la macho lilikuwa la polisi. Dialogue: 0,0:06:13.30,0:06:17.56,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, siwezi jigamba naelewa lugha ya Polish vyema Dialogue: 0,0:06:17.56,0:06:19.26,Default,,0000,0000,0000,,kwa nyakati nzuri, Dialogue: 0,0:06:19.98,0:06:23.53,Default,,0000,0000,0000,,lakini nyakati zilizopita niliweza kuendeleza mazungumzo. Dialogue: 0,0:06:24.34,0:06:27.78,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kwa mazingara yale, na dhamiri ya hatia, Dialogue: 0,0:06:28.62,0:06:31.76,Default,,0000,0000,0000,,jicho kwa jicho na polisi, wakiwa na sare halisi, Dialogue: 0,0:06:33.18,0:06:38.32,Default,,0000,0000,0000,,kila neno la Polish nililokuwa nikijua liliniponyoka. Dialogue: 0,0:06:39.72,0:06:43.79,Default,,0000,0000,0000,,Na bado, sikufikiria hata kwa mda, Dialogue: 0,0:06:44.55,0:06:47.73,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu kusuluhisha tatizo nikitumia Kiingereza. Dialogue: 0,0:06:49.08,0:06:53.32,Default,,0000,0000,0000,,Kiingereza nadhani kingenipatia upeo wa juu kilugha, Dialogue: 0,0:06:54.28,0:06:57.28,Default,,0000,0000,0000,,lakini labda ingefanya polisi kuwa na wasiwasi. Dialogue: 0,0:06:58.24,0:07:00.93,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, niliaminisha kubaki na lugha ya Polish. Dialogue: 0,0:07:01.77,0:07:02.80,Default,,0000,0000,0000,,Kivipi? Dialogue: 0,0:07:04.48,0:07:08.70,Default,,0000,0000,0000,,Ile kona yangu finyu ya lugha ya Polish ilikuwa imezima Dialogue: 0,0:07:10.39,0:07:11.96,Default,,0000,0000,0000,,isipokuwa jambo moja. Dialogue: 0,0:07:13.20,0:07:17.94,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na jambo moja nililokuwa nimelirudia mara nyingi Dialogue: 0,0:07:17.94,0:07:20.81,Default,,0000,0000,0000,,hata ningeweza kulikariri nikiwa usingizini. Dialogue: 0,0:07:22.50,0:07:24.96,Default,,0000,0000,0000,,Lilikuwa ni shairi la watoto, Dialogue: 0,0:07:27.56,0:07:29.65,Default,,0000,0000,0000,,lililohusu chura mgonjwa. Dialogue: 0,0:07:30.27,0:07:32.25,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:07:32.95,0:07:34.52,Default,,0000,0000,0000,,Hilo ndilo nililokuwa nalo. Dialogue: 0,0:07:34.52,0:07:39.52,Default,,0000,0000,0000,,Najua lilikuwa jambo la ajabu kufanya, lakini nilitoa kelele: Dialogue: 0,0:07:40.42,0:07:42.53,Default,,0000,0000,0000,,(Polish) "Chura mmoja alisikia udhaifu Dialogue: 0,0:07:42.53,0:07:46.08,Default,,0000,0000,0000,,hivyo akaenda kwa daktari na akasema ni mgonjwa. Dialogue: 0,0:07:46.08,0:07:50.46,Default,,0000,0000,0000,,Daktari akavalia miwani yake kwa sababu alikuwa kazeeka." Dialogue: 0,0:07:51.56,0:07:53.88,Default,,0000,0000,0000,,Niliwatazama polisi. Dialogue: 0,0:07:53.88,0:07:56.48,Default,,0000,0000,0000,,Na walikuwa wakiniangalia kwa mshangao. Dialogue: 0,0:07:56.48,0:07:57.81,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:07:58.65,0:08:01.66,Default,,0000,0000,0000,,Nakumbuka kama mmoja wao alikuna kichwa. Dialogue: 0,0:08:02.67,0:08:05.24,Default,,0000,0000,0000,,Alafu wote wakatabasamu. Dialogue: 0,0:08:06.11,0:08:07.34,Default,,0000,0000,0000,,Wakatabasamu. Dialogue: 0,0:08:07.34,0:08:10.88,Default,,0000,0000,0000,,Na hilo, kwa upande wake, likaniweka hali shwari, Dialogue: 0,0:08:10.88,0:08:14.26,Default,,0000,0000,0000,,shwari hadi maneno machache husika yaliyopotea Dialogue: 0,0:08:14.26,0:08:16.68,Default,,0000,0000,0000,,yangeweza kurudi akilini mwangu. Dialogue: 0,0:08:16.69,0:08:19.69,Default,,0000,0000,0000,,Ningeweza kugugumiza sentensi chache kama, Dialogue: 0,0:08:19.69,0:08:23.48,Default,,0000,0000,0000,,"Pole sana, nilikuwa nahitaji chakula, sitawahi kurudia hilo tena." Dialogue: 0,0:08:24.76,0:08:26.26,Default,,0000,0000,0000,,Waliniachilia bila adhabu. Dialogue: 0,0:08:27.33,0:08:32.46,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokuwa nakimbia ndani ya duka, waliita, "maneno kwa lugha ya Polish!" Dialogue: 0,0:08:32.48,0:08:34.02,Default,,0000,0000,0000,,"Uwe na safari njema!" Dialogue: 0,0:08:34.65,0:08:39.01,Default,,0000,0000,0000,,Si lengo langu kuwashurutisha kujifunza lugha za kigeni Dialogue: 0,0:08:39.01,0:08:42.70,Default,,0000,0000,0000,,ndio msafiri pande zote za dunia, mvunje sheria na muepuke bila adhabu. Dialogue: 0,0:08:44.59,0:08:49.48,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tukio hili linaonyesha vile maneno machache, Dialogue: 0,0:08:50.26,0:08:53.76,Default,,0000,0000,0000,,ingawa rahisi au ya kijinga, maneno machache tu, Dialogue: 0,0:08:53.76,0:08:57.99,Default,,0000,0000,0000,,yanawezaenda moja kwa moja ndani ya moyo na kuuyeyusha. Dialogue: 0,0:08:58.90,0:09:01.77,Default,,0000,0000,0000,,Ijapo kuwa, kulikuwa na wimbo mbadala wa ule wa chura mgonjwa. Dialogue: 0,0:09:01.77,0:09:04.21,Default,,0000,0000,0000,,Lilikuwa jambo moja nililolijua vyema sana: Dialogue: 0,0:09:05.86,0:09:07.23,Default,,0000,0000,0000,,wimbo wa kunywa. Dialogue: 0,0:09:07.23,0:09:08.52,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:09:09.18,0:09:11.39,Default,,0000,0000,0000,,Labda hilo halingenipatia tabasamu Dialogue: 0,0:09:12.12,0:09:14.43,Default,,0000,0000,0000,,labda safari hadi kituo cha polisi Dialogue: 0,0:09:14.43,0:09:15.66,Default,,0000,0000,0000,,kwa uchunguzi wa damu. Dialogue: 0,0:09:17.60,0:09:21.13,Default,,0000,0000,0000,,Si lazima ujifunze lugha nyingi, Dialogue: 0,0:09:21.13,0:09:24.15,Default,,0000,0000,0000,,na si lazima uzijue kwa undani. Dialogue: 0,0:09:24.15,0:09:26.16,Default,,0000,0000,0000,,Ujuzi kidogo unaweza kuwa wa manufaa makubwa. Dialogue: 0,0:09:27.12,0:09:30.38,Default,,0000,0000,0000,,Maneno kumi yanalengayo moyoni yanaweza kuwa na athari kubwa Dialogue: 0,0:09:30.38,0:09:32.96,Default,,0000,0000,0000,,kuliko maneno alfu moja yalengayo akili. Dialogue: 0,0:09:34.64,0:09:38.74,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuchagua kutumia Kiingereza na kukutana katikati. Dialogue: 0,0:09:39.85,0:09:44.82,Default,,0000,0000,0000,,Lakini pia unaweza chagua kuwa yule mtu avukaye kigezo kilicho katikati Dialogue: 0,0:09:44.82,0:09:49.39,Default,,0000,0000,0000,,na kukutana na swahiba wako au mpinzani wako, yeyote yule, Dialogue: 0,0:09:49.39,0:09:50.39,Default,,0000,0000,0000,,kutana nao kwa maskani yao. Dialogue: 0,0:09:50.39,0:09:52.38,Default,,0000,0000,0000,,Kuongea lugha ya mwengine haikufanyi kuwa dhaifu, Dialogue: 0,0:09:52.38,0:09:55.33,Default,,0000,0000,0000,,inadhibitisha una nguvu. Dialogue: 0,0:09:55.34,0:09:57.07,Default,,0000,0000,0000,,Ni yule aliye na ujasiri, na afanyaye juhudi za kuvuka vigezo Dialogue: 0,0:09:57.86,0:10:04.24,Default,,0000,0000,0000,,anayeibuka mshindi mwishowe. Dialogue: 0,0:10:05.22,0:10:06.92,Default,,0000,0000,0000,,Usiogope kufanya makosa. Makosa yanadhihirisha ubinadamu. Dialogue: 0,0:10:08.29,0:10:12.21,Default,,0000,0000,0000,,Na kando na haya, kuna la ziada: Dialogue: 0,0:10:12.92,0:10:16.84,Default,,0000,0000,0000,,Ukifanya makosa huko nje, Dialogue: 0,0:10:18.09,0:10:20.69,Default,,0000,0000,0000,,unatoa fursa kwa wenzako kukusaidia, kukujia na kukutana nawe. Dialogue: 0,0:10:20.69,0:10:26.09,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa njia hii, utangamano utakaokuwa umeanzisha utakuwa wenye nguvu. Dialogue: 0,0:10:26.09,0:10:31.93,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, wataka kueleweka Dialogue: 0,0:10:32.93,0:10:37.19,Default,,0000,0000,0000,,au wataka kutangamana? Dialogue: 0,0:10:38.32,0:10:39.97,Default,,0000,0000,0000,,Jameni tuendelee kujifunza na kukitumia Kiingereza. Dialogue: 0,0:10:41.65,0:10:46.52,Default,,0000,0000,0000,,Ndivyo tutangamane na walio na lugha tofauti za kiasilia, kama tunavyofanya hapa TEDx. Dialogue: 0,0:10:48.08,0:10:52.56,Default,,0000,0000,0000,,Kiingereza ni kigezo muhimu cha kueneza ujuzi, Dialogue: 0,0:10:53.59,0:10:57.70,Default,,0000,0000,0000,,kwa mikutano ya kimataifa ya kujadili shida za kimataifa Dialogue: 0,0:10:57.70,0:11:03.75,Default,,0000,0000,0000,,Juu ya yote, Kiingereza ni barabara kuu kufikia mioyo milioni mia tatu sitini na tano. Dialogue: 0,0:11:04.94,0:11:10.16,Default,,0000,0000,0000,,Kwa watu mia tatu sitini na tano, lugha ya Kiingereza yanukia kuki. Dialogue: 0,0:11:11.13,0:11:17.17,Default,,0000,0000,0000,,Lakini mbona ukomee hapo? Dialogue: 0,0:11:18.93,0:11:20.52,Default,,0000,0000,0000,,Mbona usiongeze jitihada Dialogue: 0,0:11:22.01,0:11:24.54,Default,,0000,0000,0000,,na kujifunza angalau lugha moja geni? Dialogue: 0,0:11:24.54,0:11:27.70,Default,,0000,0000,0000,,Kuna ladha kadhaa za kuki. Dialogue: 0,0:11:28.78,0:11:31.78,Default,,0000,0000,0000,,Twendeni na tuonje moja mpya. Dialogue: 0,0:11:31.78,0:11:34.18,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:11:34.99,0:11:36.05,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:11:36.46,0:11:37.76,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)