1 00:00:09,305 --> 00:00:15,209 Takriban watu milioni mia tatu sitini na tano hutumia Kiingereza kama lugha ya mama 2 00:00:16,609 --> 00:00:20,710 Wengine zaidi ya bilioni mbili husoma na kutumia Kiingeereza 3 00:00:20,711 --> 00:00:23,059 kama lugha ya pili au ya tatu 4 00:00:24,376 --> 00:00:26,082 Kama wewe ni mzungumzaji wa Kiingereza 5 00:00:26,083 --> 00:00:31,535 unayosema yanaeleweka kwa watu takriban bilioni mbili unusu 6 00:00:32,485 --> 00:00:36,838 Kutakuwa na haja gani kusomea lugha yeyote ingine ya kigeni? 7 00:00:36,839 --> 00:00:41,143 Si itakuwa tu kupoteza mda? 8 00:00:41,144 --> 00:00:45,382 Nelson Mandela alikashifiwa vikali 9 00:00:45,383 --> 00:00:49,112 na waafrika kusini kwa kuongea Afrikaans 10 00:00:50,022 --> 00:00:51,488 Alijibu hivi, 11 00:00:51,489 --> 00:00:55,225 "Unapomuongelesha mtu kwa lugha anayoifahamu 12 00:00:56,055 --> 00:00:57,613 hilo halisahau. 13 00:00:59,023 --> 00:01:02,040 Unapomuongelesha mtu kwa lugha ya mama 14 00:01:02,720 --> 00:01:04,312 hilo huenda moyoni mwake." 15 00:01:05,391 --> 00:01:06,661 Hivyo jambo ni hili: 16 00:01:06,662 --> 00:01:09,330 Ukitaka kumshawishi mtu 17 00:01:09,331 --> 00:01:11,705 lenga moyo wake uongeapo. 18 00:01:13,185 --> 00:01:14,973 Mapapa wanajua hili. 19 00:01:14,974 --> 00:01:18,884 John Paul wa pili afahamu lugha kumi vyema 20 00:01:18,885 --> 00:01:22,343 na kadhaa zingine alizijua kimsingi. 21 00:01:22,953 --> 00:01:26,591 Popote alipoenda, alisalimia wenyeji 22 00:01:26,592 --> 00:01:30,847 akitumia yale maneno aliyojua kwa lugha zao asili; 23 00:01:30,848 --> 00:01:35,845 na hapo ndipo umaarufu wake ulipotokea. 24 00:01:37,395 --> 00:01:39,804 Walio na akina mama wakwe wa ugenini 25 00:01:39,805 --> 00:01:43,265 au akina mama wakwe wa ugenini watarajiwa, wanalijua hili, pia. 26 00:01:44,005 --> 00:01:46,406 Wanaweza kuongea Kiingereza wakiwa na wapenzi wao, 27 00:01:46,407 --> 00:01:50,552 lakini wakitaka kuwa na maelewano na mama wa msichana, 28 00:01:51,222 --> 00:01:55,181 vijana hujitolea kujifunza lugha za kushangaza, 29 00:01:55,185 --> 00:01:56,872 hata Kiholanzi. 30 00:01:56,876 --> 00:01:58,668 (Vicheko) 31 00:01:58,676 --> 00:02:01,104 Na hili husaidia. 32 00:02:01,974 --> 00:02:03,300 Kwa nini? 33 00:02:04,030 --> 00:02:09,044 Kwa vile, lugha zetu asili huambatana kwa karibu na 34 00:02:09,045 --> 00:02:13,050 utu wetu na kujitambulisha kwetu. 35 00:02:13,051 --> 00:02:17,694 Historia yetu yote imeota mizizi, 36 00:02:17,695 --> 00:02:20,727 na kulowa ndani ya lugha zetu asili. 37 00:02:21,451 --> 00:02:27,648 Kuna makumbusho na hisia zilizounganika na maneno, muonekano, 38 00:02:28,764 --> 00:02:31,642 hata kwa sarufi tulizokua nazo. 39 00:02:32,646 --> 00:02:37,141 Hivyo, unapojifunza lugha ya mwengine, 40 00:02:37,142 --> 00:02:40,350 unajifahamisha kuwa una nia halisi 41 00:02:40,351 --> 00:02:44,168 kwa maisha yao, kwa utu wao. 42 00:02:44,959 --> 00:02:47,585 Ni mama mkwe yupi hatafurahia? 43 00:02:48,711 --> 00:02:52,581 Unaposikia lugha yako unaskia kuungika. 44 00:02:53,834 --> 00:02:55,617 Unaposafiri, 45 00:02:55,618 --> 00:02:59,592 na umekuwa ukiongea lugha ya kigeni kwa siku au wiki kadhaa, 46 00:03:00,642 --> 00:03:03,011 wakati unapoabiri ndege 47 00:03:03,012 --> 00:03:06,279 na msaidizi kwa ndege akusalimie kwa lugha yako asili, 48 00:03:06,280 --> 00:03:08,408 unafahamu basi unaenda nyumbani. 49 00:03:10,478 --> 00:03:14,450 Kama lugha asili zingekuwa na harufu, 50 00:03:14,451 --> 00:03:18,680 nadhani zingenukia kama kuki, 51 00:03:18,681 --> 00:03:21,103 na kama supu ya kuku ya kurariji, 52 00:03:21,773 --> 00:03:23,828 na kama marashi ya nyanya - 53 00:03:24,668 --> 00:03:27,941 labda kidogo kama kifukuzi nondo. 54 00:03:28,742 --> 00:03:34,000 Hii inaweza kuwa sababu lugha zilizotungwa, 55 00:03:34,001 --> 00:03:40,301 kama Esperanto, hazijasambaa kama ilivyotarajiwa. 56 00:03:41,212 --> 00:03:44,212 Ziwe zimetungwa kiujanja namna gani, 57 00:03:44,213 --> 00:03:46,995 na rahisi kushika, 58 00:03:48,334 --> 00:03:53,085 hakuna nchi yeyote imewahi pitisha lugha ya kutungwa kama lugha asili. 59 00:03:53,948 --> 00:03:58,939 Wala kama lugha ya kigeni kufunzwa 60 00:03:58,940 --> 00:04:02,564 kwa mkabala mkubwa, kwa kipindi kirefu, 61 00:04:03,414 --> 00:04:05,161 ingawa hilo limejaribiwa. 62 00:04:05,831 --> 00:04:11,871 Lakini, licha ya matatizo yanayokumba lugha asili - 63 00:04:11,872 --> 00:04:15,434 kama makosa ya kutataniisha, 64 00:04:15,435 --> 00:04:20,154 tofauti ya uandishi na matamko, 65 00:04:20,156 --> 00:04:24,694 wakati mwengine ugumu wa fasaha - 66 00:04:25,655 --> 00:04:27,304 lakini licha ya hayo yote, 67 00:04:28,304 --> 00:04:34,192 tunaona bora kujifunza lugha zilizochipuka katikati ya watu. 68 00:04:35,812 --> 00:04:39,654 Lugha zilizotungwa hulenga akili. 69 00:04:40,774 --> 00:04:44,772 Lugha asili zina mnuso wa kuki. 70 00:04:46,056 --> 00:04:51,981 Kwa Nelson Mandela, kujifunza Afrikaans ilikuwa inalenga "kutambua adui." 71 00:04:51,982 --> 00:04:56,910 Alisema, "Unahitaji kujua lugha yao, na shauku zao, 72 00:04:56,911 --> 00:05:00,243 na matarajio, na uoga wao, kama unataka kuwashinda." 73 00:05:01,073 --> 00:05:03,644 Alifanya hilo. Lilifaulu. 74 00:05:04,724 --> 00:05:08,186 Lakini si wakati wote maadui wanapohusika, ama? 75 00:05:09,254 --> 00:05:12,111 Hii inafaa kutumika kwa uhusiano wote wa kibinaadamu. 76 00:05:13,445 --> 00:05:17,746 Na siwezi sema kuwa akina mama wakwe ni maadui - 77 00:05:17,747 --> 00:05:18,983 ki ufafanuzi. 78 00:05:19,833 --> 00:05:22,762 Takriban miaka saba au nane zilizopita, 79 00:05:22,763 --> 00:05:25,642 nilikuwa nasafiri Poland na familia yangu. 80 00:05:27,172 --> 00:05:31,413 Maduka yalikuwa karibu kufungwa na tulihitaji kununua chakula. 81 00:05:32,257 --> 00:05:35,692 Mwishowe, tulipata duka kubwa upande wa pili wa barabara. 82 00:05:36,908 --> 00:05:41,637 Njia pekee tungefikia duka hilo kabla kufungwa ilikuwa kugeuza gari pasipo pa kugeuka. 83 00:05:41,638 --> 00:05:43,328 Hivyo ndivyo nilivyofanya. 84 00:05:44,368 --> 00:05:46,578 Hilo lilikuwa hatari. 85 00:05:47,528 --> 00:05:49,696 Ilikuwa haramu kwa kweli. 86 00:05:52,065 --> 00:05:57,638 Nilipoegesha gari, hata kabla niziime injini - 87 00:05:58,238 --> 00:06:00,053 - niliskia sauti ya kubisha. 88 00:06:01,250 --> 00:06:06,096 Hivyo nikateremsha dirisha, na jozi mbili za macho zikatokea. 89 00:06:07,624 --> 00:06:11,963 Kila jozi la macho lilikuwa la polisi. 90 00:06:13,296 --> 00:06:17,564 Sasa, siwezi jigamba naelewa lugha ya Polish vyema 91 00:06:17,565 --> 00:06:19,255 kwa nyakati nzuri, 92 00:06:19,985 --> 00:06:23,526 lakini nyakati zilizopita niliweza kuendeleza mazungumzo. 93 00:06:24,336 --> 00:06:27,780 Lakini kwa mazingara yale, na dhamiri ya hatia, 94 00:06:28,620 --> 00:06:31,755 jicho kwa jicho na polisi, wakiwa na sare halisi, 95 00:06:33,175 --> 00:06:38,315 kila neno la Polish nililokuwa nikijua liliniponyoka. 96 00:06:39,719 --> 00:06:43,789 Na bado, sikufikiria hata kwa mda, 97 00:06:44,549 --> 00:06:47,728 kujaribu kusuluhisha tatizo nikitumia Kiingereza. 98 00:06:49,078 --> 00:06:53,318 Kiingereza nadhani kingenipatia upeo wa juu kilugha, 99 00:06:54,278 --> 00:06:57,280 lakini labda ingefanya polisi kuwa na wasiwasi. 100 00:06:58,244 --> 00:07:00,934 Hivyo, niliaminisha kubaki na lugha ya Polish. 101 00:07:01,774 --> 00:07:02,798 Kivipi? 102 00:07:04,479 --> 00:07:08,699 Ile kona yangu finyu ya lugha ya Polish ilikuwa imezima 103 00:07:10,388 --> 00:07:11,965 isipokuwa jambo moja. 104 00:07:13,204 --> 00:07:17,942 Kulikuwa na jambo moja nililokuwa nimelirudia mara nyingi 105 00:07:17,943 --> 00:07:20,814 hata ningeweza kulikariri nikiwa usingizini. 106 00:07:22,501 --> 00:07:24,960 Lilikuwa ni shairi la watoto, 107 00:07:27,563 --> 00:07:29,652 lililohusu chura mgonjwa. 108 00:07:30,273 --> 00:07:32,251 (Vicheko) 109 00:07:32,951 --> 00:07:34,522 Hilo ndilo nililokuwa nalo. 110 00:07:34,523 --> 00:07:39,523 Najua lilikuwa jambo la ajabu kufanya, lakini nilitoa kelele: 111 00:07:40,417 --> 00:07:42,532 (Polish) "Chura mmoja alisikia udhaifu 112 00:07:42,532 --> 00:07:46,084 hivyo akaenda kwa daktari na akasema ni mgonjwa. 113 00:07:46,085 --> 00:07:50,458 Daktari akavalia miwani yake kwa sababu alikuwa kazeeka." 114 00:07:51,564 --> 00:07:53,882 Niliwatazama polisi. 115 00:07:53,883 --> 00:07:56,483 Na walikuwa wakiniangalia kwa mshangao. 116 00:07:56,484 --> 00:07:57,813 (Vicheko) 117 00:07:58,653 --> 00:08:01,659 Nakumbuka kama mmoja wao alikuna kichwa. 118 00:08:02,669 --> 00:08:05,242 Alafu wote wakatabasamu. 119 00:08:06,112 --> 00:08:07,339 Wakatabasamu. 120 00:08:07,340 --> 00:08:10,879 Na hilo, kwa upande wake, likaniweka hali shwari, 121 00:08:10,880 --> 00:08:14,256 shwari hadi maneno machache husika yaliyopotea 122 00:08:14,257 --> 00:08:16,677 yangeweza kurudi akilini mwangu. 123 00:08:16,688 --> 00:08:19,687 Ningeweza kugugumiza sentensi chache kama, 124 00:08:19,688 --> 00:08:23,483 "Pole sana, nilikuwa nahitaji chakula, sitawahi kurudia hilo tena." 125 00:08:24,763 --> 00:08:26,262 Waliniachilia bila adhabu. 126 00:08:27,334 --> 00:08:32,458 Nilipokuwa nakimbia ndani ya duka, waliita, "maneno kwa lugha ya Polish!" 127 00:08:32,480 --> 00:08:34,020 "Uwe na safari njema!" 128 00:08:34,650 --> 00:08:39,006 Si lengo langu kuwashurutisha kujifunza lugha za kigeni 129 00:08:39,006 --> 00:08:42,696 ndio msafiri pande zote za dunia, mvunje sheria na muepuke bila adhabu. 130 00:08:44,586 --> 00:08:49,481 Lakini tukio hili linaonyesha vile maneno machache, 131 00:08:50,261 --> 00:08:53,760 ingawa rahisi au ya kijinga, maneno machache tu, 132 00:08:53,761 --> 00:08:57,991 yanawezaenda moja kwa moja ndani ya moyo na kuuyeyusha. 133 00:08:58,901 --> 00:09:01,771 Ijapo kuwa, kulikuwa na wimbo mbadala wa ule wa chura mgonjwa. 134 00:09:01,772 --> 00:09:04,207 Lilikuwa jambo moja nililolijua vyema sana: 135 00:09:05,857 --> 00:09:07,232 wimbo wa kunywa. 136 00:09:07,233 --> 00:09:08,525 (Kicheko) 137 00:09:09,185 --> 00:09:11,394 Labda hilo halingenipatia tabasamu 138 00:09:12,124 --> 00:09:14,430 labda safari hadi kituo cha polisi 139 00:09:14,431 --> 00:09:15,661 kwa uchunguzi wa damu. 140 00:09:17,603 --> 00:09:21,133 Si lazima ujifunze lugha nyingi, 141 00:09:21,134 --> 00:09:24,153 na si lazima uzijue kwa undani. 142 00:09:24,154 --> 00:09:26,162 Ujuzi kidogo unaweza kuwa wa manufaa makubwa. 143 00:09:27,122 --> 00:09:30,383 Maneno kumi yanalengayo moyoni yanaweza kuwa na athari kubwa 144 00:09:30,384 --> 00:09:32,964 kuliko maneno alfu moja yalengayo akili. 145 00:09:34,644 --> 00:09:38,741 Unaweza kuchagua kutumia Kiingereza na kukutana katikati. 146 00:09:39,851 --> 00:09:44,822 Lakini pia unaweza chagua kuwa yule mtu avukaye kigezo kilicho katikati 147 00:09:44,823 --> 00:09:49,393 na kukutana na swahiba wako au mpinzani wako, yeyote yule, 148 00:09:49,394 --> 00:09:50,394 kutana nao kwa maskani yao. 149 00:09:50,394 --> 00:09:52,375 Kuongea lugha ya mwengine haikufanyi kuwa dhaifu, 150 00:09:52,375 --> 00:09:55,334 inadhibitisha una nguvu. 151 00:09:55,336 --> 00:09:57,066 Ni yule aliye na ujasiri, na afanyaye juhudi za kuvuka vigezo 152 00:09:57,856 --> 00:10:04,241 anayeibuka mshindi mwishowe. 153 00:10:05,221 --> 00:10:06,923 Usiogope kufanya makosa. Makosa yanadhihirisha ubinadamu. 154 00:10:08,292 --> 00:10:12,210 Na kando na haya, kuna la ziada: 155 00:10:12,918 --> 00:10:16,836 Ukifanya makosa huko nje, 156 00:10:18,091 --> 00:10:20,692 unatoa fursa kwa wenzako kukusaidia, kukujia na kukutana nawe. 157 00:10:20,693 --> 00:10:26,090 Na kwa njia hii, utangamano utakaokuwa umeanzisha utakuwa wenye nguvu. 158 00:10:26,091 --> 00:10:31,933 Hivyo, wataka kueleweka 159 00:10:32,934 --> 00:10:37,190 au wataka kutangamana? 160 00:10:38,320 --> 00:10:39,970 Jameni tuendelee kujifunza na kukitumia Kiingereza. 161 00:10:41,650 --> 00:10:46,520 Ndivyo tutangamane na walio na lugha tofauti za kiasilia, kama tunavyofanya hapa TEDx. 162 00:10:48,080 --> 00:10:52,561 Kiingereza ni kigezo muhimu cha kueneza ujuzi, 163 00:10:53,591 --> 00:10:57,697 kwa mikutano ya kimataifa ya kujadili shida za kimataifa 164 00:10:57,698 --> 00:11:03,750 Juu ya yote, Kiingereza ni barabara kuu kufikia mioyo milioni mia tatu sitini na tano. 165 00:11:04,940 --> 00:11:10,161 Kwa watu mia tatu sitini na tano, lugha ya Kiingereza yanukia kuki. 166 00:11:11,131 --> 00:11:17,170 Lakini mbona ukomee hapo? 167 00:11:18,927 --> 00:11:20,517 Mbona usiongeze jitihada 168 00:11:22,007 --> 00:11:24,535 na kujifunza angalau lugha moja geni? 169 00:11:24,536 --> 00:11:27,696 Kuna ladha kadhaa za kuki. 170 00:11:28,776 --> 00:11:31,784 Twendeni na tuonje moja mpya. 171 00:11:31,785 --> 00:11:34,181 Asante. 172 00:11:34,990 --> 00:11:36,051 (Makofi) 173 00:11:36,463 --> 00:11:37,755 (Makofi)