[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.07,0:00:03.88,Default,,0000,0000,0000,,Nataka niwaambie kisa \Nkuhusu msichana mmoja. Dialogue: 0,0:00:04.52,0:00:06.63,Default,,0000,0000,0000,,Lakini siwezi kuwaambia jina lake halisi. Dialogue: 0,0:00:07.02,0:00:08.93,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tufanye kumuita Hadiza. Dialogue: 0,0:00:09.56,0:00:11.05,Default,,0000,0000,0000,,Hadiza ana miaka 20. Dialogue: 0,0:00:11.64,0:00:12.79,Default,,0000,0000,0000,,Ana aibu, Dialogue: 0,0:00:12.81,0:00:16.05,Default,,0000,0000,0000,,lakini ana tabasamu zuri \Nambalo hufanya uso wake kung'aa Dialogue: 0,0:00:16.96,0:00:18.89,Default,,0000,0000,0000,,Lakini yuko katika maumivu wakati wote. Dialogue: 0,0:00:20.64,0:00:24.12,Default,,0000,0000,0000,,Na anaweza kuwa \Nmtu wa matibabu maisha yake yote. Dialogue: 0,0:00:25.05,0:00:26.55,Default,,0000,0000,0000,,Je wataka kujua kwa nini? Dialogue: 0,0:00:27.96,0:00:30.82,Default,,0000,0000,0000,,Hadiza ni msichana wa Chibok, Dialogue: 0,0:00:30.84,0:00:34.08,Default,,0000,0000,0000,,na mnamo Aprili 14, 2014, alitekwa Dialogue: 0,0:00:34.10,0:00:35.73,Default,,0000,0000,0000,,na magaidi wa Boko Haram. Dialogue: 0,0:00:36.47,0:00:38.98,Default,,0000,0000,0000,,Ingawa alijaribu kutoroka, Dialogue: 0,0:00:39.00,0:00:42.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuruka toka kwenye gari lililokuwa limebeba wasichana. Dialogue: 0,0:00:42.22,0:00:45.52,Default,,0000,0000,0000,,Lakini alipotua chini, alivunjika miguu yako yote miwili, Dialogue: 0,0:00:45.54,0:00:48.96,Default,,0000,0000,0000,,na alihitaji kutambaa kwa tumbo kujificha kichakani. Dialogue: 0,0:00:48.98,0:00:53.06,Default,,0000,0000,0000,,Aliniambia aliogopa sana \Nkuwa Boko Haram wangeweza kumrudia. Dialogue: 0,0:00:53.70,0:00:58.33,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa mmoja wa wasichana 57 waliotoroka \Nkwa kuruka toka kwenye magari siku ile. Dialogue: 0,0:00:58.36,0:01:00.90,Default,,0000,0000,0000,,Kisa hiki, hakika, kilisambaa kama mawimbi Dialogue: 0,0:01:00.92,0:01:02.29,Default,,0000,0000,0000,,duniani kote. Dialogue: 0,0:01:02.32,0:01:05.59,Default,,0000,0000,0000,,Watu kama Michelle Obama, \NMalala na wengine Dialogue: 0,0:01:05.61,0:01:07.70,Default,,0000,0000,0000,,walitoa sauti zao wakipinga, Dialogue: 0,0:01:07.73,0:01:10.99,Default,,0000,0000,0000,,na wakati huo huo -- \Nnilikuwa nikiishi London wati huo Dialogue: 0,0:01:11.01,0:01:15.65,Default,,0000,0000,0000,,Nilitumwa kutoka London kwenda Abuja \Nkupata habari za Jukwaa la Uchumi Duniani Dialogue: 0,0:01:15.68,0:01:18.10,Default,,0000,0000,0000,,ambapo Naijeria ilikuwa mwenyeji\Nkwa mara ya kwanza Dialogue: 0,0:01:18.66,0:01:22.72,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nilipofika, ilikuwa dhahiri \Nkwamba kulikuwa na habari moja tu mjini. Dialogue: 0,0:01:23.91,0:01:25.75,Default,,0000,0000,0000,,Tuliiiweka serikali kwenye shinikizo. Dialogue: 0,0:01:25.78,0:01:28.34,Default,,0000,0000,0000,,Tuliuliza maswali magumu \Njuu ya nini wanafanya Dialogue: 0,0:01:28.36,0:01:29.86,Default,,0000,0000,0000,,kuwarudisha wasichana hawa. Dialogue: 0,0:01:30.38,0:01:32.10,Default,,0000,0000,0000,,Ilieleweka hakika, Dialogue: 0,0:01:32.13,0:01:34.93,Default,,0000,0000,0000,,hawakuwa na furaha juu ya maswali yetu, Dialogue: 0,0:01:34.96,0:01:38.71,Default,,0000,0000,0000,,na tuseme tu tulipata mgao mzuri \Nwa "ukweli mbadala". Dialogue: 0,0:01:38.73,0:01:41.41,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:01:41.44,0:01:44.63,Default,,0000,0000,0000,,Wanaijeria wenye ushawishi mkubwa \Nwalikuwa wakituambia wakati ule Dialogue: 0,0:01:44.66,0:01:46.66,Default,,0000,0000,0000,,kuwa tulikuwa washamba. Dialogue: 0,0:01:46.68,0:01:49.88,Default,,0000,0000,0000,,hatukuelewa hali ya siasa ya Naijeria. Dialogue: 0,0:01:50.90,0:01:52.100,Default,,0000,0000,0000,,Lakini pia walituambia Dialogue: 0,0:01:53.02,0:01:55.63,Default,,0000,0000,0000,,kuwa habari ya wasichana wa Chibok Dialogue: 0,0:01:55.65,0:01:56.84,Default,,0000,0000,0000,,illikuwa mzaha. Dialogue: 0,0:01:58.26,0:02:00.96,Default,,0000,0000,0000,,Cha kusikitisha ni kuwa \Nhabari hii ya mzaha imedumu Dialogue: 0,0:02:00.99,0:02:03.28,Default,,0000,0000,0000,,na bado kuna watu Naijeria leo Dialogue: 0,0:02:03.30,0:02:06.07,Default,,0000,0000,0000,,wanaoamini \Nwasichana wa Chibok hawakutekwa. Dialogue: 0,0:02:06.93,0:02:09.49,Default,,0000,0000,0000,,Bado, nilikuwa nikiongea na watu kama hawa Dialogue: 0,0:02:10.40,0:02:12.11,Default,,0000,0000,0000,,wazazi wenye huzuni kubwa, Dialogue: 0,0:02:12.13,0:02:16.18,Default,,0000,0000,0000,,ambao walituambia \Nsiku Boko Haram waliwateka binti zao, Dialogue: 0,0:02:16.21,0:02:20.78,Default,,0000,0000,0000,,walikimbia mpaka Msitu wa Sambisa \Nwakifukuza magari laliyobeba binti zao. Dialogue: 0,0:02:20.81,0:02:24.53,Default,,0000,0000,0000,,Wao walikuwa na mapanga kama silaha, \Nlakini walilazimika kurudi Dialogue: 0,0:02:24.56,0:02:26.41,Default,,0000,0000,0000,,sababu Boko Haram walikuwa na bunduki. Dialogue: 0,0:02:27.34,0:02:31.01,Default,,0000,0000,0000,,Kwa miaka miwili, pasipo kuepukika, \Najenda za habari zilisonga mbele, Dialogue: 0,0:02:31.03,0:02:32.76,Default,,0000,0000,0000,,na kwa miaka miwili, Dialogue: 0,0:02:32.79,0:02:35.94,Default,,0000,0000,0000,,hatukusikia sana \Nkuhusu wasichana wa Chibok. Dialogue: 0,0:02:35.97,0:02:37.84,Default,,0000,0000,0000,,Kila moja alidhania wamekwishakufa. Dialogue: 0,0:02:38.23,0:02:40.22,Default,,0000,0000,0000,,Lakini Aprili mwaka jana, Dialogue: 0,0:02:40.24,0:02:42.45,Default,,0000,0000,0000,,niliweza kupata video hii. Dialogue: 0,0:02:43.04,0:02:44.78,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni picha-mnato toka kwenye video Dialogue: 0,0:02:44.80,0:02:47.91,Default,,0000,0000,0000,,ambayo Boko Haram walirekodi \Nkama ushahidi kuwa wako hai, Dialogue: 0,0:02:48.92,0:02:51.47,Default,,0000,0000,0000,,na kupitia chanzo kimoja, \Nnilipata video hii. Dialogue: 0,0:02:52.11,0:02:53.65,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kabla sijaichapisha, Dialogue: 0,0:02:53.67,0:02:56.70,Default,,0000,0000,0000,,Nilihitaji kusafiri \Nkwenda kaskazini mashariki mwa Naijeria Dialogue: 0,0:02:56.72,0:02:58.79,Default,,0000,0000,0000,,kuzungumza na wazazi, kuihakikisha. Dialogue: 0,0:02:59.32,0:03:02.69,Default,,0000,0000,0000,,Sikuhitaji kusubiri sana \Nkupata uthibitisho. Dialogue: 0,0:03:03.63,0:03:06.96,Default,,0000,0000,0000,,Mmoja wa wamama, \Nalipoangalia hiyo video, aliniambia Dialogue: 0,0:03:06.98,0:03:09.68,Default,,0000,0000,0000,,kama angeweza kuifika ndani ya kompyuta Dialogue: 0,0:03:09.71,0:03:13.73,Default,,0000,0000,0000,,na kumvuta na kumtoa nje mtoto wake \Nkutoka kwenye kompyuta, Dialogue: 0,0:03:13.75,0:03:15.16,Default,,0000,0000,0000,,angefanya hivyo. Dialogue: 0,0:03:16.20,0:03:19.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa wale kati yenu ambao ni wazazi, \Nkama mimi, katika wasikilizaji. Dialogue: 0,0:03:19.45,0:03:22.28,Default,,0000,0000,0000,,Mnaweza tu kufikiria uchungu Dialogue: 0,0:03:22.30,0:03:23.76,Default,,0000,0000,0000,,ambao yule mama aliusikia Dialogue: 0,0:03:25.60,0:03:32.16,Default,,0000,0000,0000,,Video hii iliendelea hadi kuanzisha \Nmjadala wa mazungumzo na Boko Haram. Dialogue: 0,0:03:32.18,0:03:36.15,Default,,0000,0000,0000,,Na seneta mmoja wa Kinaijeria aliniambia \Nkuwa kwa sababu ya video hii Dialogue: 0,0:03:36.17,0:03:38.16,Default,,0000,0000,0000,,waliingia katika yale mazungumzo, Dialogue: 0,0:03:38.19,0:03:41.69,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu muda mrefu walidhani \Nwasichana wa Chibok walishakufa. Dialogue: 0,0:03:42.64,0:03:47.34,Default,,0000,0000,0000,,Wasichana 21 waliachiwa huru \Nmwezi Oktoba mwaka jana. Dialogue: 0,0:03:47.36,0:03:50.93,Default,,0000,0000,0000,,Cha kusikitisha, karibu 200 kati yao \Nbado hawajapatikana. Dialogue: 0,0:03:51.69,0:03:55.89,Default,,0000,0000,0000,,Ni lazima nikiri, \Nsijawa mwangalizi niliyependelea Dialogue: 0,0:03:55.91,0:03:57.10,Default,,0000,0000,0000,,kuzungumzia habari hii. Dialogue: 0,0:03:57.12,0:04:00.93,Default,,0000,0000,0000,,Nakuwa na hasira ninapofikiria \Njuu ya fursa zinazopotea Dialogue: 0,0:04:02.23,0:04:03.42,Default,,0000,0000,0000,,kuwaokoa wasichana hawa. Dialogue: 0,0:04:03.44,0:04:07.34,Default,,0000,0000,0000,,Nakuwa na hasira ninapofikiria \Njuu ya kile wazazi wameniambia, Dialogue: 0,0:04:07.37,0:04:10.14,Default,,0000,0000,0000,,kuwa ingekuwa mabinti hawa \Nni wa matajiri na wenye nguvu, Dialogue: 0,0:04:10.17,0:04:12.33,Default,,0000,0000,0000,,wangepatikana mapema zaidi. Dialogue: 0,0:04:14.28,0:04:16.29,Default,,0000,0000,0000,,Na nina hasira Dialogue: 0,0:04:16.31,0:04:18.24,Default,,0000,0000,0000,,kwamba simulizi la mzaha Dialogue: 0,0:04:18.26,0:04:20.14,Default,,0000,0000,0000,,ambalo naamini hakika Dialogue: 0,0:04:20.17,0:04:22.28,Default,,0000,0000,0000,,limesababisha kuchelewa; Dialogue: 0,0:04:22.30,0:04:25.29,Default,,0000,0000,0000,,lilikuwa ni sehemu ya sababu \Nya ucheleweshwaji wa kurudi kwao. Dialogue: 0,0:04:26.68,0:04:31.20,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaonesha kwangu \Nhatari kubwa ya habari za uongo. Dialogue: 0,0:04:31.22,0:04:32.81,Default,,0000,0000,0000,,Nini twaweza kufanya juu ya hili? Dialogue: 0,0:04:33.88,0:04:35.80,Default,,0000,0000,0000,,Kuna watu werevu sana, Dialogue: 0,0:04:35.82,0:04:38.28,Default,,0000,0000,0000,,wahandisi werevu huko Google na Facebook, Dialogue: 0,0:04:38.31,0:04:43.37,Default,,0000,0000,0000,,wanaojaribu kutumia tekinolojia \Nkuzuia kusambaa kwa habari za uongo. Dialogue: 0,0:04:43.40,0:04:48.15,Default,,0000,0000,0000,,Lakini zaidi ya hapo, nafikiri \Nkila mmoja hapa -- wewe na mimi -- Dialogue: 0,0:04:48.17,0:04:50.36,Default,,0000,0000,0000,,tuna nafasi ya kushiriki katika hilo. Dialogue: 0,0:04:50.38,0:04:52.68,Default,,0000,0000,0000,,Sisi ndio tunaoshirikishana maudhui Dialogue: 0,0:04:52.70,0:04:55.21,Default,,0000,0000,0000,,Sisi ndio tunaoshirikishana \Nhabari mitandaoni Dialogue: 0,0:04:55.23,0:04:57.42,Default,,0000,0000,0000,,Nyakati za leo, sisi sote ni wachapishaji, Dialogue: 0,0:04:58.54,0:05:01.03,Default,,0000,0000,0000,,na tuna jukumu. Dialogue: 0,0:05:01.05,0:05:03.36,Default,,0000,0000,0000,,Katika kazi yangu kama mwanahabari, Dialogue: 0,0:05:03.38,0:05:05.41,Default,,0000,0000,0000,,Ninaangalia, ninathibitisha, Dialogue: 0,0:05:05.44,0:05:08.72,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamini hisia zangu, \Nlakini nauliza maswali magumu. Dialogue: 0,0:05:09.62,0:05:12.50,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini huyu mtu ananiambia habari hii? Dialogue: 0,0:05:12.52,0:05:16.02,Default,,0000,0000,0000,,Nini atakachokipata \Nkwa kunishirikisha taarifa hii? Dialogue: 0,0:05:16.04,0:05:17.85,Default,,0000,0000,0000,,Je, ana ajenda ya siri? Dialogue: 0,0:05:18.68,0:05:24.17,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamini kabisa kuwa wote tunatakiwa \Nkuanza kuuliza maswali magumu zaidi Dialogue: 0,0:05:24.20,0:05:26.51,Default,,0000,0000,0000,,kwa taarifa tunazozipata mtandaoni. Dialogue: 0,0:05:29.67,0:05:35.40,Default,,0000,0000,0000,,Utafiti unaonesha kwamba kati yetu \Nkuna wasiosoma zaidi ya vichwa vya habari Dialogue: 0,0:05:35.43,0:05:37.53,Default,,0000,0000,0000,,kabla ya kushirikisha habari. Dialogue: 0,0:05:37.56,0:05:39.09,Default,,0000,0000,0000,,Nani hapa amefanya hivyo? Dialogue: 0,0:05:39.94,0:05:41.28,Default,,0000,0000,0000,,Najua mimi nimefanya. Dialogue: 0,0:05:42.44,0:05:43.79,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ingekuwaje kama Dialogue: 0,0:05:45.30,0:05:49.50,Default,,0000,0000,0000,,tungeacha kuchukua taarifa tuipatayo jinsi ionekanavyo kijuujuu? Dialogue: 0,0:05:50.25,0:05:53.82,Default,,0000,0000,0000,,vipi kama tutasimama na kufikiria athari Dialogue: 0,0:05:53.85,0:05:56.30,Default,,0000,0000,0000,,za taarifa ambazo tunazisambaza Dialogue: 0,0:05:56.32,0:05:59.53,Default,,0000,0000,0000,,na uwezo wake wa kuchochea vurugu na chuki? Dialogue: 0,0:06:00.60,0:06:05.13,Default,,0000,0000,0000,,Vipi kama tutasimama na kufikiria juu ya athari kwenye maisha halisi Dialogue: 0,0:06:05.15,0:06:07.00,Default,,0000,0000,0000,,za taarifa tunazoshirikishana? Dialogue: 0,0:06:08.10,0:06:09.90,Default,,0000,0000,0000,,Ahsanteni sana kwa kunisikiliza. Dialogue: 0,0:06:09.93,0:06:13.42,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi na vifijo)