WEBVTT 00:00:03.859 --> 00:00:05.383 Hujambo, Jina langu ni Suzan Song, 00:00:05.383 --> 00:00:08.756 Mwelekezi wa Kitengo cha Tiba na Taaluma ya Ugonjwa wa Akili kwa Watoto, Vijana na Familia 00:00:08.756 --> 00:00:10.287 cha Chuo Kikuu cha George Washington, 00:00:10.406 --> 00:00:12.167 na Mshauri wa Kulinda Ubinadamu 00:00:12.167 --> 00:00:15.268 kwa waathiriwa wa uhamishaji wa lazima kote duniani na nchini. 00:00:15.431 --> 00:00:17.112 Kumekuwa na ongezeko la kipekee 00:00:17.112 --> 00:00:19.192 la idadi ya wakimbizi kote ulimwenguni, 00:00:19.402 --> 00:00:22.963 wakiwemo wakimbizi, watafuta makao, wahamiaji wasio halali 00:00:23.226 --> 00:00:24.738 na watoto walio pweke. 00:00:25.339 --> 00:00:28.074 Kote ulimwenguni, zaidi ya watu milioni 65 00:00:28.074 --> 00:00:31.757 kwa sasa ni wakimbizi kutokana na vita, mateso au mgogoro wa kivita. 00:00:32.059 --> 00:00:35.803 Kufikia mwanzo mwa 2018, takribani watoto milioni 31 kote ulimwenguni 00:00:36.033 --> 00:00:37.992 walifanywa wakimbizi kutokana na vurugu na migogoro. 00:00:38.207 --> 00:00:39.804 Iwapo mitindo hii ya sasa itaendelea, 00:00:40.054 --> 00:00:43.010 mtu mmoja kati ya watu mia moja atakuwa mkimbizi hivi karibuni. 00:00:43.010 --> 00:00:46.328 Kwa bahati mbaya, wakimbizi na waathiriwa wengi wa uhamaji wa lazima 00:00:46.328 --> 00:00:48.474 hawapokei huduma inayohitajika ya afya ya akili. 00:00:48.687 --> 00:00:52.138 kutokana na umakini wa huduma, ukosefu wa kufikia huduma ya kitaalamu, 00:00:52.547 --> 00:00:54.477 na shutuma dhidi ya matatizo ya akili. 00:00:54.900 --> 00:00:57.470 00:00:57.470 --> 00:00:59.503 00:00:59.503 --> 00:01:03.310 00:01:03.310 --> 00:01:05.362 00:01:05.748 --> 00:01:08.437 00:01:08.437 --> 00:01:10.557 00:01:10.759 --> 00:01:13.972 00:01:14.319 --> 00:01:16.837 00:01:17.175 --> 00:01:19.301 00:01:19.301 --> 00:01:22.001 00:01:22.001 --> 00:01:23.335 00:01:23.732 --> 00:01:28.897 00:01:29.260 --> 00:01:31.398 00:01:31.398 --> 00:01:34.588 00:01:34.588 --> 00:01:38.586 00:01:38.756 --> 00:01:41.356 00:01:41.466 --> 00:01:43.167 00:01:43.491 --> 00:01:46.516 00:01:46.643 --> 00:01:48.523 00:01:48.860 --> 00:01:52.712 00:01:52.972 --> 00:01:54.421 00:01:54.736 --> 00:01:57.603 00:01:57.603 --> 00:01:59.770 00:01:59.960 --> 00:02:02.944 00:02:03.232 --> 00:02:07.007 00:02:07.173 --> 00:02:09.750 00:02:09.875 --> 00:02:11.980 00:02:12.155 --> 00:02:15.210 00:02:15.592 --> 00:02:18.056 00:02:18.350 --> 00:02:20.200 00:02:20.954 --> 00:02:24.714 00:02:24.863 --> 00:02:26.903 00:02:27.350 --> 00:02:30.449 00:02:30.449 --> 00:02:32.318 00:02:32.602 --> 00:02:34.086 00:02:34.336 --> 00:02:37.303 00:02:37.581 --> 00:02:39.561 00:02:39.561 --> 00:02:43.437 00:02:43.749 --> 00:02:46.715 00:02:46.715 --> 00:02:50.185 00:02:50.425 --> 00:02:54.119 00:02:54.119 --> 00:02:56.907 00:02:56.907 --> 00:02:59.478 00:02:59.660 --> 00:03:02.141 00:03:02.141 --> 00:03:04.539