WEBVTT 00:00:03.629 --> 00:00:05.273 Hujambo, Jina langu ni Suzan Song, 00:00:05.273 --> 00:00:09.095 Mwelekezi wa Idara cha Taaluma ya Ugonjwa wa Akili kwa Watoto, Vijana na Familia 00:00:09.115 --> 00:00:10.839 ya Chuo Kikuu cha George Washington, 00:00:10.849 --> 00:00:12.330 na Mshauri wa Kulinda Ubinadamu 00:00:12.330 --> 00:00:15.431 kwa waathiriwa wa uhamishaji wa lazima kote duniani na nchini. 00:00:15.431 --> 00:00:17.112 Kumekuwa na ongezeko la kipekee 00:00:17.112 --> 00:00:19.192 la idadi ya wakimbizi kote ulimwenguni, 00:00:19.402 --> 00:00:22.963 wakiwemo wakimbizi, watafuta makao, wahamiaji wasio halali 00:00:23.226 --> 00:00:24.738 na watoto walio pweke. 00:00:25.339 --> 00:00:28.074 Kote ulimwenguni, zaidi ya watu milioni 65 00:00:28.074 --> 00:00:31.757 kwa sasa ni wakimbizi kutokana na vita, mateso au mgogoro wa kivita. 00:00:32.059 --> 00:00:35.653 Kufikia mwanzo mwa 2018, takribani watoto milioni 31 kote ulimwenguni 00:00:35.733 --> 00:00:38.207 walifanywa wakimbizi kutokana na vurugu na migogoro. 00:00:38.207 --> 00:00:39.974 Iwapo mitindo hii ya sasa itaendelea, 00:00:40.014 --> 00:00:43.010 mtu mmoja kati ya watu mia moja atakuwa mkimbizi hivi karibuni. 00:00:43.010 --> 00:00:46.328 Kwa bahati mbaya, wakimbizi na waathiriwa wengi wa uhamaji wa lazima 00:00:46.328 --> 00:00:48.614 hawapokei huduma inayohitajika ya afya ya akili. 00:00:48.687 --> 00:00:52.138 kutokana na usiri wa huduma, ukosefu wa kufikia huduma ya kitaalamu, 00:00:52.547 --> 00:00:54.477 na shutuma dhidi ya matatizo ya akili. 00:00:54.740 --> 00:00:57.410 Wakimbizi ni wale ambao wametoroka katika nchi zao halisi 00:00:57.410 --> 00:00:59.503 kutokana na wasiwasi wa mateso yaliyokithiri 00:00:59.503 --> 00:01:03.310 yanayolingana na mbari, dini, uraia, maoni ya kisiasa 00:01:03.310 --> 00:01:05.362 au uanachama katika kikundi fulani cha jumuiya. 00:01:05.748 --> 00:01:08.437 Ingawa wakimbizi huomba ulinzi wakiwa ughaibuni 00:01:08.437 --> 00:01:10.557 na wanapewa ruhusa ya kuingia Marekani, 00:01:10.759 --> 00:01:13.972 Watu wanaotafuta makao pia wana hofu ya mateso. 00:01:14.319 --> 00:01:16.837 Lakini wanatafuta ulinzi wakiwa ndani ya Marekani. 00:01:17.175 --> 00:01:19.301 Wakimbizi na watu wengine walioathiriwa na mzozo 00:01:19.301 --> 00:01:22.001 waliripotiwa kuwa na asilimia 15 hadi 30 ya 00:01:22.001 --> 00:01:23.335 PTSD na mafadhaiko, 00:01:23.732 --> 00:01:28.897 ikilinganishwa na asilimia 3.5 ya PTSD miongoni mwa wasio wakimbizi. 00:01:29.260 --> 00:01:31.398 Mambo thabiti yanayoashiria afya mbovu ya akili 00:01:31.398 --> 00:01:34.588 ni kupitia mateso na matukio mengi yanayosababisha kiwewe. 00:01:34.588 --> 00:01:38.586 Lakini mateso, kutenganishwa na familia, michakato ya kuchosha ya mahali pa hifadhi, 00:01:38.756 --> 00:01:41.356 kutengwa na hali ngumu katika nchi unakoishi 00:01:41.466 --> 00:01:43.167 zote huongeza ubaya wa afya ya akili. 00:01:43.491 --> 00:01:46.516 Mazingira baada ya uhamiaji, hasa kipindi kirefu cha kuzuiliwa, 00:01:46.643 --> 00:01:48.523 hali isiyo salama ya uhamiaji, 00:01:48.860 --> 00:01:52.712 ufikiaji mbovu wa huduma na vikwazo vya kazi na elimu 00:01:52.972 --> 00:01:54.421 vinaweza kudhoofisha zaidi afya ya akili. 00:01:54.736 --> 00:01:57.603 Haya hayatoi upeo kamili wa matatizo ya hisia 00:01:57.603 --> 00:01:59.770 yanayokumbwa na watu walioathiriwa na mgogoro 00:01:59.960 --> 00:02:02.944 ikiwa ni pamoja na huzuni isioelezeka, kiwewe kigumu, 00:02:03.232 --> 00:02:07.007 kukata tamaa, kutengwa, hasira, na kutoamini. 00:02:07.173 --> 00:02:09.750 Watu wengi wanakumbana na hatua za kawaida 00:02:09.875 --> 00:02:11.980 kwa matukio yasiyo ya kawaida kabisa. 00:02:12.155 --> 00:02:15.210 Baada ya muda, wakimbizi wengi huonyesha dalili chache au hawaonyeshi dalili zozote. 00:02:15.592 --> 00:02:18.056 Idadi ndogo huonyesha mtindo wa kupona 00:02:18.350 --> 00:02:20.200 na idadi ndogo ingine huendelea kutatizika. 00:02:20.954 --> 00:02:24.714 Kwa hivyo tunahitaji kutathmini tofauti kati ya hali za tukio za dhiki 00:02:24.863 --> 00:02:26.903 na hali dhahiri ya ugonjwa wa akili kwa wakimbizi. 00:02:27.350 --> 00:02:30.449 Tunafanya hili kwa kulenga kushirikisha 00:02:30.449 --> 00:02:32.318 hali za awali za kiwewe, 00:02:32.602 --> 00:02:34.086 mambo ya kila siku ya kusababisha mzongo, 00:02:34.336 --> 00:02:37.303 na mifumo mikuu ya ushirikiano wa kijamii ambayo mtu anahusika. 00:02:37.581 --> 00:02:39.561 Wataalamu wa akili wanaweza kusaidia watu hawa 00:02:39.561 --> 00:02:43.437 kupitia shughuli za kliniki zinazofaa kwa wakimbizi na wanaotafuta makao. 00:02:43.749 --> 00:02:46.715 Kwa kiwango cha sera kwa kufanya tathmini za makao 00:02:46.715 --> 00:02:50.185 na kwa kiwango cha utetezi kwa kuhimiza usawa wa kufikia, 00:02:50.425 --> 00:02:54.119 uwezo wa huduma kuwahifadhi wakimbizi na watu waliohamishwa kwa lazima, 00:02:54.119 --> 00:02:56.907 na kwa kushirikiana na wanachama wa jumuiya ya masomo mbalimbali 00:02:56.907 --> 00:02:59.478 kama vile mawakili, walimu na watengenezaji wa sera 00:02:59.660 --> 00:03:02.141 kutoa mfumo salama ambao wakimbizi 00:03:02.141 --> 00:03:04.539 na walionusurika kuhamishwa lazima wanaweza kutegemea.