0:00:03.859,0:00:05.383 Hujambo, Jina langu ni Suzan Song, 0:00:05.383,0:00:08.756 Mwelekezi wa Kitengo cha Tiba na Taaluma ya Ugonjwa wa Akili kwa Watoto, Vijana na Familia 0:00:08.756,0:00:10.287 cha Chuo Kikuu cha George Washington, 0:00:10.406,0:00:12.167 na Mshauri wa Kulinda Ubinadamu 0:00:12.167,0:00:15.268 kwa waathiriwa wa uhamishaji [br]wa lazima kote duniani na nchini. 0:00:15.431,0:00:17.112 Kumekuwa na ongezeko la kipekee 0:00:17.112,0:00:19.192 la idadi ya wakimbizi kote ulimwenguni, 0:00:19.402,0:00:22.963 wakiwemo wakimbizi, watafuta [br]makao, wahamiaji wasio halali 0:00:23.226,0:00:24.738 na watoto walio pweke. 0:00:25.339,0:00:28.074 Kote ulimwenguni, zaidi ya watu milioni 65 0:00:28.074,0:00:31.757 kwa sasa ni wakimbizi kutokana [br]na vita, mateso au mgogoro wa kivita. 0:00:32.059,0:00:35.803 Kufikia mwanzo mwa 2018, takribani watoto milioni 31 kote ulimwenguni 0:00:36.033,0:00:37.992 walifanywa wakimbizi kutokana na vurugu na migogoro. 0:00:38.207,0:00:39.804 Iwapo mitindo hii ya sasa itaendelea, 0:00:40.054,0:00:43.010 mtu mmoja kati ya watu mia moja [br]atakuwa mkimbizi hivi karibuni. 0:00:43.010,0:00:46.328 Kwa bahati mbaya, wakimbizi na [br]waathiriwa wengi wa uhamaji wa lazima 0:00:46.328,0:00:48.474 hawapokei huduma [br]inayohitajika ya afya ya akili. 0:00:48.687,0:00:52.138 kutokana na umakini wa huduma, [br]ukosefu wa kufikia huduma ya kitaalamu, 0:00:52.547,0:00:54.477 na shutuma dhidi ya matatizo ya akili. 0:00:54.900,0:00:57.470 Wakimbizi ni wale ambao[br]wametoroka katika nchi zao halisi 0:00:57.470,0:00:59.503 kutokana na wasiwasi wa [br]mateso yaliyopangwa 0:00:59.503,0:01:03.310 yanayolingana na mbari, dini, [br]uraia, maoni ya kisiasa 0:01:03.310,0:01:05.362 au uanachama katika [br]kikundi fulani cha jumuiya. 0:01:05.748,0:01:08.437 Ingawa wakimbizi huomba [br]ulinzi wakiwa ughaibuni 0:01:08.437,0:01:10.557 na wanapewa ruhusa ya kuingia Marekani, 0:01:10.759,0:01:13.972 Watu wanaotafuta [br]makao pia wana hofu ya mateso. 0:01:14.319,0:01:16.837 Lakini wanatafuta ulinzi wakiwa [br]ndani ya Marekani. 0:01:17.175,0:01:19.301 Wakimbizi na watu wengine [br]walioathiriwa na mzozo 0:01:19.301,0:01:22.001 waliripotiwa kuwa na [br]asilimia 15 hadi 30 ya 0:01:22.001,0:01:23.335 PTSD na mafadhaiko, 0:01:23.732,0:01:28.897 ikilinganishwa na asilimia 3.5 ya PTSD [br]miongoni mwa wasio wakimbizi. 0:01:29.260,0:01:31.398 Mambo thabiti [br]yanayoashiria afya mbovu ya akili 0:01:31.398,0:01:34.588 ni kupitia mateso na matukio [br]mengi yanayosababisha kiwewe. 0:01:34.588,0:01:38.586 Lakini mateso, kutenganishwa na familia, michakato ya kuchosha ya mahali pa hifadhi, 0:01:38.756,0:01:41.356 kutengwa na hali ngumu katika nchi unakoishi 0:01:41.466,0:01:43.167 zote huongeza ubaya wa afya ya akili. 0:01:43.491,0:01:46.516 Mazingira baada ya uhamiaji, hasa kipindi kirefu cha kuzuiliwa, 0:01:46.643,0:01:48.523 hali isiyo salama ya uhamiaji, 0:01:48.860,0:01:52.712 ufikiaji mbovu wa huduma [br]na vikwazo vya kazi na elimu 0:01:52.972,0:01:54.421 vinaweza kudhoofisha zaidi afya ya akili. 0:01:54.736,0:01:57.603 Haya hayatoi upeo kamili wa matatizo ya hisia 0:01:57.603,0:01:59.770 yanayokumbwa na watu walioathiriwa na mgogoro 0:01:59.960,0:02:02.944 ikiwa ni pamoja na huzuni isioelezeka, kiwewe kigumu, 0:02:03.232,0:02:07.007 kukata tamaa, kutengwa, hasira, na kutoamini. 0:02:07.173,0:02:09.750 Watu wengi wanakumbana na hatua za kawaida 0:02:09.875,0:02:11.980 kwa matukio yasiyo ya kawaida kabisa. 0:02:12.155,0:02:15.210 Baada ya muda, wakimbizi wengi huonyesha dalili chache au hawaonyeshi dalili zozote. 0:02:15.592,0:02:18.056 Idadi ndogo huonyesha mtindo wa kupona 0:02:18.350,0:02:20.200 na idadi ndogo ingine huendelea kutatizika. 0:02:20.954,0:02:24.714 Kwa hivyo tunahitaji kutathmini tofauti kati ya hali za tukio za dhiki 0:02:24.863,0:02:26.903 na hali dhahiri ya ugonjwa wa akili kwa wakimbizi. 0:02:27.350,0:02:30.449 Tunafanya hili kwa kulenga kushirikisha 0:02:30.449,0:02:32.318 hali za awali za kiwewe, 0:02:32.602,0:02:34.086 mambo ya kila siku ya kusababisha mzongo, 0:02:34.336,0:02:37.303 na mifumo mikuu ya ushirikiano wa kijamii ambayo mtu anahusika. 0:02:37.581,0:02:39.561 Wataalamu wa akili wanaweza kusaidia watu hawa 0:02:39.561,0:02:43.437 kupitia shughuli za kliniki zinazofaa kwa wakimbizi na wanaotafuta makao. 0:02:43.749,0:02:46.715 Kwa kiwango cha sera kwa kufanya tathmini za makao 0:02:46.715,0:02:50.185 na kwa kiwango cha utetezi kwa kuhimiza usawa wa kufikia, 0:02:50.425,0:02:54.119 uwezo wa huduma kuwahifadhi wakimbizi na watu waliohamishwa kwa lazima, 0:02:54.119,0:02:56.907 na kwa kushirikiana na wanachama wa jumuiya ya masomo mbalimbali 0:02:56.907,0:02:59.478 kama vile mawakili, walimu na watengenezaji wa sera 0:02:59.660,0:03:02.141 kutoa mfumo salama ambao wakimbizi 0:03:02.141,0:03:04.539 na walionusurika kuhamishwa lazima wanaweza kutegemea.