0:00:06.516,0:00:09.626 {muziki} 0:00:10.126,0:00:11.446 Neno moja kueleza unyenyekevu kwa utamaduni 0:00:11.516,0:00:13.496 hakika, kwangu ni upendo 0:00:13.596,0:00:16.276 ikiwa ningeweza kufafanua unyenyekevu kwa utamaduni 0:00:16.276,0:00:17.896 dhana zake zote 0:00:18.406,0:00:21.066 haipi ufafanuzi fika ila tu neno 0:00:21.066,0:00:22.066 ninalofikiria ni la msingi 0:00:22.066,0:00:23.766 Escuchar 0:00:24.176,0:00:25.126 Kuwa 0:00:25.126,0:00:25.496 Wewe 0:00:25.546,0:00:26.596 Kufungua 0:00:26.596,0:00:27.426 Kupokea 0:00:27.646,0:00:28.716 huruma 0:00:28.786,0:00:29.876 upendo 0:00:29.876,0:00:33.106 kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni hutoa 0:00:33.106,0:00:36.666 muundo-mbinu moja ya ziada kuchangia kile ambacho 0:00:36.666,0:00:38.316 kimekuwa lengo letu kuu. Naam, 0:00:38.736,0:00:42.156 Lengo letu kuu ni kuwa na hisia sawazisha 0:00:42.156,0:00:46.466 hisia ya usawa na aina ya heshima 0:00:46.466,0:00:49.516 tunayoiendeleza 0:00:49.516,0:01:28.566 [muziki] 0:01:29.066,0:01:35.436 unyenyekevu kwa utamaduni ni dhana pana 0:01:35.436,0:01:40.216 na kwa hakika Melanie Tervalon 0:01:40.326,0:01:46.476 nami tumefikiria mielekeo tatu. 0:01:46.696,0:01:49.426 ya kwanza ni kujifunza bila kukoma 0:01:49.936,0:01:51.336 na tafakari ya kibinafsi ya kina 0:01:51.336,0:01:53.916 Na kwa hiyo tafakari ya kibinasi ni 0:01:53.916,0:01:58.346 uelewa wa jinsi kila mmoja wetu, 0:01:58.496,0:02:02.746 ni mtu tata mwenye dhana kadhaa 0:02:02.976,0:02:05.586 kila mmoja wetu huja na historia na hadithi zake 0:02:05.586,0:02:07.176 urithi na mtazamo. 0:02:07.756,0:02:08.895 Unaponiangalia sasa 0:02:09.446,0:02:10.806 Nina ngozi ya kizungu 0:02:10.976,0:02:12.846 Nilipokuwa mdogo nilikuwa na nywele ya njano mpakuo 0:02:13.066,0:02:14.316 na macho ya hudhurungi 0:02:15.036,0:02:18.166 Kila mtu alijaribu kuniita chochote ila Mwamerika mweusi. 0:02:18.166,0:02:20.766 Nina historia 0:02:21.456,0:02:23.906 Utambulisho wangu una mizizi hiyo. 0:02:24.346,0:02:27.546 Wazazi wangu walinielimisha kuhusu utambulisho wa kijamii 0:02:27.546,0:02:30.176 na uzoefu wangu umeiunda. 0:02:30.526,0:02:32.156 nina haki ya kujitambulisha. 0:02:32.466,0:02:36.226 msingi wa pili bada ya tafakari ya kibinafsi 0:02:36.226,0:02:42.116 na elimu endelevu isiyo na mwisho ni dhana 0:02:42.116,0:02:45.776 kuwa lazima tupunguze ukosefu wa usawa, na kutambua 0:02:46.116,0:02:48.026 na kupunguza ukosefu huo 0:02:48.086,0:02:53.326 ambao ina asili yake katika wagonjwa wetu wa kliniki. 0:02:53.326,0:03:00.006 ama wateja wetu wa kliniki kwa mienendo wa jamii ya watoa huduma 0:03:00.116,0:03:03.106 Na hatimaye kipengee amacho ningetoa na pamoja na Jann 0:03:03.106,0:03:07.846 tunahisi kuwa watu hawasomi au hawapendi kusoma. 0:03:07.846,0:03:11.856 na taasisi pia lazima itoe mfano ya kanuni hizi. 0:03:12.516,0:03:39.956 [muziki] 0:03:40.456,0:03:42.986 Mwamerika mweusi anayemuuguza 0:03:42.986,0:03:46.246 mwanamke mlatino mwenye miaka makamo kwa masaa kadhaa 0:03:46.246,0:03:48.606 baada ya mgonjwa kufanyiwa upasuaji. 0:03:49.396,0:03:50.656 Tabibu Mlatino 0:03:50.656,0:03:53.226 katika huduma ya kushauri alikaribia kitanda 0:03:53.606,0:03:56.656 akabaini mgonjwa aliyekuwa akilia na kutoa maoni kwa muuguzi 0:03:56.736,0:03:58.856 kuwa mgonjwa alionekana kuwa 0:03:59.206,0:04:00.776 na maumivu mengi baada ya upasuaji. 0:04:01.266,0:04:04.596 Muuguzi kwa muhtasari alipuuza mtazamo wake na kumuarifu 0:04:04.806,0:04:07.356 kuwa alifanya kozi katika chuo cha uuguzi kuhusu 0:04:07.356,0:04:10.706 utamaduni na matibabu na anajua kuwa wagonwa wenye asili ya hispania 0:04:10.796,0:04:12.456 hutia chuku katika kueleza uchungu wao 0:04:13.046,0:04:15.846 Tabibu mlatino alikuwa na wakati mgumu kushawishi 0:04:15.846,0:04:18.136 mtazamo wa muuguzi huyu ambaye alikwama 0:04:18.136,0:04:20.536 kwenye ujuzi wake wa kijamii ambaje alidai kujifunza 0:04:21.546,0:04:25.556 Ilimshangaza huyu tabibu Mlatino 0:04:25.556,0:04:27.516 ambaye kwanza ni Mlatino, sio wote 0:04:27.816,0:04:30.596 kwa mfano wake sii kila Mwamerika mmeksiko 0:04:31.076,0:04:34.926 anajua kila kitu ambacho kipo kuhusu wagonjwa waamerika wameksiko. 0:04:34.926,0:04:35.866 haikuwa hivyo. 0:04:35.916,0:04:39.106 Lakini angekuwa wa maana 0:04:39.296,0:04:42.326 kwa huyo muuguzi Mwamfrika mweusi kwa wakati huo 0:04:43.096,0:04:46.116 ambapo hakudhani kuwa angehitaji, tena, 0:04:46.116,0:04:49.736 kwa sababu alileta dhana ya umahiri wake 0:04:49.736,0:04:50.946 wa utamaduni. 0:04:51.066,0:04:53.116 tofauti kati ya unyenyekevu kwa utamaduni 0:04:53.116,0:04:57.726 na umahiri wa utamaduni ilikuwa ya kwamba bado tupo katika mchakato 0:04:57.726,0:05:00.786 na mahusiano ambayo yana pande nyingi kwayo, 0:05:01.116,0:05:05.576 na kuwa hatuko sawa hata na istilahi 0:05:05.576,0:05:09.606 ya umahiri kwa njia ambayo watu wanaelewa vizuri. 0:05:09.606,0:05:12.546 na inamaanisha kuwa wale ambao ni watoa huduma 0:05:12.546,0:05:14.006 na wamefunzwa kielimu 0:05:14.456,0:05:17.276 kuwa unafahamu yote na una nguvu zote. 0:05:17.726,0:05:21.156 Tulihisi kuwa hiyo siyo iliyokuwa ikitufanyikia 0:05:21.186,0:05:24.026 tulipokwa tukijifunza kutoka kwa jamii na kuelewa 0:05:24.356,0:05:28.736 kwa vitendo jinsi familia walikuwa wakija 0:05:28.736,0:05:29.976 hospitalini na kuhisi 0:05:29.976,0:05:33.686 kuwa hawasikizwi kutokana na asili zao 0:05:33.686,0:05:37.636 katika historia, na jinsi hiyo ili athiri walichokuja 0:05:37.636,0:05:42.136 nacho hospitalini ambacho hatukijui, 0:05:42.626,0:05:44.086 na hatuna dokezo lolote kulihusu. 0:05:44.226,0:05:47.066 kwetu, hii ndiyo sehemu ya kipengee cha unyenyekevu 0:05:47.406,0:05:48.896 kupata kuelewa hayo. 0:05:50.126,0:05:53.076 Si kujaribu kukudhalilisha, si kujaribu kukufanya uhisi vibaya, 0:05:54.116,0:05:58.016 kukusaidia kuelewa kuwa maisha ni hivi. 0:05:58.016,0:06:01.656 Na kuwa kwa dhana fulani umefurahi sana 0:06:01.656,0:06:02.416 kwa kutojua. 0:06:04.116,0:06:06.686 Aprili 1992 kwenye chanzo 0:06:06.686,0:06:09.916 cha ghasia za Los Angeles kufuatia uamuzi wa kutopatwa na hatia 0:06:09.916,0:06:13.206 kwa afisa wa polisi walioshtakiwa kumpiga Bwana King, 0:06:14.596,0:06:17.706 jamii ya hospitali ya watoto ililazimishwa kukutana 0:06:17.866,0:06:20.716 kwa misururo ya mikutano kufichua 0:06:20.776,0:06:23.656 na kukosoa mifumo yetu ya ubaguzi wa kitaasisi 0:06:23.656,0:06:25.686 udhalimu na ukosefu wa usawa. 0:06:26.406,0:06:29.166 Jina langu ni Dkt. Melanie Tervalon, nami ni Mkurugenzi 0:06:29.166,0:06:32.336 wa mambo ya tamaduni mseto katika hospitali ya watoto ya Oakland 0:06:32.596,0:06:34.256 Nataka kushukuru kila aliyekuja 0:06:34.436,0:06:38.156 kwa kile ambacho ni sherehe kwangu mwaka huu 0:06:38.286,0:06:41.206 Mimi na Jann tulifanikiwa kuwa pamoja 0:06:41.206,0:06:44.226 wakati haya yalikuwa yakichipuka 0:06:44.466,0:06:47.666 ingawa mimi na Jann tumepishana kiumri 0:06:47.666,0:06:50.956 sote ni wanawake waamerika weusi. 0:06:50.956,0:06:54.836 na sote tulilelewa na wanawake ambao ni walimu. 0:06:55.846,0:06:59.986 Na hapo tunachipuka na baba ambao ni wafanyikazi 0:07:00.806,0:07:03.346 wanaotoka katika utamaduni wa kusini 0:07:04.196,0:07:08.566 na waliojihusisha kikamilifu na harakati za haki za raia 0:07:08.566,0:07:11.596 kwa kiwango cha kujitolea mhanga. 0:07:11.836,0:07:14.356 na watoto wao pia walijinyima, na walitufunza 0:07:14.356,0:07:17.616 kuhusu kujitolea mhanga na wakatulea kwa njia 0:07:17.616,0:07:19.806 za kuelewa ya kuwa tunafaa hudumia. 0:07:20.516,0:07:34.556 [muziki] 0:07:35.056,0:07:35.596 Patty 0:07:35.596,0:07:36.056 Vipi? 0:07:36.056,0:07:36.346 Habari? 0:07:36.346,0:07:38.136 Waambaje? 0:07:38.136,0:07:38.786 Ni vyema kukuona 0:07:38.786,0:07:40.496 Ni vyema kukuona 0:07:40.496,0:07:42.106 Imekuwa muda mrefu 0:07:42.106,0:07:42.636 Najua. Ndio 0:07:42.636,0:07:43.686 Umekuwaje? 0:07:43.686,0:07:44.846 Vyema 0:07:44.846,0:07:46.596 Vyema. Asante kwa kunialika. 0:07:46.756,0:07:49.376 Nimewekeza kwa watoto kwa umma hiyo 0:07:49.376,0:07:51.506 Kwa sababu nimekuwa huko kwa muda mrefu 0:07:51.506,0:07:52.256 Kwa sababu tulikuwa wakaazi. 0:07:52.516,0:07:56.006 Na sasa naona kizazi cha pili cha familia yangu. 0:07:56.146,0:07:58.976 mtaala wa utamaduni mseto ulianza 0:07:58.976,0:08:02.636 mnamo 91-92 kama jaribio. 0:08:03.146,0:08:07.546 Lini Rodney King... nadhani hito ilikuwa 90... 0:08:08.116,0:08:10.506 Ilichochewa 92 0:08:10.506,0:08:11.376 ndio 92. 0:08:11.416,0:08:15.946 tukio la Rodney King ambayo watu walishuhudia 0:08:15.946,0:08:20.476 duniani kote dhidi ya watoto ilisababisha tuanze 0:08:20.476,0:08:23.626 kuongea tena kuhusu tulichokiita 0:08:23.626,0:08:24.426 akina Rodney King zetu za siri. 0:08:24.686,0:08:27.946 mazingira ambayo familia zilihisi 0:08:27.946,0:08:31.376 kuwa hawajashughulikiwa kwa heshima. 0:08:32.186,0:08:35.066 Hiyo ilikuwa sehemu kubwa ya kazi yetu, kuhakikisha 0:08:35.066,0:08:37.905 tunaishi kulingana na kanuni 0:08:37.966,0:08:39.746 ambazo zilikuwa zimeundwa 0:08:39.746,0:08:41.566 kutokana na mijadala hospitalini. 0:08:42.035,0:08:45.466 kuwa kulingana na muundo wa kitivo katika hospitali ya watoto 0:08:45.946,0:08:48.166 na muundo wa wagonjwa tuliokuwa tukiwahudumia 0:08:48.226,0:08:50.556 hicho kitivo hakingeweza kufunza kuhusu mambo 0:08:50.556,0:08:54.306 ya utamaduni na tofauti ya rangi na kadhalika 0:08:54.306,0:08:57.586 Kwa hivyo tulitumia muda mwingi kufanya kazi na makundi ya kijamii 0:08:57.586,0:09:00.356 na familia kuja kufunza 0:09:00.606,0:09:03.236 Na nikifikiria istilahi mbili, umahiri wa kitamaduni na 0:09:03.406,0:09:07.426 unyenyekevu kwa utamaduni kwangu umahiri wa kitamaduni inaelezea 0:09:07.426,0:09:09.606 somo, mada na wajua... 0:09:09.606,0:09:12.516 Na watu wanahisi kuwa nafaa kujua hili au la 0:09:12.516,0:09:14.906 na kama sijui hili, siko mwerevu 0:09:14.906,0:09:17.556 Ilhali kwangu unyenyekevu wa kitamaduni ni filosofia 0:09:17.646,0:09:21.526 ni mtazamo, ni chombo 0:09:21.526,0:09:25.556 Siyo kitu kilicho. Sitakuwa gwiji kwayo. 0:09:25.746,0:09:29.376 Ni mtazamo wangu, ni jinsi nitashughulika hali. 0:09:29.376,0:09:30.966 Mwaka uliopita nilikuwa mratibu 0:09:30.966,0:09:34.636 wa timu ya msaada kwa wanafunzi amabayo ni mikutano 0:09:34.636,0:09:36.906 ambayo familia huwa na walimu 0:09:36.906,0:09:38.216 wakati ambapo watoto huwa mashakani. 0:09:39.076,0:09:46.546 Na ilisisimua kujaribu kung'amua kuwa 0:09:47.096,0:09:50.266 mikutano hiyo ilifaulu kwa njia moja au nyigine 0:09:50.266,0:09:52.396 na kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni. 0:09:53.006,0:09:55.616 Kujaribu kusema kwa 0:09:55.616,0:10:00.096 wenzangu kazini kusikia alichokuwa akipitia mzazi huyu 0:10:00.866,0:10:03.796 na kile ambacho huyu mzazi anasikia kuhusu mtoto wake. 0:10:05.046,0:10:08.756 Acha tujaribu kulizungumzia hili kama chanzo kuliko 0:10:08.826,0:10:10.196 wajua...XYZ. 0:10:10.326,0:10:14.476 Mojawapo ya vitu vilivyo nisaidia sana kuweza 0:10:14.476,0:10:17.756 kuwa na amani na kutokujua ni 0:10:17.756,0:10:22.416 kuwa, kwa muda mrefu nilichanganya kutojua 0:10:22.416,0:10:24.176 na ukosefu wa akili. 0:10:24.176,0:10:26.656 Na rafiki yangu mpendwa akanielezea mara moja 0:10:26.656,0:10:29.836 nilipokuwa nazungumza kuhusu mada hii, alisema siyo 0:10:29.836,0:10:33.356 kwamba siyo kuwa huna akili, ni kwamba chemchemi yako 0:10:33.356,0:10:36.466 ya maarifa hususan katika eneo hili haipo. 0:10:36.856,0:10:38.766 Kwa hivyo haikupunguzi akili 0:10:38.766,0:10:40.656 kwa kiwango chochote cha mawazo. 0:10:40.656,0:10:42.966 Haujui kwa sababu hakuna mtu amekuambia 0:10:42.966,0:10:44.546 au haujawahi uliza swali hilo 0:10:45.626,0:10:48.386 Na ilinifanya kuuliza maswali milioni 0:10:48.386,0:10:51.796 kwa sababu sasa sikuhisi kuwa nilikuwa naambia dunia 0:10:51.796,0:10:53.266 au mtu au mgonjwa 0:10:53.266,0:10:55.836 au jamii kuwa mimi ni mjinga. 0:10:55.836,0:10:57.516 Nilifurahi kusema tu kuwa sijui. 0:10:57.516,0:10:58.956 Sawa na chemchemi ya maarifa 0:10:58.956,0:11:00.336 na udaktari, hamna njia 0:11:00.336,0:11:02.476 kujua kitu ila kwa kujifunza kulihusu. 0:11:02.726,0:11:04.896 Lakini haipunguzi kwa njia yoyote 0:11:04.896,0:11:05.546 akili zako. 0:11:05.546,0:11:09.346 Mara ningeweza kutofautisha, nilikuwa sawa 0:11:09.346,0:11:10.286 na kutojua tena. 0:11:10.926,0:11:13.596 Makala huandikwa lakini haichapishwi mara moja 0:11:14.036,0:11:16.116 kuhusu tuliojifunza kutokana na yote 0:11:16.116,0:11:17.666 ya hii kazi ya kufanya kazi na majamii. 0:11:17.666,0:11:19.466 Na hiki ndicho kifungo cha unyenyekevu kwa utamaduni 0:11:19.466,0:11:22.586 ambacho watu sasa wamekitumia katika maeneo mengi, 0:11:22.586,0:11:25.236 siyo tu katika udaktari lakini pia kwa elimu. 0:11:25.546,0:11:30.146 Mashirika mengi yasiyo ya faida hutumia kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni 0:11:30.146,0:11:30.536 katika kazi zao 0:11:30.976,0:11:32.236 Kanuni siyo tu 0:11:32.236,0:11:34.566 kuhusu shughuli binafsi na tabia. 0:11:35.036,0:11:38.276 Taasisi zimebidi kuwa na tafakari ya kibinafsi. 0:11:38.486,0:11:41.886 wasomi wa kutokoma lazima waamini fika kuwa jamii 0:11:41.886,0:11:45.066 zinazohudumiwa zinajua wanachotaka 0:11:45.066,0:11:47.506 na wanachohitaji na kuwa wako katika sehemu nzuri 0:11:47.506,0:11:48.766 kutueleza hicho wanachokitaka au kuhitaji 0:11:49.516,0:11:55.966 [muziki] 0:11:56.466,0:12:00.626 Wanaoishi katika umaskini wako na fursa ndogo na uwezo 0:12:00.626,0:12:03.386 wa kubadili mfumo wa sera za umaskini 0:12:03.806,0:12:06.246 na mara nyingi hunyimwa suluhisho fanisi 0:12:06.246,0:12:08.796 kupambana na ukiukaji wa haki zao za kibinadamu. 0:12:09.286,0:12:11.506 na nalijali sana hili swala 0:12:11.506,0:12:15.296 kwa sababu kakangu ni mtu bila hatia mwenye ulemavu 0:12:15.556,0:12:18.986 ambaye ameshikiliwa kwa ninachokiita utumwa mamboleo 0:12:19.616,0:12:23.226 kwa miaka miwili sasa kwa yale ambayo hakuyafanya. 0:12:23.226,0:12:24.696 Na ninakuja kwako kwa sababu 0:12:24.806,0:12:26.476 mfumo wa haki unaokisia haijaundwa 0:12:26.556,0:12:27.476 kunufaisha jamii yangu. 0:12:27.476,0:12:31.956 Na ninaweza sauti ya mnyanyasaji ukisisitiza, la! 0:12:32.236,0:12:33.526 Haufai kuwa na haki. 0:12:34.296,0:12:38.016 Sisi tu. Hauna historia. sisi tu. 0:12:38.016,0:12:40.636 Hauna uwezo wa kudhibiti nafsi, sisi tu. 0:12:41.246,0:12:43.126 Haukumbuki kinachopiganiwa. 0:12:43.626,0:12:44.096 Sisi tu. 0:12:44.776,0:12:48.706 Kuna hizi nyakati ambazo hugusa umakini wa kila mtu 0:12:48.706,0:12:49.966 na tunaweza tumia kama fursa ya kunufaika. 0:12:49.966,0:12:53.656 Na nafikiria Rodney King, majibu mengi 0:12:53.656,0:12:57.386 kwa Rodney King ndiyo iliibua mijadala nyingi na 0:12:57.386,0:13:00.816 upelelezi mwingi wa moyo na watu kutafuta sana njia 0:13:00.816,0:13:02.836 tunazoweza kuwa na mijadala hii 0:13:03.176,0:13:04.456 na matokeo bora. 0:13:05.236,0:13:07.136 halafu inafifia. 0:13:08.516,0:13:16.576 [muziki] 0:13:17.076,0:13:20.076 Afisa watatu wa polisi wanaokabiliwa na mashtaka ya uhalifu 0:13:20.276,0:13:21.886 walikuwa miongoni mwa kundi la 15 0:13:21.886,0:13:25.206 waliomsimamisha mwanaumme mweusi mwenye miaka 25 jumamosi usiku 0:13:25.556,0:13:27.506 halafu wakampiga, wakampiga mateke na kwa rungu 0:13:27.506,0:13:31.336 Kile ambacho mtangazaji wa redioni Mary Mason alirekodi simu nyingi 0:13:31.426,0:13:33.686 kutoka kwa wanachama wa jamii ya walioweusi waliokasirika 0:13:33.686,0:13:38.926 na uamuzi, walioshtushwa na vurugu iliyofuatia. 0:13:39.396,0:13:41.716 Tunahitaji upendo na heshima kwa kila mmoja 0:13:41.716,0:13:42.016 Tunahitaji (haisikiki). 0:13:44.266,0:13:48.066 Mwaka wa 2010 Arizona walipitisha sheria inaowapa mamlaka polisi wa mtaa 0:13:48.626,0:13:51.856 kukagua hadhi ya uraia ya yeyote wanaomshuku 0:13:51.936,0:13:54.266 kuwa ni mhamiaji haramu ndani ya Marekani. 0:13:55.176,0:13:57.766 Ni nani aliye na haki ya kumuita binadamu mwenzake haramu? 0:13:58.666,0:14:01.426 Wengi wa hawa wasio halali ndio wanaofanya kazi mashambani, 0:14:01.876,0:14:05.326 kushafisha nyumba, kusawazisha ardhi- kazi ambazo zina haki 0:14:05.526,0:14:06.846 ya kulipa chini ya msharaha wa chini. 0:14:07.466,0:14:10.396 Kuna vitu ambavyo ni vigumu kusikia, 0:14:10.486,0:14:13.056 na kuna vitu ambavyo ni vigumu kuona. 0:14:13.636,0:14:16.516 Sasa ni vipi samaki haoni maji. 0:14:16.516,0:14:19.416 Ni vigumu kama unanufaika 0:14:19.846,0:14:23.976 kutokana na upendeleo kuiona hivyo. 0:14:24.666,0:14:28.796 Na naweza sema inahitaji kumbukumbu ya kila mara 0:14:29.186,0:14:32.666 Na hakika siioni kila mara. 0:14:32.666,0:14:35.936 Na kila mara ninakumbushwa kuihusu. Nakumbushwa 0:14:35.936,0:14:37.076 kuwa nakumbushwa kuihusu. 0:14:37.346,0:14:40.646 Kuwa kwa nini lazima ni kumbushwe kuihusu, lakini nakumbushwa. 0:14:41.646,0:14:44.606 Nilisikia mwanamke mzungu nyuma yetu akisema nyinyi wageni 0:14:44.646,0:14:45.376 hamna adabu. 0:14:46.506,0:14:49.436 Mwanzoni nilijibu kwa hasira na kuchanganyikiwa. 0:14:50.486,0:14:52.216 Hasira kwa sababu nilihisi kubaguliwa 0:14:52.786,0:14:53.476 na kuhukumiwa 0:14:53.666,0:14:57.336 Kuchanganyikiwa kwa sababu alikuwa mwanamke mzee kutuliko, mbona hajaishi 0:14:57.336,0:14:59.586 kwa miaka ya kutosha kujua kuwa yeye pia si asili 0:14:59.586,0:15:00.606 wa nchi hii? 0:15:02.136,0:15:04.796 Kila mara tunakumbwa na ujumbe za kina 0:15:05.026,0:15:06.456 kuwa ngozi nyeupe ni bora zaidi. 0:15:06.916,0:15:09.506 Sera za uhamiaji huendelea kujadiliwa 0:15:09.506,0:15:12.076 katika ikulu ya White House, huku wenye rangi hudhurungi wakitarajia 0:15:12.076,0:15:14.306 kupata kazi ya ziada nje ya bohari ya nyumbani. 0:15:14.946,0:15:17.686 Ni vipi unyenyekevu wa kitamaduni unavyochipuka 0:15:17.686,0:15:19.386 katika Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley? 0:15:19.736,0:15:21.766 lazima nitambue Tony Borbone [fonetiki]. 0:15:22.456,0:15:24.706 Tony Borbone, na apumzike kwa amani, 0:15:24.706,0:15:28.516 alikuwa mtetezi stadi wa uzuiaji wa vurugu 0:15:28.726,0:15:33.736 niliyekutana naye katika miaka yetu ya awali ya kushughulikia uzuiaji wa vurugu 0:15:33.736,0:15:38.706 tulipoanzisha Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley. 0:15:38.886,0:15:46.426 Tony alinikabili akaniuliza, unaishi Carlifonia, 0:15:46.856,0:15:48.616 ni wafanyikazi wako wangapi wanaongea kihispania? 0:15:49.866,0:15:53.446 Na sikuwa na yeyote. 0:15:53.716,0:15:58.426 Na Tony, nilitaka kuseama ni mapenzi, 0:15:58.426,0:16:01.826 haikuwa ni mapenzi ilikuwa njia ya kukabili. 0:16:01.826,0:16:06.106 namaanisha hatimaye tulipenda kazi za kila mmoja wetu 0:16:06.106,0:16:08.166 na tulikuwa na heshima kwa kila mmoja nadhani 0:16:09.536,0:16:11.176 uhusiano wetu ulipo nawiri. 0:16:11.176,0:16:18.546 Lakini hakuogopa kusema kilekilicho cha muhimu. 0:16:19.516,0:16:59.766 [muziki] 0:17:00.266,0:17:02.626 Ni muhimu sana kujitokeza. 0:17:03.166,0:17:06.596 Kutenga muda katika maisha yako na kuonyesha unajali 0:17:06.596,0:17:09.366 kuhusu jamii na kuwa hapo. 0:17:09.445,0:17:13.106 Kwa hivyo wafanyikazi walikuwa wakishiriki katika vitendo 0:17:13.266,0:17:16.406 vya kushurutisha mmiliki wa soko ya kuku 0:17:16.406,0:17:17.996 aliyekuwa na deni ya mshahara ya wafanyikazi 0:17:18.506,0:17:20.636 Wafanyikazi walikuwa wakitoka na mabango ya maandamano, 0:17:20.636,0:17:22.486 na nilienda nao. 0:17:22.486,0:17:24.386 hivyo nilihisi kuogopa. 0:17:25.036,0:17:27.215 Unahisi ni kama umefichuliwa. 0:17:27.215,0:17:30.126 Upo katika mazingira ambayo ni tofauti na baadhi 0:17:30.686,0:17:31.976 ya vitu ambavyo nilikuwa nimefanya. 0:17:32.516,0:17:37.556 [muziki] 0:17:38.056,0:17:39.646 Tulipokuwa na mikutano hii kila mtu 0:17:39.646,0:17:41.886 katika mradi alikuwa na uzoefu 0:17:41.886,0:17:44.066 katika utafiti wa jamii 0:17:44.496,0:17:45.766 lakini kuna msukumo. 0:17:45.766,0:17:47.816 Unapokuwa katika mfumo wa utaalamu unazoea 0:17:47.866,0:17:52.096 kushiriki katika mikutano na kujaribu kuchangia 0:17:52.096,0:17:53.496 Halafu kuongezea 0:17:53.666,0:17:56.536 tunaendeleza haya yote kwa kiingereza. 0:17:56.536,0:17:57.906 kwa hivyo wafanyikazi wawili wengine 0:17:58.226,0:18:01.436 kutoka kwa chama endelevu cha Uchina walikuwa wakiwatafsiria 0:18:01.436,0:18:05.426 wafanyikazi wambao hawaelewi Kiingereza 0:18:05.426,0:18:08.076 na kwa hivyo hawawezi kushiriki kikamilifu. 0:18:08.226,0:18:11.536 halafu kila kitu kinafanyika haraka, watu 0:18:11.536,0:18:13.016 wanajadiliana, na kwa mfanyikazi 0:18:13.016,0:18:16.386 asioelewa Kiingereza ilikuwa ngumu kwake angalau 0:18:16.386,0:18:18.416 kupata neno katika mdahalo. 0:18:19.586,0:18:22.166 tulitafakari na watu wakatambua. 0:18:22.166,0:18:26.226 halafu tukaanza kuendesha mikutano kwa kichina. 0:18:26.266,0:18:28.306 halafu wanaozungumza Kiingereza wakavaa kipokea sauti masikioni 0:18:28.446,0:18:30.556 huku wakitafsiriwa moja kwa moja. 0:18:30.556,0:18:32.396 Wazungumzaji asili wa Kiingereza wallikuwa kimya, 0:18:32.686,0:18:34.496 Na hiyo ilibadilisha sana hali ya mkutano. 0:18:34.496,0:18:37.066 Lakini wafanyikazi bado walikuwa wamenyamaza. 0:18:37.536,0:18:40.746 Kwa kuzingatia unyenyekevu wa kitamaduni tulipewa changamoto 0:18:40.746,0:18:42.696 kufikiria kwa kina sana. 0:18:42.696,0:18:46.666 kuhusu maana ya mila na jinsi haimaanishi kufikiria 0:18:46.666,0:18:51.126 orodha ya hulka ambazo watu huzingatia. 0:18:51.446,0:18:56.216 lakini kuwa inakuhusisha 0:18:56.216,0:18:59.796 na dhana zako na jinsi unavyoonyesha dhana zako 0:18:59.796,0:19:04.526 kwa mtu mwingine kinyume na uzoefu 0:19:04.526,0:19:05.726 ya walivyo 0:19:06.516,0:19:28.796 [muziki] 0:19:29.296,0:19:30.736 Nilisikia kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 0:19:30.816,0:19:33.336 nilipokuwa mwanafunzi wa uzamili hapa 0:19:33.336,0:19:34.356 katika jimbo la San Francisco. 0:19:34.356,0:19:37.306 Lakini nahisi nilielewa kwanza unyenyekevu wa utamaduni 0:19:37.306,0:19:39.016 kama dhana sana hapo awali maishani mwangu. 0:19:39.486,0:19:42.626 Ilichipukia mahali pa kutoona, mahali pa kama 0:19:42.746,0:19:44.526 kukandamiza nafsi yangu kama mwanamke mweusi 0:19:44.526,0:19:48.686 na sasa imedilishwa kikamilifu, kama mkufunzi, 0:19:48.686,0:19:50.706 kutambua nilivyo, ninaposimama 0:19:50.706,0:19:52.296 darasani, ni nini hadhi yangu. 0:19:52.786,0:19:54.836 Na pia sauti yangu yamaanisha nini duniani 0:19:54.836,0:19:55.836 na inamaanisha nini kama mkufunzi. 0:19:55.836,0:19:57.356 Ilitokezea kwa kujaribu kutoshea, kufanya ninachoweza 0:19:57.356,0:20:00.956 kuwa mhindi nyumbani na siyo nje ulimwenguni. 0:20:01.086,0:20:02.856 Na bila kueleza, imekuwa kielelezo cha utambulisho 0:20:03.126,0:20:09.726 niliyojua ipo 0:20:09.726,0:20:10.996 ambayo singeweza kueleza nilipokuwa. 0:20:10.996,0:20:12.976 na sasa inasema huyo mtu ni nani 0:20:12.976,0:20:16.216 na kutambua nguvu na hadhi yangu 0:20:16.216,0:20:20.526 kujiangalia kwa njia fulani. 0:20:20.526,0:20:21.766 pia nasema kuwa mimi ni mwanamke wa rangi, 0:20:22.186,0:20:25.126 Niko na cha muhimu cha kusema na niko hapa. 0:20:25.126,0:20:28.246 Nadhani kuwa il mradi tupo na nguvu na hadhi 0:20:28.336,0:20:30.936 katika jamii tutapambana na kuwa wanyenyekevu sana 0:20:30.936,0:20:34.476 kama wanawake wa rangi, kama wanawake wanatoka 0:20:34.646,0:20:36.496 katika tabaka ya wafanyikazi, kama wanawake wanatoka 0:20:36.496,0:20:38.236 katika asili ya kulipwa mshahara mdogo 0:20:38.236,0:20:39.756 ama asili za mali finyu, sawa? 0:20:40.496,0:20:42.306 Il mradi kuna nguvu na hadhi 0:20:42.306,0:20:43.596 katika jamii, najua kuwa nitakuwa nikipambana nazo 0:20:43.746,0:20:46.236 na kupambana nazo kila siku. 0:20:46.236,0:20:48.286 [Muziki] 0:20:49.516,0:21:05.546 Nilichunguza {haisikiki] hapa 0:21:06.046,0:21:07.606 kuona jinsi sera zetu za sasa zinaunganisha 0:21:07.606,0:21:10.486 na kuratibisha zinalenga wanafunzi wenye jinsia isiyo asili. 0:21:10.486,0:21:13.236 Na nilikuwa nikitafakari 0:21:13.236,0:21:16.406 kuhusu jinsi inavyohusika 0:21:16.996,0:21:19.356 na mada ya jioni ya leo ya unyenyekevu kwa utamaduni 0:21:19.886,0:21:24.086 kwa sababu tunaongea kuhusu huntha. 0:21:24.086,0:21:27.316 au hulka za rika katika [haisikiki] na jinsi inavyoheshimiwa au la 0:21:27.596,0:21:30.836 >>Sawa. 0:21:31.106,0:21:31.436 na jinsi taasisi hii inaweza kuwa kufaa kitamaduni 0:21:31.556,0:21:36.516 au kunyenyekea ama kuheshimu wanaopitia huntha 0:21:36.846,0:21:41.436 wanapokuja hapa. 0:21:41.436,0:21:43.226 Wakufunzi wakiafya ninaofanya kazi nao 0:21:43.226,0:21:45.726 wote ni wanawake huntha. 0:21:45.726,0:21:47.686 Na haswa siku yangu ya pili kazini, niliingia kwenye mkutano, 0:21:48.336,0:21:52.516 na ilikuwa kamati ya bodi ya ushauri 0:21:52.516,0:21:55.306 ya wanawake wote huntha. 0:21:55.796,0:21:57.656 Ilikuwa ya kutatiza sana 0:21:57.836,0:21:59.306 lakini kwa wakati huo huo walinifanya nitulie. 0:21:59.306,0:22:01.626 Walianza kuniuliza maswali ni kama waliona , na kusema 0:22:01.626,0:22:07.326 kwa hivyo unatoka wapi? 0:22:07.406,0:22:09.486 Nikawajibu mimi ni mhajemi. 0:22:09.486,0:22:10.686 oh twajua huu msichana huntha kutoka mashariki ya kati, 0:22:10.686,0:22:13.036 unamjua? 0:22:13.036,0:22:14.506 Nikajibu, simjui 0:22:14.506,0:22:15.806 Kwa hivyo ufafanuzi wangu wa unyenyekevu wa utamaduni ni 0:22:15.896,0:22:21.426 kuwa tayari kujifunza kila wakati 0:22:22.006,0:22:25.436 Ninachowataka mfanye ni zunguka na kujitambulisha 0:22:25.626,0:22:30.056 na kutuambia unyenyekevu kwa utamaduni unamaanisha nini kwako. 0:22:30.056,0:22:33.066 Wakati wangu wa kwanza kuwa na shauku kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 0:22:33.066,0:22:35.026 ilikuwa nilipokuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu. 0:22:35.466,0:22:37.986 nilikuwa kurutu katika shirika fulani. 0:22:37.986,0:22:39.046 Na walikuwa wakifanya mafunzo ya umahiri wa utamaduni 0:22:39.476,0:22:43.606 kwa jamii wakazi wa kisiwa cha Pasifiki na kufanya kazi 0:22:43.606,0:22:45.776 na jamii za wakazi wa visiwa vya Pasifiki 0:22:45.776,0:22:47.016 Na kama mwanamke wa ukoo mbili za kisiwa cha Pasiki. 0:22:47.366,0:22:50.326 Nilifurahi sana na pia na wasiwasi kuhudhuria mafunzo yale na kujifunza 0:22:50.326,0:22:54.476 kuhusu nyenzo ambayo ingeainishwa na kujadiliwa. 0:22:54.476,0:22:56.976 na jinsi mimi na wengine tungejifunza, 0:22:57.306,0:22:59.856 kuhusu mila za kisiwa cha pasifiki na kufanya kazi na wakazi wa huko 0:23:00.506,0:23:03.896 kuhusu mambo ya afya ambayo yalikuwa muhimu kwa jamii. 0:23:03.896,0:23:06.316 Nadhani baada ya kuhudhuria mafunzo niligundua kuwa 0:23:06.786,0:23:10.546 kulikuwa na hisia ya mafanikio na ukamilishaji 0:23:10.546,0:23:13.646 kwa wale ambao walishiriki 0:23:13.646,0:23:15.406 halafu nilitangulizwa kwa unyenyekevu wa kitamaduni 0:23:15.406,0:23:19.486 kama mwanafunzi wa shahada ya kwanza darasani, 0:23:19.486,0:23:20.896 ilifanyika wakati huo huo. 0:23:21.326,0:23:22.656 Na nikawa na hisia ya mafanikio na ufanikishaji 0:23:22.656,0:23:26.786 na umahiri na kuelewa mipaka ya kujielimisha. 0:23:26.786,0:23:30.186 Siwezi kukuambia kihakika maana ya unyenyekevu wa kitamaduni kwangu. 0:23:30.436,0:23:33.796 Nahisi kuwa naitenda na hivyo ndivyo naijua 0:23:33.796,0:23:37.096 Kitu moja ambayo naifikiria 0:23:37.096,0:23:40.206 au ninayoitenda ni unenyekevu wa kitamaduni ni 0:23:40.206,0:23:44.396 kihispania 0:23:44.396,0:23:47.536 kihispania 0:23:47.536,0:23:50.476 kihispania 0:23:50.476,0:23:52.369 kihispania 0:23:52.389,0:23:54.759 Kihispania 0:23:54.759,0:23:56.976 kuwa na asili ya kisayansi na kuja 0:23:56.976,0:23:59.696 katika afya ya kijamii bila kuwahi kusikia unyenyekevu wa kitamaduni 0:23:59.696,0:24:04.186 katika sayansi iliibua maswali 0:24:04.186,0:24:06.526 Kwa sababu utamaduni ni kitu kinacho sisitizwa, 0:24:07.396,0:24:11.006 siyo kitu kitu kinacho zungumzwa kwa njia inayofaa 0:24:11.006,0:24:13.996 Kumekuwa na vizuizi vinavyoonekana peupe 0:24:14.496,0:24:18.536 kwa jamii ya wachache katika sayansi. 0:24:18.666,0:24:20.896 Unaweza iona ukiwa katika madarasa ya sayansi. 0:24:21.176,0:24:22.946 Unaweza iona ukiwa katika makundi ya utafiti. 0:24:22.946,0:24:25.616 Unaweza iona ukimwangalia maprofesa wako. 0:24:25.926,0:24:28.096 nasiongelei tu jamii za wachache kwa kuzingatia ukoo au rangi 0:24:28.616,0:24:31.066 naongelea jamii za wachache ambao hawana uakilishi 0:24:31.066,0:24:33.856 katika sayansi, kwa mfano ukoo au rangi ni sababu 0:24:33.856,0:24:36.596 lakini jinsia na maumbil ya kijinsia siyo. 0:24:36.906,0:24:39.286 Nilijifunza kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni sehemu mbili 0:24:39.286,0:24:43.426 kwa utamaduni wangu kuwa wa kikambodia na kusini mashariki mwa Asia 0:24:43.896,0:24:47.046 kutojua chochote kuihusu kulifanya nikejeliwe na jamaa zangu 0:24:47.636,0:24:50.406 kuhusu kutoongea vizuri. 0:24:50.406,0:24:52.356 halafu baada ya kuenda chuoni na kujifunza kuihusu 0:24:52.976,0:24:57.496 katika anthropolojia na kuhoji wazazi wangu 0:24:57.496,0:25:00.136 kuhusu uzoefu wao macho yangu yalifumbuka. 0:25:00.786,0:25:03.586 Mojawapo ya vitu ambayo nimejifunza katika 0:25:03.976,0:25:09.416 miaka kadhaa iliyopita nataka kusema ni kusikiza ninachokisema. 0:25:09.496,0:25:13.236 Na namaanisha kusikiliza kwa makini ninachokisema. 0:25:13.236,0:25:15.726 Na kitu ambacho nimejifunza kusikiliza ni 0:25:16.486,0:25:19.616 ninaposema mimi, Naamini hii, nafanya hii, na kusikiliza sasa 0:25:19.616,0:25:25.276 kuwa ni tofauti na sisi 0:25:25.276,0:25:27.806 Sisi nasikia sana katika habari, sisi Wamarekani, sawa? 0:25:27.806,0:25:32.166 kama sisi, ni nani 'sisi' anaongea kumhusu? 0:25:32.646,0:25:36.226 Ni kufikiria na kusikiliza tunapotumia mimi na sisi. 0:25:36.386,0:25:39.676 Nilipokuwa nakua nilipata hamu ya utamaduni 0:25:39.676,0:25:43.206 na dini nyinginezo na kujifunza tu kuhusu vitu 0:25:43.206,0:25:46.766 kutoka kwa asili nyinginezo. 0:25:46.926,0:25:48.136 Kwa hivyo nadhani hiyo ilinifanya kuwa mnenyekevu kitamaduni 0:25:48.506,0:25:53.386 kwa sababu nilikuwa na hamu 0:25:53.946,0:25:55.986 kwa hivyo baada ya kusoma kwa mwaka moja Afrika magharibi, nilirudi nikisema, 0:25:55.986,0:26:00.546 Eh Mungu wangu, sijui chochote, sijui chochote 0:26:00.546,0:26:03.516 kuhusu watu weusi, sijui chochote kuhusu Waafrika. 0:26:03.516,0:26:06.786 namaanisha ilibadilisha mtazamo wangu. 0:26:06.786,0:26:08.676 Amani. Nafikiria ninapoketi mahali pa unyenyekevu 0:26:12.586,0:26:18.796 kuwa kuwa utulivu na nafasi na kuwa sawa 0:26:19.366,0:26:24.766 na raha ambayo inakaribia amana ya kuwa 0:26:25.336,0:26:29.926 na mtu mwingine amabye naweza fikiria. 0:26:29.926,0:26:32.836 Kama lazima niifikirie 0:26:34.856,0:26:36.116 kama barabara basi ningeweza fikiria 0:26:36.116,0:26:40.896 kuhusu barabara inayopinda. 0:26:40.936,0:26:43.396 Na kama upinde hauwezi --kwangu kwa dhana ya kucheza 0:26:47.866,0:26:51.916 upinde unaoenda juu lazima uje chini pia 0:26:52.216,0:26:55.056 ina uendelevu 0:26:55.056,0:26:56.176 na katika uendelevu vitu vingi hufanyika 0:26:57.526,0:27:01.786 na nguvu za aina nyingi zinaweza badili umbo lake 0:27:01.786,0:27:04.046 au kina cha kinapoweza kufika. 0:27:04.046,0:27:05.046 Unyenyekevu wa utamaduni hakika ni safari kwangu 0:27:05.046,0:27:07.056 Unyenyekevu wa kitamaduni hakika ni safari kwangu, 0:27:07.446,0:27:10.356 Na ni safari ambayo najua kutakuwa na 0:27:10.356,0:27:12.416 changamoto na nipo ndani yazo. 0:27:12.416,0:27:14.516 Na ninajua kila changamoto nitakayo jifunza kwayo. 0:27:15.206,0:27:19.146 Na nadhani ni mchakato ambao lazima nipitie kila siku 0:27:19.486,0:27:24.686 na ambayo niko sawa kupitia. 0:27:24.876,0:27:26.416 Na hakika inanifanya kuwa na nguvu zaidi na uerevu zaidi 0:27:26.416,0:27:28.456 na natuhahi hekima zaidi kuliko nilivyokuwa jana. 0:27:28.856,0:27:33.606 [muziki] 0:27:34.516,0:29:21.500 muziki