WEBVTT 00:00:00.837 --> 00:00:03.104 Kila mtu achukue dakika kuangalia watu humu ndani, 00:00:03.104 --> 00:00:05.823 jaribu kumtafuta mwenye wasiwasi kuliko wote NOTE Paragraph 00:00:05.871 --> 00:00:06.935 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:06.959 --> 00:00:09.411 Sasa nionyeshe huyo mtu kwa kidole NOTE Paragraph 00:00:09.435 --> 00:00:10.470 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:10.494 --> 00:00:11.853 Acha, natania, usinioneshe NOTE Paragraph 00:00:11.877 --> 00:00:12.996 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:13.020 --> 00:00:14.889 Kama mwanasaikolojia, 00:00:14.913 --> 00:00:16.795 Nimetumia muda mwingi katika mahali pa kazi, 00:00:16.819 --> 00:00:19.249 na ninaiona hio paranoia kila mahali. 00:00:19.249 --> 00:00:21.771 Paranoia inasababishwa na watu nawaita "wapokeaji." 00:00:21.815 --> 00:00:24.148 Wapokeaji ni wabinafsi katika mahusiano. 00:00:24.172 --> 00:00:26.573 Wanajali sana: utawahudumiaje wao. 00:00:26.582 --> 00:00:28.233 Kinyume chao ni "watoaji" 00:00:28.257 --> 00:00:31.017 Hawa ni watu ambao katika mahusiano yao, huuliza, 00:00:31.041 --> 00:00:32.785 "Ni namna ipi naweza kukuhudumia?" NOTE Paragraph 00:00:32.825 --> 00:00:36.036 Ntawapa nafasi ya kutafakari tabia zenu. 00:00:36.060 --> 00:00:38.013 Sote tumekuwa watoaji na wapokeaji katika nyakati mbalimbali. 00:00:38.037 --> 00:00:41.053 Tabia yako ni namna unavyohusiana na watu mara nyingi, 00:00:41.077 --> 00:00:42.235 bila ya kujifikiria 00:00:42.259 --> 00:00:43.801 Nina jaribio fupi la kuwasaidia 00:00:43.825 --> 00:00:46.324 kutambua kama wewe ni mtoaji au mpokeaji; 00:00:46.348 --> 00:00:47.826 na mnaweza kulifanya sasa hivi. NOTE Paragraph 00:00:47.850 --> 00:00:49.289 [Tambua kama unajihusudu) NOTE Paragraph 00:00:49.313 --> 00:00:51.625 [Hatua ya 1: Chukua muda kujifikiria.] NOTE Paragraph 00:00:51.649 --> 00:00:52.752 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:52.776 --> 00:00:54.076 [Hatua ya 2: Kama umeshaifikia hatua ya pili, haujihusudu.] 00:00:55.662 --> 00:00:58.082 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:00:58.106 --> 00:01:01.939 Hilo pekee nitasema leo bila ya data za kuthibitisha. 00:01:01.939 --> 00:01:05.371 Ninaamani kama imekuchukua muda kuicheka hii katuni 00:01:05.395 --> 00:01:07.822 tuwe na shaka kwamba wewe ni mpokeaji NOTE Paragraph 00:01:07.846 --> 00:01:08.911 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:01:08.935 --> 00:01:10.967 Hakika wapokeaji wote sio wabinafsi 00:01:10.991 --> 00:01:13.879 Baadhi ni watoaji waliotumika sana na kuchoka. 00:01:13.903 --> 00:01:17.227 Pia kuna wapokeaji ambao hatutaongelea leo, 00:01:17.251 --> 00:01:19.104 wale wagonjwa wa akili. NOTE Paragraph 00:01:19.128 --> 00:01:20.279 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:01:20.303 --> 00:01:23.175 Nilitaka kuthibitisha uhalali wa pande hizi mbili, 00:01:23.199 --> 00:01:26.008 hivyo nikatafiti zaidi ya watu 30,000 kwenye sekta 00:01:26.032 --> 00:01:27.644 na tamaduni mbalimbali. 00:01:27.668 --> 00:01:30.146 Nikakuta kwamba wengi wako katikati - 00:01:30.170 --> 00:01:31.636 kati ya kutoa na kupokea. 00:01:31.660 --> 00:01:34.005 Hawa huchagua mtindo wa tatu "kulipiza." 00:01:34.029 --> 00:01:37.374 Walipizaji huweka usawa kati kutoa na kupokea: 00:01:37.398 --> 00:01:40.716 nipe nikupe --nitakusaidia ukinisaidia. 00:01:40.740 --> 00:01:43.121 Inaonekana kama namna salama ya kuishi. 00:01:43.145 --> 00:01:46.329 Ila, je, ni njia fanisi ya kuishi? 00:01:46.353 --> 00:01:48.817 Jibu la hakika kwa swali hilo, ni 00:01:48.841 --> 00:01:49.999 labda. NOTE Paragraph 00:01:50.023 --> 00:01:51.249 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:01:51.273 --> 00:01:53.452 Nimechunguza mashirika kadhaa, 00:01:53.476 --> 00:01:54.651 maelfu ya watu. 00:01:54.675 --> 00:01:58.227 Nmepima tija miongoni wahandisi. NOTE Paragraph 00:01:58.251 --> 00:02:00.606 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:02:00.630 --> 00:02:03.599 Nimeangalia maksi ya wanafunzi wa udaktari 00:02:03.623 --> 00:02:05.598 na hata mapato ya watu wa mauzo NOTE Paragraph 00:02:05.622 --> 00:02:07.068 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:02:07.092 --> 00:02:08.744 Cha kushtua, ni 00:02:08.768 --> 00:02:12.437 watoaji wanafanya vibaya kuliko wote, katika kila fani. 00:02:12.749 --> 00:02:14.793 Wahandisi wanaofanya vibaya kazini 00:02:14.817 --> 00:02:17.323 ndio wanaotoa fadhila kuliko wanapokea. 00:02:17.347 --> 00:02:19.483 Wako makini kufanya kazi za watu wengine, 00:02:19.507 --> 00:02:23.057 hata hawana muda au nguvu ya kufanya kazi zao. 00:02:23.081 --> 00:02:25.886 Katika udaktari, maksi za chini ni za 00:02:25.910 --> 00:02:28.017 wanafunzi wanaokubaliana na kauli kama, 00:02:28.041 --> 00:02:30.249 "Ninapenda kuwasaidia wengine," 00:02:31.068 --> 00:02:33.292 ambacho inapendekeza umuamini zaidi daktari 00:02:33.316 --> 00:02:36.395 ambaye hana lengo la kusaidia mtu yeyote. NOTE Paragraph 00:02:36.419 --> 00:02:37.446 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:02:37.470 --> 00:02:39.828 Katika mauzo, mapato ya chini yanaokeana 00:02:39.852 --> 00:02:41.547 miongoni mwa wauzaji wakarimu. 00:02:41.571 --> 00:02:44.001 Niliongea na mmoja kati ya 00:02:44.025 --> 00:02:45.632 wauzaji ambao ni watoaji. 00:02:45.656 --> 00:02:48.214 Nikamuuliza, "Kwa nini unafanya vibaya hivyo --" 00:02:48.238 --> 00:02:49.779 Sikuuliza namna hiyo, lakini - NOTE Paragraph 00:02:49.803 --> 00:02:50.847 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:02:50.871 --> 00:02:53.223 "Nini gharama ya ukarimu katika mauzo?" 00:02:53.247 --> 00:02:56.513 Akasema, "Naam, ninawajali wateja wangu 00:02:56.537 --> 00:02:59.299 kwamba kamwe siwezi kuwauzia bidhaa zetu ovyo. " NOTE Paragraph 00:02:59.323 --> 00:03:00.724 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:03:00.748 --> 00:03:02.260 Hivyo, kwa faida yangu, 00:03:02.272 --> 00:03:03.167 wangapi mnajitambua zaidi kama watoaji 00:03:03.247 --> 00:03:04.672 kuliko wapokeaji au wanaolipizaji? 00:03:04.892 --> 00:03:05.838 Inua mkono. 00:03:06.962 --> 00:03:09.911 OK, ingekuwa zaidi kabla kuongelea hizi takwimu. NOTE Paragraph 00:03:10.525 --> 00:03:14.152 Lakini, kuna cha kushangaza zaidi hapa, 00:03:14.176 --> 00:03:17.472 kwa sababu watoaji mara nyingi hujitoa wenyewe, 00:03:17.496 --> 00:03:19.675 huyaboresha mashirika yao zaidi. 00:03:20.345 --> 00:03:23.112 Tuna ushahidi mwingi -- 00:03:23.136 --> 00:03:26.869 tafiti nyingi kuhusu tabia za watoaji 00:03:26.893 --> 00:03:29.030 katika timu au shirika -- 00:03:29.054 --> 00:03:32.140 na zaidi watu wanavyosaidiana, kufundisha 00:03:32.164 --> 00:03:33.317 wengine na kushauriana, 00:03:33.341 --> 00:03:36.118 ndivyo huboresha mashirika katika kila kipimo: 00:03:36.142 --> 00:03:38.973 faida, kuridhisha wateja, kuvutia wafanyakazi - 00:03:38.997 --> 00:03:40.842 hata hupunguza gharama za uendeshaji. 00:03:41.407 --> 00:03:42.407 Hivyo watoaji hutumia muda mwingi 00:03:42.407 --> 00:03:44.299 kusaidia wengine 00:03:44.299 --> 00:03:45.506 na kuboresha timu, 00:03:45.530 --> 00:03:48.006 kwa bahati mbaya, wanajikuta kwenye hasara. 00:03:48.030 --> 00:03:49.698 Nataka kuzungumzia namna ya 00:03:49.722 --> 00:03:53.043 kujenga utamaduni ambapo watoaji wanafanikiwa. NOTE Paragraph 00:03:53.564 --> 00:03:56.584 Hivyo nilijiuliza kama watoaji sio watekelezaji bora, 00:03:56.608 --> 00:03:58.436 wapi ni watekelezaji bora? 00:03:59.438 --> 00:04:02.088 Nitanza na habari njema: siyo wapokeaji. 00:04:02.112 --> 00:04:03.112 Wapokeaji hupanda haraka 00:04:03.112 --> 00:04:05.791 lakini pia huanguka upesi maofisini. 00:04:05.791 --> 00:04:07.888 Na huanguka katika mikono ya walipizaji. 00:04:07.912 --> 00:04:08.912 Kama mlipizaji, 00:04:08.912 --> 00:04:11.356 unafuata sheria ya "jicho kwa jicho" - ndiyo haki. 00:04:11.356 --> 00:04:12.776 Hivyo unapokutana na mpokeaji, 00:04:12.800 --> 00:04:14.669 unalifanya jukumu lako 00:04:14.693 --> 00:04:16.735 kumuadhibu mpokeaji, kumtia adabu. NOTE Paragraph 00:04:16.759 --> 00:04:17.773 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:04:17.797 --> 00:04:19.422 Na hivyo haki hutolewa. NOTE Paragraph 00:04:20.108 --> 00:04:22.078 Naam, watu wengi ni walipizaji. 00:04:22.102 --> 00:04:23.686 Ina maana, kama wewe ni mpokeaji, 00:04:23.710 --> 00:04:25.690 hatimaye, balaa hukupata; 00:04:25.714 --> 00:04:27.352 Kwendako mema, hurudi mema. 00:04:27.376 --> 00:04:28.982 Hivyo hitimisho lenye mantiki ni: 00:04:29.006 --> 00:04:31.871 walipizaji ndio wafanyakazi bora. 00:04:31.895 --> 00:04:33.413 Lakini, hapana, siyo. 00:04:33.437 --> 00:04:36.287 Katika kila fani, kila shirika, nimechunguza, 00:04:36.311 --> 00:04:38.473 watoaji, tena, ndio wenye matokeo bora. NOTE Paragraph 00:04:39.651 --> 00:04:42.809 Tuangalie baadhi ya takwimu nimekusanya, za mapato 00:04:42.833 --> 00:04:43.986 ya watu wa mauzo. 00:04:44.010 --> 00:04:46.665 Unachoona ni kwamba watoaji wako katika vikomo vyote. 00:04:46.689 --> 00:04:49.907 Wengi wao huleta mapato ya chini, 00:04:49.931 --> 00:04:51.397 lakini pia mapato ya juu. 00:04:51.421 --> 00:04:54.025 Mwelekeo huo ni kweli pia kwenye tija za wahandisi 00:04:54.049 --> 00:04:55.440 na maksi za wanafunzi wa udaktari. 00:04:55.464 --> 00:04:58.071 Watoaji wana uwakilishi mkubwa chini na juu 00:04:58.095 --> 00:05:00.177 katika kila kipimo cha mafanikio. 00:05:00.201 --> 00:05:01.503 Hivyo swali ni: 00:05:01.527 --> 00:05:04.936 Jinsi gani tunaweza kujenga dunia ambapo watoaji hufanikiwa? 00:05:04.960 --> 00:05:07.783 Nitazungumzi jinsi ya kufanya hivyo, sio tu katika biashara, 00:05:07.807 --> 00:05:09.638 ila katika taasisi mbalimbali 00:05:09.662 --> 00:05:10.955 na hata serikalini. 00:05:10.979 --> 00:05:12.185 Mko tiyari? NOTE Paragraph 00:05:12.209 --> 00:05:13.395 (Makofi) NOTE Paragraph 00:05:13.419 --> 00:05:16.411 Ningewaambia hata hivyo, ila asante kwa shauku. NOTE Paragraph 00:05:16.435 --> 00:05:17.458 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:05:17.482 --> 00:05:19.326 Kitu cha kwanza muhimu 00:05:19.350 --> 00:05:22.097 ni kutambua kwamba watoaji ni watu muhimu, 00:05:22.121 --> 00:05:24.555 ila tusipoangalia, tutawakatisha tamaa. 00:05:24.579 --> 00:05:27.069 Hivyo, tunabidi kuwalinda watoaji miongoni mwetu 00:05:27.093 --> 00:05:31.233 Nimejifunza mengi kutoka kwa mwanamitandao bora wa Fortune. 00:05:32.993 --> 00:05:34.343 Ni huyo mtu, sio paka NOTE Paragraph 00:05:34.367 --> 00:05:35.527 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:05:35.551 --> 00:05:37.307 Anaitwa Adamu Rifkin. NOTE Paragraph 00:05:37.331 --> 00:05:39.543 Yeye ni mwekezaji mahiri. 00:05:39.567 --> 00:05:42.361 Hutumia muda mwingi akisaidia wengine. 00:05:42.385 --> 00:05:44.721 Siri yake ya mafanikio ni kutoa dakika tano za fadhila. 00:05:45.261 --> 00:05:47.920 Adamu alisema, "Huhitaji kuwa Mama Teresa or Gandhi 00:05:47.944 --> 00:05:49.127 kuwa mtoaji. 00:05:49.151 --> 00:05:51.654 Unabidi utafute njia ndogondogo tu 00:05:51.678 --> 00:05:53.035 za kushika maisha ya watu." 00:05:53.083 --> 00:05:55.426 Kama kuwatambulisha watu wawili 00:05:55.426 --> 00:05:57.861 wanaoweza kufaidika kwa kujuana. 00:05:57.921 --> 00:06:00.771 Inaweza kuwa kutoa maarifa yako au kutoa maoni. 00:06:01.002 --> 00:06:03.314 Au hata kusema kitu kama, 00:06:04.078 --> 00:06:05.307 "Unajua, 00:06:05.331 --> 00:06:06.831 nitajaribu kumtambua mtu 00:06:06.855 --> 00:06:09.884 ambaye kazi yake hakujatambuliwa. " 00:06:10.422 --> 00:06:12.716 Hizo dakika tano za fadhila ni muhimu 00:06:12.756 --> 00:06:13.756 kusaidia watoaji kujiwekea mipaka 00:06:13.756 --> 00:06:15.962 na kujihami. NOTE Paragraph 00:06:15.962 --> 00:06:17.407 Jambo la pili la msingi 00:06:17.431 --> 00:06:19.899 katika kujenga utamaduni ambapo watoaji wanafanikiwa, 00:06:19.923 --> 00:06:22.848 ni kuhamasisha utamaduni wa kutafuta msaada; 00:06:22.872 --> 00:06:24.052 ambapo watu huuliza na huomba kusaidiwa. 00:06:24.536 --> 00:06:27.205 Hii inaweza kuwaogopesha baadhi yenu. NOTE Paragraph 00:06:27.229 --> 00:06:30.268 [katika mahusiano yako, ni lazima uwe mtoaji daima?] NOTE Paragraph 00:06:30.292 --> 00:06:31.316 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:06:31.340 --> 00:06:33.071 Utakachogundua katika watoaji waliofanikiwa 00:06:33.095 --> 00:06:36.215 ni wanatambua kwamba ni sawa kuwa mpokeaji pia. 00:06:36.754 --> 00:06:39.617 Kama unamiliki shirika, tunaweza kukurahisishia. 00:06:39.641 --> 00:06:41.938 Tunaweza kurahishia watu kuomba msaada. 00:06:41.962 --> 00:06:44.034 Mimi na wenzangu tulifanya utafiti katika mahospitali. 00:06:44.058 --> 00:06:47.260 Tuligundua wauguzi katika baadhi za wadi 00:06:47.284 --> 00:06:49.535 waliomba kusaidiwa, kuliko wadi nyingine. 00:06:49.559 --> 00:06:52.905 Kilichozitofautisha wadi ambazo 00:06:52.929 --> 00:06:54.080 kuomba msaada ilikuwa kawaida, ni kulikuwa 00:06:54.104 --> 00:06:56.479 na muuguzi mmoja ambaye kazi yake 00:06:56.503 --> 00:06:58.534 ni kuwasaidia wengine katika kitengo. 00:06:58.558 --> 00:06:59.939 Msaada ulipohitajika, wauguzi walisema, 00:06:59.963 --> 00:07:03.620 "Sio aibu kuomba msaada - 00:07:03.644 --> 00:07:05.024 bali tabia inayohamasishwa." NOTE Paragraph 00:07:06.263 --> 00:07:09.089 Kutafuta msaada ni muhimu katika kuwalinda, 00:07:09.113 --> 00:07:10.512 pia kwa ajili ya ustawi wa watoaji. 00:07:10.536 --> 00:07:13.468 Na kuhamisisha tabia za watoaji, 00:07:13.492 --> 00:07:15.371 kwa sababu takwimu zinaonyesha kwamba 00:07:15.371 --> 00:07:18.129 asilimia 75 hadi 90 ya utoaji 00:07:18.129 --> 00:07:19.504 huanzia na ombi. 00:07:19.714 --> 00:07:21.249 Lakini watu wengi hawaulizi. 00:07:21.433 --> 00:07:23.458 Wanahofia kuonekana hawajui, 00:07:23.528 --> 00:07:25.796 hawajui wageukia wapi, wanaogopa kuwasumbua wenzao. 00:07:26.084 --> 00:07:28.671 Ikiwa kamwe hakuna anayeomba msaada, 00:07:28.721 --> 00:07:30.763 utakuwa na watoaji wengi waliokatishwa tamaa, 00:07:30.763 --> 00:07:32.706 ambao wangependa kuchangia kwa kusaidia, 00:07:32.730 --> 00:07:34.896 laiti wangejua nani anahitaji msaada na kwa namna gani. NOTE Paragraph 00:07:35.413 --> 00:07:37.211 Lakini jambo muhimu zaidi kama 00:07:37.235 --> 00:07:39.711 unataka kujenga utamaduni ambapo watoaji wanafanikiwa, 00:07:39.735 --> 00:07:42.537 ni kuwa mwangalifu kuhusu nani unaweka kwenye timu yako. 00:07:42.561 --> 00:07:45.577 Kama unataka utamaduni wa ukarimu na uzalishaji, 00:07:45.601 --> 00:07:47.573 unapaswa kuajiri watoaji. 00:07:47.597 --> 00:07:51.267 Lakini nilishangaa kugundua kwamba hiyo haikuwa sahihi -- 00:07:51.715 --> 00:07:54.190 mapungufu ya mpokeaji 00:07:54.214 --> 00:07:57.083 ni mara mbili au mara tatu zaidi kuliko manufaa ya mtoaji. 00:07:57.530 --> 00:07:58.680 Ifiikirie hivi: 00:07:58.704 --> 00:08:00.368 tunda moja baya linaweza kuharibu kikapu chote, 00:08:00.392 --> 00:08:03.218 lakini yai moja nzuri haliwezi kuboresha dazeni nzima. 00:08:03.942 --> 00:08:05.494 Sijui hii ina maana gani-- NOTE Paragraph 00:08:05.518 --> 00:08:06.637 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:08:06.661 --> 00:08:08.034 Lakini natumaini mnaelewa. NOTE Paragraph 00:08:08.058 --> 00:08:11.380 Yani-- weka hata mpokeaji mmoja kwenye timu, 00:08:11.404 --> 00:08:14.258 na utaona kwamba watoaji wataacha kusaidia. 00:08:14.648 --> 00:08:17.578 Watasema, "Nimezungukwa na rundo la nyoka na papa. 00:08:17.602 --> 00:08:18.968 Kwa nini mimi nichangie? " 00:08:18.992 --> 00:08:20.968 Wakati, ukiweka mtoaji mmoja kwenye timu, 00:08:20.992 --> 00:08:23.114 huwezi kupata mlipuko wa ukarimu. 00:08:23.138 --> 00:08:24.559 Mara nyingi zaidi, watu hufikiri, 00:08:24.583 --> 00:08:26.721 "Afadhali! Huyo anaweza kufanya kazi yetu yote." 00:08:27.077 --> 00:08:29.823 Hivyo, ufanisi katika kuajiri na kujenga timu 00:08:29.847 --> 00:08:31.983 haihusishi kuleta pamoja watoaji tu; 00:08:32.007 --> 00:08:34.221 ila pia kuwatoa wapokeaji nje ya shirika. 00:08:35.036 --> 00:08:36.187 Ukifanikiwa, 00:08:36.211 --> 00:08:38.153 utabakiza watoaji na walipizaji. 00:08:38.177 --> 00:08:39.542 Watoaji watakuwa wakarimu 00:08:39.566 --> 00:08:42.200 kwa sababu hawana wasiwasi kuhusu kupokea fadhila. 00:08:42.224 --> 00:08:45.337 Na uzuri wa walipizaji ni kwamba wanafuata musuada uliopo. NOTE Paragraph 00:08:45.361 --> 00:08:48.129 Hivyo ni jinsi gani utamtambua mpokeaji, mapema? 00:08:48.745 --> 00:08:51.632 Sio rahisi kumtambua mpokeaji 00:08:51.656 --> 00:08:53.482 hasa kufuata tu hisia zetu za mwanzo. 00:08:53.506 --> 00:08:55.814 Kuna tabia ambayo hutupotosha . 00:08:55.838 --> 00:08:57.143 Inaitwa wito upendezi, 00:08:57.167 --> 00:08:58.167 kati ya vipimo vikuu vya hulka 00:08:58.167 --> 00:08:59.812 miongoni mwa tamaduni mbalimbali. 00:08:59.812 --> 00:09:03.102 Watu wapendezi ni wakarimu, wema, wanyenyekevu. NOTE Paragraph 00:09:03.321 --> 00:09:05.112 Utawakuta wengi wao Kanada -- NOTE Paragraph 00:09:05.136 --> 00:09:06.739 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:09:06.763 --> 00:09:10.260 Ambapo kulikuwa na shindano la kitaifa 00:09:10.284 --> 00:09:13.314 la kutafuta kauli mbiu mpya ya Kanada kwa kujaza tashbihi, 00:09:13.338 --> 00:09:14.913 "Mkanada kama ..." 00:09:14.937 --> 00:09:17.021 Nilidhani kauli mbiu itakayoshinda ingekuwa, 00:09:17.045 --> 00:09:19.516 "Mkanada kama maple syrup," au, "... Hoki ya barafuni ." 00:09:19.540 --> 00:09:22.525 Lakini, hapana. Kura zilichagua kauli mbiu mpya kuwa - 00:09:22.549 --> 00:09:23.710 na siwatanii -- 00:09:23.734 --> 00:09:26.165 "Mkanada kama iwezekanavyo, katika mazingira haya. " NOTE Paragraph 00:09:26.189 --> 00:09:29.402 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:09:30.020 --> 00:09:32.391 Sasa kwa wale ambao ni wapendezi, 00:09:32.415 --> 00:09:33.808 au labda ni wakanada kidogo 00:09:33.832 --> 00:09:35.205 mtaielewa upesi. 00:09:35.229 --> 00:09:37.046 Ninawezaje kusema kuwa mimi ni aina moja pekee 00:09:37.070 --> 00:09:39.896 wakati daima ninajibadilisha kuridhisha wengine? 00:09:40.400 --> 00:09:42.223 Watu nongwa hujaribu mara chache zaidi. 00:09:42.247 --> 00:09:45.184 Hawa, wana mashaka, ni wakasoaji, ni changamoto 00:09:45.208 --> 00:09:48.262 na ndio wenye kwenda kusoma sheria. NOTE Paragraph 00:09:48.286 --> 00:09:49.429 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:09:49.453 --> 00:09:52.108 Hiyo sio utani; ni kweli kama kanuni. NOTE Paragraph 00:09:52.132 --> 00:09:53.191 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:09:53.215 --> 00:09:55.764 daima nildhani watu wapendezi ni watoaji 00:09:55.788 --> 00:09:57.735 na watu nongwa ni wapokeaji. 00:09:57.759 --> 00:09:59.189 Nilipofanya utafiti, 00:09:59.213 --> 00:10:02.326 nilistaajabu kukuta hakuna uhusiano katika sifa hizo, 00:10:02.350 --> 00:10:05.009 kwa sababu tabia ya upendezi au nongwa 00:10:05.033 --> 00:10:06.196 ni gamba la nje tu: 00:10:06.220 --> 00:10:08.161 Je, watu wanajisikiaje baada ya kuzungumza na wewe? 00:10:08.185 --> 00:10:10.877 Wakati kutoa na kupokea inategemea nia yako: 00:10:10.901 --> 00:10:13.793 Je, maadili yako ni yapi? Je, nia yako kwa wengine ni ipi? NOTE Paragraph 00:10:13.817 --> 00:10:16.009 Kama unataka kusoma watu kwa usahihi, 00:10:16.033 --> 00:10:19.550 utataka kuwepo katika chumba wakati kila mshauri anasubiri, NOTE Paragraph 00:10:19.574 --> 00:10:20.739 kupata picha halisi. NOTE Paragraph 00:10:20.763 --> 00:10:24.371 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:10:25.321 --> 00:10:27.655 Ni rahisi kuwatambua watoaji wapendezi: 00:10:27.679 --> 00:10:30.313 wao husema ndiyo kwa kila kitu. 00:10:31.740 --> 00:10:34.613 Wapokeaji nongwa wanatambulika kirahisi pia, 00:10:34.637 --> 00:10:38.544 ingawa unaweza kuwaita kwa jina tofauti kidogo. NOTE Paragraph 00:10:38.568 --> 00:10:40.432 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:10:41.828 --> 00:10:43.900 Tunasahau makundi mengine mbili. 00:10:43.924 --> 00:10:47.259 Kuna watoaji nongwa katika mashirika. 00:10:47.283 --> 00:10:49.924 Hawa wanaonekana wagumu kwa nje 00:10:49.948 --> 00:10:52.486 lakini hujali sana maslahi ya wengine. 00:10:53.089 --> 00:10:54.452 Au kama mhandisi anavyoiweka, 00:10:54.476 --> 00:10:56.082 "Ah, watoaji nongwa ni - 00:10:56.082 --> 00:10:57.502 kama mtu mwenye kiolesura kibaya cha mtumiaji 00:10:57.586 --> 00:11:00.006 lakini mfumo mzuri." NOTE Paragraph 00:11:00.006 --> 00:11:01.292 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:11:01.316 --> 00:11:02.687 Kama inawasaidia. NOTE Paragraph 00:11:02.711 --> 00:11:03.951 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:11:04.424 --> 00:11:07.927 Watoaji nongwa hawathaminiwi katika mashirika yetu, 00:11:07.951 --> 00:11:10.543 kwa sababu huotoa changamoto 00:11:10.567 --> 00:11:13.173 ambazo watu hawataki kusikia hata kama tunahizitaji. 00:11:13.197 --> 00:11:15.685 Tunahitaji kuwathamini zaidi watu hawa 00:11:15.709 --> 00:11:17.497 badala ya kuwapuuza, 00:11:17.521 --> 00:11:19.265 na kusema, "Eh, wanakera, 00:11:19.289 --> 00:11:20.786 lazima awe mpokeaji nongwa." NOTE Paragraph 00:11:21.849 --> 00:11:24.608 Kundi jingine hatari tunasahau ni- 00:11:24.632 --> 00:11:27.314 mpokeaji mpendezi, pia anajulikana kama muigizaji. 00:11:28.444 --> 00:11:30.509 Huyu ni mtu mwema akiwa mbele yako, 00:11:30.533 --> 00:11:32.513 na ukigeuka hukuchoma. NOTE Paragraph 00:11:32.537 --> 00:11:33.869 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:11:34.537 --> 00:11:37.771 Napenda kuwakamata hawa watu katika usahili 00:11:37.795 --> 00:11:39.067 kwa kuuliza swali, 00:11:39.091 --> 00:11:41.053 "Je, unaweza kunipa majina ya watu wanne 00:11:41.077 --> 00:11:43.446 ambao umewasaidia kimsingi kazini?" 00:11:44.424 --> 00:11:46.317 Wapokeaji watakupa hayo majina manne, 00:11:46.341 --> 00:11:49.038 na wote watakuwa na mafinikio zaidi kuliko wao, 00:11:49.062 --> 00:11:50.062 kwa sababu wapokeaji ni wastadi katika kunyenyekea 00:11:50.062 --> 00:11:52.957 wakuu wao na kudharau walio chini. 00:11:52.957 --> 00:11:56.357 Watoaji wanajua zaidi majina ya watu chini ya uongozi wao, 00:11:56.381 --> 00:11:57.927 ambao hawana mamlaka mingi, 00:11:57.951 --> 00:11:59.323 ambao hawana mchango muhimu kwao. 00:11:59.723 --> 00:12:02.897 Hakika, tunafahamu kuwa tunajifunza mengi kuhusu tabia ya mtu 00:12:02.921 --> 00:12:05.476 kwa kumuangalia anavyohusiana na mhudumu 00:12:05.500 --> 00:12:06.663 au dereva wa Uber. NOTE Paragraph 00:12:07.319 --> 00:12:08.585 Hivyo tukifanya yote vizuri, 00:12:08.609 --> 00:12:10.693 kama tutatoa wapokeaji katika mashirika, 00:12:10.717 --> 00:12:12.629 kama tutaweza kuwahakikishia usalama wanaoomba msaada, 00:12:12.653 --> 00:12:14.667 kama tutaweza kuwalinda watoaji wasichoke 00:12:14.691 --> 00:12:17.918 na kuwawezesha kutimiza malengo yao 00:12:17.942 --> 00:12:20.098 na pia kusaidia watu wengine, 00:12:20.122 --> 00:12:21.122 tunaweza kubadilisha mtizamo wa watu 00:12:21.122 --> 00:12:23.053 wanavyotizama mafanikio. 00:12:23.053 --> 00:12:26.405 Badala ya kuona ni mashindano, 00:12:26.429 --> 00:12:29.969 watu watatambua mafanikio kama mchango kijumuiya zaidi. NOTE Paragraph 00:12:30.761 --> 00:12:33.122 Naamini kuwa njia kuu ya kufanikiwa 00:12:33.146 --> 00:12:35.016 ni kuwasaidia watu wengine wafanikiwe. 00:12:35.040 --> 00:12:36.711 Na kama tunaweza kusambaza imani hio, 00:12:36.735 --> 00:12:39.386 tunaweza kweli kuigeuza paranoia. 00:12:39.410 --> 00:12:40.573 Kuna jina kwa ajili hiyo 00:12:40.597 --> 00:12:42.033 inaitwa "pronoia." 00:12:43.025 --> 00:12:44.722 Pronoia ni imani kwamba 00:12:44.746 --> 00:12:47.346 wengine wanapanga mema kwa ajili yako. NOTE Paragraph 00:12:47.370 --> 00:12:48.893 (Vicheko) NOTE Paragraph 00:12:50.908 --> 00:12:53.461 Kwamba wanakuzunguka 00:12:53.485 --> 00:12:56.401 na kuimba sifa zako. 00:12:57.647 --> 00:13:01.456 Uzuri wa utamaduni wa watoaji ni kwamba hio sio njozi, 00:13:01.480 --> 00:13:02.714 huo ndio uhalisia. 00:13:03.697 --> 00:13:06.273 Ningependa kuishi kwenye dunia ambayo watoaji wanafanikiwa. 00:13:06.297 --> 00:13:08.613 Natumaini nyote mtanisaidia kujenga ulimwengu huo. 00:13:08.653 --> 00:13:09.383 Asanteni. 00:13:09.893 --> 00:13:10.473 (Makofi)