[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.84,0:00:03.10,Default,,0000,0000,0000,,Kila mtu achukue dakika kuangalia watu humu ndani, Dialogue: 0,0:00:03.10,0:00:05.82,Default,,0000,0000,0000,,jaribu kumtafuta mwenye wasiwasi kuliko wote Dialogue: 0,0:00:05.87,0:00:06.94,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:06.96,0:00:09.41,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nionyeshe huyo mtu kwa kidole Dialogue: 0,0:00:09.44,0:00:10.47,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:10.49,0:00:11.85,Default,,0000,0000,0000,,Acha, natania, usinioneshe Dialogue: 0,0:00:11.88,0:00:12.100,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:13.02,0:00:14.89,Default,,0000,0000,0000,,Kama mwanasaikolojia, Dialogue: 0,0:00:14.91,0:00:16.80,Default,,0000,0000,0000,,Nimetumia muda mwingi katika mahali pa kazi, Dialogue: 0,0:00:16.82,0:00:19.25,Default,,0000,0000,0000,,na ninaiona hio paranoia kila mahali. Dialogue: 0,0:00:19.25,0:00:21.77,Default,,0000,0000,0000,,Paranoia inasababishwa na watu nawaita "wapokeaji." Dialogue: 0,0:00:21.82,0:00:24.15,Default,,0000,0000,0000,,Wapokeaji ni wabinafsi katika mahusiano. Dialogue: 0,0:00:24.17,0:00:26.57,Default,,0000,0000,0000,,Wanajali sana: utawahudumiaje wao. Dialogue: 0,0:00:26.58,0:00:28.23,Default,,0000,0000,0000,,Kinyume chao ni "watoaji" Dialogue: 0,0:00:28.26,0:00:31.02,Default,,0000,0000,0000,,Hawa ni watu ambao katika mahusiano yao, huuliza, Dialogue: 0,0:00:31.04,0:00:32.78,Default,,0000,0000,0000,,"Ni namna ipi naweza kukuhudumia?" Dialogue: 0,0:00:32.82,0:00:36.04,Default,,0000,0000,0000,,Ntawapa nafasi ya kutafakari tabia zenu. Dialogue: 0,0:00:36.06,0:00:38.01,Default,,0000,0000,0000,,Sote tumekuwa watoaji na wapokeaji katika nyakati mbalimbali. Dialogue: 0,0:00:38.04,0:00:41.05,Default,,0000,0000,0000,,Tabia yako ni namna unavyohusiana na watu mara nyingi, Dialogue: 0,0:00:41.08,0:00:42.24,Default,,0000,0000,0000,,bila ya kujifikiria Dialogue: 0,0:00:42.26,0:00:43.80,Default,,0000,0000,0000,,Nina jaribio fupi la kuwasaidia Dialogue: 0,0:00:43.82,0:00:46.32,Default,,0000,0000,0000,,kutambua kama wewe ni mtoaji au mpokeaji; Dialogue: 0,0:00:46.35,0:00:47.83,Default,,0000,0000,0000,,na mnaweza kulifanya sasa hivi. Dialogue: 0,0:00:47.85,0:00:49.29,Default,,0000,0000,0000,,[Tambua kama unajihusudu) Dialogue: 0,0:00:49.31,0:00:51.62,Default,,0000,0000,0000,,[Hatua ya 1: Chukua muda kujifikiria.] Dialogue: 0,0:00:51.65,0:00:52.75,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:52.78,0:00:54.08,Default,,0000,0000,0000,,[Hatua ya 2: Kama umeshaifikia hatua ya pili, haujihusudu.] Dialogue: 0,0:00:55.66,0:00:58.08,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:00:58.11,0:01:01.94,Default,,0000,0000,0000,,Hilo pekee nitasema leo bila ya data za kuthibitisha. Dialogue: 0,0:01:01.94,0:01:05.37,Default,,0000,0000,0000,,Ninaamani kama imekuchukua muda kuicheka hii katuni Dialogue: 0,0:01:05.40,0:01:07.82,Default,,0000,0000,0000,,tuwe na shaka kwamba wewe ni mpokeaji Dialogue: 0,0:01:07.85,0:01:08.91,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:01:08.94,0:01:10.97,Default,,0000,0000,0000,,Hakika wapokeaji wote sio wabinafsi Dialogue: 0,0:01:10.99,0:01:13.88,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi ni watoaji waliotumika sana na kuchoka. Dialogue: 0,0:01:13.90,0:01:17.23,Default,,0000,0000,0000,,Pia kuna wapokeaji ambao hatutaongelea leo, Dialogue: 0,0:01:17.25,0:01:19.10,Default,,0000,0000,0000,,wale wagonjwa wa akili. Dialogue: 0,0:01:19.13,0:01:20.28,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:01:20.30,0:01:23.18,Default,,0000,0000,0000,,Nilitaka kuthibitisha uhalali wa pande hizi mbili, Dialogue: 0,0:01:23.20,0:01:26.01,Default,,0000,0000,0000,,hivyo nikatafiti zaidi ya watu 30,000 kwenye sekta Dialogue: 0,0:01:26.03,0:01:27.64,Default,,0000,0000,0000,,na tamaduni mbalimbali. Dialogue: 0,0:01:27.67,0:01:30.15,Default,,0000,0000,0000,,Nikakuta kwamba wengi\Nwako katikati - Dialogue: 0,0:01:30.17,0:01:31.64,Default,,0000,0000,0000,,kati ya kutoa na kupokea. Dialogue: 0,0:01:31.66,0:01:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Hawa huchagua mtindo wa tatu "kulipiza." Dialogue: 0,0:01:34.03,0:01:37.37,Default,,0000,0000,0000,,Walipizaji huweka\Nusawa kati kutoa na kupokea: Dialogue: 0,0:01:37.40,0:01:40.72,Default,,0000,0000,0000,,nipe nikupe --nitakusaidia ukinisaidia. Dialogue: 0,0:01:40.74,0:01:43.12,Default,,0000,0000,0000,,Inaonekana kama namna salama ya kuishi. Dialogue: 0,0:01:43.14,0:01:46.33,Default,,0000,0000,0000,,Ila, je, ni njia fanisi ya kuishi? Dialogue: 0,0:01:46.35,0:01:48.82,Default,,0000,0000,0000,,Jibu la hakika kwa swali hilo, ni Dialogue: 0,0:01:48.84,0:01:49.100,Default,,0000,0000,0000,,labda. Dialogue: 0,0:01:50.02,0:01:51.25,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:01:51.27,0:01:53.45,Default,,0000,0000,0000,,Nimechunguza mashirika kadhaa, Dialogue: 0,0:01:53.48,0:01:54.65,Default,,0000,0000,0000,,maelfu ya watu. Dialogue: 0,0:01:54.68,0:01:58.23,Default,,0000,0000,0000,,Nmepima tija miongoni wahandisi. Dialogue: 0,0:01:58.25,0:02:00.61,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:02:00.63,0:02:03.60,Default,,0000,0000,0000,,Nimeangalia maksi ya wanafunzi wa udaktari Dialogue: 0,0:02:03.62,0:02:05.60,Default,,0000,0000,0000,,na hata mapato ya watu wa mauzo Dialogue: 0,0:02:05.62,0:02:07.07,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:02:07.09,0:02:08.74,Default,,0000,0000,0000,,Cha kushtua, ni Dialogue: 0,0:02:08.77,0:02:12.44,Default,,0000,0000,0000,,watoaji wanafanya vibaya kuliko wote, katika kila fani. Dialogue: 0,0:02:12.75,0:02:14.79,Default,,0000,0000,0000,,Wahandisi wanaofanya vibaya kazini Dialogue: 0,0:02:14.82,0:02:17.32,Default,,0000,0000,0000,,ndio wanaotoa fadhila kuliko wanapokea. Dialogue: 0,0:02:17.35,0:02:19.48,Default,,0000,0000,0000,,Wako makini kufanya kazi za watu wengine, Dialogue: 0,0:02:19.51,0:02:23.06,Default,,0000,0000,0000,,hata hawana muda au nguvu ya \Nkufanya kazi zao. Dialogue: 0,0:02:23.08,0:02:25.89,Default,,0000,0000,0000,,Katika udaktari, maksi za chini ni za Dialogue: 0,0:02:25.91,0:02:28.02,Default,,0000,0000,0000,,wanafunzi wanaokubaliana na kauli kama, Dialogue: 0,0:02:28.04,0:02:30.25,Default,,0000,0000,0000,,"Ninapenda kuwasaidia wengine," Dialogue: 0,0:02:31.07,0:02:33.29,Default,,0000,0000,0000,,ambacho inapendekeza umuamini zaidi daktari Dialogue: 0,0:02:33.32,0:02:36.40,Default,,0000,0000,0000,,ambaye hana lengo la kusaidia mtu yeyote. Dialogue: 0,0:02:36.42,0:02:37.45,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:02:37.47,0:02:39.83,Default,,0000,0000,0000,,Katika mauzo, mapato ya chini yanaokeana Dialogue: 0,0:02:39.85,0:02:41.55,Default,,0000,0000,0000,,miongoni mwa wauzaji wakarimu. Dialogue: 0,0:02:41.57,0:02:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Niliongea na mmoja kati ya Dialogue: 0,0:02:44.02,0:02:45.63,Default,,0000,0000,0000,,wauzaji ambao ni watoaji. Dialogue: 0,0:02:45.66,0:02:48.21,Default,,0000,0000,0000,,Nikamuuliza, "Kwa nini\Nunafanya vibaya hivyo --" Dialogue: 0,0:02:48.24,0:02:49.78,Default,,0000,0000,0000,,Sikuuliza namna hiyo, lakini - Dialogue: 0,0:02:49.80,0:02:50.85,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:02:50.87,0:02:53.22,Default,,0000,0000,0000,,"Nini gharama ya ukarimu katika mauzo?" Dialogue: 0,0:02:53.25,0:02:56.51,Default,,0000,0000,0000,,Akasema, "Naam, ninawajali wateja wangu Dialogue: 0,0:02:56.54,0:02:59.30,Default,,0000,0000,0000,,kwamba kamwe siwezi kuwauzia bidhaa zetu ovyo. " Dialogue: 0,0:02:59.32,0:03:00.72,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:03:00.75,0:03:02.26,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, kwa faida yangu, Dialogue: 0,0:03:02.27,0:03:03.17,Default,,0000,0000,0000,,wangapi mnajitambua zaidi kama watoaji Dialogue: 0,0:03:03.25,0:03:04.67,Default,,0000,0000,0000,,kuliko wapokeaji au wanaolipizaji? Dialogue: 0,0:03:04.89,0:03:05.84,Default,,0000,0000,0000,,Inua mkono. Dialogue: 0,0:03:06.96,0:03:09.91,Default,,0000,0000,0000,,OK, ingekuwa zaidi kabla kuongelea hizi takwimu. Dialogue: 0,0:03:10.52,0:03:14.15,Default,,0000,0000,0000,,Lakini, kuna cha kushangaza\Nzaidi hapa, Dialogue: 0,0:03:14.18,0:03:17.47,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu watoaji mara nyingi\Nhujitoa wenyewe, Dialogue: 0,0:03:17.50,0:03:19.68,Default,,0000,0000,0000,,huyaboresha mashirika yao zaidi. Dialogue: 0,0:03:20.34,0:03:23.11,Default,,0000,0000,0000,,Tuna ushahidi mwingi -- Dialogue: 0,0:03:23.14,0:03:26.87,Default,,0000,0000,0000,,tafiti nyingi kuhusu tabia za watoaji Dialogue: 0,0:03:26.89,0:03:29.03,Default,,0000,0000,0000,,katika timu au shirika -- Dialogue: 0,0:03:29.05,0:03:32.14,Default,,0000,0000,0000,,na zaidi watu wanavyosaidiana, kufundisha Dialogue: 0,0:03:32.16,0:03:33.32,Default,,0000,0000,0000,,wengine na kushauriana, Dialogue: 0,0:03:33.34,0:03:36.12,Default,,0000,0000,0000,,ndivyo huboresha mashirika katika kila kipimo: Dialogue: 0,0:03:36.14,0:03:38.97,Default,,0000,0000,0000,,faida, kuridhisha wateja, kuvutia\Nwafanyakazi - Dialogue: 0,0:03:38.100,0:03:40.84,Default,,0000,0000,0000,,hata hupunguza gharama za uendeshaji. Dialogue: 0,0:03:41.41,0:03:42.41,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo watoaji hutumia muda mwingi Dialogue: 0,0:03:42.41,0:03:44.30,Default,,0000,0000,0000,,kusaidia wengine Dialogue: 0,0:03:44.30,0:03:45.51,Default,,0000,0000,0000,,na kuboresha timu, Dialogue: 0,0:03:45.53,0:03:48.01,Default,,0000,0000,0000,,kwa bahati mbaya, wanajikuta kwenye hasara. Dialogue: 0,0:03:48.03,0:03:49.70,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuzungumzia namna ya Dialogue: 0,0:03:49.72,0:03:53.04,Default,,0000,0000,0000,,kujenga utamaduni ambapo watoaji wanafanikiwa. Dialogue: 0,0:03:53.56,0:03:56.58,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo nilijiuliza kama watoaji sio \Nwatekelezaji bora, Dialogue: 0,0:03:56.61,0:03:58.44,Default,,0000,0000,0000,,wapi ni watekelezaji bora? Dialogue: 0,0:03:59.44,0:04:02.09,Default,,0000,0000,0000,,Nitanza na habari njema:\Nsiyo wapokeaji. Dialogue: 0,0:04:02.11,0:04:03.11,Default,,0000,0000,0000,,Wapokeaji hupanda haraka Dialogue: 0,0:04:03.11,0:04:05.79,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia huanguka upesi maofisini. Dialogue: 0,0:04:05.79,0:04:07.89,Default,,0000,0000,0000,,Na huanguka katika mikono ya walipizaji. Dialogue: 0,0:04:07.91,0:04:08.91,Default,,0000,0000,0000,,Kama mlipizaji, Dialogue: 0,0:04:08.91,0:04:11.36,Default,,0000,0000,0000,,unafuata sheria ya "jicho kwa jicho" - ndiyo haki. Dialogue: 0,0:04:11.36,0:04:12.78,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo unapokutana na mpokeaji, Dialogue: 0,0:04:12.80,0:04:14.67,Default,,0000,0000,0000,,unalifanya jukumu lako Dialogue: 0,0:04:14.69,0:04:16.74,Default,,0000,0000,0000,,kumuadhibu mpokeaji, kumtia adabu. Dialogue: 0,0:04:16.76,0:04:17.77,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:04:17.80,0:04:19.42,Default,,0000,0000,0000,,Na hivyo haki hutolewa. Dialogue: 0,0:04:20.11,0:04:22.08,Default,,0000,0000,0000,,Naam, watu wengi ni walipizaji. Dialogue: 0,0:04:22.10,0:04:23.69,Default,,0000,0000,0000,,Ina maana, kama wewe ni mpokeaji, Dialogue: 0,0:04:23.71,0:04:25.69,Default,,0000,0000,0000,,hatimaye, balaa hukupata; Dialogue: 0,0:04:25.71,0:04:27.35,Default,,0000,0000,0000,,Kwendako mema, hurudi mema. Dialogue: 0,0:04:27.38,0:04:28.98,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hitimisho lenye mantiki ni: Dialogue: 0,0:04:29.01,0:04:31.87,Default,,0000,0000,0000,,walipizaji ndio wafanyakazi bora. Dialogue: 0,0:04:31.90,0:04:33.41,Default,,0000,0000,0000,,Lakini, hapana, siyo. Dialogue: 0,0:04:33.44,0:04:36.29,Default,,0000,0000,0000,,Katika kila fani, kila shirika, nimechunguza, Dialogue: 0,0:04:36.31,0:04:38.47,Default,,0000,0000,0000,,watoaji, tena, ndio wenye matokeo bora. Dialogue: 0,0:04:39.65,0:04:42.81,Default,,0000,0000,0000,,Tuangalie baadhi ya takwimu nimekusanya, za mapato Dialogue: 0,0:04:42.83,0:04:43.99,Default,,0000,0000,0000,,ya watu wa mauzo. Dialogue: 0,0:04:44.01,0:04:46.66,Default,,0000,0000,0000,,Unachoona ni kwamba watoaji wako katika vikomo vyote. Dialogue: 0,0:04:46.69,0:04:49.91,Default,,0000,0000,0000,,Wengi wao huleta mapato ya chini, Dialogue: 0,0:04:49.93,0:04:51.40,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia mapato ya juu. Dialogue: 0,0:04:51.42,0:04:54.02,Default,,0000,0000,0000,,Mwelekeo huo ni kweli pia kwenye tija za wahandisi Dialogue: 0,0:04:54.05,0:04:55.44,Default,,0000,0000,0000,,na maksi za wanafunzi wa udaktari. Dialogue: 0,0:04:55.46,0:04:58.07,Default,,0000,0000,0000,,Watoaji wana uwakilishi mkubwa\Nchini na juu Dialogue: 0,0:04:58.10,0:05:00.18,Default,,0000,0000,0000,,katika kila kipimo cha mafanikio. Dialogue: 0,0:05:00.20,0:05:01.50,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo swali ni: Dialogue: 0,0:05:01.53,0:05:04.94,Default,,0000,0000,0000,,Jinsi gani tunaweza kujenga dunia\Nambapo watoaji hufanikiwa? Dialogue: 0,0:05:04.96,0:05:07.78,Default,,0000,0000,0000,,Nitazungumzi jinsi ya kufanya hivyo, sio tu katika biashara, Dialogue: 0,0:05:07.81,0:05:09.64,Default,,0000,0000,0000,,ila katika taasisi mbalimbali Dialogue: 0,0:05:09.66,0:05:10.96,Default,,0000,0000,0000,,na hata serikalini. Dialogue: 0,0:05:10.98,0:05:12.18,Default,,0000,0000,0000,,Mko tiyari? Dialogue: 0,0:05:12.21,0:05:13.40,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi) Dialogue: 0,0:05:13.42,0:05:16.41,Default,,0000,0000,0000,,Ningewaambia hata hivyo, ila asante kwa shauku. Dialogue: 0,0:05:16.44,0:05:17.46,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:05:17.48,0:05:19.33,Default,,0000,0000,0000,,Kitu cha kwanza muhimu Dialogue: 0,0:05:19.35,0:05:22.10,Default,,0000,0000,0000,,ni kutambua kwamba watoaji ni watu muhimu, Dialogue: 0,0:05:22.12,0:05:24.56,Default,,0000,0000,0000,,ila tusipoangalia, tutawakatisha tamaa. Dialogue: 0,0:05:24.58,0:05:27.07,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, tunabidi kuwalinda watoaji miongoni mwetu Dialogue: 0,0:05:27.09,0:05:31.23,Default,,0000,0000,0000,,Nimejifunza mengi kutoka kwa mwanamitandao bora wa Fortune. Dialogue: 0,0:05:32.99,0:05:34.34,Default,,0000,0000,0000,,Ni huyo mtu, sio paka Dialogue: 0,0:05:34.37,0:05:35.53,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:05:35.55,0:05:37.31,Default,,0000,0000,0000,,Anaitwa Adamu Rifkin. Dialogue: 0,0:05:37.33,0:05:39.54,Default,,0000,0000,0000,,Yeye ni mwekezaji mahiri. Dialogue: 0,0:05:39.57,0:05:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Hutumia muda mwingi akisaidia wengine. Dialogue: 0,0:05:42.38,0:05:44.72,Default,,0000,0000,0000,,Siri yake ya mafanikio ni kutoa dakika tano za fadhila. Dialogue: 0,0:05:45.26,0:05:47.92,Default,,0000,0000,0000,,Adamu alisema, "Huhitaji kuwa Mama Teresa or Gandhi Dialogue: 0,0:05:47.94,0:05:49.13,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mtoaji. Dialogue: 0,0:05:49.15,0:05:51.65,Default,,0000,0000,0000,,Unabidi utafute njia ndogondogo tu Dialogue: 0,0:05:51.68,0:05:53.04,Default,,0000,0000,0000,,za kushika maisha ya watu." Dialogue: 0,0:05:53.08,0:05:55.43,Default,,0000,0000,0000,,Kama kuwatambulisha watu wawili Dialogue: 0,0:05:55.43,0:05:57.86,Default,,0000,0000,0000,,wanaoweza kufaidika kwa kujuana. Dialogue: 0,0:05:57.92,0:06:00.77,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza kuwa kutoa maarifa yako\Nau kutoa maoni. Dialogue: 0,0:06:01.00,0:06:03.31,Default,,0000,0000,0000,,Au hata kusema kitu kama, Dialogue: 0,0:06:04.08,0:06:05.31,Default,,0000,0000,0000,,"Unajua, Dialogue: 0,0:06:05.33,0:06:06.83,Default,,0000,0000,0000,,nitajaribu kumtambua mtu Dialogue: 0,0:06:06.86,0:06:09.88,Default,,0000,0000,0000,,ambaye kazi yake hakujatambuliwa. " Dialogue: 0,0:06:10.42,0:06:12.72,Default,,0000,0000,0000,,Hizo dakika tano za fadhila ni muhimu Dialogue: 0,0:06:12.76,0:06:13.76,Default,,0000,0000,0000,,kusaidia watoaji kujiwekea mipaka Dialogue: 0,0:06:13.76,0:06:15.96,Default,,0000,0000,0000,,na kujihami. Dialogue: 0,0:06:15.96,0:06:17.41,Default,,0000,0000,0000,,Jambo la pili la msingi Dialogue: 0,0:06:17.43,0:06:19.90,Default,,0000,0000,0000,,katika kujenga utamaduni ambapo watoaji wanafanikiwa, Dialogue: 0,0:06:19.92,0:06:22.85,Default,,0000,0000,0000,,ni kuhamasisha utamaduni wa kutafuta msaada; Dialogue: 0,0:06:22.87,0:06:24.05,Default,,0000,0000,0000,,ambapo watu huuliza na huomba kusaidiwa. Dialogue: 0,0:06:24.54,0:06:27.20,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaweza kuwaogopesha baadhi yenu. Dialogue: 0,0:06:27.23,0:06:30.27,Default,,0000,0000,0000,,[katika mahusiano yako, ni lazima uwe mtoaji daima?] Dialogue: 0,0:06:30.29,0:06:31.32,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:06:31.34,0:06:33.07,Default,,0000,0000,0000,,Utakachogundua katika watoaji waliofanikiwa Dialogue: 0,0:06:33.10,0:06:36.22,Default,,0000,0000,0000,,ni wanatambua kwamba ni sawa\Nkuwa mpokeaji pia. Dialogue: 0,0:06:36.75,0:06:39.62,Default,,0000,0000,0000,,Kama unamiliki shirika,\Ntunaweza kukurahisishia. Dialogue: 0,0:06:39.64,0:06:41.94,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kurahishia watu kuomba msaada. Dialogue: 0,0:06:41.96,0:06:44.03,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na wenzangu tulifanya utafiti katika mahospitali. Dialogue: 0,0:06:44.06,0:06:47.26,Default,,0000,0000,0000,,Tuligundua wauguzi katika baadhi za wadi Dialogue: 0,0:06:47.28,0:06:49.54,Default,,0000,0000,0000,,waliomba kusaidiwa, kuliko wadi nyingine. Dialogue: 0,0:06:49.56,0:06:52.90,Default,,0000,0000,0000,,Kilichozitofautisha wadi ambazo Dialogue: 0,0:06:52.93,0:06:54.08,Default,,0000,0000,0000,,kuomba msaada ilikuwa kawaida, ni kulikuwa Dialogue: 0,0:06:54.10,0:06:56.48,Default,,0000,0000,0000,,na muuguzi mmoja ambaye kazi yake Dialogue: 0,0:06:56.50,0:06:58.53,Default,,0000,0000,0000,,ni kuwasaidia wengine katika kitengo. Dialogue: 0,0:06:58.56,0:06:59.94,Default,,0000,0000,0000,,Msaada ulipohitajika, wauguzi walisema, Dialogue: 0,0:06:59.96,0:07:03.62,Default,,0000,0000,0000,,"Sio aibu kuomba msaada - Dialogue: 0,0:07:03.64,0:07:05.02,Default,,0000,0000,0000,,bali tabia inayohamasishwa." Dialogue: 0,0:07:06.26,0:07:09.09,Default,,0000,0000,0000,,Kutafuta msaada ni muhimu\Nkatika kuwalinda, Dialogue: 0,0:07:09.11,0:07:10.51,Default,,0000,0000,0000,,pia kwa ajili ya ustawi wa watoaji. Dialogue: 0,0:07:10.54,0:07:13.47,Default,,0000,0000,0000,,Na kuhamisisha tabia za watoaji, Dialogue: 0,0:07:13.49,0:07:15.37,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu takwimu zinaonyesha kwamba Dialogue: 0,0:07:15.37,0:07:18.13,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 75 hadi 90 ya utoaji Dialogue: 0,0:07:18.13,0:07:19.50,Default,,0000,0000,0000,,huanzia na ombi. Dialogue: 0,0:07:19.71,0:07:21.25,Default,,0000,0000,0000,,Lakini watu wengi hawaulizi. Dialogue: 0,0:07:21.43,0:07:23.46,Default,,0000,0000,0000,,Wanahofia kuonekana hawajui, Dialogue: 0,0:07:23.53,0:07:25.80,Default,,0000,0000,0000,,hawajui wageukia wapi, wanaogopa kuwasumbua wenzao. Dialogue: 0,0:07:26.08,0:07:28.67,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa kamwe hakuna anayeomba msaada, Dialogue: 0,0:07:28.72,0:07:30.76,Default,,0000,0000,0000,,utakuwa na watoaji wengi waliokatishwa tamaa, Dialogue: 0,0:07:30.76,0:07:32.71,Default,,0000,0000,0000,,ambao wangependa kuchangia kwa kusaidia, Dialogue: 0,0:07:32.73,0:07:34.90,Default,,0000,0000,0000,,laiti wangejua nani anahitaji msaada na kwa namna gani. Dialogue: 0,0:07:35.41,0:07:37.21,Default,,0000,0000,0000,,Lakini jambo muhimu zaidi kama Dialogue: 0,0:07:37.24,0:07:39.71,Default,,0000,0000,0000,,unataka kujenga utamaduni\Nambapo watoaji wanafanikiwa, Dialogue: 0,0:07:39.74,0:07:42.54,Default,,0000,0000,0000,,ni kuwa mwangalifu kuhusu nani\Nunaweka kwenye timu yako. Dialogue: 0,0:07:42.56,0:07:45.58,Default,,0000,0000,0000,,Kama unataka utamaduni\Nwa ukarimu na uzalishaji, Dialogue: 0,0:07:45.60,0:07:47.57,Default,,0000,0000,0000,,unapaswa kuajiri watoaji. Dialogue: 0,0:07:47.60,0:07:51.27,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nilishangaa kugundua kwamba hiyo haikuwa sahihi -- Dialogue: 0,0:07:51.72,0:07:54.19,Default,,0000,0000,0000,,mapungufu ya mpokeaji Dialogue: 0,0:07:54.21,0:07:57.08,Default,,0000,0000,0000,,ni mara mbili au mara tatu\Nzaidi kuliko manufaa ya mtoaji. Dialogue: 0,0:07:57.53,0:07:58.68,Default,,0000,0000,0000,,Ifiikirie hivi: Dialogue: 0,0:07:58.70,0:08:00.37,Default,,0000,0000,0000,,tunda moja baya linaweza kuharibu kikapu chote, Dialogue: 0,0:08:00.39,0:08:03.22,Default,,0000,0000,0000,,lakini yai moja nzuri haliwezi kuboresha dazeni nzima. Dialogue: 0,0:08:03.94,0:08:05.49,Default,,0000,0000,0000,,Sijui hii ina maana gani-- Dialogue: 0,0:08:05.52,0:08:06.64,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:08:06.66,0:08:08.03,Default,,0000,0000,0000,,Lakini natumaini mnaelewa. Dialogue: 0,0:08:08.06,0:08:11.38,Default,,0000,0000,0000,,Yani-- weka hata mpokeaji mmoja kwenye timu, Dialogue: 0,0:08:11.40,0:08:14.26,Default,,0000,0000,0000,,na utaona kwamba watoaji\Nwataacha kusaidia. Dialogue: 0,0:08:14.65,0:08:17.58,Default,,0000,0000,0000,,Watasema, "Nimezungukwa\Nna rundo la nyoka na papa. Dialogue: 0,0:08:17.60,0:08:18.97,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini mimi nichangie? " Dialogue: 0,0:08:18.99,0:08:20.97,Default,,0000,0000,0000,,Wakati, ukiweka mtoaji mmoja kwenye timu, Dialogue: 0,0:08:20.99,0:08:23.11,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kupata mlipuko wa ukarimu. Dialogue: 0,0:08:23.14,0:08:24.56,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi zaidi, watu hufikiri, Dialogue: 0,0:08:24.58,0:08:26.72,Default,,0000,0000,0000,,"Afadhali! Huyo anaweza kufanya kazi yetu yote." Dialogue: 0,0:08:27.08,0:08:29.82,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo, ufanisi katika kuajiri na kujenga timu Dialogue: 0,0:08:29.85,0:08:31.98,Default,,0000,0000,0000,,haihusishi kuleta pamoja watoaji tu; Dialogue: 0,0:08:32.01,0:08:34.22,Default,,0000,0000,0000,,ila pia kuwatoa wapokeaji nje ya shirika. Dialogue: 0,0:08:35.04,0:08:36.19,Default,,0000,0000,0000,,Ukifanikiwa, Dialogue: 0,0:08:36.21,0:08:38.15,Default,,0000,0000,0000,,utabakiza watoaji na walipizaji. Dialogue: 0,0:08:38.18,0:08:39.54,Default,,0000,0000,0000,,Watoaji watakuwa wakarimu Dialogue: 0,0:08:39.57,0:08:42.20,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu hawana wasiwasi\Nkuhusu kupokea fadhila. Dialogue: 0,0:08:42.22,0:08:45.34,Default,,0000,0000,0000,,Na uzuri wa walipizaji ni kwamba wanafuata musuada uliopo. Dialogue: 0,0:08:45.36,0:08:48.13,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ni jinsi gani utamtambua mpokeaji, mapema? Dialogue: 0,0:08:48.74,0:08:51.63,Default,,0000,0000,0000,,Sio rahisi kumtambua mpokeaji Dialogue: 0,0:08:51.66,0:08:53.48,Default,,0000,0000,0000,,hasa kufuata tu hisia zetu za mwanzo. Dialogue: 0,0:08:53.51,0:08:55.81,Default,,0000,0000,0000,,Kuna tabia ambayo hutupotosha . Dialogue: 0,0:08:55.84,0:08:57.14,Default,,0000,0000,0000,,Inaitwa wito upendezi, Dialogue: 0,0:08:57.17,0:08:58.17,Default,,0000,0000,0000,,kati ya vipimo vikuu vya hulka Dialogue: 0,0:08:58.17,0:08:59.81,Default,,0000,0000,0000,,miongoni mwa tamaduni mbalimbali. Dialogue: 0,0:08:59.81,0:09:03.10,Default,,0000,0000,0000,,Watu wapendezi ni wakarimu, wema, wanyenyekevu. Dialogue: 0,0:09:03.32,0:09:05.11,Default,,0000,0000,0000,,Utawakuta wengi wao Kanada -- Dialogue: 0,0:09:05.14,0:09:06.74,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:09:06.76,0:09:10.26,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo kulikuwa na shindano la kitaifa Dialogue: 0,0:09:10.28,0:09:13.31,Default,,0000,0000,0000,,la kutafuta kauli mbiu mpya ya Kanada\Nkwa kujaza tashbihi, Dialogue: 0,0:09:13.34,0:09:14.91,Default,,0000,0000,0000,,"Mkanada kama ..." Dialogue: 0,0:09:14.94,0:09:17.02,Default,,0000,0000,0000,,Nilidhani kauli mbiu itakayoshinda ingekuwa, Dialogue: 0,0:09:17.04,0:09:19.52,Default,,0000,0000,0000,,"Mkanada kama maple syrup,"\Nau, "... Hoki ya barafuni ." Dialogue: 0,0:09:19.54,0:09:22.52,Default,,0000,0000,0000,,Lakini, hapana. Kura zilichagua kauli mbiu mpya kuwa - Dialogue: 0,0:09:22.55,0:09:23.71,Default,,0000,0000,0000,,na siwatanii -- Dialogue: 0,0:09:23.73,0:09:26.16,Default,,0000,0000,0000,,"Mkanada kama iwezekanavyo,\Nkatika mazingira haya. " Dialogue: 0,0:09:26.19,0:09:29.40,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:09:30.02,0:09:32.39,Default,,0000,0000,0000,,Sasa kwa wale ambao ni wapendezi, Dialogue: 0,0:09:32.42,0:09:33.81,Default,,0000,0000,0000,,au labda ni wakanada kidogo Dialogue: 0,0:09:33.83,0:09:35.20,Default,,0000,0000,0000,,mtaielewa upesi. Dialogue: 0,0:09:35.23,0:09:37.05,Default,,0000,0000,0000,,Ninawezaje kusema kuwa mimi ni aina moja pekee Dialogue: 0,0:09:37.07,0:09:39.90,Default,,0000,0000,0000,,wakati daima ninajibadilisha kuridhisha wengine? Dialogue: 0,0:09:40.40,0:09:42.22,Default,,0000,0000,0000,,Watu nongwa hujaribu mara chache zaidi. Dialogue: 0,0:09:42.25,0:09:45.18,Default,,0000,0000,0000,,Hawa, wana mashaka, ni wakasoaji, ni changamoto Dialogue: 0,0:09:45.21,0:09:48.26,Default,,0000,0000,0000,,na ndio wenye kwenda kusoma sheria. Dialogue: 0,0:09:48.29,0:09:49.43,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:09:49.45,0:09:52.11,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo sio utani; ni kweli kama kanuni. Dialogue: 0,0:09:52.13,0:09:53.19,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:09:53.22,0:09:55.76,Default,,0000,0000,0000,,daima nildhani watu wapendezi ni watoaji Dialogue: 0,0:09:55.79,0:09:57.74,Default,,0000,0000,0000,,na watu nongwa ni wapokeaji. Dialogue: 0,0:09:57.76,0:09:59.19,Default,,0000,0000,0000,,Nilipofanya utafiti, Dialogue: 0,0:09:59.21,0:10:02.33,Default,,0000,0000,0000,,nilistaajabu kukuta hakuna uhusiano katika sifa hizo, Dialogue: 0,0:10:02.35,0:10:05.01,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu tabia ya upendezi au nongwa Dialogue: 0,0:10:05.03,0:10:06.20,Default,,0000,0000,0000,,ni gamba la nje tu: Dialogue: 0,0:10:06.22,0:10:08.16,Default,,0000,0000,0000,,Je, watu wanajisikiaje baada ya kuzungumza na wewe? Dialogue: 0,0:10:08.18,0:10:10.88,Default,,0000,0000,0000,,Wakati kutoa na kupokea inategemea nia yako: Dialogue: 0,0:10:10.90,0:10:13.79,Default,,0000,0000,0000,,Je, maadili yako ni yapi?\NJe, nia yako kwa wengine ni ipi? Dialogue: 0,0:10:13.82,0:10:16.01,Default,,0000,0000,0000,,Kama unataka kusoma watu kwa usahihi, Dialogue: 0,0:10:16.03,0:10:19.55,Default,,0000,0000,0000,,utataka kuwepo katika chumba wakati kila mshauri anasubiri, Dialogue: 0,0:10:19.57,0:10:20.74,Default,,0000,0000,0000,,kupata picha halisi. Dialogue: 0,0:10:20.76,0:10:24.37,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:10:25.32,0:10:27.66,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi kuwatambua watoaji wapendezi: Dialogue: 0,0:10:27.68,0:10:30.31,Default,,0000,0000,0000,,wao husema ndiyo kwa kila kitu. Dialogue: 0,0:10:31.74,0:10:34.61,Default,,0000,0000,0000,,Wapokeaji nongwa wanatambulika kirahisi pia, Dialogue: 0,0:10:34.64,0:10:38.54,Default,,0000,0000,0000,,ingawa unaweza kuwaita\Nkwa jina tofauti kidogo. Dialogue: 0,0:10:38.57,0:10:40.43,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:10:41.83,0:10:43.90,Default,,0000,0000,0000,,Tunasahau makundi mengine mbili. Dialogue: 0,0:10:43.92,0:10:47.26,Default,,0000,0000,0000,,Kuna watoaji nongwa\Nkatika mashirika. Dialogue: 0,0:10:47.28,0:10:49.92,Default,,0000,0000,0000,,Hawa wanaonekana wagumu kwa nje Dialogue: 0,0:10:49.95,0:10:52.49,Default,,0000,0000,0000,,lakini hujali sana maslahi ya wengine. Dialogue: 0,0:10:53.09,0:10:54.45,Default,,0000,0000,0000,,Au kama mhandisi anavyoiweka, Dialogue: 0,0:10:54.48,0:10:56.08,Default,,0000,0000,0000,,"Ah, watoaji nongwa ni - Dialogue: 0,0:10:56.08,0:10:57.50,Default,,0000,0000,0000,,kama mtu mwenye kiolesura kibaya cha mtumiaji Dialogue: 0,0:10:57.59,0:11:00.01,Default,,0000,0000,0000,,lakini mfumo mzuri." Dialogue: 0,0:11:00.01,0:11:01.29,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:11:01.32,0:11:02.69,Default,,0000,0000,0000,,Kama inawasaidia. Dialogue: 0,0:11:02.71,0:11:03.95,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:11:04.42,0:11:07.93,Default,,0000,0000,0000,,Watoaji nongwa hawathaminiwi katika mashirika yetu, Dialogue: 0,0:11:07.95,0:11:10.54,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu huotoa changamoto Dialogue: 0,0:11:10.57,0:11:13.17,Default,,0000,0000,0000,,ambazo watu hawataki kusikia\Nhata kama tunahizitaji. Dialogue: 0,0:11:13.20,0:11:15.68,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji kuwathamini zaidi\Nwatu hawa Dialogue: 0,0:11:15.71,0:11:17.50,Default,,0000,0000,0000,,badala ya kuwapuuza, Dialogue: 0,0:11:17.52,0:11:19.26,Default,,0000,0000,0000,,na kusema, "Eh, wanakera, Dialogue: 0,0:11:19.29,0:11:20.79,Default,,0000,0000,0000,,lazima awe mpokeaji nongwa." Dialogue: 0,0:11:21.85,0:11:24.61,Default,,0000,0000,0000,,Kundi jingine hatari tunasahau ni- Dialogue: 0,0:11:24.63,0:11:27.31,Default,,0000,0000,0000,,mpokeaji mpendezi, pia anajulikana kama muigizaji. Dialogue: 0,0:11:28.44,0:11:30.51,Default,,0000,0000,0000,,Huyu ni mtu mwema akiwa mbele yako, Dialogue: 0,0:11:30.53,0:11:32.51,Default,,0000,0000,0000,,na ukigeuka hukuchoma. Dialogue: 0,0:11:32.54,0:11:33.87,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:11:34.54,0:11:37.77,Default,,0000,0000,0000,,Napenda kuwakamata\Nhawa watu katika usahili Dialogue: 0,0:11:37.80,0:11:39.07,Default,,0000,0000,0000,,kwa kuuliza swali, Dialogue: 0,0:11:39.09,0:11:41.05,Default,,0000,0000,0000,,"Je, unaweza kunipa majina ya watu wanne Dialogue: 0,0:11:41.08,0:11:43.45,Default,,0000,0000,0000,,ambao umewasaidia kimsingi kazini?" Dialogue: 0,0:11:44.42,0:11:46.32,Default,,0000,0000,0000,,Wapokeaji watakupa hayo majina manne, Dialogue: 0,0:11:46.34,0:11:49.04,Default,,0000,0000,0000,,na wote watakuwa na mafinikio zaidi kuliko wao, Dialogue: 0,0:11:49.06,0:11:50.06,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu wapokeaji ni wastadi katika kunyenyekea Dialogue: 0,0:11:50.06,0:11:52.96,Default,,0000,0000,0000,,wakuu wao na kudharau walio chini. Dialogue: 0,0:11:52.96,0:11:56.36,Default,,0000,0000,0000,,Watoaji wanajua zaidi majina ya watu chini ya uongozi wao, Dialogue: 0,0:11:56.38,0:11:57.93,Default,,0000,0000,0000,,ambao hawana mamlaka mingi, Dialogue: 0,0:11:57.95,0:11:59.32,Default,,0000,0000,0000,,ambao hawana mchango muhimu kwao. Dialogue: 0,0:11:59.72,0:12:02.90,Default,,0000,0000,0000,,Hakika, tunafahamu kuwa tunajifunza mengi kuhusu tabia ya mtu Dialogue: 0,0:12:02.92,0:12:05.48,Default,,0000,0000,0000,,kwa kumuangalia anavyohusiana na mhudumu Dialogue: 0,0:12:05.50,0:12:06.66,Default,,0000,0000,0000,,au dereva wa Uber. Dialogue: 0,0:12:07.32,0:12:08.58,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tukifanya yote vizuri, Dialogue: 0,0:12:08.61,0:12:10.69,Default,,0000,0000,0000,,kama tutatoa wapokeaji katika mashirika, Dialogue: 0,0:12:10.72,0:12:12.63,Default,,0000,0000,0000,,kama tutaweza kuwahakikishia usalama wanaoomba msaada, Dialogue: 0,0:12:12.65,0:12:14.67,Default,,0000,0000,0000,,kama tutaweza kuwalinda watoaji wasichoke Dialogue: 0,0:12:14.69,0:12:17.92,Default,,0000,0000,0000,,na kuwawezesha kutimiza malengo yao Dialogue: 0,0:12:17.94,0:12:20.10,Default,,0000,0000,0000,,na pia kusaidia watu wengine, Dialogue: 0,0:12:20.12,0:12:21.12,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kubadilisha mtizamo wa watu Dialogue: 0,0:12:21.12,0:12:23.05,Default,,0000,0000,0000,,wanavyotizama mafanikio. Dialogue: 0,0:12:23.05,0:12:26.40,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kuona ni mashindano, Dialogue: 0,0:12:26.43,0:12:29.97,Default,,0000,0000,0000,,watu watatambua mafanikio kama mchango kijumuiya zaidi. Dialogue: 0,0:12:30.76,0:12:33.12,Default,,0000,0000,0000,,Naamini kuwa njia kuu ya kufanikiwa Dialogue: 0,0:12:33.15,0:12:35.02,Default,,0000,0000,0000,,ni kuwasaidia watu wengine wafanikiwe. Dialogue: 0,0:12:35.04,0:12:36.71,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tunaweza kusambaza imani hio, Dialogue: 0,0:12:36.74,0:12:39.39,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kweli kuigeuza paranoia. Dialogue: 0,0:12:39.41,0:12:40.57,Default,,0000,0000,0000,,Kuna jina kwa ajili hiyo Dialogue: 0,0:12:40.60,0:12:42.03,Default,,0000,0000,0000,,inaitwa "pronoia." Dialogue: 0,0:12:43.02,0:12:44.72,Default,,0000,0000,0000,,Pronoia ni imani kwamba Dialogue: 0,0:12:44.75,0:12:47.35,Default,,0000,0000,0000,,wengine wanapanga mema kwa ajili yako. Dialogue: 0,0:12:47.37,0:12:48.89,Default,,0000,0000,0000,,(Vicheko) Dialogue: 0,0:12:50.91,0:12:53.46,Default,,0000,0000,0000,,Kwamba wanakuzunguka Dialogue: 0,0:12:53.48,0:12:56.40,Default,,0000,0000,0000,,na kuimba sifa zako. Dialogue: 0,0:12:57.65,0:13:01.46,Default,,0000,0000,0000,,Uzuri wa utamaduni wa watoaji\Nni kwamba hio sio njozi, Dialogue: 0,0:13:01.48,0:13:02.71,Default,,0000,0000,0000,,huo ndio uhalisia. Dialogue: 0,0:13:03.70,0:13:06.27,Default,,0000,0000,0000,,Ningependa kuishi kwenye dunia ambayo watoaji wanafanikiwa. Dialogue: 0,0:13:06.30,0:13:08.61,Default,,0000,0000,0000,,Natumaini nyote mtanisaidia kujenga ulimwengu huo. Dialogue: 0,0:13:08.65,0:13:09.38,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:13:09.89,0:13:10.47,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)