[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.97,0:00:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Unafanya nini katika jukwaa hili Dialogue: 0,0:00:05.39,0:00:08.51,Default,,0000,0000,0000,,mbele ya watu wote hawa? Dialogue: 0,0:00:08.53,0:00:09.91,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:09.93,0:00:11.08,Default,,0000,0000,0000,,Kimbia! Dialogue: 0,0:00:11.10,0:00:12.11,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:00:12.13,0:00:13.31,Default,,0000,0000,0000,,Kimbia sasa. Dialogue: 0,0:00:14.73,0:00:17.70,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sauti ya hofu yangu inaongea. Dialogue: 0,0:00:18.54,0:00:21.48,Default,,0000,0000,0000,,Hata kama hakuna tatizo lolote, Dialogue: 0,0:00:21.50,0:00:25.46,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wakati huwa napata hisia za mahangaiko, Dialogue: 0,0:00:25.48,0:00:28.44,Default,,0000,0000,0000,,kama hatari inaninyemelea kwenye kona. Dialogue: 0,0:00:29.06,0:00:31.17,Default,,0000,0000,0000,,Unaona, miaka michache iliyopita, Dialogue: 0,0:00:31.20,0:00:33.69,Default,,0000,0000,0000,,Niligundulika na ugonjwa wa msongo wa hofu Dialogue: 0,0:00:33.72,0:00:34.87,Default,,0000,0000,0000,,na mawazo -- Dialogue: 0,0:00:35.29,0:00:37.71,Default,,0000,0000,0000,,hali mbili ambazo huenda pamoja. Dialogue: 0,0:00:38.07,0:00:42.34,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kuna wakati nisingemuambia mtu yoyote, Dialogue: 0,0:00:42.36,0:00:44.82,Default,,0000,0000,0000,,hususani mbele ya umati mkubwa. Dialogue: 0,0:00:44.85,0:00:46.37,Default,,0000,0000,0000,,Kama mwanamke mwenye ngozi nyeusi, Dialogue: 0,0:00:46.40,0:00:50.04,Default,,0000,0000,0000,,Nimetakiwa kujijengea ustahimilivu wa hali ya juu ili kufanikiwa. Dialogue: 0,0:00:50.06,0:00:52.04,Default,,0000,0000,0000,,Na kama watu wengi katika jamii yangu, Dialogue: 0,0:00:52.06,0:00:55.87,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na imani potofu kwamba msongo wa mawazo ni kiashiria cha udhaifu, Dialogue: 0,0:00:55.90,0:00:57.43,Default,,0000,0000,0000,,udhaifu wa tabia. Dialogue: 0,0:00:57.46,0:00:59.03,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sikuwa dhaifu; Dialogue: 0,0:00:59.05,0:01:00.52,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nimefanikiwa kwa hali ya juu. Dialogue: 0,0:01:00.92,0:01:03.13,Default,,0000,0000,0000,,Nilipata Shahada ya Uzamili kwenye masomo ya vyombo vya habari Dialogue: 0,0:01:03.15,0:01:07.26,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa na kazi za hadhi ya juu katika tasnia ya filamu na televisheni. Dialogue: 0,0:01:07.73,0:01:10.78,Default,,0000,0000,0000,,Nimeshinda hata tuzo mbili za Emmy kwa uchapakazi kazi wangu. Dialogue: 0,0:01:11.44,0:01:14.45,Default,,0000,0000,0000,,Hakika, Nilitumika sana, Dialogue: 0,0:01:14.48,0:01:17.15,Default,,0000,0000,0000,,Nilikosa hamu katika vitu nilivyozoea kuvifurahia, Dialogue: 0,0:01:17.17,0:01:18.47,Default,,0000,0000,0000,,nilikula mara chache, Dialogue: 0,0:01:18.49,0:01:20.40,Default,,0000,0000,0000,,nilisumbuka kupata usingizi Dialogue: 0,0:01:20.42,0:01:23.04,Default,,0000,0000,0000,,na nilijihisi kutengwa na kushuka thamani. Dialogue: 0,0:01:23.56,0:01:24.91,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kuwa na masononeko? Dialogue: 0,0:01:24.94,0:01:26.46,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, sio mimi. Dialogue: 0,0:01:27.92,0:01:30.13,Default,,0000,0000,0000,,Ilinichukua wiki kadhaa kabla ya kukubaliana na hali yangu, Dialogue: 0,0:01:30.15,0:01:31.58,Default,,0000,0000,0000,,lakini daktari alikuwa sahihi: Dialogue: 0,0:01:31.60,0:01:32.88,Default,,0000,0000,0000,,Nilikumbwa na msongo wa mawazo. Dialogue: 0,0:01:33.41,0:01:36.96,Default,,0000,0000,0000,,Bado, sikumwambia mtu yoyote kuhusu majibu ya uchunguzi. Dialogue: 0,0:01:37.52,0:01:39.14,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi aibu. Dialogue: 0,0:01:39.16,0:01:41.68,Default,,0000,0000,0000,,Sikudhani nilipaswa kusongwa na mawazo. Dialogue: 0,0:01:42.42,0:01:44.05,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na maisha yenye kipaumbele Dialogue: 0,0:01:44.07,0:01:47.17,Default,,0000,0000,0000,,yenye familia iliyo na upendo na kazi iliyo na mafanikio. Dialogue: 0,0:01:47.71,0:01:50.30,Default,,0000,0000,0000,,Na nilipowaza kuhusu maafa yasiyofikirika Dialogue: 0,0:01:50.32,0:01:52.81,Default,,0000,0000,0000,,ambayo mababu zangu walipitia katika nchi hii Dialogue: 0,0:01:52.84,0:01:54.80,Default,,0000,0000,0000,,ili niwe na maisha bora, Dialogue: 0,0:01:54.83,0:01:56.51,Default,,0000,0000,0000,,aibu yangu iliongezeka zaidi. Dialogue: 0,0:01:56.98,0:01:59.07,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nimesimama kwenye mabega yao. Dialogue: 0,0:01:59.10,0:02:00.70,Default,,0000,0000,0000,,Ningewezaje kuwaangusha? Dialogue: 0,0:02:01.38,0:02:03.44,Default,,0000,0000,0000,,Nilinyanyua kichwa changu na kuangalia juu, Dialogue: 0,0:02:03.46,0:02:05.82,Default,,0000,0000,0000,,na kuweka tabasamu katika uso wangu Dialogue: 0,0:02:05.84,0:02:07.55,Default,,0000,0000,0000,,na kutoiambia nafsi yoyote. Dialogue: 0,0:02:10.47,0:02:13.74,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo tarehe 4, Julai mwaka 2013, Dialogue: 0,0:02:14.48,0:02:16.67,Default,,0000,0000,0000,,dunia yangu ilipasuka ndani yangu. Dialogue: 0,0:02:17.40,0:02:20.30,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ilikuwa siku nilipokea simu kutoka kwa mama yangu Dialogue: 0,0:02:20.32,0:02:24.51,Default,,0000,0000,0000,,akiniambia kwamba mpwa wangu mwenye miaka 22, Paul, amejiua, Dialogue: 0,0:02:24.54,0:02:27.18,Default,,0000,0000,0000,,baada ya miaka kadhaa ya kupambana na msongo wa mawazo na hofu. Dialogue: 0,0:02:28.67,0:02:31.82,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna maneno ambayo yanaweza kuelezea namna gani nilijisikia vibaya. Dialogue: 0,0:02:32.67,0:02:33.96,Default,,0000,0000,0000,,Mimi na Paul tulikuwa karibu, Dialogue: 0,0:02:33.98,0:02:36.04,Default,,0000,0000,0000,,lakini sikutambua alikuwa akipitia maumivu makubwa. Dialogue: 0,0:02:36.70,0:02:40.25,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna yeyote kati yetu ambaye aliwahi kumwambia mwenzie kuhusu mahangaiko aliyokuwa akipitia. Dialogue: 0,0:02:40.28,0:02:42.44,Default,,0000,0000,0000,,Aibu na unyanyapaa ulitufanya wote kuwa kimya. Dialogue: 0,0:02:44.16,0:02:48.16,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, namna yangu ya kupambana na mikosi ni kuitazama bila uoga, Dialogue: 0,0:02:48.19,0:02:51.35,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo nilitumia miaka miwili baadaye kufanyia utafiti msongo wa mawazo na hofu, Dialogue: 0,0:02:51.37,0:02:54.14,Default,,0000,0000,0000,,na niligundua jambo la kushangaza. Dialogue: 0,0:02:54.76,0:02:56.74,Default,,0000,0000,0000,,Taasisi ya Afya Duniani imetoa ripoti ikisema Dialogue: 0,0:02:56.76,0:03:01.99,Default,,0000,0000,0000,,kwamba msongo wa mawazo ni sababu kuu ya magonjwa na ulemavu Dialogue: 0,0:03:02.01,0:03:03.35,Default,,0000,0000,0000,,duniani. Dialogue: 0,0:03:04.04,0:03:07.03,Default,,0000,0000,0000,,Wakati sababu hasa ya msongo wa mawazo haijatambulika, Dialogue: 0,0:03:07.05,0:03:10.15,Default,,0000,0000,0000,,utafiti unaelezea kwamba magonjwa mengi ya akili hujitokeza, Dialogue: 0,0:03:10.18,0:03:11.90,Default,,0000,0000,0000,,walau katika sehemu, Dialogue: 0,0:03:11.93,0:03:14.58,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu ya kutolingana kwa kemikali katika ubongo, Dialogue: 0,0:03:14.61,0:03:18.51,Default,,0000,0000,0000,,na/au katika utengenezaji wa mwanzo wa jenetikia. Dialogue: 0,0:03:19.04,0:03:21.20,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo huwezi kuachana nayo tu. Dialogue: 0,0:03:22.91,0:03:24.64,Default,,0000,0000,0000,,Kwa Wamarekani weusi, Dialogue: 0,0:03:24.66,0:03:28.72,Default,,0000,0000,0000,,vileta msongo wa mawazo kama ubaguzi wa rangi na utofauti wa hali ya kiuchumi katika jamii Dialogue: 0,0:03:28.74,0:03:33.78,Default,,0000,0000,0000,,huwaweka katika asilimia 20 zaidi ya kupata ugonjwa wa akili, Dialogue: 0,0:03:33.81,0:03:36.22,Default,,0000,0000,0000,,na bado hutafuta huduma za afya ya akili Dialogue: 0,0:03:36.24,0:03:38.98,Default,,0000,0000,0000,,katika kiwango sawa na nusu ya Wamarekani weupe. Dialogue: 0,0:03:39.54,0:03:42.39,Default,,0000,0000,0000,,Sababu moja ni unyanyapaa, Dialogue: 0,0:03:42.42,0:03:48.64,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa asilimia 63 ya Wamarekani weusi hukosea kwa kuwaza kwamba msongo wa mawazo ni udhaifu. Dialogue: 0,0:03:49.60,0:03:53.86,Default,,0000,0000,0000,,Cha kusikitisha, kasi ya watoto weusi ambao hujiua Dialogue: 0,0:03:53.88,0:03:56.57,Default,,0000,0000,0000,,imeongezeka mara mbili katika miaka 20 iliyopita. Dialogue: 0,0:03:57.84,0:04:00.05,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, hii ni habari njema: Dialogue: 0,0:04:00.60,0:04:04.88,Default,,0000,0000,0000,,asilimia 70 ya watu ambao wanasumbuka na msongo wa mawazo hali zao zitaboreka Dialogue: 0,0:04:04.91,0:04:08.27,Default,,0000,0000,0000,,kwa kupata tiba na dawa. Dialogue: 0,0:04:09.46,0:04:11.12,Default,,0000,0000,0000,,Wakipewa taarifa, Dialogue: 0,0:04:11.14,0:04:12.85,Default,,0000,0000,0000,,Nimechukua uamuzi: Dialogue: 0,0:04:12.88,0:04:15.84,Default,,0000,0000,0000,,Sitakuwa kimya tena. Dialogue: 0,0:04:16.74,0:04:18.54,Default,,0000,0000,0000,,Na baraka za familia yangu, Dialogue: 0,0:04:18.57,0:04:20.46,Default,,0000,0000,0000,,Nitasimulia hadithi yetu Dialogue: 0,0:04:20.48,0:04:23.30,Default,,0000,0000,0000,,katika matumaini ya kuleta mjadala wa kitaifa. Dialogue: 0,0:04:24.14,0:04:26.91,Default,,0000,0000,0000,,Rafiki yangu, Kelly Pierre-Loius, alisema, Dialogue: 0,0:04:26.94,0:04:29.43,Default,,0000,0000,0000,,"Kuwa ngangari hutuua." Dialogue: 0,0:04:30.74,0:04:32.16,Default,,0000,0000,0000,,Alikuwa sahihi. Dialogue: 0,0:04:32.19,0:04:36.21,Default,,0000,0000,0000,,Tunabidi kuondokana na hizo imani ziilizopitwa na wakati Dialogue: 0,0:04:36.23,0:04:37.79,Default,,0000,0000,0000,,kuhusu mwanamke mweusi jasiri Dialogue: 0,0:04:37.81,0:04:40.02,Default,,0000,0000,0000,,na mwanaume mweusi kuwa mwanaume hasa, Dialogue: 0,0:04:40.04,0:04:42.96,Default,,0000,0000,0000,,ambaye, haijalishi mara ngapi wakidondoshwa, Dialogue: 0,0:04:42.99,0:04:45.22,Default,,0000,0000,0000,,hujifuta na kisha husonga mbele. Dialogue: 0,0:04:45.77,0:04:49.48,Default,,0000,0000,0000,,Kuwa na hisia sio dalili ya udhaifu. Dialogue: 0,0:04:50.52,0:04:52.40,Default,,0000,0000,0000,,Hisia zinamaanisha kwamba sisi ni binadamu. Dialogue: 0,0:04:52.85,0:04:54.87,Default,,0000,0000,0000,,Na pale tunapoukana ubinadamu wetu, Dialogue: 0,0:04:54.89,0:04:57.01,Default,,0000,0000,0000,,hutuacha wapweke ndani, Dialogue: 0,0:04:57.03,0:05:00.04,Default,,0000,0000,0000,,tukitafuta njia za kujiponya ili kuepukana na upweke. Dialogue: 0,0:05:00.58,0:05:03.33,Default,,0000,0000,0000,,Dawa yangu ilikuwa mafanikio makubwa. Dialogue: 0,0:05:04.37,0:05:07.67,Default,,0000,0000,0000,,Siku hizi, naweza kusimulia hadithi yangu wazi, Dialogue: 0,0:05:07.70,0:05:09.91,Default,,0000,0000,0000,,na kuwauliza wengine kusimulia zao, pia. Dialogue: 0,0:05:10.41,0:05:11.85,Default,,0000,0000,0000,,Naamini hicho ndicho kinachoweza Dialogue: 0,0:05:13.82,0:05:14.07,Default,,0000,0000,0000,,kusaidia watu wanaohangaika katika ukimya Dialogue: 0,0:05:14.50,0:05:16.71,Default,,0000,0000,0000,,ili wajue kwamba hawapo peke yao Dialogue: 0,0:05:16.73,0:05:18.42,Default,,0000,0000,0000,,na kujua kwamba kwa msaada, Dialogue: 0,0:05:18.44,0:05:19.78,Default,,0000,0000,0000,,wanaweza kupona. Dialogue: 0,0:05:19.80,0:05:21.97,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, bado nina mahangaiko yangu, Dialogue: 0,0:05:21.99,0:05:24.28,Default,,0000,0000,0000,,hasa kutokana na hofu, Dialogue: 0,0:05:24.30,0:05:25.91,Default,,0000,0000,0000,,lakini ninaweza kukabiliana na hali hio Dialogue: 0,0:05:25.93,0:05:30.81,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutafakari kila siku, kufanya yoga na kula vizuri kiasi. Dialogue: 0,0:05:30.83,0:05:31.90,Default,,0000,0000,0000,,(Kicheko) Dialogue: 0,0:05:31.92,0:05:34.14,Default,,0000,0000,0000,,Kama nikiona kwamba hali inaanza kuwa mbaya, Dialogue: 0,0:05:34.17,0:05:36.21,Default,,0000,0000,0000,,Huwa nawasiliana na mtoa tiba wangu, Dialogue: 0,0:05:36.24,0:05:39.30,Default,,0000,0000,0000,,mwanamke mweusi anayeitwa Dawn Armstrong, Dialogue: 0,0:05:39.32,0:05:41.30,Default,,0000,0000,0000,,ambaye ni mcheshi Dialogue: 0,0:05:41.32,0:05:43.56,Default,,0000,0000,0000,,na mwenye uzoea ambao hunipa faraja. Dialogue: 0,0:05:45.13,0:05:46.76,Default,,0000,0000,0000,,Daima nitajuta Dialogue: 0,0:05:47.39,0:05:49.46,Default,,0000,0000,0000,,sikuwepo kumsaidia mpwa wangu. Dialogue: 0,0:05:50.23,0:05:52.01,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tumaini langu la kweli Dialogue: 0,0:05:52.70,0:05:55.77,Default,,0000,0000,0000,,ni kwamba niwahamasishe wengine kutokana na somo nililojifunza. Dialogue: 0,0:05:59.18,0:06:01.65,Default,,0000,0000,0000,,Maisha ni mazuri. Dialogue: 0,0:06:02.65,0:06:04.21,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wakati yanavurugika, Dialogue: 0,0:06:04.23,0:06:06.17,Default,,0000,0000,0000,,na hayatabiriki siku zote. Dialogue: 0,0:06:07.03,0:06:08.24,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kila kitu kitakuwa sawa Dialogue: 0,0:06:08.26,0:06:11.05,Default,,0000,0000,0000,,unapokuwa na mfumo ambao utakusaidia kuyashinda yote. Dialogue: 0,0:06:11.51,0:06:13.93,Default,,0000,0000,0000,,Nina imani kama mzigo wako ukiwa mzito sana, Dialogue: 0,0:06:13.96,0:06:15.66,Default,,0000,0000,0000,,utaomba msaada, pia. Dialogue: 0,0:06:15.69,0:06:16.86,Default,,0000,0000,0000,,Asante. Dialogue: 0,0:06:16.88,0:06:19.76,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)