[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.42,0:00:02.20,Default,,0000,0000,0000,,Karibu tena. Dialogue: 0,0:00:02.30,0:00:06.96,Default,,0000,0000,0000,,Wakanada wengi hawatahitaji kushawishiwa kuwa chanjo ya UVIKO inastahili, Dialogue: 0,0:00:06.96,0:00:07.95,Default,,0000,0000,0000,,pindi ifikapo. Dialogue: 0,0:00:07.95,0:00:11.07,Default,,0000,0000,0000,,Lakini jinsi ulivyosikia, Wakanada wengi wapo na maswali. Dialogue: 0,0:00:11.07,0:00:12.76,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo kujibu baadhi, Dialogue: 0,0:00:12.81,0:00:15.84,Default,,0000,0000,0000,,Dkt. Cora Constantinescu, mtaalam wa magonjwa ya kuambukizwa Dialogue: 0,0:00:15.93,0:00:18.83,Default,,0000,0000,0000,,anayehudumu katika kliniki ya kuchunguza mienendo ya kusita kuchanjwa Dialogue: 0,0:00:18.98,0:00:21.46,Default,,0000,0000,0000,,katika hospitali ya watoto ya Alberta iliyoko Caligary. Dialogue: 0,0:00:21.64,0:00:25.30,Default,,0000,0000,0000,,Na daktari, sikujua sehemu kama yako ipo Dialogue: 0,0:00:25.54,0:00:27.95,Default,,0000,0000,0000,,Ni nani hasa huletwa kwako? Dialogue: 0,0:00:28.06,0:00:31.30,Default,,0000,0000,0000,,Tumeifanya kuwa mchakato nyoofu Dialogue: 0,0:00:31.30,0:00:33.88,Default,,0000,0000,0000,,na tumefikia jamii ya matabibu Dialogue: 0,0:00:33.88,0:00:35.75,Default,,0000,0000,0000,,na kuwaambia kuwa tuko hapa Dialogue: 0,0:00:35.75,0:00:39.28,Default,,0000,0000,0000,,kuwaunga mkono wanapotuletea wagonjwa. Dialogue: 0,0:00:39.28,0:00:43.87,Default,,0000,0000,0000,,Unaona kushawishi watu kuchanjwa kuwa kazi yako? Dialogue: 0,0:00:46.47,0:00:49.13,Default,,0000,0000,0000,,Naona kuwa ni kazi yangu kuwasaidia watu Dialogue: 0,0:00:49.13,0:00:51.96,Default,,0000,0000,0000,,wanapofanya uamuzi kuchanja. Dialogue: 0,0:00:53.14,0:00:56.82,Default,,0000,0000,0000,,Mdahalo huo huwa vipi? Unaanzia wapi? Dialogue: 0,0:00:59.81,0:01:02.55,Default,,0000,0000,0000,,Ninaanza kwa kujikumbusha kila wakati Dialogue: 0,0:01:02.55,0:01:05.95,Default,,0000,0000,0000,,kuwa katika kiini cha kila miadi ya kusita kuchanjwa Dialogue: 0,0:01:05.95,0:01:08.26,Default,,0000,0000,0000,,ni mzazi anayejaribu Dialogue: 0,0:01:08.45,0:01:11.84,Default,,0000,0000,0000,,uamuzi mwafaka kwao na familia yao. Dialogue: 0,0:01:11.84,0:01:14.46,Default,,0000,0000,0000,,Na inahitaji ukakamavu mwingi kuja Dialogue: 0,0:01:14.46,0:01:18.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu wanapambana na uoga mwingi na habari potofu, Dialogue: 0,0:01:18.00,0:01:20.10,Default,,0000,0000,0000,,na kwa ujumla ukosefu wa uaminifu. Dialogue: 0,0:01:20.25,0:01:24.86,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo tunatumia muda mwingi kujenga uhusiano na uaminifu na kila familia, Dialogue: 0,0:01:24.86,0:01:29.65,Default,,0000,0000,0000,,kuwaelewa ilituweze kubinafsisha Dialogue: 0,0:01:29.65,0:01:34.46,Default,,0000,0000,0000,,mawasiliano na ujumbe tunaowapa kuhusu chanjo. Dialogue: 0,0:01:34.46,0:01:36.60,Default,,0000,0000,0000,,Halafu tunahushisha afya ya umma kwa karibu Dialogue: 0,0:01:36.60,0:01:39.50,Default,,0000,0000,0000,,kisha wanafululiza na kupeana chanjo. Dialogue: 0,0:01:39.50,0:01:44.44,Default,,0000,0000,0000,,Na inashangaza kuwa unasema kuwa kuna huu ukosefu wa uaminifu. Dialogue: 0,0:01:44.97,0:01:48.66,Default,,0000,0000,0000,,Unawezaje kuanza kushauri Dialogue: 0,0:01:48.66,0:01:52.15,Default,,0000,0000,0000,,serikali ya mkoani, serikali ya mtaa, ama serikali ya jumuiya Dialogue: 0,0:01:52.15,0:01:54.85,Default,,0000,0000,0000,,kuiunda? Dialogue: 0,0:01:57.39,0:01:59.86,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri kuwa tunapofikiria kuhusu uaminifu, Dialogue: 0,0:01:59.86,0:02:03.90,Default,,0000,0000,0000,,lazima tufikirie kwa kiwango cha ubinafsi na kwa kiwango cha umma. Dialogue: 0,0:02:04.35,0:02:06.29,Default,,0000,0000,0000,,na kwa kiwango binafsi, Dialogue: 0,0:02:06.29,0:02:10.96,Default,,0000,0000,0000,,inarejelea hii wazo ya kuweka kwa taswira Dialogue: 0,0:02:10.96,0:02:15.91,Default,,0000,0000,0000,,na kuelewa ni nini manufaa ya chanjo Dialogue: 0,0:02:15.91,0:02:19.43,Default,,0000,0000,0000,,na hatari ya ugonjwa kwa kila mmoja wetu. Dialogue: 0,0:02:19.50,0:02:21.85,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ikija kwa UVIKO kwa mfano, Dialogue: 0,0:02:21.85,0:02:26.23,Default,,0000,0000,0000,,Ningependa kuhimiza kila mkanada kufikiria kile hili janga, Dialogue: 0,0:02:26.57,0:02:28.57,Default,,0000,0000,0000,,limewamelifanyia, Dialogue: 0,0:02:28.57,0:02:30.68,Default,,0000,0000,0000,,na kile limewanyanganya. Dialogue: 0,0:02:30.68,0:02:33.02,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, inaweza kuwa wengine wamepoteza wapendwa wao, Dialogue: 0,0:02:33.02,0:02:37.64,Default,,0000,0000,0000,,wengine wamepoteza kutangamana kwao, uwezekano wa watoto kwenda shule. Dialogue: 0,0:02:37.75,0:02:40.67,Default,,0000,0000,0000,,Kuna gharama kwa kila mmoja wetu Dialogue: 0,0:02:40.76,0:02:44.19,Default,,0000,0000,0000,,na kwa hivyo, kuna manufaa kwa kila mmoja wetu. Dialogue: 0,0:02:44.42,0:02:49.14,Default,,0000,0000,0000,,Halafu, itabidi sote twende kuchanjwa Dialogue: 0,0:02:49.14,0:02:52.25,Default,,0000,0000,0000,,ili tuonyeshe kuwa tuko kwa hili pamoja. Dialogue: 0,0:02:52.25,0:02:54.92,Default,,0000,0000,0000,,Halafu tunapozidi kwenda kiwango cha umma, Dialogue: 0,0:02:54.92,0:02:57.78,Default,,0000,0000,0000,,Ni muhimu sana kuanza kujenga uhusiano huu. Dialogue: 0,0:02:57.78,0:03:00.66,Default,,0000,0000,0000,,Na ni kazi ngumu kutekeleza, Dialogue: 0,0:03:00.79,0:03:04.33,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu inabidi umezingatia utata wa tabia za binadamu, Dialogue: 0,0:03:04.33,0:03:06.72,Default,,0000,0000,0000,,hususan kuhusu UVIKO-19. Dialogue: 0,0:03:06.72,0:03:09.75,Default,,0000,0000,0000,,Na taasisi zetu za afya haziwezi fanya hii pekee yao. Dialogue: 0,0:03:09.75,0:03:13.19,Default,,0000,0000,0000,,Sitaki hii kutokezea kama swali ya kijinga, Dialogue: 0,0:03:13.19,0:03:16.41,Default,,0000,0000,0000,,lakini ni vipi unajua unachofanya kimefaulu? Dialogue: 0,0:03:16.41,0:03:19.20,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu sio wewe unayepeana chanjo, sawa? Dialogue: 0,0:03:19.20,0:03:22.53,Default,,0000,0000,0000,,Unafuatilia viwango vya mafanikio? Dialogue: 0,0:03:22.82,0:03:24.49,Default,,0000,0000,0000,,Kulingana na jinsi tunavyoitazama Dialogue: 0,0:03:24.49,0:03:27.80,Default,,0000,0000,0000,,ni uwezekano wa takriban asilimia 50 mpaka 60. Dialogue: 0,0:03:27.80,0:03:30.48,Default,,0000,0000,0000,,kuwa wagonjwa watafululiza kupokea chanjo. Dialogue: 0,0:03:30.48,0:03:32.22,Default,,0000,0000,0000,,baada ya kuhudhuria kliniki yetu. Dialogue: 0,0:03:32.22,0:03:35.65,Default,,0000,0000,0000,,na katika ulimwengu wa kusita kuchanjwa hayo ni mafanikio. Dialogue: 0,0:03:35.65,0:03:37.85,Default,,0000,0000,0000,,Huu umekuwa mdahalo wa kusisimua. Dialogue: 0,0:03:37.85,0:03:40.30,Default,,0000,0000,0000,,Dkt. Constantinescu, asante sana kwa muda wako. Dialogue: 0,0:03:40.41,0:03:43.36,Default,,0000,0000,0000,,nimefurahia kuwa hapa, asante kwa kunialika.