1 00:00:01,425 --> 00:00:02,204 Karibu tena. 2 00:00:02,300 --> 00:00:06,960 Wakanada wengi hawatahitaji kushawishiwa kuwa chanjo ya UVIKO inastahili, 3 00:00:06,960 --> 00:00:07,948 pindi ifikapo. 4 00:00:07,948 --> 00:00:11,067 Lakini jinsi ulivyosikia, Wakanada wengi wapo na maswali. 5 00:00:11,067 --> 00:00:12,759 Kwa hivyo kujibu baadhi, 6 00:00:12,811 --> 00:00:15,841 Dkt. Cora Constantinescu, mtaalam wa magonjwa ya kuambukizwa 7 00:00:15,934 --> 00:00:18,834 anayehudumu katika kliniki ya kuchunguza mienendo ya kusita kuchanjwa 8 00:00:18,980 --> 00:00:21,460 katika hospitali ya watoto ya Alberta iliyoko Caligary. 9 00:00:21,641 --> 00:00:25,301 Na daktari, sikujua sehemu kama yako ipo 10 00:00:25,541 --> 00:00:27,954 Ni nani hasa huletwa kwako? 11 00:00:28,065 --> 00:00:31,299 Tumeifanya kuwa mchakato nyoofu 12 00:00:31,299 --> 00:00:33,880 na tumefikia jamii ya matabibu 13 00:00:33,880 --> 00:00:35,751 na kuwaambia kuwa tuko hapa 14 00:00:35,751 --> 00:00:39,277 kuwaunga mkono wanapotuletea wagonjwa. 15 00:00:39,277 --> 00:00:43,867 Unaona kushawishi watu kuchanjwa kuwa kazi yako? 16 00:00:46,471 --> 00:00:49,133 Naona kuwa ni kazi yangu kuwasaidia watu 17 00:00:49,133 --> 00:00:51,963 wanapofanya uamuzi kuchanja. 18 00:00:53,140 --> 00:00:56,818 Mdahalo huo huwa vipi? Unaanzia wapi? 19 00:00:59,809 --> 00:01:02,552 Ninaanza kwa kujikumbusha kila wakati 20 00:01:02,552 --> 00:01:05,952 kuwa katika kiini cha kila miadi ya kusita kuchanjwa 21 00:01:05,952 --> 00:01:08,262 ni mzazi anayejaribu 22 00:01:08,452 --> 00:01:11,842 uamuzi mwafaka kwao na familia yao. 23 00:01:11,842 --> 00:01:14,462 Na inahitaji ukakamavu mwingi kuja 24 00:01:14,462 --> 00:01:18,000 kwa sababu wanapambana na uoga mwingi na habari potofu, 25 00:01:18,000 --> 00:01:20,100 na kwa ujumla ukosefu wa uaminifu. 26 00:01:20,247 --> 00:01:24,857 Kwa hivyo tunatumia muda mwingi kujenga uhusiano na uaminifu na kila familia, 27 00:01:24,857 --> 00:01:29,646 kuwaelewa ilituweze kubinafsisha 28 00:01:29,646 --> 00:01:34,458 mawasiliano na ujumbe tunaowapa kuhusu chanjo. 29 00:01:34,458 --> 00:01:36,595 Halafu tunahushisha afya ya umma kwa karibu 30 00:01:36,595 --> 00:01:39,500 kisha wanafululiza na kupeana chanjo. 31 00:01:39,500 --> 00:01:44,440 Na inashangaza kuwa unasema kuwa kuna huu ukosefu wa uaminifu. 32 00:01:44,973 --> 00:01:48,662 Unawezaje kuanza kushauri 33 00:01:48,662 --> 00:01:52,148 serikali ya mkoani, serikali ya mtaa, ama serikali ya jumuiya 34 00:01:52,148 --> 00:01:54,846 kuiunda? 35 00:01:57,394 --> 00:01:59,864 Nafikiri kuwa tunapofikiria kuhusu uaminifu, 36 00:01:59,864 --> 00:02:03,900 lazima tufikirie kwa kiwango cha ubinafsi na kwa kiwango cha umma. 37 00:02:04,352 --> 00:02:06,294 na kwa kiwango binafsi, 38 00:02:06,294 --> 00:02:10,964 inarejelea hii wazo ya kuweka kwa taswira 39 00:02:10,964 --> 00:02:15,907 na kuelewa ni nini manufaa ya chanjo 40 00:02:15,907 --> 00:02:19,432 na hatari ya ugonjwa kwa kila mmoja wetu. 41 00:02:19,502 --> 00:02:21,852 Kwa hivyo ikija kwa UVIKO kwa mfano, 42 00:02:21,852 --> 00:02:26,231 Ningependa kuhimiza kila mkanada kufikiria kile hili janga, 43 00:02:26,573 --> 00:02:28,573 limewamelifanyia, 44 00:02:28,573 --> 00:02:30,682 na kile limewanyanganya. 45 00:02:30,682 --> 00:02:33,016 Kwa hivyo, inaweza kuwa wengine wamepoteza wapendwa wao, 46 00:02:33,016 --> 00:02:37,644 wengine wamepoteza kutangamana kwao, uwezekano wa watoto kwenda shule. 47 00:02:37,748 --> 00:02:40,668 Kuna gharama kwa kila mmoja wetu 48 00:02:40,761 --> 00:02:44,191 na kwa hivyo, kuna manufaa kwa kila mmoja wetu. 49 00:02:44,421 --> 00:02:49,140 Halafu, itabidi sote twende kuchanjwa 50 00:02:49,140 --> 00:02:52,250 ili tuonyeshe kuwa tuko kwa hili pamoja. 51 00:02:52,250 --> 00:02:54,919 Halafu tunapozidi kwenda kiwango cha umma, 52 00:02:54,919 --> 00:02:57,779 Ni muhimu sana kuanza kujenga uhusiano huu. 53 00:02:57,779 --> 00:03:00,658 Na ni kazi ngumu kutekeleza, 54 00:03:00,788 --> 00:03:04,330 kwa sababu inabidi umezingatia utata wa tabia za binadamu, 55 00:03:04,330 --> 00:03:06,716 hususan kuhusu UVIKO-19. 56 00:03:06,716 --> 00:03:09,746 Na taasisi zetu za afya haziwezi fanya hii pekee yao. 57 00:03:09,746 --> 00:03:13,194 Sitaki hii kutokezea kama swali ya kijinga, 58 00:03:13,194 --> 00:03:16,414 lakini ni vipi unajua unachofanya kimefaulu? 59 00:03:16,414 --> 00:03:19,200 Kwa sababu sio wewe unayepeana chanjo, sawa? 60 00:03:19,200 --> 00:03:22,530 Unafuatilia viwango vya mafanikio? 61 00:03:22,822 --> 00:03:24,491 Kulingana na jinsi tunavyoitazama 62 00:03:24,491 --> 00:03:27,802 ni uwezekano wa takriban asilimia 50 mpaka 60. 63 00:03:27,802 --> 00:03:30,485 kuwa wagonjwa watafululiza kupokea chanjo. 64 00:03:30,485 --> 00:03:32,218 baada ya kuhudhuria kliniki yetu. 65 00:03:32,218 --> 00:03:35,649 na katika ulimwengu wa kusita kuchanjwa hayo ni mafanikio. 66 00:03:35,649 --> 00:03:37,849 Huu umekuwa mdahalo wa kusisimua. 67 00:03:37,849 --> 00:03:40,300 Dkt. Constantinescu, asante sana kwa muda wako. 68 00:03:40,410 --> 00:03:43,361 nimefurahia kuwa hapa, asante kwa kunialika.