[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.50,Default,,0000,0000,0000,,Makadirio-kukaribisha kwenye mkumi Dialogue: 0,0:00:00.50,0:00:02.52,Default,,0000,0000,0000,,Katika maisha yako ya hesabu, Dialogue: 0,0:00:02.52,0:00:06.03,Default,,0000,0000,0000,,utakutana na hali ambayo itakubidi ukaribishe namba. Dialogue: 0,0:00:06.03,0:00:07.45,Default,,0000,0000,0000,,Na unaweza kujiuliza kwanini? Dialogue: 0,0:00:07.45,0:00:09.09,Default,,0000,0000,0000,,Inatokea katika hali gani? Dialogue: 0,0:00:09.09,0:00:10.66,Default,,0000,0000,0000,,Hii inakuwa katika hali ambayo Dialogue: 0,0:00:10.66,0:00:12.55,Default,,0000,0000,0000,,unajaribu kupata makadirio ya vitu Dialogue: 0,0:00:12.55,0:00:14.76,Default,,0000,0000,0000,,labda una kipimo Dialogue: 0,0:00:14.76,0:00:17.72,Default,,0000,0000,0000,,na unataka kisilingane sawasawa ili kurahisisha Dialogue: 0,0:00:17.72,0:00:18.22,Default,,0000,0000,0000,,vitu. Dialogue: 0,0:00:18.22,0:00:20.72,Default,,0000,0000,0000,,Au hujui kama kipimo ni sahihi kwa kiasi gani. Dialogue: 0,0:00:20.72,0:00:23.26,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hapa tutajadili kukaribisha ni nini. Dialogue: 0,0:00:23.26,0:00:27.68,Default,,0000,0000,0000,,Na tutakaribisha namba hizi 36, 34, 35, 26, Dialogue: 0,0:00:27.68,0:00:28.55,Default,,0000,0000,0000,,na 12. Dialogue: 0,0:00:28.55,0:00:31.65,Default,,0000,0000,0000,,Tunakwenda kuzikaribisha kwenye 10 Dialogue: 0,0:00:31.65,0:00:33.75,Default,,0000,0000,0000,,Na nitakwambia maana yake. Dialogue: 0,0:00:33.75,0:00:36.08,Default,,0000,0000,0000,,Hii maana yake chukua kila namba, Dialogue: 0,0:00:36.08,0:00:39.94,Default,,0000,0000,0000,,na utafute zinazogawanyika kwa 10. Dialogue: 0,0:00:39.94,0:00:41.30,Default,,0000,0000,0000,,je zinazogawanyika kwa 10 ni zipi? Dialogue: 0,0:00:41.30,0:00:43.75,Default,,0000,0000,0000,,10 mara 0 ni 0, 10 mara 1 Dialogue: 0,0:00:43.75,0:00:48.70,Default,,0000,0000,0000,,ni 10, 20, 30, 40, 50, 60, nakuendelea. Dialogue: 0,0:00:48.70,0:00:50.32,Default,,0000,0000,0000,,Nitaomba usimamishe video, Dialogue: 0,0:00:50.32,0:00:52.30,Default,,0000,0000,0000,,na ukumbuke nilichokwambia, makadirio ya Dialogue: 0,0:00:52.30,0:00:54.13,Default,,0000,0000,0000,,10 kwa kila namba. Dialogue: 0,0:00:54.13,0:00:56.30,Default,,0000,0000,0000,,Fikiria Dialogue: 0,0:00:56.30,0:00:58.38,Default,,0000,0000,0000,,kuitazama hii zaidi Dialogue: 0,0:00:58.38,0:01:00.55,Default,,0000,0000,0000,,tuchore mstari wa namba hapa. Dialogue: 0,0:01:00.55,0:01:02.59,Default,,0000,0000,0000,,Nitaweka mistari miwili ya namba hapa. Dialogue: 0,0:01:02.59,0:01:05.05,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tuna mistari ya namba hapa. Dialogue: 0,0:01:05.05,0:01:06.94,Default,,0000,0000,0000,,Na tuone wapi hizi alama Dialogue: 0,0:01:06.94,0:01:09.35,Default,,0000,0000,0000,,zitakaa kwenye mstari huu wa namba. Dialogue: 0,0:01:09.35,0:01:11.71,Default,,0000,0000,0000,,Kwanza namba 36 wapi Dialogue: 0,0:01:11.71,0:01:13.41,Default,,0000,0000,0000,,itakaa wapi kwenye huu mstari wa namba? Dialogue: 0,0:01:13.41,0:01:15.36,Default,,0000,0000,0000,,hivyo ni kati ya 30 na 40. Dialogue: 0,0:01:15.36,0:01:18.18,Default,,0000,0000,0000,,na hii alama ndogo ya bluu ni 35 Dialogue: 0,0:01:18.18,0:01:21.44,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 36 ni kubwa zaidi kuliko 53 Dialogue: 0,0:01:21.44,0:01:25.49,Default,,0000,0000,0000,,hivyo 36 itakuwa hapa. Dialogue: 0,0:01:25.49,0:01:28.43,Default,,0000,0000,0000,,Na tukiikuza ni kati ya 30 na 40. Dialogue: 0,0:01:28.43,0:01:33.17,Default,,0000,0000,0000,,Kwhiyo tukisema hii ni 30 na hii ni 40. Dialogue: 0,0:01:33.17,0:01:34.65,Default,,0000,0000,0000,,je 36 itakuwa wapi? Dialogue: 0,0:01:34.65,0:01:36.11,Default,,0000,0000,0000,,Halafu hii ni 35. Dialogue: 0,0:01:36.11,0:01:37.87,Default,,0000,0000,0000,,36 ni mbele kidogo Dialogue: 0,0:01:37.87,0:01:41.70,Default,,0000,0000,0000,,hivyo 36 itakuwa hapa. Dialogue: 0,0:01:41.70,0:01:45.19,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tukitaka kuikaribisha kwenye makumi Dialogue: 0,0:01:45.19,0:01:48.74,Default,,0000,0000,0000,,Njia mbili za kufanya ni zipi? Dialogue: 0,0:01:48.74,0:01:54.23,Default,,0000,0000,0000,,Nitachukua 36 na kuikaribisha Dialogue: 0,0:01:54.23,0:01:58.00,Default,,0000,0000,0000,,kwenye zinazogawanyika kwa 10 ambayo ni 40. Dialogue: 0,0:01:58.00,0:02:02.10,Default,,0000,0000,0000,,hivyo ningekaribisha mpaka kwenye 40 Dialogue: 0,0:02:02.10,0:02:08.16,Default,,0000,0000,0000,,na ya chini inayogawanyika kwa 10 ni 30. Dialogue: 0,0:02:08.16,0:02:10.28,Default,,0000,0000,0000,,Na inabidi nijue ni namba ipi Dialogue: 0,0:02:10.28,0:02:11.60,Default,,0000,0000,0000,,ipo karibu zaidi. Dialogue: 0,0:02:11.60,0:02:14.34,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ukiangalia hapa Dialogue: 0,0:02:14.34,0:02:14.96,Default,,0000,0000,0000,,unaona. Dialogue: 0,0:02:14.96,0:02:17.83,Default,,0000,0000,0000,,Lakini pia ungeweza sema 36 ni namba nne kufikia 40 Dialogue: 0,0:02:17.83,0:02:20.67,Default,,0000,0000,0000,,na ni 6 kurudi kwenye 30, ni karibu na 40 Dialogue: 0,0:02:20.67,0:02:22.82,Default,,0000,0000,0000,,hivyo tutakaribisha. Dialogue: 0,0:02:22.82,0:02:25.24,Default,,0000,0000,0000,,tutakaribisha mpaka kwenye 40. Dialogue: 0,0:02:25.24,0:02:27.46,Default,,0000,0000,0000,,Hii ndio kukaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:02:27.46,0:02:29.54,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tujaribu namba hizi. Dialogue: 0,0:02:29.54,0:02:31.97,Default,,0000,0000,0000,,vipi kuhusu 34? Dialogue: 0,0:02:31.97,0:02:34.13,Default,,0000,0000,0000,,Na naomba usimamishe video. Dialogue: 0,0:02:34.13,0:02:35.50,Default,,0000,0000,0000,,Tafuta namba ambayo Dialogue: 0,0:02:35.50,0:02:38.04,Default,,0000,0000,0000,,utakadiria kwa kuongeza na kwa kupunguza, Dialogue: 0,0:02:38.04,0:02:40.97,Default,,0000,0000,0000,,na ipi iko karibu. Dialogue: 0,0:02:40.97,0:02:46.95,Default,,0000,0000,0000,,34 iko hapa kwenye namba hii, Dialogue: 0,0:02:46.95,0:02:52.22,Default,,0000,0000,0000,,tukiivuta karibu, 34 iko hapa. Dialogue: 0,0:02:52.22,0:02:54.17,Default,,0000,0000,0000,,Na tuna njia mbili. Dialogue: 0,0:02:54.17,0:02:57.06,Default,,0000,0000,0000,,Zinazogawanyika kwa 10 juu ya 34 Dialogue: 0,0:02:57.06,0:03:02.92,Default,,0000,0000,0000,,zinazogawanyika kwa 10 zaidi ya 34 ni 40. Dialogue: 0,0:03:02.92,0:03:06.81,Default,,0000,0000,0000,,Zinazogawanyika kwa 10 chini ya 34 ni 30. Dialogue: 0,0:03:06.81,0:03:08.10,Default,,0000,0000,0000,,Je ipi iko karibu? Dialogue: 0,0:03:08.10,0:03:10.78,Default,,0000,0000,0000,,Ni nne tu kutoka kwenye 30 na 6 kutoka kwenye 40, Dialogue: 0,0:03:10.78,0:03:12.75,Default,,0000,0000,0000,,ni karibu na 30 Dialogue: 0,0:03:12.75,0:03:15.70,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tutakaribisha kwa kupunguza mpaka 30. Dialogue: 0,0:03:15.70,0:03:19.75,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:03:19.75,0:03:21.28,Default,,0000,0000,0000,,Na kumbuka tumekwenda kwenye 30. Dialogue: 0,0:03:21.28,0:03:22.86,Default,,0000,0000,0000,,Na unaweza fikiri tulivyokaribisha Dialogue: 0,0:03:22.86,0:03:26.28,Default,,0000,0000,0000,,kwenye makumi, imeongezeka toka kwenye 3 mpaka 4, kutoka kwenye 30 mpaka kwenye 40. Dialogue: 0,0:03:26.28,0:03:28.02,Default,,0000,0000,0000,,Labda tukikaribisha kwa kupunguza , sehemu ya makumi Dialogue: 0,0:03:28.02,0:03:30.97,Default,,0000,0000,0000,,itapungua kutoka kwenye 30 kwenda 20 ,hapana 30 Dialogue: 0,0:03:30.97,0:03:33.21,Default,,0000,0000,0000,,inagawanyika kwa 10 chini ya 34. Dialogue: 0,0:03:33.21,0:03:35.46,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo ukikaribisha kwa kupunguza unaenda Dialogue: 0,0:03:35.46,0:03:40.06,Default,,0000,0000,0000,,kwenye zinazogawanyika kwa kumi ila kwenye mamoja itakuwa 0. Dialogue: 0,0:03:40.06,0:03:42.22,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tujaribu na hii. Dialogue: 0,0:03:42.22,0:03:48.16,Default,,0000,0000,0000,,Tujaribu kukaribisha namba 35 kwenye makumi. Dialogue: 0,0:03:48.16,0:03:49.79,Default,,0000,0000,0000,,Kabla hatujaifanya, Dialogue: 0,0:03:49.79,0:03:51.09,Default,,0000,0000,0000,,tutazame njia mbili tunazoweza kutumia. Dialogue: 0,0:03:51.09,0:03:52.26,Default,,0000,0000,0000,,Tumeshaziona. Dialogue: 0,0:03:52.26,0:03:54.45,Default,,0000,0000,0000,,35 iko hapa. Dialogue: 0,0:03:54.45,0:03:57.76,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye huu mstari wa namba ni, 35 Dialogue: 0,0:03:57.76,0:03:59.20,Default,,0000,0000,0000,,na tuna njia mbili. Dialogue: 0,0:03:59.20,0:04:07.27,Default,,0000,0000,0000,,35 tunaweza kukaribisha kwa kuongeza mpaka 40 na kukaribisha kwa kupunguza mpaka 30. Dialogue: 0,0:04:07.27,0:04:10.43,Default,,0000,0000,0000,,Nitashauri usimamishe video Dialogue: 0,0:04:10.43,0:04:12.60,Default,,0000,0000,0000,,hii kidogo inachanganya Dialogue: 0,0:04:12.60,0:04:14.79,Default,,0000,0000,0000,,kwasababu kwenda juu ni tano kurudi chini ni tano. Dialogue: 0,0:04:14.79,0:04:17.34,Default,,0000,0000,0000,,5 toka kwenye 40 na 5 kwenda kwenye 30 Dialogue: 0,0:04:17.34,0:04:19.05,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo wanahesabu Dialogue: 0,0:04:19.05,0:04:21.38,Default,,0000,0000,0000,,waliamua kueleza cha kufanya unapokutana na hii hesabu Dialogue: 0,0:04:21.38,0:04:23.71,Default,,0000,0000,0000,,ambapo una 5 kwenye mamoja. Dialogue: 0,0:04:23.71,0:04:27.69,Default,,0000,0000,0000,,kama una 5 au zaidi kwenye mamoja utakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:04:27.69,0:04:28.73,Default,,0000,0000,0000,,Hii ndio kanuni yake. Dialogue: 0,0:04:28.73,0:04:31.85,Default,,0000,0000,0000,,Ikiwa 5 au zaidi kwenye mamoja , unakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:04:31.85,0:04:35.45,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo 35 unakaribisha mpaka 40. Dialogue: 0,0:04:35.45,0:04:39.94,Default,,0000,0000,0000,,Tambua, 6 kwenye mamoja ilikuwa tano au zaidi Dialogue: 0,0:04:39.94,0:04:43.32,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kama unakaribisha kwenye makumi, unakaribisha kwa kuongeza mpaka 40. Dialogue: 0,0:04:43.32,0:04:49.09,Default,,0000,0000,0000,,Nne kwenye mamoja sio 5 au zaidi, hivyo unakaribisha kwa kupunguza. Dialogue: 0,0:04:49.09,0:04:50.59,Default,,0000,0000,0000,,Na hii inaleta maana Dialogue: 0,0:04:50.59,0:04:52.12,Default,,0000,0000,0000,,kwenye hizi namba mbili. Dialogue: 0,0:04:52.12,0:04:56.23,Default,,0000,0000,0000,,Tujaribu tuone nini kinatokea kwenye 26. Dialogue: 0,0:04:56.23,0:04:58.35,Default,,0000,0000,0000,,26, njia ni zipi? Dialogue: 0,0:04:58.35,0:05:00.37,Default,,0000,0000,0000,,kwenye 26 zinazogawanyika kwa 10 kwenda juu ni zipi? Dialogue: 0,0:05:00.37,0:05:03.81,Default,,0000,0000,0000,,na zinazogawanyika kwa 10 kwenda chini ni zipi? Dialogue: 0,0:05:03.81,0:05:08.46,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, inayogawanyika kwa 10 kwenda juu ni 30, Dialogue: 0,0:05:08.46,0:05:12.40,Default,,0000,0000,0000,,na kwenda chini ni 20. Dialogue: 0,0:05:12.40,0:05:14.03,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 30. Dialogue: 0,0:05:14.03,0:05:17.29,Default,,0000,0000,0000,,tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 20. Dialogue: 0,0:05:17.29,0:05:19.04,Default,,0000,0000,0000,,kama tunakaribisha kwenye makumi Dialogue: 0,0:05:19.04,0:05:20.13,Default,,0000,0000,0000,,tunaangalia sehemu ya makumi. Dialogue: 0,0:05:20.13,0:05:20.98,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo tutakavyokaribisha. Dialogue: 0,0:05:20.98,0:05:22.89,Default,,0000,0000,0000,,tutakaribisha kwenye makumi-- Dialogue: 0,0:05:22.89,0:05:24.50,Default,,0000,0000,0000,,lakini tunaangalia kwenye sehemu ya mamoja. Dialogue: 0,0:05:24.50,0:05:26.37,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu ya mamoja itaamua. Dialogue: 0,0:05:26.37,0:05:31.51,Default,,0000,0000,0000,,Na tunaona hapa hii ni 5 au zaidi. Dialogue: 0,0:05:31.51,0:05:34.41,Default,,0000,0000,0000,,Au unaweza sema hii ni kubwa kuliko au ni sawasawa na 5 Dialogue: 0,0:05:34.41,0:05:36.46,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunakaribisha kwa kuongeza. Dialogue: 0,0:05:36.46,0:05:41.58,Default,,0000,0000,0000,,26 kwenye makumi tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 30. Dialogue: 0,0:05:41.58,0:05:44.06,Default,,0000,0000,0000,,Je vipi kuhusu 12? Dialogue: 0,0:05:44.06,0:05:46.48,Default,,0000,0000,0000,,Nadhani unaelewa sasa Dialogue: 0,0:05:46.48,0:05:49.75,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tufikirie zinazogawanyika kwa 10 zaidi ya 12. Dialogue: 0,0:05:49.75,0:05:51.81,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaweza kukaribisha kwa kuongeza mpaka 20. Dialogue: 0,0:05:51.81,0:05:54.79,Default,,0000,0000,0000,,12 iko hapa. Dialogue: 0,0:05:54.79,0:05:59.23,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza karibisha kwa kuongeza mpaka 20 au kupunguza mpaka 10. Dialogue: 0,0:05:59.23,0:06:01.43,Default,,0000,0000,0000,,kama tunakaribisha kwenye makumi, Dialogue: 0,0:06:01.43,0:06:03.59,Default,,0000,0000,0000,,tutaangalia kwenye mamoja. Dialogue: 0,0:06:03.59,0:06:06.44,Default,,0000,0000,0000,,Tutaangalia kwenye mamoja hapa. Dialogue: 0,0:06:06.44,0:06:09.09,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni ndogo kuliko 5. Dialogue: 0,0:06:09.09,0:06:11.67,Default,,0000,0000,0000,,Kwasababu ni ndogo kuliko 5tunakaribisha kwa kupunguza, Dialogue: 0,0:06:11.67,0:06:13.67,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inaleta maana kwasababu ni karibu 10 Dialogue: 0,0:06:13.67,0:06:15.02,Default,,0000,0000,0000,,kuliko ilivyo 20. Dialogue: 0,0:06:15.02,0:06:19.10,Default,,0000,0000,0000,,Hivyotunakaribisha kwa kupunguza mpaka 12, Dialogue: 0,0:06:19.10,0:06:21.61,Default,,0000,0000,0000,,utapata 10.