1 00:00:00,000 --> 00:00:00,500 Makadirio-kukaribisha kwenye mkumi 2 00:00:00,500 --> 00:00:02,520 Katika maisha yako ya hesabu, 3 00:00:02,520 --> 00:00:06,034 utakutana na hali ambayo itakubidi ukaribishe namba. 4 00:00:06,034 --> 00:00:07,450 Na unaweza kujiuliza kwanini? 5 00:00:07,450 --> 00:00:09,090 Inatokea katika hali gani? 6 00:00:09,090 --> 00:00:10,660 Hii inakuwa katika hali ambayo 7 00:00:10,660 --> 00:00:12,550 unajaribu kupata makadirio ya vitu 8 00:00:12,550 --> 00:00:14,758 labda una kipimo 9 00:00:14,758 --> 00:00:17,721 na unataka kisilingane sawasawa ili kurahisisha 10 00:00:17,721 --> 00:00:18,220 vitu. 11 00:00:18,220 --> 00:00:20,719 Au hujui kama kipimo ni sahihi kwa kiasi gani. 12 00:00:20,719 --> 00:00:23,260 Hivyo hapa tutajadili kukaribisha ni nini. 13 00:00:23,260 --> 00:00:27,680 Na tutakaribisha namba hizi 36, 34, 35, 26, 14 00:00:27,680 --> 00:00:28,550 na 12. 15 00:00:28,550 --> 00:00:31,650 Tunakwenda kuzikaribisha kwenye 10 16 00:00:31,650 --> 00:00:33,750 Na nitakwambia maana yake. 17 00:00:33,750 --> 00:00:36,080 Hii maana yake chukua kila namba, 18 00:00:36,080 --> 00:00:39,940 na utafute zinazogawanyika kwa 10. 19 00:00:39,940 --> 00:00:41,300 je zinazogawanyika kwa 10 ni zipi? 20 00:00:41,300 --> 00:00:43,750 10 mara 0 ni 0, 10 mara 1 21 00:00:43,750 --> 00:00:48,695 ni 10, 20, 30, 40, 50, 60, nakuendelea. 22 00:00:48,695 --> 00:00:50,320 Nitaomba usimamishe video, 23 00:00:50,320 --> 00:00:52,300 na ukumbuke nilichokwambia, makadirio ya 24 00:00:52,300 --> 00:00:54,130 10 kwa kila namba. 25 00:00:54,130 --> 00:00:56,297 Fikiria 26 00:00:56,297 --> 00:00:58,380 kuitazama hii zaidi 27 00:00:58,380 --> 00:01:00,550 tuchore mstari wa namba hapa. 28 00:01:00,550 --> 00:01:02,590 Nitaweka mistari miwili ya namba hapa. 29 00:01:02,590 --> 00:01:05,050 Hivyo tuna mistari ya namba hapa. 30 00:01:05,050 --> 00:01:06,940 Na tuone wapi hizi alama 31 00:01:06,940 --> 00:01:09,350 zitakaa kwenye mstari huu wa namba. 32 00:01:09,350 --> 00:01:11,710 Kwanza namba 36 wapi 33 00:01:11,710 --> 00:01:13,410 itakaa wapi kwenye huu mstari wa namba? 34 00:01:13,410 --> 00:01:15,360 hivyo ni kati ya 30 na 40. 35 00:01:15,360 --> 00:01:18,180 na hii alama ndogo ya bluu ni 35 36 00:01:18,180 --> 00:01:21,440 Hivyo 36 ni kubwa zaidi kuliko 53 37 00:01:21,440 --> 00:01:25,490 hivyo 36 itakuwa hapa. 38 00:01:25,490 --> 00:01:28,430 Na tukiikuza ni kati ya 30 na 40. 39 00:01:28,430 --> 00:01:33,170 Kwhiyo tukisema hii ni 30 na hii ni 40. 40 00:01:33,170 --> 00:01:34,650 je 36 itakuwa wapi? 41 00:01:34,650 --> 00:01:36,110 Halafu hii ni 35. 42 00:01:36,110 --> 00:01:37,870 36 ni mbele kidogo 43 00:01:37,870 --> 00:01:41,700 hivyo 36 itakuwa hapa. 44 00:01:41,700 --> 00:01:45,190 Hivyo tukitaka kuikaribisha kwenye makumi 45 00:01:45,190 --> 00:01:48,740 Njia mbili za kufanya ni zipi? 46 00:01:48,740 --> 00:01:54,230 Nitachukua 36 na kuikaribisha 47 00:01:54,230 --> 00:01:58,000 kwenye zinazogawanyika kwa 10 ambayo ni 40. 48 00:01:58,000 --> 00:02:02,100 hivyo ningekaribisha mpaka kwenye 40 49 00:02:02,100 --> 00:02:08,160 na ya chini inayogawanyika kwa 10 ni 30. 50 00:02:08,160 --> 00:02:10,280 Na inabidi nijue ni namba ipi 51 00:02:10,280 --> 00:02:11,600 ipo karibu zaidi. 52 00:02:11,600 --> 00:02:14,335 Hivyo ukiangalia hapa 53 00:02:14,335 --> 00:02:14,960 unaona. 54 00:02:14,960 --> 00:02:17,830 Lakini pia ungeweza sema 36 ni namba nne kufikia 40 55 00:02:17,830 --> 00:02:20,670 na ni 6 kurudi kwenye 30, ni karibu na 40 56 00:02:20,670 --> 00:02:22,820 hivyo tutakaribisha. 57 00:02:22,820 --> 00:02:25,240 tutakaribisha mpaka kwenye 40. 58 00:02:25,240 --> 00:02:27,460 Hii ndio kukaribisha kwa kuongeza. 59 00:02:27,460 --> 00:02:29,540 Sasa tujaribu namba hizi. 60 00:02:29,540 --> 00:02:31,970 vipi kuhusu 34? 61 00:02:31,970 --> 00:02:34,126 Na naomba usimamishe video. 62 00:02:34,126 --> 00:02:35,500 Tafuta namba ambayo 63 00:02:35,500 --> 00:02:38,040 utakadiria kwa kuongeza na kwa kupunguza, 64 00:02:38,040 --> 00:02:40,970 na ipi iko karibu. 65 00:02:40,970 --> 00:02:46,950 34 iko hapa kwenye namba hii, 66 00:02:46,950 --> 00:02:52,220 tukiivuta karibu, 34 iko hapa. 67 00:02:52,220 --> 00:02:54,170 Na tuna njia mbili. 68 00:02:54,170 --> 00:02:57,060 Zinazogawanyika kwa 10 juu ya 34 69 00:02:57,060 --> 00:03:02,920 zinazogawanyika kwa 10 zaidi ya 34 ni 40. 70 00:03:02,920 --> 00:03:06,809 Zinazogawanyika kwa 10 chini ya 34 ni 30. 71 00:03:06,809 --> 00:03:08,100 Je ipi iko karibu? 72 00:03:08,100 --> 00:03:10,780 Ni nne tu kutoka kwenye 30 na 6 kutoka kwenye 40, 73 00:03:10,780 --> 00:03:12,750 ni karibu na 30 74 00:03:12,750 --> 00:03:15,700 Hivyo tutakaribisha kwa kupunguza mpaka 30. 75 00:03:15,700 --> 00:03:19,750 76 00:03:19,750 --> 00:03:21,280 Na kumbuka tumekwenda kwenye 30. 77 00:03:21,280 --> 00:03:22,863 Na unaweza fikiri tulivyokaribisha 78 00:03:22,863 --> 00:03:26,280 kwenye makumi, imeongezeka toka kwenye 3 mpaka 4, kutoka kwenye 30 mpaka kwenye 40. 79 00:03:26,280 --> 00:03:28,020 Labda tukikaribisha kwa kupunguza , sehemu ya makumi 80 00:03:28,020 --> 00:03:30,970 itapungua kutoka kwenye 30 kwenda 20 ,hapana 30 81 00:03:30,970 --> 00:03:33,210 inagawanyika kwa 10 chini ya 34. 82 00:03:33,210 --> 00:03:35,460 Kwahiyo ukikaribisha kwa kupunguza unaenda 83 00:03:35,460 --> 00:03:40,060 kwenye zinazogawanyika kwa kumi ila kwenye mamoja itakuwa 0. 84 00:03:40,060 --> 00:03:42,220 Sasa tujaribu na hii. 85 00:03:42,220 --> 00:03:48,165 Tujaribu kukaribisha namba 35 kwenye makumi. 86 00:03:48,165 --> 00:03:49,790 Kabla hatujaifanya, 87 00:03:49,790 --> 00:03:51,090 tutazame njia mbili tunazoweza kutumia. 88 00:03:51,090 --> 00:03:52,256 Tumeshaziona. 89 00:03:52,256 --> 00:03:54,450 35 iko hapa. 90 00:03:54,450 --> 00:03:57,760 Kwenye huu mstari wa namba ni, 35 91 00:03:57,760 --> 00:03:59,200 na tuna njia mbili. 92 00:03:59,200 --> 00:04:07,270 35 tunaweza kukaribisha kwa kuongeza mpaka 40 na kukaribisha kwa kupunguza mpaka 30. 93 00:04:07,270 --> 00:04:10,430 Nitashauri usimamishe video 94 00:04:10,430 --> 00:04:12,600 hii kidogo inachanganya 95 00:04:12,600 --> 00:04:14,790 kwasababu kwenda juu ni tano kurudi chini ni tano. 96 00:04:14,790 --> 00:04:17,339 5 toka kwenye 40 na 5 kwenda kwenye 30 97 00:04:17,339 --> 00:04:19,050 Hivyo wanahesabu 98 00:04:19,050 --> 00:04:21,380 waliamua kueleza cha kufanya unapokutana na hii hesabu 99 00:04:21,380 --> 00:04:23,710 ambapo una 5 kwenye mamoja. 100 00:04:23,710 --> 00:04:27,690 kama una 5 au zaidi kwenye mamoja utakaribisha kwa kuongeza. 101 00:04:27,690 --> 00:04:28,730 Hii ndio kanuni yake. 102 00:04:28,730 --> 00:04:31,850 Ikiwa 5 au zaidi kwenye mamoja , unakaribisha kwa kuongeza. 103 00:04:31,850 --> 00:04:35,450 Hivyo 35 unakaribisha mpaka 40. 104 00:04:35,450 --> 00:04:39,940 Tambua, 6 kwenye mamoja ilikuwa tano au zaidi 105 00:04:39,940 --> 00:04:43,320 Hivyo kama unakaribisha kwenye makumi, unakaribisha kwa kuongeza mpaka 40. 106 00:04:43,320 --> 00:04:49,091 Nne kwenye mamoja sio 5 au zaidi, hivyo unakaribisha kwa kupunguza. 107 00:04:49,091 --> 00:04:50,590 Na hii inaleta maana 108 00:04:50,590 --> 00:04:52,120 kwenye hizi namba mbili. 109 00:04:52,120 --> 00:04:56,230 Tujaribu tuone nini kinatokea kwenye 26. 110 00:04:56,230 --> 00:04:58,350 26, njia ni zipi? 111 00:04:58,350 --> 00:05:00,370 kwenye 26 zinazogawanyika kwa 10 kwenda juu ni zipi? 112 00:05:00,370 --> 00:05:03,810 na zinazogawanyika kwa 10 kwenda chini ni zipi? 113 00:05:03,810 --> 00:05:08,460 Sawa, inayogawanyika kwa 10 kwenda juu ni 30, 114 00:05:08,460 --> 00:05:12,400 na kwenda chini ni 20. 115 00:05:12,400 --> 00:05:14,030 Hivyo tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 30. 116 00:05:14,030 --> 00:05:17,290 tunakaribisha kwa kupunguza mpaka 20. 117 00:05:17,290 --> 00:05:19,040 kama tunakaribisha kwenye makumi 118 00:05:19,040 --> 00:05:20,130 tunaangalia sehemu ya makumi. 119 00:05:20,130 --> 00:05:20,980 Hivyo ndivyo tutakavyokaribisha. 120 00:05:20,980 --> 00:05:22,890 tutakaribisha kwenye makumi-- 121 00:05:22,890 --> 00:05:24,500 lakini tunaangalia kwenye sehemu ya mamoja. 122 00:05:24,500 --> 00:05:26,370 Sehemu ya mamoja itaamua. 123 00:05:26,370 --> 00:05:31,510 Na tunaona hapa hii ni 5 au zaidi. 124 00:05:31,510 --> 00:05:34,410 Au unaweza sema hii ni kubwa kuliko au ni sawasawa na 5 125 00:05:34,410 --> 00:05:36,460 Hivyo tunakaribisha kwa kuongeza. 126 00:05:36,460 --> 00:05:41,580 26 kwenye makumi tunakaribisha kwa kuongeza mpaka 30. 127 00:05:41,580 --> 00:05:44,060 Je vipi kuhusu 12? 128 00:05:44,060 --> 00:05:46,480 Nadhani unaelewa sasa 129 00:05:46,480 --> 00:05:49,750 Sasa tufikirie zinazogawanyika kwa 10 zaidi ya 12. 130 00:05:49,750 --> 00:05:51,810 Hivyo tunaweza kukaribisha kwa kuongeza mpaka 20. 131 00:05:51,810 --> 00:05:54,790 12 iko hapa. 132 00:05:54,790 --> 00:05:59,230 tunaweza karibisha kwa kuongeza mpaka 20 au kupunguza mpaka 10. 133 00:05:59,230 --> 00:06:01,430 kama tunakaribisha kwenye makumi, 134 00:06:01,430 --> 00:06:03,590 tutaangalia kwenye mamoja. 135 00:06:03,590 --> 00:06:06,440 Tutaangalia kwenye mamoja hapa. 136 00:06:06,440 --> 00:06:09,090 Hii ni ndogo kuliko 5. 137 00:06:09,090 --> 00:06:11,670 Kwasababu ni ndogo kuliko 5tunakaribisha kwa kupunguza, 138 00:06:11,670 --> 00:06:13,670 ambayo inaleta maana kwasababu ni karibu 10 139 00:06:13,670 --> 00:06:15,020 kuliko ilivyo 20. 140 00:06:15,020 --> 00:06:19,100 Hivyotunakaribisha kwa kupunguza mpaka 12, 141 00:06:19,100 --> 00:06:21,610 utapata 10.