[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:05.66,0:00:08.47,Default,,0000,0000,0000,,Kufanya chanjo, vipimo na dawa kupatikana Dialogue: 0,0:00:08.62,0:00:09.72,Default,,0000,0000,0000,,inaweza chukua muda mrefu Dialogue: 0,0:00:10.03,0:00:12.84,Default,,0000,0000,0000,,hata kama kuna dharura ya kiafya, kama UVIKO-19. Dialogue: 0,0:00:13.73,0:00:15.58,Default,,0000,0000,0000,,Kuhakikisha upatikanaji wa haraka kwa kila mtu Dialogue: 0,0:00:15.73,0:00:19.31,Default,,0000,0000,0000,,WHO limeunda EUL (OUD)- Orodha ya matumizi ya dharura. Dialogue: 0,0:00:20.04,0:00:22.34,Default,,0000,0000,0000,,video hii inaeleza jinsi EUL (OUD) inavyotumika. Dialogue: 0,0:00:24.13,0:00:27.95,Default,,0000,0000,0000,,Kabla ya chanjo, dawa na vipimo vya uchunguzi vinaweza fikia watu, Dialogue: 0,0:00:28.01,0:00:30.15,Default,,0000,0000,0000,,lazima zitathminiwe kuhakikisha kuwa Dialogue: 0,0:00:30.15,0:00:33.90,Default,,0000,0000,0000,,ubora, usalama na ufanisi vipo hadi kiwango Dialogue: 0,0:00:34.88,0:00:37.28,Default,,0000,0000,0000,,Hii inalinda watu kutokana na uwezekano wa madhara Dialogue: 0,0:00:37.28,0:00:40.10,Default,,0000,0000,0000,,na kuhakikisha kuwa bidhaa zinafanya zinazofaa kufanya: Dialogue: 0,0:00:40.37,0:00:42.95,Default,,0000,0000,0000,,kukinga, kupima na kutibu ugonjwa. Dialogue: 0,0:00:44.35,0:00:46.62,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nchi nyingi hazina raslimali Dialogue: 0,0:00:46.64,0:00:48.34,Default,,0000,0000,0000,,za kutekeleza hatua hii muhimu, Dialogue: 0,0:00:48.34,0:00:50.96,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inaweza sababisha kuchelewa kwa kupatikana kwa bidhaa za kuokoa maisha Dialogue: 0,0:00:50.99,0:00:52.97,Default,,0000,0000,0000,,kwa wale wanaozihitaji mno. Dialogue: 0,0:00:53.61,0:00:56.25,Default,,0000,0000,0000,,Changamoto ni ngumu zaidi kama ugonjwa ni mpya, Dialogue: 0,0:00:56.26,0:00:57.85,Default,,0000,0000,0000,,kama vile UVIKO-19 Dialogue: 0,0:00:58.27,0:01:00.71,Default,,0000,0000,0000,,Bidhaa mpya za kiafya za UVIKO-19 lazima zichunguzwe, Dialogue: 0,0:01:00.71,0:01:01.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa kina lakini pia haraka, Dialogue: 0,0:01:01.94,0:01:04.35,Default,,0000,0000,0000,,kuhakikisha zina ufanisi na ni salama kutumia. Dialogue: 0,0:01:05.64,0:01:06.98,Default,,0000,0000,0000,,Kuharakisha mchakato huu Dialogue: 0,0:01:07.22,0:01:10.81,Default,,0000,0000,0000,,WHO imeunda Orodha ya matumizi ya dharura -EUL (OUD) Dialogue: 0,0:01:11.12,0:01:13.61,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inatathmini kufaa kwa bidhaa za afya Dialogue: 0,0:01:13.63,0:01:15.78,Default,,0000,0000,0000,,katika msingi wa hatari ikilinganishwa na manufaa, Dialogue: 0,0:01:16.72,0:01:17.67,Default,,0000,0000,0000,,Kwa vipimo, Dialogue: 0,0:01:17.71,0:01:21.13,Default,,0000,0000,0000,,tunatathmini ubora uliopo, usalama na data ya utendakazi Dialogue: 0,0:01:21.14,0:01:22.41,Default,,0000,0000,0000,,pamoja na wataalam huru. Dialogue: 0,0:01:23.20,0:01:26.39,Default,,0000,0000,0000,,Vipimo vingi vya UVIKO-19 tayari vimekusanywa na mahitaji yetu Dialogue: 0,0:01:26.76,0:01:28.36,Default,,0000,0000,0000,,na vimeorodheshwa kwa matumizi. Dialogue: 0,0:01:29.12,0:01:30.76,Default,,0000,0000,0000,,Kwa chanjo na madawa, Dialogue: 0,0:01:30.78,0:01:32.83,Default,,0000,0000,0000,,tunatathmini data kutoka kwa majaribio ya maabara Dialogue: 0,0:01:32.83,0:01:35.71,Default,,0000,0000,0000,,na data nyinginezo za usalama, ufanisi na ubora, Dialogue: 0,0:01:36.13,0:01:38.62,Default,,0000,0000,0000,,na kualika wataalam kutoka mamlaka za kitaifa za kiafya Dialogue: 0,0:01:38.62,0:01:39.86,Default,,0000,0000,0000,,kuzihakiki pia. Dialogue: 0,0:01:40.35,0:01:42.44,Default,,0000,0000,0000,,Pindi chanjo, dawa au kipimo Dialogue: 0,0:01:42.68,0:01:44.92,Default,,0000,0000,0000,,kimeorodheshwa kwa matumizi ya dharura, Dialogue: 0,0:01:44.95,0:01:48.19,Default,,0000,0000,0000,,tunashirikiana na washirika wetu na wataalam kueleza manufaa yake Dialogue: 0,0:01:48.48,0:01:51.34,Default,,0000,0000,0000,,na kusaidia na mchakato wa kuidhinishwa katika nchi mbalimbali. Dialogue: 0,0:01:52.34,0:01:53.61,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hatukomi hapo. Dialogue: 0,0:01:53.93,0:01:57.82,Default,,0000,0000,0000,,WHO itaendelea kufanya uchunguzi wa mara kwa mara wa ubora wa kila bidhaa. Dialogue: 0,0:01:58.67,0:01:59.41,Default,,0000,0000,0000,,Lengo: Dialogue: 0,0:01:59.44,0:02:01.80,Default,,0000,0000,0000,,kusaidia nchi mbalimbali duniani kote Dialogue: 0,0:02:01.85,0:02:03.18,Default,,0000,0000,0000,,kuwasilisha, Dialogue: 0,0:02:03.18,0:02:05.79,Default,,0000,0000,0000,,chanjo, vipimo na madawa ya ubora wa hali ya juu Dialogue: 0,0:02:05.80,0:02:08.35,Default,,0000,0000,0000,,haraka na kwa usalama uwezekanavyo