WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:05.840 Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo? 00:00:05.840 --> 00:00:07.800 Jaribu haya kuanzia leo 00:00:07.800 --> 00:00:13.520 Wow! Mungu wangu utakua hapa na ushuhuda 00:00:15.440 --> 00:00:19.880 NEEMA na Amani kwenu katika Jina la Yesu 00:00:19.880 --> 00:00:25.440 Karibu katika kipindi kingine cha 'Urithi unaoishi' 00:00:25.440 --> 00:00:30.880 Leo tunawaletea maonesho mawili kutoka kwa Nabii TB Joshua 00:00:30.880 --> 00:00:37.320 Akiongelea Mada muhimu Sana na yenye maelekezo 00:00:37.320 --> 00:00:41.480 Ambayo itakusaidia Maisha yako ya ukristo 00:00:41.480 --> 00:00:44.520 Onyesho la Kwanza limechukuliwa katikati ya ibada 00:00:44.520 --> 00:00:49.480 Na ya pili imeoneshwa katikati ya ushuhuda 00:00:49.480 --> 00:00:53.520 Kutoka kwa binti wa Afrika ya kusini, aliepokea uponyaji 00:00:53.520 --> 00:00:59.400 Kutoka kwenye nguvu za giza zilizo mpeleka kwenye uchawi 00:00:59.400 --> 00:01:04.800 Na wakati Nabii TB Joshua anasikiliza ushuhuda wake 00:01:04.800 --> 00:01:09.640 Alitumia uzoefu wa Maisha Yake kama fursa 00:01:09.640 --> 00:01:15.440 Kufundisha watu kanuni hii muhimu 00:01:15.440 --> 00:01:21.240 Sasa barikiwa wakati una jifunza Aina hii ya maombi 00:01:21.240 --> 00:01:28.640 Aina ya mfungo unaovuta uelekeo wa Mungu 00:01:28.640 --> 00:01:31.840 Hebu tuangalie 00:01:31.840 --> 00:01:37.240 Kama hutaki shetani akutumikishe, Tafadhali fanyia kazi tabia yako 00:01:37.240 --> 00:01:41.320 Hii ina maana kuanzia Leo, usianze kumuambia Mungu 'niponye' 00:01:41.320 --> 00:01:47.480 Kemea udhaifu wako 00:01:47.480 --> 00:01:51.120 Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nibariki' 00:01:51.120 --> 00:01:56.080 Kemea udhaifu wako 00:01:56.080 --> 00:01:59.080 Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nilinde' 00:01:59.080 --> 00:02:01.000 Watu wananifatilia, Wanataka kuniua 00:02:01.000 --> 00:02:02.120 Unapoteza muda wako 00:02:02.120 --> 00:02:07.080 Nenda moja kwa moja - Kemea udhaifu wako 00:02:07.080 --> 00:02:10.520 Hiyo ni njia anayo tumia shetani, kuingia 00:02:10.520 --> 00:02:12.840 Kukutesa na umasikini 00:02:12.840 --> 00:02:15.160 Kukutesa na kutojiamini 00:02:15.160 --> 00:02:16.720 Kukutesa na magonjwa 00:02:16.720 --> 00:02:18.760 Kukutesa na chochote unachokiongelea 00:02:18.760 --> 00:02:21.720 Anatumia udhaifu wetu kutuingia 00:02:21.720 --> 00:02:29.040 Ukifunga huo mlango, shetani hayupo tena 00:02:29.040 --> 00:02:38.920 Kaka njoo, niyakusumbua Leo, sababu Hua unanisumbua 00:02:38.920 --> 00:02:45.640 Simama hapa kaka, Tafadhali simama 00:02:45.640 --> 00:02:51.040 Simama hapa 00:02:51.040 --> 00:02:59.480 Huyu mtu atapita hapa Kuja kwanhi 00:02:59.480 --> 00:03:05.280 Lakini sisi wawili tukiwa karibu Sana, Hakuna njia ya yeye kupita 00:03:05.280 --> 00:03:18.320 Ina maana unaishi kwa ukamilfu-wingi wa maisha 00:03:18.320 --> 00:03:21.880 Kilicho kizuri ni kufunga hiyo 00:03:21.880 --> 00:03:23.600 Huo udhaifu 00:03:23.600 --> 00:03:31.040 Hapa ni mlango wa udhaifu, kwa mtu huyu kupitia na kuja 00:03:31.040 --> 00:03:33.640 Na mateso ya umasikini 00:03:33.640 --> 00:03:35.400 Mateso ya magonjwa 00:03:35.400 --> 00:03:43.280 Mateso ya kurudishwa nyuma - taja kila Aina ya mateso 00:03:43.280 --> 00:03:45.440 Hapa ni Mahali pa kupita 00:03:45.440 --> 00:03:51.920 Badala ya kusema 'Mungu niponye' 00:03:51.920 --> 00:03:54.560 Inaleta maana yoyote kusema 'Mungu niponye?' 00:03:54.560 --> 00:04:03.960 Kwanini usifunge njia na uwe na Maisha mazuri 00:04:03.960 --> 00:04:05.880 Lakini tunaendelea kusema 'niponye' 00:04:05.880 --> 00:04:07.400 Unapokua magonjwa unasema 'niponye' 00:04:07.400 --> 00:04:09.880 Unapokua maskini unasema 'nibariki' 00:04:09.880 --> 00:04:13.000 Unapokua tasa unasema 'nibariki na uzao' 00:04:13.000 --> 00:04:17.080 Hapana, Mungu anajua Hali yako 00:04:17.080 --> 00:04:20.400 Unapoanza kumuambia Mungu 'nataka kwenda kule' 00:04:20.400 --> 00:04:24.280 Ina maanisha kusema Mungu ni kipofu 00:04:24.280 --> 00:04:27.440 Mungu alie kuumba anakujua 00:04:27.440 --> 00:04:30.480 Anajua pasipo Mahali Palo, anajua mawazo yako 00:04:30.480 --> 00:04:34.520 Na wewe unamwambia 'mimi ni maskini, nibariki' 00:04:34.520 --> 00:04:36.720 Inaleta maana? 00:04:36.720 --> 00:04:43.680 Unasema nini Sasa? Kufanya na kutengeneza Maisha yako 00:04:43.680 --> 00:04:46.400 Inabidi uimarishe Maisha yako 00:04:46.400 --> 00:04:52.080 Maisha mengi yame chomolewa kutoka wa Muumbaji 00:04:52.080 --> 00:05:03.160 Ili kuimarisha Maisha Tena, lazima tukemee udhaifu wetu 00:05:03.160 --> 00:05:08.560 Hiki ndicho Mungu alimuambia Mtume Paul 00:05:08.560 --> 00:05:16.840 Mara Tatu alimuambia 'niponye Nina mwiba kwenye mwili wangu' 00:05:16.840 --> 00:05:20.040 Kila Muda Mungu alimuambia 'NEEMA yangu inakutosha' 00:05:20.040 --> 00:05:30.520 Hii ina maana 'Ukamilifu wangu unakutosha' 00:05:30.520 --> 00:05:35.240 Kila Muda mtume Paul alisema'niponye' Mungu alisema Neema yangu yakutosha 00:05:35.240 --> 00:05:44.320 Ina maana tafuta Kwanza ufalme. Uponyaji, baraka, na kila kitu kitaongezwa 00:05:44.320 --> 00:05:53.280 Mungu anatumia Paul kama mfano kwetu sote 00:05:53.280 --> 00:05:56.960 Hatukusikia chochote baada ya Mungu kutamka Neno lile 00:05:56.960 --> 00:05:58.680 'NEEMA yangu yakutosha 00:05:58.680 --> 00:06:00.320 Hakuna rekodi kuhusu hiyo tena 00:06:00.320 --> 00:06:06.200 Hatukuwahi kusikia ugonjwa huo ndio ulio muua Paul 00:06:06.200 --> 00:06:11.320 Na Paulo aillishi umri alio ahidiwa na Mungu 00:06:11.320 --> 00:06:15.640 Nini changamoto yako Sasa? Udhaifu 00:06:15.640 --> 00:06:23.400 Mwambie jirani yako "changamoto yangu ni udhaifu" sio ugumu wa Maisha 00:06:23.400 --> 00:06:28.600 Sio magonjwa. Sio masumbuko 00:06:28.600 --> 00:06:32.600 Changamoto yangu ni udhaifu wangu 00:06:32.600 --> 00:06:36.320 Hiyo ndio changamoto yako 00:06:36.320 --> 00:06:41.120 Kama ungekua unaombea Hilo kwa muda 00:06:41.120 --> 00:06:44.080 Hali yako isingebaki hivyo 00:06:44.080 --> 00:06:56.800 Kwa ufupi, maombi yako kuanzia Leo yawe ni dhidi ya udhaifu wako 00:06:56.800 --> 00:07:00.600 Mimi ni maskini - Mungu anajua 00:07:00.600 --> 00:07:04.360 Naumwa--Mungu anajua 00:07:04.360 --> 00:07:06.880 Mimi ni tasa - Mungu anajua 00:07:06.880 --> 00:07:09.640 Changamoto yoyote uliyonayo Mungu anaijua 00:07:09.640 --> 00:07:12.400 Sio lazima kuipa jina 00:07:12.400 --> 00:07:17.080 Nipo hivi, nahitaji hivi 00:07:17.080 --> 00:07:21.960 Ziba njia ambayo shetani anatumia kukutesa 00:07:21.960 --> 00:07:29.880 Ziba njia ambayo shetani anatumia kukuumiza ambayo ni udhaifu 00:07:29.880 --> 00:07:31.800 Anatumia udhaifu wetu kutudhuru 00:07:31.800 --> 00:07:33.480 Anatumia madhaifu yetu kutushambulia 00:07:33.480 --> 00:07:36.160 Anatumia madhaifu yetu kutupiga 00:07:36.160 --> 00:07:39.760 Huo ni udhaifu, omba dhidi ya udhaifu wako 00:07:39.760 --> 00:07:46.440 Na pale mlango huu utazimbwa, vitu vingine vitaongezeka kwako 00:07:46.440 --> 00:07:48.520 Kitu kimoja kuhusu udhaifu 00:07:48.520 --> 00:07:52.400 Unapofungua mdomo na kusema 'Mungu naongea sana' 00:07:52.400 --> 00:07:57.160 Tafadhali naomba neema sitaki kuongea sana 00:07:57.160 --> 00:08:02.680 Baada ya maombi kama mwanadamu utataka kujaribu kile ulichokiombea 00:08:02.680 --> 00:08:05.280 Unapenda na kutaka kuanza kuongea sana 00:08:05.280 --> 00:08:12.240 Utakumbuka kwamba uliomba dhidi yake 00:08:12.240 --> 00:08:16.040 Kama mtu akisema TB Joshua unasemaje kuhusu hili? 00:08:16.040 --> 00:08:22.440 Usijali - nitakuona baadae 00:08:22.440 --> 00:08:24.560 Sababu hutaki kuongea sana 00:08:24.560 --> 00:08:31.280 Sababu ni mjinga tu, ataomba dhidi ya udhaifu wa kuongea sana 00:08:31.280 --> 00:08:35.720 Na baada ya maombi unaendelea kuongea sana 00:08:35.720 --> 00:08:38.120 Unaombea Tena, Bwana sitaki kuongea sana 00:08:38.120 --> 00:08:41.600 Kwa muda unavyo endelea kuombea dhidi yake 00:08:41.600 --> 00:08:47.160 Unatakiwa kuanza kuishi kile unacho kiombea 00:08:47.160 --> 00:08:51.360 Mwambie jirani yako, ishi Maisha ya maombi yako 00:08:51.360 --> 00:08:56.160 Ambayo ni, unayoomba kwenye maombi, Anza kuyaishi 00:08:56.160 --> 00:08:58.160 'sitaki kuongea sana' 00:08:58.160 --> 00:09:03.280 Baada ya maombi ' Nita ishi Maisha ya kutoongea sana' 00:09:03.280 --> 00:09:12.240 Ukitaka kufunga, mfungo inaleta jibu kutoka kwa Mungu 00:09:12.240 --> 00:09:19.200 Wala hauto hitaji Mungu kukuhuburia uende kugunga 00:09:19.200 --> 00:09:23.360 Muda wowote unapoamua kufunga dhidi ya udhaifu wako Mungu anajibu 00:09:23.360 --> 00:09:26.440 Kama naongea N wewe naomba kuona mikono wako 00:09:26.440 --> 00:09:31.800 Lakini mifungo mwingine, yeyote _ unaenda mlimani kufunga kwasababu wewe ni masikini 00:09:31.800 --> 00:09:33.560 Na unataka Mungu akubariki na upenyo 00:09:33.560 --> 00:09:37.360 Ukikaa vichakani na kuanza kuomba kwa siku nne 00:09:37.360 --> 00:09:45.120 Hata kwa siku 100 utakufa huko 00:09:45.120 --> 00:09:54.360 Nenda na Funga dhidi ya udhaifu wako na utapata majibu ya moja kwa moja 00:09:54.360 --> 00:10:02.800 Mungu anajibu hapopapo sababu anataka mtu wa kujenga mahusiano 00:10:02.800 --> 00:10:05.280 Unapojenga mahusiano yako 00:10:05.280 --> 00:10:09.240 'naongea sana' sitaki kuongea sana - Mungu Ana furaha siku zote 00:10:09.240 --> 00:10:14.520 Anachohitaji Mungu ni mahusiano yetu Na Yake, sio Yale tunayofanya 00:10:14.520 --> 00:10:18.600 Nenda kafunge- vitu vingine vote utajumlishiwa 00:10:18.600 --> 00:10:25.160 Muda wote utakapopata muda wa kufunga sababu ya madhaifu yako 00:10:25.160 --> 00:10:28.000 Ni majibu ya moja kwa moja 00:10:28.000 --> 00:10:33.840 Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo 00:10:33.840 --> 00:10:38.600 Jaribu hili kuanzia leo 00:10:38.600 --> 00:10:45.720 Ukaipata siku ukafunga kuanzia asubuhi hadi jioni sababu ya madhaifu yako 00:10:45.720 --> 00:10:53.280 Utakuja hapa na ushuhuda 00:10:53.280 --> 00:11:00.320 Ndoto unazoota - kupitia udhaifu shetani Anakuja kukuvamia 00:11:00.320 --> 00:11:02.480 Ugumu unaopitia 00:11:02.480 --> 00:11:06.920 Shetani anapitia udhaifu kukupiga na roho ya ugumu 00:11:06.920 --> 00:11:09.160 Ugonjwa ulio nao sasa 00:11:09.160 --> 00:11:15.040 Ni kupitia udhaifu wako, shetani anakuvamia na roho ya magonjwa 00:11:15.040 --> 00:11:18.760 Ugumba_kupitia udhaifu 00:11:18.760 --> 00:11:22.800 Tafadhali ziba mlango huo - omba dhidi yake 00:11:22.800 --> 00:11:25.240 Acha haya yawe ni maombi yako 00:11:25.240 --> 00:11:35.240 Kwa hili Nina furaha kwa ajili ya Maisha yako 00:11:35.720 --> 00:11:40.920 Kama mtu ni mkristo, tukienda zaidi kuangalia Maisha yake 00:11:40.920 --> 00:11:44.360 Sehemu yenye udhaifu 00:11:44.360 --> 00:11:47.360 Kuna mahala utaona tu 00:11:47.360 --> 00:11:51.320 Sasa tunaangalia katika viwango vyao 00:11:51.320 --> 00:11:53.720 Kwa muda gani wa naomba? 00:11:53.720 --> 00:11:56.520 Kwa muda gani wanapata Hasira 00:11:56.520 --> 00:11:59.480 Je wanayo tamaa au udhaifu wowote 00:11:59.480 --> 00:12:05.440 Inaweza kua tamaa, hasira, kutokusamehe, chuki au majigambo 00:12:05.440 --> 00:12:08.960 Inuka 00:12:08.960 --> 00:12:13.960 Hili sio funzo? 00:12:13.960 --> 00:12:18.440 Ndio maana ni Kasema simama na simama kwa ajili ya Yesu 00:12:18.440 --> 00:12:21.800 Tutasimama na kumuacha yeye aongee 00:12:21.800 --> 00:12:27.440 Ina mafunzo Sana, andika, umesikia hayo? 00:12:27.440 --> 00:12:31.000 Ameonge kuhusu, matunda ya mwilini 00:12:31.000 --> 00:12:35.480 Amesema Kuna Sehemu lazima.... Hilo eneo 00:12:35.480 --> 00:12:39.320 OK, Anza ulipoishia sasa 00:12:39.320 --> 00:12:44.080 Inaweza kua hasira, majivuno au kujisifu 00:12:44.080 --> 00:12:48.280 Mfano mzuri, kama mtu Ana majigambo, unatumiaje hayo majivuno 00:12:48.280 --> 00:12:51.320 Unapenyaje kwenye hayo majigambo 00:12:51.320 --> 00:12:54.440 Mfano kama tatizo ni majivuno 00:12:54.440 --> 00:13:00.280 Tunatengeneza Hali itakayo mfanya kijigamba zaidi 00:13:00.280 --> 00:13:06.400 Kujiongelea, maendeleo Yake na Yale alio vuna 00:13:06.400 --> 00:13:11.880 Katika eneo Hilo la udhaifu, tuna kuza Hilo eneo 00:13:11.880 --> 00:13:17.720 Ili ujisahau katika Hilo na sisi tunapata nafasi ya kufanya mambo yetu 00:13:17.720 --> 00:13:21.440 Pigia Yesu makofi 00:13:21.440 --> 00:13:23.360 Umesikia hayo 00:13:23.360 --> 00:13:27.400 Hiyo ni majivuno, tuna tumia majivuno na kuingia 00:13:27.400 --> 00:13:32.840 Sasa una Anza kua na majivuno na majigambo 00:13:32.840 --> 00:13:47.880 Hiyo inatosha kikuangusha, kukutega kwenye nyavu 00:13:47.880 --> 00:13:49.920 Endelea 00:13:49.920 --> 00:13:52.440 Halafu tutatumia hio 00:13:52.440 --> 00:13:57.000 Wakati wewe umeshikiliwa katika udhaifu wako 00:13:57.000 --> 00:14:00.480 Halafu tunaingia na kufanya Yale tunayo yafanya 00:14:00.480 --> 00:14:01.800 Halafu tunakupata tu mwishoni 00:14:01.800 --> 00:14:03.240 Unataka kufanya nini? 00:14:03.240 --> 00:14:08.240 Labda tukitaka kuvunja ndoa 00:14:08.240 --> 00:14:13.160 Nio, tunataka huyu mwanaume kumuacha mkewe 00:14:13.160 --> 00:14:18.760 Na kumuoa huyu mwanaume amabye ni mteja wangu 00:14:18.760 --> 00:14:21.560 Na umefanikiwa kufanya hayo kwa wengi? 00:14:21.560 --> 00:14:25.560 Tumefanikiwa kufanya hayo mara nyingi 00:14:25.560 --> 00:14:27.880 Wakristo wengi,kama hivyo 00:14:27.880 --> 00:14:30.760 Wakristo wengi kama hivyo 00:14:30.760 --> 00:14:36.320 Umesikiliza kile anachokiongea? 00:14:36.320 --> 00:14:41.680 Anatumia neno- hakuna alie mkamilifu, hata mmoja 00:14:41.680 --> 00:14:44.320 Hiyo ni Kona wanayotumia 00:14:44.320 --> 00:14:54.000 Anglia Paulo alichosema"nijapokua sina nguvu nipo imara" 00:14:54.000 --> 00:15:01.360 Katika mkutano wetu wa mwisho nilitumia neno- mateso 00:15:01.360 --> 00:15:08.080 Mateso uetu ni kwaajili ya faida ya kiroho 00:15:08.080 --> 00:15:17.040 Namaanisha - muda mwingine tujaribiwa 00:15:17.040 --> 00:15:22.880 I'll tujifunze kuomba zaidi 00:15:22.880 --> 00:15:29.680 Sasa, anasema kwamba majivuno no udhaifu wako 00:15:29.680 --> 00:15:34.000 Na mstari wako wa maombi bado upo pale 00:15:34.000 --> 00:15:38.840 Jinsi unavyo jaribiwa na majivuno, unaomba zaidi 00:15:38.840 --> 00:15:45.440 Halafu hawawezi tena kutimia Kona hiyo dhidi yako 00:15:45.440 --> 00:15:48.400 Labda wafunge nguvu ya kuomba 00:15:48.400 --> 00:15:54.240 Nguvu ya kuomba ikifungwa, majivuno yanazidi 00:15:54.240 --> 00:15:57.640 Unaangamizwa zaidi 00:15:57.640 --> 00:16:02.040 Majivuno zaidi, uharibifu zaidi 00:16:02.040 --> 00:16:07.880 Lakini kama nguvu ya maombi haijafungwa 00:16:07.880 --> 00:16:19.000 Majivuno yanapokuja, unazidi kuomba 00:16:19.000 --> 00:16:27.360 Nia Yao, kutimia na kusudi la udhaifu ni kukutupa kama mkristo 00:16:27.360 --> 00:16:34.120 Lakini badala ya kukutupa, linazidi kukupa nguvu 00:16:34.120 --> 00:16:41.720 Wamepotea 00:16:41.720 --> 00:16:44.200 Upo pamoja nami? 00:16:44.200 --> 00:16:50.840 Sasa, nataka kubeba hii, kusukuma hii 00:16:50.840 --> 00:16:59.960 Upaojaribu kinizuia nisisukume, ndivyo ninapo zidi kusukuma 00:16:59.960 --> 00:17:04.920 Unaweza kuona kusudi la kunisukuma, limeshindwa 00:17:04.920 --> 00:17:07.480 Hivyo hamna haja ya kunisukuma 00:17:07.480 --> 00:17:14.120 Sababu ya shetani kutumia udhaifu 00:17:14.120 --> 00:17:18.040 Kwa kawaida anatumia udhaifu kama chambo 00:17:18.040 --> 00:17:27.000 Sasa kama majaribu yanapozidi kuja, ndivyo unazidi 00:17:27.000 --> 00:17:36.320 Ndo maama ya majaribu yanakuja kwa faida za kiroho 00:17:36.320 --> 00:17:40.840 Mateso yanaweza kua majaribu, umasikini,uvamizi nk 00:17:40.840 --> 00:17:46.080 Lakini yanapokuja ni kwaajili ya faida za kiroho 00:17:46.080 --> 00:17:56.000 Unaomba zaidi, unafunga zaidi, na kutafuta uso wa Mungu zaidi. 00:17:56.000 --> 00:18:00.400 Sasa anasema kua wanaangalia udhaifu 00:18:00.400 --> 00:18:06.920 Kama udhaifu wako ni huo na nguvu zako za maombi zipo 00:18:06.920 --> 00:18:11.960 Uvamizi unapokuja Una omba zaidi 00:18:11.960 --> 00:18:22.800 Hawana haki juu yako 00:18:22.800 --> 00:18:24.560 Lakini kama nguvu ya maombi imefungwa 00:18:24.560 --> 00:18:32.360 Wakichukua nguvu zako za maombi wamechukua maisha yako 00:18:32.360 --> 00:18:38.680 Ndo maana biblia inasema "hakuna kinachonitenga" 00:18:38.680 --> 00:18:39.880 Inamanisha 00:18:39.880 --> 00:18:44.280 Udhaifu? Hapana, kama nguvu zako za maombi zipo 00:18:44.280 --> 00:18:50.440 Lakini kama nguvu zako za maombi imefungwa, udhaifu unakutenganisha na Mungu 00:18:50.440 --> 00:18:54.720 Kama naongea na wewe, inua mkono 00:18:54.720 --> 00:19:00.640 Kama nguvu zako za maombi imefungwa udhaifu unakutenganisha na Mungu 00:19:00.640 --> 00:19:03.720 Lakini kama nguvu zako za maombi zipo hakuna kinachokutenga na Mungu 00:19:03.720 --> 00:19:05.520 Hivyo ndivyo Paulo alivyo maanisha 00:19:05.520 --> 00:19:09.280 Alisema" nini kitanitenganisha? Je ni mwimba? Hapana 00:19:09.280 --> 00:19:14.000 Je udhaifu? Je ni chuki 00:19:14.000 --> 00:19:20.560 Alisema hakuna cha kunitenganisha nae, sababu nguvu zako za maombi zilikuepo 00:19:20.560 --> 00:19:31.480 Lakini wanapofunga nguvu yako ya maombi, huwezi kuomba tena, umekwisha 00:19:31.480 --> 00:19:38.800 Tutaongelea hayo, mnaweza kukaa 00:19:38.800 --> 00:19:42.280 Angalia kesi ya Paulo 00:19:42.280 --> 00:19:45.200 Alimlilia Mungu mara Tatu, sio moja 00:19:45.200 --> 00:19:48.720 Mara Tatu maana yake mara Mia tatu 00:19:48.720 --> 00:19:51.920 Kila muda inamaana mara Mia moja 00:19:51.920 --> 00:19:55.480 Mara nyingi alimkimbilia Mungu 00:19:55.480 --> 00:20:01.160 Yesu niokoe, niponye, nibariki, niokoe 00:20:01.160 --> 00:20:09.840 Mara ngapi umemlilia Mungu kwa Jambo lako na kukata tamaa 00:20:09.840 --> 00:20:19.080 00:20:19.080 --> 00:20:24.400 00:20:24.400 --> 00:20:28.920 00:20:28.920 --> 00:20:34.240 00:20:34.240 --> 00:20:37.960 00:20:37.960 --> 00:20:43.520 00:20:43.520 --> 00:20:48.480 00:20:48.480 --> 00:20:55.200 00:20:55.200 --> 00:21:00.640 00:21:00.640 --> 00:21:04.240 00:21:04.240 --> 00:21:06.960 00:21:06.960 --> 00:21:10.160 00:21:10.160 --> 00:21:14.000 00:21:14.000 --> 00:21:20.200 00:21:20.200 --> 00:21:27.040 00:21:27.040 --> 00:21:33.400 00:21:33.400 --> 00:21:39.520 00:21:39.520 --> 00:21:41.040 00:21:41.040 --> 00:21:50.880 00:21:50.880 --> 00:22:03.720 00:22:03.720 --> 00:22:11.080 00:22:11.080 --> 00:22:13.960 00:22:13.960 --> 00:22:16.960 00:22:18.560 --> 00:22:19.920 00:22:19.920 --> 00:22:21.680 00:22:21.680 --> 00:22:25.560 00:22:25.560 --> 00:22:29.760 00:22:29.760 --> 00:22:32.680 00:22:32.680 --> 00:22:38.600 00:22:38.600 --> 00:22:41.240 00:22:41.240 --> 00:22:45.360 00:22:45.360 --> 00:22:51.760 00:22:51.760 --> 00:23:02.840 00:23:02.840 --> 00:23:11.320 00:23:11.320 --> 00:23:14.080 00:23:14.080 --> 00:23:20.480 00:23:20.480 --> 00:23:26.600 00:23:26.600 --> 00:23:28.960 00:23:28.960 --> 00:23:35.080 00:23:35.080 --> 00:23:42.240 00:23:42.240 --> 00:23:48.680 00:23:48.680 --> 00:23:52.400 00:23:52.400 --> 00:23:57.400 00:23:57.400 --> 00:23:59.880 00:23:59.880 --> 00:24:05.720 00:24:05.720 --> 00:24:13.440 00:24:13.440 --> 00:24:18.600 00:24:18.600 --> 00:24:23.240 00:24:23.240 --> 00:24:29.640 00:24:29.640 --> 00:24:31.920 00:24:31.920 --> 00:24:36.600 00:24:36.600 --> 00:24:41.560 00:24:41.560 --> 00:24:48.920 00:24:48.920 --> 00:24:55.000 00:24:55.000 --> 00:25:00.320 00:25:00.320 --> 00:25:05.760 00:25:05.760 --> 00:25:12.040 00:25:12.040 --> 00:25:15.720 00:25:15.720 --> 00:25:21.560 00:25:21.560 --> 00:25:26.240 00:25:26.240 --> 00:25:29.520 00:25:29.520 --> 00:25:36.080 00:25:36.080 --> 00:25:40.000 00:25:40.000 --> 00:25:44.120 00:25:44.120 --> 00:25:45.320 00:25:45.320 --> 00:25:49.840 00:25:49.840 --> 00:25:52.480 00:25:52.480 --> 00:25:56.000 00:25:56.000 --> 00:26:00.920 00:26:00.920 --> 00:26:03.880 00:26:03.880 --> 00:26:08.440 00:26:08.440 --> 00:26:11.880 00:26:11.880 --> 00:26:19.440