0:00:00.000,0:00:05.840 Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo? 0:00:05.840,0:00:07.800 Jaribu haya kuanzia leo 0:00:07.800,0:00:13.520 Wow! Mungu wangu utakua hapa na ushuhuda 0:00:15.440,0:00:19.880 NEEMA na Amani kwenu katika Jina la Yesu 0:00:19.880,0:00:25.440 Karibu katika kipindi kingine cha 'Urithi unaoishi' 0:00:25.440,0:00:30.880 Leo tunawaletea maonesho mawili kutoka kwa Nabii TB Joshua 0:00:30.880,0:00:37.320 Akiongelea Mada muhimu Sana na yenye maelekezo 0:00:37.320,0:00:41.480 Ambayo itakusaidia Maisha yako ya ukristo 0:00:41.480,0:00:44.520 Onyesho la Kwanza limechukuliwa katikati ya ibada 0:00:44.520,0:00:49.480 Na ya pili imeoneshwa katikati ya ushuhuda 0:00:49.480,0:00:53.520 Kutoka kwa binti wa Afrika ya kusini, aliepokea uponyaji 0:00:53.520,0:00:59.400 Kutoka kwenye nguvu za giza zilizo mpeleka kwenye uchawi 0:00:59.400,0:01:04.800 Na wakati Nabii TB Joshua anasikiliza ushuhuda wake 0:01:04.800,0:01:09.640 Alitumia uzoefu wa Maisha Yake kama fursa 0:01:09.640,0:01:15.440 Kufundisha watu kanuni hii muhimu 0:01:15.440,0:01:21.240 Sasa barikiwa wakati una jifunza Aina hii ya maombi 0:01:21.240,0:01:28.640 Aina ya mfungo unaovuta uelekeo wa Mungu 0:01:28.640,0:01:31.840 Hebu tuangalie 0:01:31.840,0:01:37.240 Kama hutaki shetani akutumikishe, Tafadhali fanyia kazi tabia yako 0:01:37.240,0:01:41.320 Hii ina maana kuanzia Leo, usianze kumuambia Mungu 'niponye' 0:01:41.320,0:01:47.480 Kemea udhaifu wako 0:01:47.480,0:01:51.120 Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nibariki' 0:01:51.120,0:01:56.080 Kemea udhaifu wako 0:01:56.080,0:01:59.080 Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nilinde' 0:01:59.080,0:02:01.000 Watu wananifatilia, Wanataka kuniua 0:02:01.000,0:02:02.120 Unapoteza muda wako 0:02:02.120,0:02:07.080 Nenda moja kwa moja - Kemea udhaifu wako 0:02:07.080,0:02:10.520 Hiyo ni njia anayo tumia shetani, kuingia 0:02:10.520,0:02:12.840 Kukutesa na umasikini 0:02:12.840,0:02:15.160 Kukutesa na kutojiamini 0:02:15.160,0:02:16.720 Kukutesa na magonjwa 0:02:16.720,0:02:18.760 Kukutesa na chochote unachokiongelea 0:02:18.760,0:02:21.720 Anatumia udhaifu wetu kutuingia 0:02:21.720,0:02:29.040 Ukifunga huo mlango, shetani hayupo tena 0:02:29.040,0:02:38.920 Kaka njoo, niyakusumbua Leo, sababu Hua unanisumbua 0:02:38.920,0:02:45.640 Simama hapa kaka, Tafadhali simama 0:02:45.640,0:02:51.040 Simama hapa 0:02:51.040,0:02:59.480 Huyu mtu atapita hapa Kuja kwanhi 0:02:59.480,0:03:05.280 Lakini sisi wawili tukiwa karibu Sana, Hakuna njia ya yeye kupita 0:03:05.280,0:03:18.320 Ina maana unaishi kwa ukamilfu-wingi wa maisha 0:03:18.320,0:03:21.880 Kilicho kizuri ni kufunga hiyo 0:03:21.880,0:03:23.600 Huo udhaifu 0:03:23.600,0:03:31.040 Hapa ni mlango wa udhaifu, kwa mtu huyu kupitia na kuja 0:03:31.040,0:03:33.640 Na mateso ya umasikini 0:03:33.640,0:03:35.400 Mateso ya magonjwa 0:03:35.400,0:03:43.280 Mateso ya kurudishwa nyuma - taja kila Aina ya mateso 0:03:43.280,0:03:45.440 Hapa ni Mahali pa kupita 0:03:45.440,0:03:51.920 Badala ya kusema 'Mungu niponye' 0:03:51.920,0:03:54.560 Inaleta maana yoyote kusema 'Mungu niponye?' 0:03:54.560,0:04:03.960 Kwanini usifunge njia na uwe na Maisha mazuri 0:04:03.960,0:04:05.880 Lakini tunaendelea kusema 'niponye' 0:04:05.880,0:04:07.400 Unapokua magonjwa unasema 'niponye' 0:04:07.400,0:04:09.880 Unapokua maskini unasema 'nibariki' 0:04:09.880,0:04:13.000 Unapokua tasa unasema 'nibariki na uzao' 0:04:13.000,0:04:17.080 Hapana, Mungu anajua Hali yako 0:04:17.080,0:04:20.400 Unapoanza kumuambia Mungu 'nataka kwenda kule' 0:04:20.400,0:04:24.280 Ina maanisha kusema Mungu ni kipofu 0:04:24.280,0:04:27.440 Mungu alie kuumba anakujua 0:04:27.440,0:04:30.480 Anajua pasipo Mahali Palo, anajua mawazo yako 0:04:30.480,0:04:34.520 Na wewe unamwambia 'mimi ni maskini, nibariki' 0:04:34.520,0:04:36.720 Inaleta maana? 0:04:36.720,0:04:43.680 Unasema nini Sasa? Kufanya na kutengeneza Maisha yako 0:04:43.680,0:04:46.400 Inabidi uimarishe Maisha yako 0:04:46.400,0:04:52.080 Maisha mengi yame chomolewa kutoka wa Muumbaji 0:04:52.080,0:05:03.160 Ili kuimarisha Maisha Tena, lazima tukemee udhaifu wetu 0:05:03.160,0:05:08.560 Hiki ndicho Mungu alimuambia Mtume Paul 0:05:08.560,0:05:16.840 Mara Tatu alimuambia 'niponye Nina mwiba kwenye mwili wangu' 0:05:16.840,0:05:20.040 Kila Muda Mungu alimuambia 'NEEMA yangu inakutosha' 0:05:20.040,0:05:30.520 Hii ina maana 'Ukamilifu wangu unakutosha' 0:05:30.520,0:05:35.240 Kila Muda mtume Paul alisema'niponye' Mungu alisema Neema yangu yakutosha 0:05:35.240,0:05:44.320 Ina maana tafuta Kwanza ufalme. Uponyaji, baraka, na kila kitu kitaongezwa 0:05:44.320,0:05:53.280 Mungu anatumia Paul kama mfano kwetu sote 0:05:53.280,0:05:56.960 Hatukusikia chochote baada ya Mungu kutamka Neno lile 0:05:56.960,0:05:58.680 'NEEMA yangu yakutosha 0:05:58.680,0:06:00.320 Hakuna rekodi kuhusu hiyo tena 0:06:00.320,0:06:06.200 Hatukuwahi kusikia ugonjwa huo ndio ulio muua Paul 0:06:06.200,0:06:11.320 Na Paulo aillishi umri alio ahidiwa na Mungu 0:06:11.320,0:06:15.640 Nini changamoto yako Sasa? Udhaifu 0:06:15.640,0:06:23.400 Mwambie jirani yako "changamoto yangu ni udhaifu" sio ugumu wa Maisha 0:06:23.400,0:06:28.600 Sio magonjwa. Sio masumbuko 0:06:28.600,0:06:32.600 Changamoto yangu ni udhaifu wangu 0:06:32.600,0:06:36.320 Hiyo ndio changamoto yako 0:06:36.320,0:06:41.120 Kama ungekua unaombea Hilo kwa muda 0:06:41.120,0:06:44.080 Hali yako isingebaki hivyo 0:06:44.080,0:06:56.800 Kwa ufupi, maombi yako kuanzia Leo yawe ni dhidi ya udhaifu wako 0:06:56.800,0:07:00.600 Mimi ni maskini - Mungu anajua 0:07:00.600,0:07:04.360 Naumwa--Mungu anajua 0:07:04.360,0:07:06.880 Mimi ni tasa - Mungu anajua 0:07:06.880,0:07:09.640 Changamoto yoyote uliyonayo Mungu anaijua 0:07:09.640,0:07:12.400 Sio lazima kuipa jina 0:07:12.400,0:07:17.080 Nipo hivi, nahitaji hivi 0:07:17.080,0:07:21.960 Ziba njia ambayo shetani anatumia kukutesa 0:07:21.960,0:07:29.880 Ziba njia ambayo shetani anatumia kukuumiza ambayo ni udhaifu 0:07:29.880,0:07:31.800 Anatumia udhaifu wetu kutudhuru 0:07:31.800,0:07:33.480 Anatumia madhaifu yetu kutushambulia 0:07:33.480,0:07:36.160 Anatumia madhaifu yetu kutupiga 0:07:36.160,0:07:39.760 Huo ni udhaifu, omba dhidi ya udhaifu wako 0:07:39.760,0:07:46.440 Na pale mlango huu utazimbwa, vitu vingine vitaongezeka kwako 0:07:46.440,0:07:48.520 Kitu kimoja kuhusu udhaifu 0:07:48.520,0:07:52.400 Unapofungua mdomo na kusema 'Mungu naongea sana' 0:07:52.400,0:07:57.160 Tafadhali naomba neema sitaki kuongea sana 0:07:57.160,0:08:02.680 Baada ya maombi kama mwanadamu utataka kujaribu kile ulichokiombea 0:08:02.680,0:08:05.280 Unapenda na kutaka kuanza kuongea sana 0:08:05.280,0:08:12.240 Utakumbuka kwamba uliomba dhidi yake 0:08:12.240,0:08:16.040 Kama mtu akisema TB Joshua unasemaje kuhusu hili? 0:08:16.040,0:08:22.440 Usijali - nitakuona baadae 0:08:22.440,0:08:24.560 Sababu hutaki kuongea sana 0:08:24.560,0:08:31.280 Sababu ni mjinga tu, ataomba dhidi ya udhaifu wa kuongea sana 0:08:31.280,0:08:35.720 Na baada ya maombi unaendelea kuongea sana 0:08:35.720,0:08:38.120 Unaombea Tena, Bwana sitaki kuongea sana 0:08:38.120,0:08:41.600 Kwa muda unavyo endelea kuombea dhidi yake 0:08:41.600,0:08:47.160 Unatakiwa kuanza kuishi kile unacho kiombea 0:08:47.160,0:08:51.360 Mwambie jirani yako, ishi Maisha ya maombi yako 0:08:51.360,0:08:56.160 Ambayo ni, unayoomba kwenye maombi, Anza kuyaishi 0:08:56.160,0:08:58.160 'sitaki kuongea sana' 0:08:58.160,0:09:03.280 Baada ya maombi ' Nita ishi Maisha ya kutoongea sana' 0:09:03.280,0:09:12.240 Ukitaka kufunga, mfungo inaleta jibu kutoka kwa Mungu 0:09:12.240,0:09:19.200 Wala hauto hitaji Mungu kukuhuburia uende kugunga 0:09:19.200,0:09:23.360 Muda wowote unapoamua kufunga dhidi ya udhaifu wako Mungu anajibu 0:09:23.360,0:09:26.440 Kama naongea N wewe naomba kuona mikono wako 0:09:26.440,0:09:31.800 Lakini mifungo mwingine, yeyote _ unaenda mlimani kufunga kwasababu wewe ni masikini 0:09:31.800,0:09:33.560 Na unataka Mungu akubariki na upenyo 0:09:33.560,0:09:37.360 Ukikaa vichakani na kuanza kuomba kwa siku nne 0:09:37.360,0:09:45.120 Hata kwa siku 100 utakufa huko 0:09:45.120,0:09:54.360 Nenda na Funga dhidi ya udhaifu wako na utapata majibu ya moja kwa moja 0:09:54.360,0:10:02.800 Mungu anajibu hapopapo sababu anataka mtu wa kujenga mahusiano 0:10:02.800,0:10:05.280 Unapojenga mahusiano yako 0:10:05.280,0:10:09.240 'naongea sana' sitaki kuongea sana - Mungu Ana furaha siku zote 0:10:09.240,0:10:14.520 Anachohitaji Mungu ni mahusiano yetu Na Yake, sio Yale tunayofanya 0:10:14.520,0:10:18.600 Nenda kafunge- vitu vingine vote utajumlishiwa 0:10:18.600,0:10:25.160 Muda wote utakapopata muda wa kufunga sababu ya madhaifu yako 0:10:25.160,0:10:28.000 Ni majibu ya moja kwa moja 0:10:28.000,0:10:33.840 Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo 0:10:33.840,0:10:38.600 Jaribu hili kuanzia leo 0:10:38.600,0:10:45.720 Ukaipata siku ukafunga kuanzia asubuhi hadi jioni sababu ya madhaifu yako 0:10:45.720,0:10:53.280 Utakuja hapa na ushuhuda 0:10:53.280,0:11:00.320 Ndoto unazoota - kupitia udhaifu shetani Anakuja kukuvamia 0:11:00.320,0:11:02.480 Ugumu unaopitia 0:11:02.480,0:11:06.920 Shetani anapitia udhaifu kukupiga na roho ya ugumu 0:11:06.920,0:11:09.160 Ugonjwa ulio nao sasa 0:11:09.160,0:11:15.040 Ni kupitia udhaifu wako, shetani anakuvamia na roho ya magonjwa 0:11:15.040,0:11:18.760 Ugumba_kupitia udhaifu 0:11:18.760,0:11:22.800 Tafadhali ziba mlango huo - omba dhidi yake 0:11:22.800,0:11:25.240 Acha haya yawe ni maombi yako 0:11:25.240,0:11:35.240 Kwa hili Nina furaha kwa ajili ya Maisha yako 0:11:35.720,0:11:40.920 Kama mtu ni mkristo, tukienda zaidi kuangalia Maisha yake 0:11:40.920,0:11:44.360 Sehemu yenye udhaifu 0:11:44.360,0:11:47.360 Kuna mahala utaona tu 0:11:47.360,0:11:51.320 Sasa tunaangalia katika viwango vyao 0:11:51.320,0:11:53.720 Kwa muda gani wa naomba? 0:11:53.720,0:11:56.520 Kwa muda gani wanapata Hasira 0:11:56.520,0:11:59.480 Je wanayo tamaa au udhaifu wowote 0:11:59.480,0:12:05.440 Inaweza kua tamaa, hasira, kutokusamehe, chuki au majigambo 0:12:05.440,0:12:08.960 Inuka 0:12:08.960,0:12:13.960 Hili sio funzo? 0:12:13.960,0:12:18.440 Ndio maana ni Kasema simama na simama kwa ajili ya Yesu 0:12:18.440,0:12:21.800 Tutasimama na kumuacha yeye aongee 0:12:21.800,0:12:27.440 Ina mafunzo Sana, andika, umesikia hayo? 0:12:27.440,0:12:31.000 Ameonge kuhusu, matunda ya mwilini 0:12:31.000,0:12:35.480 Amesema Kuna Sehemu lazima.... Hilo eneo 0:12:35.480,0:12:39.320 OK, Anza ulipoishia sasa 0:12:39.320,0:12:44.080 Inaweza kua hasira, majivuno au kujisifu 0:12:44.080,0:12:48.280 Mfano mzuri, kama mtu Ana majigambo, unatumiaje hayo majivuno 0:12:48.280,0:12:51.320 Unapenyaje kwenye hayo majigambo 0:12:51.320,0:12:54.440 Mfano kama tatizo ni majivuno 0:12:54.440,0:13:00.280 Tunatengeneza Hali itakayo mfanya kijigamba zaidi 0:13:00.280,0:13:06.400 Kujiongelea, maendeleo Yake na Yale alio vuna 0:13:06.400,0:13:11.880 Katika eneo Hilo la udhaifu, tuna kuza Hilo eneo 0:13:11.880,0:13:17.720 Ili ujisahau katika Hilo na sisi tunapata nafasi ya kufanya mambo yetu 0:13:17.720,0:13:21.440 Pigia Yesu makofi 0:13:21.440,0:13:23.360 Umesikia hayo 0:13:23.360,0:13:27.400 Hiyo ni majivuno, tuna tumia majivuno na kuingia 0:13:27.400,0:13:32.840 Sasa una Anza kua na majivuno na majigambo 0:13:32.840,0:13:47.880 Hiyo inatosha kikuangusha, kukutega kwenye nyavu 0:13:47.880,0:13:49.920 Endelea 0:13:49.920,0:13:52.440 0:13:52.440,0:13:57.000 0:13:57.000,0:14:00.480 0:14:00.480,0:14:01.800 0:14:01.800,0:14:03.240 0:14:03.240,0:14:08.240 0:14:08.240,0:14:13.160 0:14:13.160,0:14:18.760 0:14:18.760,0:14:21.560 0:14:21.560,0:14:25.560 0:14:25.560,0:14:27.880 0:14:27.880,0:14:30.760 0:14:30.760,0:14:36.320 0:14:36.320,0:14:41.680 0:14:41.680,0:14:44.320 0:14:44.320,0:14:54.000 0:14:54.000,0:15:01.360 0:15:01.360,0:15:08.080 0:15:08.080,0:15:17.040 0:15:17.040,0:15:22.880 0:15:22.880,0:15:29.680 0:15:29.680,0:15:34.000 0:15:34.000,0:15:38.840 0:15:38.840,0:15:45.440 0:15:45.440,0:15:48.400 0:15:48.400,0:15:54.240 0:15:54.240,0:15:57.640 0:15:57.640,0:16:02.040 0:16:02.040,0:16:07.880 0:16:07.880,0:16:19.000 0:16:19.000,0:16:27.360 0:16:27.360,0:16:34.120 0:16:34.120,0:16:41.720 0:16:41.720,0:16:44.200 0:16:44.200,0:16:50.840 0:16:50.840,0:16:59.960 0:16:59.960,0:17:04.920 0:17:04.920,0:17:07.480 0:17:07.480,0:17:14.120 0:17:14.120,0:17:18.040 0:17:18.040,0:17:27.000 0:17:27.000,0:17:36.320 0:17:36.320,0:17:40.840 0:17:40.840,0:17:46.080 0:17:46.080,0:17:56.000 0:17:56.000,0:18:00.400 0:18:00.400,0:18:06.920 0:18:06.920,0:18:11.960 0:18:11.960,0:18:22.800 0:18:22.800,0:18:24.560 0:18:24.560,0:18:32.360 0:18:32.360,0:18:38.680 0:18:38.680,0:18:39.880 0:18:39.880,0:18:44.280 0:18:44.280,0:18:50.440 0:18:50.440,0:18:54.720 0:18:54.720,0:19:00.640 0:19:00.640,0:19:03.720 0:19:03.720,0:19:05.520 0:19:05.520,0:19:09.280 0:19:09.280,0:19:14.000 0:19:14.000,0:19:20.560 0:19:20.560,0:19:31.480 0:19:31.480,0:19:38.800 0:19:38.800,0:19:42.280 0:19:42.280,0:19:45.200 0:19:45.200,0:19:48.720 0:19:48.720,0:19:51.920 0:19:51.920,0:19:55.480 0:19:55.480,0:20:01.160 0:20:01.160,0:20:09.840 0:20:09.840,0:20:19.080 0:20:19.080,0:20:24.400 0:20:24.400,0:20:28.920 0:20:28.920,0:20:34.240 0:20:34.240,0:20:37.960 0:20:37.960,0:20:43.520 0:20:43.520,0:20:48.480 0:20:48.480,0:20:55.200 0:20:55.200,0:21:00.640 0:21:00.640,0:21:04.240 0:21:04.240,0:21:06.960 0:21:06.960,0:21:10.160 0:21:10.160,0:21:14.000 0:21:14.000,0:21:20.200 0:21:20.200,0:21:27.040 0:21:27.040,0:21:33.400 0:21:33.400,0:21:39.520 0:21:39.520,0:21:41.040 0:21:41.040,0:21:50.880 0:21:50.880,0:22:03.720 0:22:03.720,0:22:11.080 0:22:11.080,0:22:13.960 0:22:13.960,0:22:16.960 0:22:18.560,0:22:19.920 0:22:19.920,0:22:21.680 0:22:21.680,0:22:25.560 0:22:25.560,0:22:29.760 0:22:29.760,0:22:32.680 0:22:32.680,0:22:38.600 0:22:38.600,0:22:41.240 0:22:41.240,0:22:45.360 0:22:45.360,0:22:51.760 0:22:51.760,0:23:02.840 0:23:02.840,0:23:11.320 0:23:11.320,0:23:14.080 0:23:14.080,0:23:20.480 0:23:20.480,0:23:26.600 0:23:26.600,0:23:28.960 0:23:28.960,0:23:35.080 0:23:35.080,0:23:42.240 0:23:42.240,0:23:48.680 0:23:48.680,0:23:52.400 0:23:52.400,0:23:57.400 0:23:57.400,0:23:59.880 0:23:59.880,0:24:05.720 0:24:05.720,0:24:13.440 0:24:13.440,0:24:18.600 0:24:18.600,0:24:23.240 0:24:23.240,0:24:29.640 0:24:29.640,0:24:31.920 0:24:31.920,0:24:36.600 0:24:36.600,0:24:41.560 0:24:41.560,0:24:48.920 0:24:48.920,0:24:55.000 0:24:55.000,0:25:00.320 0:25:00.320,0:25:05.760 0:25:05.760,0:25:12.040 0:25:12.040,0:25:15.720 0:25:15.720,0:25:21.560 0:25:21.560,0:25:26.240 0:25:26.240,0:25:29.520 0:25:29.520,0:25:36.080 0:25:36.080,0:25:40.000 0:25:40.000,0:25:44.120 0:25:44.120,0:25:45.320 0:25:45.320,0:25:49.840 0:25:49.840,0:25:52.480 0:25:52.480,0:25:56.000 0:25:56.000,0:26:00.920 0:26:00.920,0:26:03.880 0:26:03.880,0:26:08.440 0:26:08.440,0:26:11.880 0:26:11.880,0:26:19.440