Umekua ukifunga lakini Hakuna matokeo? Jaribu haya kuanzia leo Wow! Mungu wangu utakua hapa na ushuhuda NEEMA na Amani kwenu katika Jina la Yesu Karibu katika kipindi kingine cha 'Urithi unaoishi' Leo tunawaletea maonesho mwili kutoka kwa Nabii TB Joshua Akiongelea Mada muhimu Sana na yenye maelekezo Ambayo itakusaidia Maisha yako ya ukristo Onyesho la Kwanza limechukuliwa katikati ya ibada Na ya pili imeoneshwa katikati ya ushuhuda Kutoka kwa binti wa Afrika ya kusini, aliepokea uponyaji Kutoka kwenye nguvu za giza zilizo mpeleka kwenye uchawi Na wakati Nabii TB Joshua anasikiliza ushuhuda wake Alitumia uzoefu wa Maisha Yake kama fursa Kufundisha watu kanuni hii muhimu Sasa barikiwa wakati una jifunza Aina hii ya maombi Aina ya mfungo unaovuta uelekeo wa Mungu Hebu tuangalie Kama hutaki shetani akutumikishe, Tafadhali fanyia kazi tabia yako Hii ina maana kuanzia Leo, usianze kumuambia Mungu 'niponye' Kemea udhaifu wako Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nibariki' Kemea udhaifu wako Kuanzia Leo acha kusema 'Mungu nilinde' Watu wananifatilia, Wanataka kuniua Unapoteza muda wako Nenda moja kwa moja - Kemea udhaifu wako Hiyo ni njia anayo tumia shetani, kuingia Kukutesa na umasikini Kukutesa na kutojiamini Kukutesa na magonjwa Kukutesa na chochote unachokiongelea Anatumia udhaifu wetu kutuingia Ukifunga huo mlango, shetani hayupo tena Kaka njoo, niyakusumbua Leo, sababu Hua unanisumbua Simama hapa kaka, Tafadhali simama Simama hapa Huyu mtu atapita hapa Kuja kwanhi Lakini sisi wawili tukiwa karibu Sana, Hakuna njia ya yeye kupita Ina maana unaishi kwa ukamilfu-wingi wa maisha