WEBVTT 00:00:07.921 --> 00:00:10.361 Baada ya vita ya nuklea vya kusikitisha 00:00:10.361 --> 00:00:14.661 Lilith Iyapo anaamka baada ya miaka 250 ya mapumziko 00:00:14.661 --> 00:00:18.857 kujikuta amezungukwa na kundi la viumbe linaloitwa Oankali. 00:00:18.857 --> 00:00:21.737 Hawa viumbe walioendelea sana walitaka kubadilishana DNA 00:00:21.737 --> 00:00:23.157 kwa kuzaliana na binadamu 00:00:23.157 --> 00:00:27.517 ili kila kinasaba cha kiumbe kisambae na kiwe na nguvu kushinda kingine. 00:00:27.517 --> 00:00:32.257 Njia pekee wanayotoa ni kinga ya uzazi kwa jamii yote ya binadamu. 00:00:32.257 --> 00:00:35.477 Je ubiinadamu utakubali kuingia kwenye biolojia isiyojulikana, 00:00:35.477 --> 00:00:38.327 au wang'ang'anie asili yao na wapotee? NOTE Paragraph 00:00:38.327 --> 00:00:41.317 Maswali kama haya yamejaa kwenye "Dawn" ya Olivia Butler, 00:00:41.317 --> 00:00:44.217 ya kwanza kwenye simulizi yake ya utatu ya "Lilith's Brood". 00:00:44.217 --> 00:00:47.237 Msimuliaji anayeona mbali aliyebadilisha bunilizi ya kisayansi, 00:00:47.237 --> 00:00:50.097 Butler amejenga dunia za kustaajabisha katika kazi yake -- 00:00:50.097 --> 00:00:53.187 na kufumbua mafumbo yanayotuweka macho usiku. NOTE Paragraph 00:00:53.187 --> 00:00:54.996 Alizaliwa mwaka 1947, 00:00:54.996 --> 00:00:59.046 Butler alikua na aibu na mpole akiishi Pasadena, California. 00:00:59.046 --> 00:01:01.386 Aliota hadithi akiwa na umri mdogo, 00:01:01.386 --> 00:01:04.306 na punde akaanza kuziandika hizi fikra kwenye karatasi. 00:01:04.306 --> 00:01:07.236 Na miaka kumi na mbili, alimuomba mama yake mashine ya kuchapa 00:01:07.236 --> 00:01:12.256 baada ya filamu ya bunilizi ya sayansi iitwayo "Msichana Shetani kutoka Mars" 00:01:12.256 --> 00:01:14.097 Kutokuvutiwa na alichokiona, 00:01:14.097 --> 00:01:16.707 Butler alijua angeweza kusimulia simulizi nzuri zaidi. NOTE Paragraph 00:01:16.707 --> 00:01:19.437 Iliyojaa za bunilizi za sayansi wanaume weupe mashujaa 00:01:19.437 --> 00:01:22.897 wanaolipua viumbe au wanakua wakombozi wa watu weusi. 00:01:22.897 --> 00:01:26.607 Butler alitaka kuandika wahusika tofauti kwa ajili ya watazamaji tofauti. 00:01:26.607 --> 00:01:31.187 Alileta uelewa na kina kwenye uwakilishaji wa uzoefu wao. NOTE Paragraph 00:01:31.187 --> 00:01:32.244 Kwa Butler, 00:01:32.244 --> 00:01:35.924 ubunifu haukua tu kwa kupanda mbegu za bunilizi za sayansi-- 00:01:35.924 --> 00:01:40.794 lakini pia njia ya kupona dunia isiyo na haki kwa mapatano ya mtu mwenyewe. 00:01:40.794 --> 00:01:43.372 Kazi yake huchukua sehemu zenye mateso za duniani 00:01:43.372 --> 00:01:48.182 kama ubaguaji unaotakana na rangi, jinsia, hali au uwezo, 00:01:48.182 --> 00:01:52.125 na kumkaribisha msomaji kuzitafakari kwenye muktadha mpya. NOTE Paragraph 00:01:52.125 --> 00:01:53.775 Moja ya riwaya zake zinazopendwa, 00:01:53.775 --> 00:01:55.265 ya "Mithali ya Mpanzi," 00:01:55.265 --> 00:01:56.805 Inafwata huu mpangilio. 00:01:56.805 --> 00:01:59.565 Inaelezea hadithi ya Lauren Oya Olamina NOTE Paragraph 00:01:59.565 --> 00:02:03.775 akielekea njiani kupitia California ya karibuni, iliyoharibiwa na tamaa ya jumla, 00:02:03.775 --> 00:02:06.865 ukosefu wa haki, na uharibifu wa mazingira. 00:02:06.865 --> 00:02:08.795 Akipambana na huruma kubwa, 00:02:08.795 --> 00:02:11.945 au hali kwenye kitabu inayomfanya asikie uchungu wa wenzie, 00:02:11.945 --> 00:02:13.855 na mara chache, furaha yao. 00:02:13.855 --> 00:02:18.325 Lauren anaanza safari na kundi la wakimbizi kutafuta sehemu ya kupumzika. 00:02:18.325 --> 00:02:23.250 Hapo, wanajaribu kuishi kutokana na dini yake aliyoigundua, mbegu-dunia, 00:02:23.250 --> 00:02:24.830 ambayo inategemea kanuni 00:02:24.830 --> 00:02:28.240 kua binadamu wanatakiwa wafuate dunia inayobadilika kila mara. NOTE Paragraph 00:02:28.240 --> 00:02:30.710 Safari ya Lauren ina mizizi kwenye uhalisi wa maisha- 00:02:30.710 --> 00:02:32.950 California Prop 187, 00:02:32.950 --> 00:02:36.950 ambayo ilijaribu kuzuia wahamiaji bila vibali haki za msingi za kibinadamu, 00:02:36.950 --> 00:02:39.380 kabla ilionekana kutotambulika kwenye katiba. 00:02:39.380 --> 00:02:42.990 Butler siku zote aliweka habari zinazoendelea kwenye uandishi wake. 00:02:42.990 --> 00:02:47.360 Kwenye mwendelezo wake mwaka 1998 wa "Mithali ya Mpanzi", "Mithali ya Talanta," 00:02:47.360 --> 00:02:49.281 aliandika kuhusu mgombea uraisi 00:02:49.281 --> 00:02:53.591 anayewatawala Wamarekani kwa ukweli taswira na "mikanda ya umeme." 00:02:53.591 --> 00:02:56.481 Msemo wake? "Fanya Marekani bora tena." NOTE Paragraph 00:02:56.481 --> 00:02:58.341 Wakati watu wakitambua utabiri wake, 00:02:58.341 --> 00:03:01.661 Butler alivutiwa pia na kufwatilia tena historia. 00:03:01.661 --> 00:03:03.771 Mfano "Jamaa" inaelezea hadithi ya 00:03:03.771 --> 00:03:06.171 mwanamke anayerudishwa nyuma ya muda mara kwa mara 00:03:06.171 --> 00:03:09.241 kwenye shamba la Maryland la mababu zake. 00:03:09.241 --> 00:03:13.771 Mwanzoni, anagundua kwamba kazi yake ni kuokoa maisha ya mwananume mweupe 00:03:13.771 --> 00:03:15.532 ambae atambaka nyanya yake. 00:03:15.532 --> 00:03:19.662 Asipomuokoa, yeye mweyewe atasitishwa kuwepo 00:03:19.664 --> 00:03:23.074 Haya matatizo makali yanamlazimisha Dana kutazama majanga yanayoendelea 00:03:23.074 --> 00:03:26.684 ya utumwa na ubakaji yanayowakabili wanawake Weusi. NOTE Paragraph 00:03:26.684 --> 00:03:29.334 Na simulizi zake za wanawake kuanzisha jumuiya mpya, 00:03:29.334 --> 00:03:31.864 wasafiri wa mda wakishinda fitina za kihistoria, 00:03:31.864 --> 00:03:33.774 na viumbe tofauti kushabihiana, 00:03:33.774 --> 00:03:38.694 Butler alikuwa na ushawishi wa kushangaza kwenye umaarufu unaokua wa Afrofuturism. 00:03:38.694 --> 00:03:40.000 Hio ni harakati ya utamaduni 00:03:40.000 --> 00:03:44.820 ambapo waandishi na wasanii Weusi ambao wanavutiwa na ya nyuma, sasa na ya mbele, 00:03:44.820 --> 00:03:50.200 kutoa kazi zinazojumuisha mazingaombwe, historia, teknolojia na mengine mengi. NOTE Paragraph 00:03:50.200 --> 00:03:53.100 Wakati Lauren anakuja kujifunza kwenye "Mithali ya Mpanzi," 00:03:53.100 --> 00:03:55.360 "Kila unachogusa unabadilisha. 00:03:55.360 --> 00:03:57.729 Kila unachobadilisha kinakubadilisha wewe. 00:03:57.729 --> 00:04:01.169 Ukweli pekee usiopinda ni Mabadiliko."