1 00:00:07,921 --> 00:00:10,361 Baada ya vita ya nuklea vya kusikitisha 2 00:00:10,361 --> 00:00:14,661 Lilith Iyapo anaamka baada ya miaka 250 ya mapumziko 3 00:00:14,661 --> 00:00:18,857 kujikuta amezungukwa na kundi la viumbe linaloitwa Oankali. 4 00:00:18,857 --> 00:00:21,737 Hawa viumbe walioendelea sana walitaka kubadilishana DNA 5 00:00:21,737 --> 00:00:23,157 kwa kuzaliana na binadamu 6 00:00:23,157 --> 00:00:27,517 ili kila kinasaba cha kiumbe kisambae na kiwe na nguvu kushinda kingine. 7 00:00:27,517 --> 00:00:32,257 Njia pekee wanayotoa ni kinga ya uzazi kwa jamii yote ya binadamu. 8 00:00:32,257 --> 00:00:35,477 Je ubiinadamu utakubali kuingia kwenye biolojia isiyojulikana, 9 00:00:35,477 --> 00:00:38,327 au wang'ang'anie asili yao na wapotee? 10 00:00:38,327 --> 00:00:41,317 Maswali kama haya yamejaa kwenye "Dawn" ya Olivia Butler, 11 00:00:41,317 --> 00:00:44,217 ya kwanza kwenye simulizi yake ya utatu ya "Lilith's Brood". 12 00:00:44,217 --> 00:00:47,237 Msimuliaji anayeona mbali aliyebadilisha bunilizi ya kisayansi, 13 00:00:47,237 --> 00:00:50,097 Butler amejenga dunia za kustaajabisha katika kazi yake -- 14 00:00:50,097 --> 00:00:53,187 na kufumbua mafumbo yanayotuweka macho usiku. 15 00:00:53,187 --> 00:00:54,996 Alizaliwa mwaka 1947, 16 00:00:54,996 --> 00:00:59,046 Butler alikua na aibu na mpole akiishi Pasadena, California. 17 00:00:59,046 --> 00:01:01,386 Aliota hadithi akiwa na umri mdogo, 18 00:01:01,386 --> 00:01:04,306 na punde akaanza kuziandika hizi fikra kwenye karatasi. 19 00:01:04,306 --> 00:01:07,236 Na miaka kumi na mbili, alimuomba mama yake mashine ya kuchapa 20 00:01:07,236 --> 00:01:12,256 baada ya filamu ya bunilizi ya sayansi iitwayo "Msichana Shetani kutoka Mars" 21 00:01:12,256 --> 00:01:14,097 Kutokuvutiwa na alichokiona, 22 00:01:14,097 --> 00:01:16,707 Butler alijua angeweza kusimulia simulizi nzuri zaidi. 23 00:01:16,707 --> 00:01:19,437 Iliyojaa za bunilizi za sayansi wanaume weupe mashujaa 24 00:01:19,437 --> 00:01:22,897 wanaolipua viumbe au wanakua wakombozi wa watu weusi. 25 00:01:22,897 --> 00:01:26,607 Butler alitaka kuandika wahusika tofauti kwa ajili ya watazamaji tofauti. 26 00:01:26,607 --> 00:01:31,187 Alileta uelewa na kina kwenye uwakilishaji wa uzoefu wao. 27 00:01:31,187 --> 00:01:32,244 Kwa Butler, 28 00:01:32,244 --> 00:01:35,924 ubunifu haukua tu kwa kupanda mbegu za bunilizi za sayansi-- 29 00:01:35,924 --> 00:01:40,794 lakini pia njia ya kupona dunia isiyo na haki kwa mapatano ya mtu mwenyewe. 30 00:01:40,794 --> 00:01:43,372 Kazi yake huchukua sehemu zenye mateso za duniani 31 00:01:43,372 --> 00:01:48,182 kama ubaguaji unaotakana na rangi, jinsia, hali au uwezo, 32 00:01:48,182 --> 00:01:52,125 na kumkaribisha msomaji kuzitafakari kwenye muktadha mpya. 33 00:01:52,125 --> 00:01:53,775 Moja ya riwaya zake zinazopendwa, 34 00:01:53,775 --> 00:01:55,265 ya "Mithali ya Mpanzi," 35 00:01:55,265 --> 00:01:56,805 Inafwata huu mpangilio. 36 00:01:56,805 --> 00:01:59,565 Inaelezea hadithi ya Lauren Oya Olamina 37 00:01:59,565 --> 00:02:03,775 akielekea njiani kupitia California ya karibuni, iliyoharibiwa na tamaa ya jumla, 38 00:02:03,775 --> 00:02:06,865 ukosefu wa haki, na uharibifu wa mazingira. 39 00:02:06,865 --> 00:02:08,795 Akipambana na huruma kubwa, 40 00:02:08,795 --> 00:02:11,945 au hali kwenye kitabu inayomfanya asikie uchungu wa wenzie, 41 00:02:11,945 --> 00:02:13,855 na mara chache, furaha yao. 42 00:02:13,855 --> 00:02:18,325 Lauren anaanza safari na kundi la wakimbizi kutafuta sehemu ya kupumzika. 43 00:02:18,325 --> 00:02:23,250 Hapo, wanajaribu kuishi kutokana na dini yake aliyoigundua, mbegu-dunia, 44 00:02:23,250 --> 00:02:24,830 ambayo inategemea kanuni 45 00:02:24,830 --> 00:02:28,240 kua binadamu wanatakiwa wafuate dunia inayobadilika kila mara. 46 00:02:28,240 --> 00:02:30,710 Safari ya Lauren ina mizizi kwenye uhalisi wa maisha- 47 00:02:30,710 --> 00:02:32,950 California Prop 187, 48 00:02:32,950 --> 00:02:36,950 ambayo ilijaribu kuzuia wahamiaji bila vibali haki za msingi za kibinadamu, 49 00:02:36,950 --> 00:02:39,380 kabla ilionekana kutotambulika kwenye katiba. 50 00:02:39,380 --> 00:02:42,990 Butler siku zote aliweka habari zinazoendelea kwenye uandishi wake. 51 00:02:42,990 --> 00:02:47,360 Kwenye mwendelezo wake mwaka 1998 wa "Mithali ya Mpanzi", "Mithali ya Talanta," 52 00:02:47,360 --> 00:02:49,281 aliandika kuhusu mgombea uraisi 53 00:02:49,281 --> 00:02:53,591 anayewatawala Wamarekani kwa ukweli taswira na "mikanda ya umeme." 54 00:02:53,591 --> 00:02:56,481 Msemo wake? "Fanya Marekani bora tena." 55 00:02:56,481 --> 00:02:58,341 Wakati watu wakitambua utabiri wake, 56 00:02:58,341 --> 00:03:01,661 Butler alivutiwa pia na kufwatilia tena historia. 57 00:03:01,661 --> 00:03:03,771 Mfano "Jamaa" inaelezea hadithi ya 58 00:03:03,771 --> 00:03:06,171 mwanamke anayerudishwa nyuma ya muda mara kwa mara 59 00:03:06,171 --> 00:03:09,241 kwenye shamba la Maryland la mababu zake. 60 00:03:09,241 --> 00:03:13,771 Mwanzoni, anagundua kwamba kazi yake ni kuokoa maisha ya mwananume mweupe 61 00:03:13,771 --> 00:03:15,532 ambae atambaka nyanya yake. 62 00:03:15,532 --> 00:03:19,662 Asipomuokoa, yeye mweyewe atasitishwa kuwepo 63 00:03:19,664 --> 00:03:23,074 Haya matatizo makali yanamlazimisha Dana kutazama majanga yanayoendelea 64 00:03:23,074 --> 00:03:26,684 ya utumwa na ubakaji yanayowakabili wanawake Weusi. 65 00:03:26,684 --> 00:03:29,334 Na simulizi zake za wanawake kuanzisha jumuiya mpya, 66 00:03:29,334 --> 00:03:31,864 wasafiri wa mda wakishinda fitina za kihistoria, 67 00:03:31,864 --> 00:03:33,774 na viumbe tofauti kushabihiana, 68 00:03:33,774 --> 00:03:38,694 Butler alikuwa na ushawishi wa kushangaza kwenye umaarufu unaokua wa Afrofuturism. 69 00:03:38,694 --> 00:03:40,000 Hio ni harakati ya utamaduni 70 00:03:40,000 --> 00:03:44,820 ambapo waandishi na wasanii Weusi ambao wanavutiwa na ya nyuma, sasa na ya mbele, 71 00:03:44,820 --> 00:03:50,200 kutoa kazi zinazojumuisha mazingaombwe, historia, teknolojia na mengine mengi. 72 00:03:50,200 --> 00:03:53,100 Wakati Lauren anakuja kujifunza kwenye "Mithali ya Mpanzi," 73 00:03:53,100 --> 00:03:55,360 "Kila unachogusa unabadilisha. 74 00:03:55,360 --> 00:03:57,729 Kila unachobadilisha kinakubadilisha wewe. 75 00:03:57,729 --> 00:04:01,169 Ukweli pekee usiopinda ni Mabadiliko."