0:00:07.921,0:00:10.361 Baada ya vita ya nuklea vya kusikitisha 0:00:10.361,0:00:14.661 Lilith Iyapo anaamka baada ya[br]miaka 250 ya mapumziko 0:00:14.661,0:00:18.857 kujikuta amezungukwa na kundi la[br]viumbe linaloitwa Oankali. 0:00:18.857,0:00:21.737 Hawa viumbe walioendelea sana[br]walitaka kubadilishana DNA 0:00:21.737,0:00:23.157 kwa kuzaliana na binadamu 0:00:23.157,0:00:27.517 ili kila kinasaba cha kiumbe kisambae[br]na kiwe na nguvu kushinda kingine. 0:00:27.517,0:00:32.257 Njia pekee wanayotoa ni kinga ya uzazi[br]kwa jamii yote ya binadamu. 0:00:32.257,0:00:35.477 Je ubiinadamu utakubali kuingia kwenye[br]biolojia isiyojulikana, 0:00:35.477,0:00:38.327 au wang'ang'anie asili yao na wapotee? 0:00:38.327,0:00:41.317 Maswali kama haya yamejaa kwenye[br]"Dawn" ya Olivia Butler, 0:00:41.317,0:00:44.217 ya kwanza kwenye simulizi yake ya utatu[br]ya "Lilith's Brood". 0:00:44.217,0:00:47.237 Msimuliaji anayeona mbali aliyebadilisha[br]bunilizi ya kisayansi, 0:00:47.237,0:00:50.097 Butler amejenga dunia za kustaajabisha[br]katika kazi yake -- 0:00:50.097,0:00:53.187 na kufumbua mafumbo[br]yanayotuweka macho usiku. 0:00:53.187,0:00:54.996 Alizaliwa mwaka 1947, 0:00:54.996,0:00:59.046 Butler alikua na aibu na mpole akiishi[br]Pasadena, California. 0:00:59.046,0:01:01.386 Aliota hadithi akiwa na umri mdogo, 0:01:01.386,0:01:04.306 na punde akaanza kuziandika hizi[br]fikra kwenye karatasi. 0:01:04.306,0:01:07.236 Na miaka kumi na mbili, alimuomba[br]mama yake mashine ya kuchapa 0:01:07.236,0:01:12.256 baada ya filamu ya bunilizi ya sayansi[br]iitwayo "Msichana Shetani kutoka Mars" 0:01:12.256,0:01:14.097 Kutokuvutiwa na alichokiona, 0:01:14.097,0:01:16.707 Butler alijua angeweza kusimulia[br]simulizi nzuri zaidi. 0:01:16.707,0:01:19.437 Iliyojaa za bunilizi za sayansi[br]wanaume weupe mashujaa 0:01:19.437,0:01:22.897 wanaolipua viumbe au wanakua[br]wakombozi wa watu weusi. 0:01:22.897,0:01:26.607 Butler alitaka kuandika wahusika tofauti[br]kwa ajili ya watazamaji tofauti. 0:01:26.607,0:01:31.187 Alileta uelewa na kina kwenye[br]uwakilishaji wa uzoefu wao. 0:01:31.187,0:01:32.244 Kwa Butler, 0:01:32.244,0:01:35.924 ubunifu haukua tu kwa kupanda mbegu[br]za bunilizi za sayansi-- 0:01:35.924,0:01:40.794 lakini pia njia ya kupona dunia isiyo na[br]haki kwa mapatano ya mtu mwenyewe. 0:01:40.794,0:01:43.372 Kazi yake huchukua sehemu[br]zenye mateso za duniani 0:01:43.372,0:01:48.182 kama ubaguaji unaotakana na rangi,[br]jinsia, hali au uwezo, 0:01:48.182,0:01:52.125 na kumkaribisha msomaji[br]kuzitafakari kwenye muktadha mpya. 0:01:52.125,0:01:53.775 Moja ya riwaya zake zinazopendwa, 0:01:53.775,0:01:55.265 ya "Mithali ya Mpanzi," 0:01:55.265,0:01:56.805 Inafwata huu mpangilio. 0:01:56.805,0:01:59.565 Inaelezea hadithi ya Lauren Oya Olamina 0:01:59.565,0:02:03.775 akielekea njiani kupitia California ya[br]karibuni, iliyoharibiwa na tamaa ya jumla, 0:02:03.775,0:02:06.865 ukosefu wa haki, na uharibifu wa[br]mazingira. 0:02:06.865,0:02:08.795 Akipambana na huruma kubwa, 0:02:08.795,0:02:11.945 au hali kwenye kitabu inayomfanya[br]asikie uchungu wa wenzie, 0:02:11.945,0:02:13.855 na mara chache, furaha yao. 0:02:13.855,0:02:18.325 Lauren anaanza safari na kundi la[br]wakimbizi kutafuta sehemu ya kupumzika. 0:02:18.325,0:02:23.250 Hapo, wanajaribu kuishi kutokana na dini[br]yake aliyoigundua, mbegu-dunia, 0:02:23.250,0:02:24.830 ambayo inategemea kanuni 0:02:24.830,0:02:28.240 kua binadamu wanatakiwa wafuate[br]dunia inayobadilika kila mara. 0:02:28.240,0:02:30.710 Safari ya Lauren ina mizizi kwenye[br]uhalisi wa maisha- 0:02:30.710,0:02:32.950 California Prop 187, 0:02:32.950,0:02:36.950 ambayo ilijaribu kuzuia wahamiaji bila[br]vibali haki za msingi za kibinadamu, 0:02:36.950,0:02:39.380 kabla ilionekana kutotambulika kwenye[br]katiba. 0:02:39.380,0:02:42.990 Butler siku zote aliweka habari[br]zinazoendelea kwenye uandishi wake. 0:02:42.990,0:02:47.360 Kwenye mwendelezo wake mwaka 1998 wa [br]"Mithali ya Mpanzi", "Mithali ya Talanta," 0:02:47.360,0:02:49.281 aliandika kuhusu mgombea uraisi 0:02:49.281,0:02:53.591 anayewatawala Wamarekani kwa ukweli[br]taswira na "mikanda ya umeme." 0:02:53.591,0:02:56.481 Msemo wake? "Fanya Marekani bora tena." 0:02:56.481,0:02:58.341 Wakati watu wakitambua utabiri wake, 0:02:58.341,0:03:01.661 Butler alivutiwa pia na kufwatilia[br]tena historia. 0:03:01.661,0:03:03.771 Mfano[br]"Jamaa" inaelezea hadithi ya 0:03:03.771,0:03:06.171 mwanamke anayerudishwa nyuma[br]ya muda mara kwa mara 0:03:06.171,0:03:09.241 kwenye shamba la Maryland la mababu zake. 0:03:09.241,0:03:13.771 Mwanzoni, anagundua kwamba kazi yake[br]ni kuokoa maisha ya mwananume mweupe 0:03:13.771,0:03:15.532 ambae atambaka nyanya yake. 0:03:15.532,0:03:19.662 Asipomuokoa, yeye mweyewe[br]atasitishwa kuwepo 0:03:19.664,0:03:23.074 Haya matatizo makali yanamlazimisha Dana[br]kutazama majanga yanayoendelea 0:03:23.074,0:03:26.684 ya utumwa na ubakaji yanayowakabili[br]wanawake Weusi. 0:03:26.684,0:03:29.334 Na simulizi zake za wanawake[br]kuanzisha jumuiya mpya, 0:03:29.334,0:03:31.864 wasafiri wa mda wakishinda[br]fitina za kihistoria, 0:03:31.864,0:03:33.774 na viumbe tofauti kushabihiana, 0:03:33.774,0:03:38.694 Butler alikuwa na ushawishi wa kushangaza[br]kwenye umaarufu unaokua wa Afrofuturism. 0:03:38.694,0:03:40.000 Hio ni harakati ya utamaduni 0:03:40.000,0:03:44.820 ambapo waandishi na wasanii Weusi ambao[br]wanavutiwa na ya nyuma, sasa na ya mbele, 0:03:44.820,0:03:50.200 kutoa kazi zinazojumuisha mazingaombwe,[br]historia, teknolojia na mengine mengi. 0:03:50.200,0:03:53.100 Wakati Lauren anakuja kujifunza kwenye[br]"Mithali ya Mpanzi," 0:03:53.100,0:03:55.360 "Kila unachogusa unabadilisha. 0:03:55.360,0:03:57.729 Kila unachobadilisha kinakubadilisha wewe. 0:03:57.729,0:04:01.169 Ukweli pekee usiopinda ni Mabadiliko."