0:00:00.000,0:00:07.200 Wakikuomba ulipe kabla ya kuswali, tafadhali ukimbie. 0:00:07.200,0:00:11.066 Huduma ya kiroho haiuzwi. 0:00:11.066,0:00:14.200 Ikiwa kuna masharti - 0:00:14.200,0:00:17.300 'Kabla sijakuombea, lazima utoe hii' - 0:00:17.300,0:00:21.800 tafadhali kimbia. Tenganisha. 0:00:21.800,0:00:26.333 Hiyo ni bendera kubwa nyekundu kiroho. 0:00:26.333,0:00:33.066 Kinachoombewa hakiwezi kulipwa. 0:00:33.066,0:00:37.333 Hakuna kiasi cha pesa kinachoweza kukupa amani ya moyo. 0:00:37.333,0:00:40.700 Kuna vitu Mungu pekee anaweza kutoa. 0:00:40.700,0:00:44.266 Tukisema lazima utoe pesa kabla ya kupokea maombi, 0:00:44.266,0:00:46.933 unaweza kupokea maombi bila amani. 0:00:46.933,0:00:52.133 Na mimi ninayekuombea - pia sitakuwa na amani yoyote. 0:00:52.133,0:00:56.666 Ninaweza kukuombea ukinilipa, lakini sitakuwa na amani. 0:00:56.666,0:00:59.000 Haitaambatana na furaha. 0:00:59.000,0:01:02.733 Haitaambatana na kuridhika. 0:01:02.733,0:01:04.600 Ni somo watu wa Mungu. 0:01:04.600,0:01:07.933 Tafadhali, usifanye kwa sababu ya kukata tamaa, 0:01:07.933,0:01:12.733 usifanye hivyo kwa sababu ya ushawishi wa ulimwengu huu 0:01:12.733,0:01:15.966 kwenda nje ya viwango vya Mungu katika kutafuta suluhu, 0:01:15.966,0:01:18.300 hata na mtu anayedai kuwa wa Mungu. 0:01:18.300,0:01:21.300 Kuwa mwangalifu. Hebu kuwe na busara. 0:01:21.300,0:01:26.233 Biblia ndio kiwango chetu.